BREAKING: MBOWE NA LEMA WAONGEA USIKU HUU, ATOKA OYSTERBAY MUDA HUU, LISU AACHIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 275

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 3 години тому +12

    A leader who walk the talk

  • @enockezekiel4125
    @enockezekiel4125 2 години тому +13

    Salim kikeke mwandishi bora zaidi nchini.. Heshma nyingi sana.

  • @Sangaeducationservice
    @Sangaeducationservice 3 години тому +14

    crown the best

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 3 години тому +12

    Pole sana kamanda mungu yupo

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 2 години тому +10

    Kikeke kikeke kikeke kikeke kikeke kikeke nimekuita mara mia8 Crown ipo mikono salama 🔥🙌

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 2 години тому +31

    Salmu kikeke kwenye ubora wake ninaoujua🔥🔥🔥🔥

  • @directorerikey3291
    @directorerikey3291 3 години тому +14

    Waziri mkuu wa serikali ijayo

    • @mdiakoniajonas2383
      @mdiakoniajonas2383 2 години тому +1

      Yaani mwanao akikwambia baba nataka nikawe police jua huyo siyo wako ni msomali kama si bokoharamu

  • @imanmodern
    @imanmodern 3 години тому +21

    Ccm wasenge sana wanalitumia jeshi la polisi kama mali yao

    • @MwanakomboNassor-bw3by
      @MwanakomboNassor-bw3by 2 години тому +2

      Wasenge au vidume waangalie sura zilivyosowajika wababe wa chadema wametoka wapoleeee 😂😂😂😂😂

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 2 години тому +3

      ​​@@MwanakomboNassor-bw3by bila shaka wewe si binadamu wa kawaida Kuna la kusifia hapo?

    • @MwanakomboNassor-bw3by
      @MwanakomboNassor-bw3by 2 години тому +1

      @@LodvolaLameck-jl5vs mimi jini kwani unàfikiri kila mtu anayechat ni binadamu

    • @eliasludani4201
      @eliasludani4201 2 години тому +1

      @MwanakomboNassor-bw3by
      Huna akili

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs 2 години тому +1

      @@MwanakomboNassor-bw3by Haya jini nimekuelewa ila ubinadamu ni zaidi ya CCM na CHADEMA

  • @isihakaog8355
    @isihakaog8355 2 години тому +6

    Daaah LEMA ALIKUWA ANATIA HURUMA, ALIVYO KUWA ANAANZA MWISHO KABSA KAMUA ACHANGAMSHE WATU

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 2 години тому +6

    Dah!! Nna huzuni lakn nmejikuta nacheka kwa jibu la Lema kwa Kikeke

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 2 години тому +21

    Hawa jamaa wanaume kweli Mwenyezi mungu awasimamie sana mko vzr sana

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 2 години тому +14

    Kikeke unafnya kazi nzuri safi sana mungu akuzdshie kila la kheri

  • @BarakaShukuru-x9p
    @BarakaShukuru-x9p Годину тому +7

    Mama samia leo nimelewa mama angu lakini nikwambie ki2 mimi nawapenda wamama niwazuri na nakupenda sana kwakuepusha maandamano asante

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 Годину тому

      Bibi Chinja Chinja polisi hawa wote walikuwa wapi wasipambane na wahalifu na wale wasiojulikana wanao uwa watu???

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Годину тому +4

    Watanzania wanaandamana humu kwenye comment

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 3 години тому +13

    Big up our chairman Mbowe you are the public figure of Africa.

  • @Samtz-mellody
    @Samtz-mellody 3 години тому +18

    Kikeke kwenye kazi yake ❤

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Годину тому

      Kikeke sasa huyu ndo Mwandishi..anajua kazi yake siyo hawa wapiga kelele

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 2 години тому +22

    Leo haikua siku kabisa nimekosa raha ss kidogo uji unapita chadema ndio Chama ndio watetezi

  • @Wasafi-q8o
    @Wasafi-q8o 2 години тому +8

    Daaaah hii nchi ngumu Sana maandamano unayafanyaje kwny ndege 😂😂😂😂😂

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 9 хвилин тому

      Kama unakumbuka Marekani, France, na Wingereza hivi karibuni, walio andamana walipigwa kama mbwa. George Floyd raia ambao waliandamana walipigwa kama kuku. Hakuna mwana siasa anakupigania. Kwakua raia ni lahisi kuwadanganya. Jicho la Mbowe kwa Lema linaonyesha kua Subutu uongee tofauti na ambavyo nataka

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 5 хвилин тому

      Actualy hiyo ilikuwa sehemu ndogo, sauti zao zilisikika na yakafanyiwa kazi. Since then bamna maandamano ambayo yalizuiwa, wenzetu wana katiba na sheria bora kabisa. Hata police wakifanya haya wanashtakiwa​@@barrynzeyimana6270

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 36 хвилин тому +3

    Nchi letu linaongozwa na watu wasio julikana shina zao zimeanzia wapi... tumekuwa: Dr, Burundi, Rwanda, sudan, somalia etc...

  • @JacksonMarko-qb7kj
    @JacksonMarko-qb7kj 2 години тому +9

    Jeshi la polisi😂et lema alianza maandamano akiwa ndani ya ndege

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 2 години тому

      😂😂😂😂lema nampenda 😂😂😂 CHADEMA INAWATIA WASHAWASHA

    • @CaroOsborn
      @CaroOsborn Годину тому

      Mi pia nampenda sana😂​@@sophsoph4740

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz Годину тому

      Polic havina elimu havijitambui vinyamukila.vikelembwe mhaomwingi hamnakazi nichadema wasiojulikana welepale

  • @nyamwalevenance5994
    @nyamwalevenance5994 2 години тому +2

    Kuishi karibu na mahakama siyo kujua sheria

  • @zakarialema9493
    @zakarialema9493 2 години тому +3

    CROWN 👑🔥🔥KIKEKE🔥🔥🔥

  • @jaybacky9613
    @jaybacky9613 3 години тому +9

    Kikeke Alie mrudisha apewe maua yakee

    • @giztony2009
      @giztony2009 2 години тому

      Amejirudisha mwenyewe ili kuanzisha radio yke

    • @officialsbjovea5822
      @officialsbjovea5822 2 години тому

      Toa uda wcb wako hapa​@@giztony2009

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 Годину тому

      ​@@giztony2009unatumia Ukiwa Wana MAMA😂

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 Годину тому +3

    Akuna cha Chadema wala hao CCN wazee wa Cuba tume nyuti tu tunajua ktk siasa acha shobo uta pasuka bure angalia hao wametoka sasa we mbonde FFU washa kutengua kiuno saizi uko muhimbiri tena ata matibabu ujapata, Unapo ambiwa sihasa mchezo mchafu elewa, usizani ngono tu

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 4 хвилини тому

      Kunywa maji kwanza CNN na chadema wapi na wapi?

  • @officialsuccesschannel
    @officialsuccesschannel 3 години тому +2

    Imetushika🎉🎉🎉🎉

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 2 години тому +2

    Duh lema kanichekesha xana ety kwenye tenge ndugu zangu tuko utumwani

  • @peterjohnbahhi1565
    @peterjohnbahhi1565 Годину тому +3

    Nimechekaaaa...eti maandamano kwenye ndege

  • @athanasfrank8499
    @athanasfrank8499 57 хвилин тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂kuna watu wao maisha yao kila siku ni kutafuta shida tu 😂😂

  • @salyali7807
    @salyali7807 26 хвилин тому +1

    Wallahi sitaki kucheka maandamano kwenye ndege 😂😂😂 ... majeshi wa Tanzania wamekua majuha kiasi hichi !

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 години тому +1

    Crown tunafanya kazi nsuri

  • @DataICT-n8s
    @DataICT-n8s 3 години тому +8

    Ashukuliwe mungu kwa kuwatetea watumish wake kuwa salama mbaka sasa ,mungu azidi kuwatunza mh Mbowe,Lema na wengine wote waliokuwa katika harakati za kujitolea katika kulikomboa taifa hili

  • @IqramMchomvu
    @IqramMchomvu Годину тому +1

    SIASA daaah😂😂😂Unaweza sema anapigania wananchi kweli ilaaaa,,,,Ukicheza drafti kete YOYOTE inayoingia KINGI hufanya kazi zinazofanana TAFADHALI TUSIYUMBISHWE NA WANASIASA

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 50 хвилин тому +1

    "Maandamano ya kuanzia kwenye ndege -mh Lema "hii Kali iende Moja kwa Moja kwenye kitabu cha kumbukumbu za rekodi cha 😂😂😂😂😢😮 Guinness

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 2 години тому +2

    MUNGU AWATETEE VIONGOZI WETU 😢😢😢

  • @konderaeriasi6251
    @konderaeriasi6251 2 години тому

    Mweshimiwa mbowe pore sana kakaangu Hiitanzania nimeamin kumbe ukiw mpgania hak selikalin unaonekana mbay mkorofi rakin mungu yupo atajibu

  • @stanleysongo6895
    @stanleysongo6895 2 години тому +2

    Big up kikeke

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 2 години тому +1

    Lema ana sura ya wizi

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 2 години тому +8

    Inabidi nicheke kama mazuri bire,jamani Tanzania ya mama sijui inataka itufikishe wapi, anyways,Piga kelele kwa maandamano ya kwenye ndege akeee😂😂😂😂

    • @DubaiRolla-rx9nz
      @DubaiRolla-rx9nz Годину тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu 2 години тому +2

    Msg imefika mbali kuliko hata maandamano yenyewe - pamoja na kuonyesha jinsi ambavyo polisi hawana ueledi

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 2 години тому

      Chadema wameshindaaa😂😂

    • @RynoFire-w8k
      @RynoFire-w8k Годину тому

      Sure hii taswira imefika mbali mno

  • @venancerichardlukumi4210
    @venancerichardlukumi4210 Годину тому +1

    Nyie mlikimbia wakati wa magufuli mmeludi tena kumuonea mama aya we acha tu

  • @niccomedia3147
    @niccomedia3147 2 години тому +5

    Maandamano kwenye ndege Tanzania

  • @landryalexander8353
    @landryalexander8353 11 хвилин тому

    Salim kikeke inabidi ujue kua hapa sio London, wengine tunakupenda sana na tunakuhitaji kuendelea kukuona kwenye TV na redio

  • @NdaroBoniface
    @NdaroBoniface Годину тому

    Pole Sana katika haki kunagalama

  • @YusuphRajabu-hz3pv
    @YusuphRajabu-hz3pv 2 години тому +1

    Duh vita nikubwa sana hii na kuishinda nimtihani

  • @Ballycoco
    @Ballycoco 35 хвилин тому

    Crown hakika nynyi hamjaegemea upande wowote, msijewaiga wale wenye media za matamko ya ccm

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 46 хвилин тому +2

    Watanzania hatutaki maandamano kwani hatusikii mnaandania Nini sasa??? Mbona mnatafutakiki kwaajili ya uchaguzi mbona vya vingine wamekataa kwani nyinyitu ndio mliokua nauchungu na Tanzania pekeyenu????!!!;!🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @salama1113
    @salama1113 Годину тому

    Mungu akuweke kweli ww umesomea habari

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp Годину тому

    Asante mungu

  • @LilyKoba-wx2pj
    @LilyKoba-wx2pj 36 хвилин тому

    CCM wanajiona miungu watu iko siku mungu wa haki atawaumbua wataumbuka kuanzia askali wao waandishi wao akika mungu sikia kilio cha wana chadema

  • @JustineKyaruzi
    @JustineKyaruzi Годину тому

    Afu ndo watwambie eti kuna amanii tz afu kazi ya polic nini kuzuia watu alafu LISU wetu yuko wap kwa sasa mbona aonekani

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Годину тому

    SASA MBOWE SIUNAONA AIBU JUWA KAMA WEWE MPUUZI

  • @KananaKadogholo
    @KananaKadogholo Годину тому

    Waandishi jifunzeni kwa huyu mwenzenu, unauliza masuali yenye weledi sio alimradi!!

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 2 години тому

    Mimi huwa moyo wngu una vuja damu kila napoona haya mateso ya kwa upinzani ....ila kidogo Hapa kwa lema MANENO YAKE YAKI MKAKATI KWA JINSI ALIVYO JIPANGA KUJIBU MASWALI NIMECHEKA SINA MBAVU😂😂😂😂

  • @selemananexwa5127
    @selemananexwa5127 2 години тому +2

    Siku hizi waandishi wa habari washapata muuliza maswali wao, Salim Kikeke, wengine wanategesha maiki na Camera tu. 😅

    • @AgnesAbel-b1i
      @AgnesAbel-b1i 2 години тому

      Jamaa anauliza maswali ya maana sana Ila hao wengine dah

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 години тому

    Asante dana wakili matata

  • @MrJosephatJoseph
    @MrJosephatJoseph 13 хвилин тому

    Kilichofanyika ni kuwatoa tu viongozi wa chadema ili ipunguze hari ya watu kuandamana na wamefanikiwa THIS IS BONGOLAND 🤣

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 2 години тому +1

    MA KULUKULU KUTABI WANALOLIONGEA WALA ALIFAMIKI . FUNGU LA KUKUSA😅

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du 19 хвилин тому

    Yani kifup ccm mshajifia mda tu kinacho wabeba ni police wa hii nchi tu wasio jitambua ccm ni mambumbu sana

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 2 години тому

    Chadema ina mawakili wanaojitambua ila serikali ina mawakili ambao hawajui hata kutambua mikataba feki hi ni aibu kwa taifa

  • @godsson5954
    @godsson5954 2 години тому +1

    Polen kwa maandamano yenu

  • @geraldaud
    @geraldaud 2 години тому +8

    😢Naumia sana na hali ya uonevu inayoendelea nchini. Mungu awalinde na kuwatetea wanaojitokeza hadharani kutetea watanzania wote wanaoguswa na huu uonevu

  • @MAINGEROYORO
    @MAINGEROYORO 10 хвилин тому

    Ira mungu huyu kama kweri tunamukosea basi atusamehe sana

  • @PheyMack
    @PheyMack 2 години тому

    Lema mmoja sawasawa na viongozi 1000 wa ccm✌️ picha linaanza kaanza maandamano kwenye ndege shkmooo chadema😂😂😂

  • @JustineKyaruzi
    @JustineKyaruzi Годину тому

    Kazi ya polic ni nini kuzuia watu au

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 2 години тому +5

    Ccm hovyo kabisa

  • @SleepyBirchForest-lq5nu
    @SleepyBirchForest-lq5nu 2 години тому

    Watanzania mm nawatakiya ( AMANI ) na ( BARAKA ) kutoka kwa ( MUNGU )
    Ila tafathalini sana nataka mujuwe kuwa sisi ( WAKENYA ) tunawatengemeya sana nyinyi kuwepo na ( AMANI ) kwetu ( Kenya ) je kama nanyi mwaaza kuponteza amani je sisi tutakibiliya
    ( Wapi ? ? ? )
    ( ELIYAS _OLE _ KISIRI )
    ASANTENI SANA 🙏🙏🙏

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 2 години тому

    Lema nijasiri sana ila watanzania ni wangese sana..

  • @alphoncejmrema7912
    @alphoncejmrema7912 2 години тому

    Kuna mtu anaitwa Piter Kibatala ukimkamata Mbowe kiukwel ujipange kupambana na Wakili hyu wa Dunia

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 53 хвилини тому

    Huna lolote Lema na wenzake muna uwezo wa kuruka kwa ndege wakati hao walala hoi munaowataka waandamane mulitaka waache shughuli zao wawaunge mkono kuandamana kweli hiyo?

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 2 години тому +2

    Polen sana ndugu Zangu lakn mbwa hiz zikumbuke kila jarbu lina mlango wakutokea

  • @Sakinaamani-o1t
    @Sakinaamani-o1t 2 години тому

    Yote n muache ujinga serikali n nzuri ata hana akili sifa tu

  • @loitengia4217
    @loitengia4217 Годину тому

    Mwenyezi awasimamie mnaumia kwaajili ya watanzania 😢

  • @fredychachamkome6829
    @fredychachamkome6829 2 години тому

    Maandamano yalikuwa yanafaa kibaya mmevaa nguo za chama tulitaka yawe ya raia wote

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 2 години тому

    RP JP

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 2 години тому

    Ila lema alionekana hatalianzisha kweny ndege😂😂😂😂😂😂😂

  • @Landisy
    @Landisy 2 години тому

    Maadam wako salama amna shida, haaaaaaaaaaa Lema yy ameanza maandamano jana kwenye ndege.

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 години тому +1

    🤣🤣🤣🤣😂😂ila huyu ndio kanichekeshaaaa kanivunjaaaa mbavu😂😂😂😂 maskini eti alianzaaaa maandamano kuanziaaa kwenyeeee ndegeeeeee😂😂😂😂 ina chadema ni ma comediansss hawanaga seraaaa 😂😂😂

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 55 хвилин тому

    Kikeke ulicho rejea home ndio hicho haswaa...

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 2 години тому

    Hirohitto (Japan). Hittler, Mussolin, Pol Pot, Samuel Doe, Papa Dock, Charles Tailor, Fode Sanko, Banda, Bokassa, Mobutu, Idd Amin, Shah wa Iran, De Cleark (A. Kusini), Batista (Cuba), Joseph Konny. Sasa kanda ya Tanzania: Steave Wasira, Musukuma, mbunge Waitara, ustaadhi Gershon Msigwa, Ahamed Kombo, Mpoto, Kigwangara, Sheikh Mwaipopo, Askofu Malasusa, Fahris Burhan, Peter Msigwa, Makonda, Nappe, Ally Happy, Jerry Slaa, dkt
    Sulle, Mwigulu Nchemba, itifaki imezingatiwa. Sifa ili ujiunge katika kanda ya tanzania ni: uchawa, kupinga katiba pendekezwa ya wananchi tume ya Warioba, kupiga/kutukana wazazi, kutetea uuzwaji na/au mikataba tata ya raslimali za taifa kwa wageni, udini, unafiki/kukosa msimamo, kukosa hekima. Karibuni sana.

  • @Kaka_Rambo
    @Kaka_Rambo Годину тому

    Mpaka mwenyekiti kacheka jeshi la polisi form four 😂😂 kuanzia maandamano kwenye ndege

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 2 години тому

    Mbowe we n shujaa sn nchi yk

  • @bashashatvmedia_79
    @bashashatvmedia_79 Годину тому

    Salim kikeke 🙌🙌🙌

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 2 години тому

    Yani mmejichoresha sana na hayo maandamano mmetoka mmepowaaa

  • @boaztimoth6044
    @boaztimoth6044 2 години тому

    Polisi wa Tanzania

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 2 години тому

    Maandamano kwenye ndegee😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @OmaryLijumba
    @OmaryLijumba 2 години тому

    Hi sio haki hifike siku tujali haki kuliko masilai ya mtu mmoja

  • @MusaJastini-po8hm
    @MusaJastini-po8hm 42 хвилини тому

    Lema apimwe akili 😅😅😅😅

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 години тому

    Dah

  • @NestorSimbi
    @NestorSimbi 2 години тому +7

    Nyie polis mnapambana vp na watu hawana hata manati si uonevu huo jamani muogopeni mungu haya maisha tu

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha Годину тому

    Kike mwelev sana mungu akubalki

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 2 години тому

    Huyu mama ndo rais wa ajabu nch Yan hn hofu kbs na maish y wt

  • @User92.invisible
    @User92.invisible Годину тому

    Kikeke safi sana

  • @jaemnettemukeshumana3019
    @jaemnettemukeshumana3019 Годину тому

    Nawapenda bure kwakweri eti nime Anza maandamano kwenye ndege

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo Годину тому

    Tunaongozwa na vibaka waziba nafasi hawana uwezo kabisa pumbavu

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 2 години тому

    RP JPM

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri Годину тому

    SHIDA YENU HAMJAJITAMBUWA KAZI YAKUJINADI CHAMA KIKU CHAUPINZANI HALAFU HAMNA HIKMA AO BUSARA NENDENI ZENU MKAWADANGANYE WAJINGA WENZENU

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 години тому

    Chadema always chadema

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 2 години тому +1

    Poleni sana ...endeleeeni kuteseka tu ivo ivo sis tunatafuta mkate wetu wa kila siku huku ...

    • @sittamwigulu8395
      @sittamwigulu8395 2 години тому

      Mmh na wewe unaishi?

    • @StevenGendo-vx9jo
      @StevenGendo-vx9jo 2 години тому

      Majibwa mengine bwana, naww nae nijibwa

    • @thaddeojude7511
      @thaddeojude7511 2 години тому

      @@StevenGendo-vx9jo yaan waaache wakipate wanachokitafuta....sisi bora amani iwepo......tutafute pesaa

  • @Boazselemani1
    @Boazselemani1 2 години тому

    Crown media Camera Ni fireee

  • @MursalJuma
    @MursalJuma 2 години тому

    Hao maaskar wanafanya kaz ya kisenge mbn ametoka