UFAFANUZI JUU YA SWALI ALILOULIZWA SHEKH MUHAMMAD BACHU NA SHEIKH SAID KENYA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kwa mahitaji ya Qaswida Mpya, Tenzi, Mawaidha, Nasheed, na matukio mbali mbali ya kijamii, usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMEENT, SHARE ili uwe wa mwanzo kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
    Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu No.
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543
    ASANTENI NA KARIBUNI.

КОМЕНТАРІ • 169

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 Рік тому +6

    Tushajua ukweli mungu amuhifadhi Mohd bachu.

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 Рік тому +6

    Masheikh wa maulid elimu n zero kwao

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 Рік тому

      Sasa wewe uliyepost na mawahabi wenzako hadithi munkar maana yake ni hadithi chafu?hadithi gharib maana yake ni hadithi geni kabsaa,msituhadae mawahabi ilionekana wazi namna gani bachu hazipati kisha mnadai eti mwazipata, kisha huyu mzungumzaji eti wanazuoni hawakuzungumza kuhusu hadithi munkar?jaahil mkubwa

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 Рік тому

      Wanazuoni wa hadithi wamesifu hadithi zote na daraja zake,wacheni kuwadanganya watu,hadithi mawdhui wameiswifu kuwa ni urongo lakini munkar hawakusema eti munkar ni uongo,sasa nyinyi ni nani kusema hadithi munkar ni urongo.wapuzi wa kutupwa

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 Рік тому +2

    Mm ni mpenzi wa maulidi lakini namshkuru Allah Kwa kuniongoza katika Haki sitakwenda Tena kwenye maulid

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 Рік тому

      Usende maulidi Iakini mtume kusifiwa ni haki yake

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 Рік тому

      @@jumafaki2891 kusifiwa kwa mujibu wa mafundisho sahihi ya qur an na sunna sio unavo taka wewe.

    • @خطيبجيلان
      @خطيبجيلان 4 місяці тому

      Bado hujawa mpenzi wa maulidi wala mpenz wa mtume nenda wafate wapunzi wenzio wanao juwa kulopoka tu

  • @ahmedaljabri5891
    @ahmedaljabri5891 Рік тому +2

    Tumeelewa ila hawa watu wa maulidi wana tetea Biriyani tu na bahasha za watu

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 10 місяців тому +1

    aslm alkm akhi umesema kweli kabisa. halafu jibu silazima liwe sijui unaweza sema sijui au na jua au hilo swali la kitoto yote hayo niaina ya majibu bachu alijibu hilo swali haliko katika mazingira ya kielmu ndio kashajibu lakini masufi kwa uchache wa elmu au hila utapeli wa kimaneno ndio wakalazimisha eti sema sijui ili wajipe ushindi kiujanja.kama ni wa kweli baada ya bachu kuondoka ilikuwa fursa nzuri kwao kufumdisha umma kuhusu kutamka kwa wanyama bila mapambano maana walengwa si said au bachu laa ni umma lakini walishindwa

  • @KuwaitMimi
    @KuwaitMimi Рік тому +5

    Assalam aleikum,
    Ustaadh Bachu alipoulizwa hilo swali na akakosa kujibu alikua anajua anachokifanya, Lau angejibu hakuna iitfaq ya wanachuoni kukataa kutumika hadithi dhaifu katika vitabu vyao, ile hoja ya wanyama kutamka ingekuwa imeisha maana ni hadithi hio. Ulamaa walikubaliana kutumika hadeeth dhaifu katika fadhailul aamal, kwa mfano Mwanachuoni mkuu wa Saudia Sheikh Fawzan aliulizwa swali hilo hilo kwamba mtu anaweza kutumia hadeeth dhaifu? Akajibu ndio anaweza kutumia katika fadhailul aamal.
    Pili kama Ustaadh Bachu angejibu haikubaliki katika sheria ya mustalah hadeeth kutumia hadeeth dhaifu basi wanachuoni wote wasingesalimika kwa maana wanatumia hadeeth dhaifu katika vitabu vyao. Hakuna ubishi hapo ni kukubali kusoma na kuelewa tuu.

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому +1

      Saidi ndie alikosea kuuliza swali fuatilia munaqash vizuri kka hakuuliza kuhusu kutumia hadhithi dhaifu.

    • @feysalsalum2018
      @feysalsalum2018 Рік тому

      Ust Saidi hakukosea kuuliza swali ila Bachu alipaswa kuthibitisha Kwa kujibu Kwamba Hadithi Munkar ni kweli Uongo au Sio Uongo la kama hivyo sivyo alitakiwa kusema Sijui...Na Bachu kutojibu kwake SI kama alikuwa hajui ila aliogopa kujibu Kwa sbb angedhihirisha Ujinga wake wa kuwaita wanachuoni waongo..Kwa sabb Jibu sahihi ni kwamba Hadithi Munkar Sio Uongo ...
      Na ndo maana Ust Sidi Alisimamia hapa hapa Ili amshike vizuri na Bachu alishajuwa jambo hilo Kwa Hiyo baada ya kuona Hana ujanja akaamua kuvunja Munaqasha...

    • @abdulhamidbakar2461
      @abdulhamidbakar2461 Рік тому

      ​@@iddimohamed254 kumbe ww zuzu kweli hem karejee kumsikilza mbn vichwa ngum nyie

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому

      @@abdulhamidbakar2461 zuzu n ww usietaka haki wataka mgoma na misikii tushawajua kitambo.

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому

      Bachu ni msomi mpende msipende.,😏😏

  • @hassanmussa2859
    @hassanmussa2859 9 місяців тому +1

    Wewe mchambuzi mjinga sana

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 Рік тому

    Watu wa maulidi zingatieni hapa: IKIWA HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA KRISMASS (KUZALIWA YESU), hivyohivyo HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA MAULIDI (KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM), Nyinyi na wakristo ni kitu kimoja Munafuata uzushi, Musiwasemange Wenzenu

  • @omaryayubu7037
    @omaryayubu7037 Рік тому +1

    Wewe hunaelimu kasemeni mawahabi hamna ilimu nyinyi pumbavu zako fala

  • @salimkhatri8064
    @salimkhatri8064 Рік тому

    Bachu kajibu kwa kaeleza kuwa itifaki ya Wanazuoni wanatoa hukumu kwa MPOKEAJI wa hadeeth na siyo MSIMULIAJI wa hadeeth. Iwapo hadeeth inasimuliwa na MTU, itifaki ya Wanazuoni ni kutoa hukumu kwa KITU kilichosimuliwa na siyo MTU aliyesimulia. Na iwapo hadeeth impokelewa na MTU basi itifaki ya Wanazuoni wanatoa hukumu kwa MTU aliyepokea hiyo hadeeth. Ndiyo maana Bachu pale mwanzo kabisa aliweka wazi kuwa wako pale kwa maudhui ya mnaqasha siyo kumjadili Jaffar Barzanji (MTU) bali kujadili kilichoandiandikwa kwenye kitabu cha Barzanji (KITU).

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 11 місяців тому

    Wacha kelele wewe.Kama yeye kweli angelisema mrongo Barzanji sababu sikuzote anasema Barzanji mrongo.

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 Рік тому +1

    MAWAHABI NI MAMBUMBUMBU SANA KUMBE 😂

  • @muhamadikombo4976
    @muhamadikombo4976 Рік тому +4

    Maashallah mungu akuhifadhi sheikh Muhammad Bachu 🤲

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 2 місяці тому

    Ajajibu mjinga wewe achaupumbavu mifano yang,ombe achaupumbavu

  • @RashidRumba-c3g
    @RashidRumba-c3g 5 місяців тому

    Swali halipo kwako yy pekee...mwenyeye kakufuru ata kiarabu na hajui ata kuandika kiarabu....

  • @shabaniumande
    @shabaniumande Рік тому +1

    Tuko South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 tumepata faida kubwa sana
    Maulid ni bidah kabisa na yataendelia kuwa bidah
    Ilio anzishwa na maadui wa maswahaba mashia

  • @HassanKofa
    @HassanKofa 11 місяців тому

    Sheikh wangu Sheikh Muhammad Bachu kasoma hadithi na kukariri natija za hizo hadithi pasina kusoma elimu ya mustwalah hivyo anaombwa yeye na wengine mfano wake waende kusoma ilmul mustwalah

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 9 місяців тому

    aslm alkm ndugu yangu nakukukumbusha bachu alipoulizwa swali. ALIJIBU yakuwa hajaona pahala wanazuoni wanamzunguzia barzanji. yaaani wanazuoni hawazungumzi kuhusu mtu. wanazungumza kuhusu kitu.kwa Wales wanaosema eti bachu hakujibu ndio jawabu la bachu nawala silazima aseme SIJUI said ilikuwa atosheke ná jibu la bachu halafu watu waende mbele lakini said kulazimisha eti sema sijui huo ni utoto. pili katika swali la said hakuwa anaitetea hadh Bali alikuwa anamsafisha barzanji kama alikuwa anatetea hadith basi angeichambua hadith yenyewe kwa undani kabisa mpaka bachu ajue kweli wanyama walitamka lakini kinyume chake alitakakujua kujua kama barzaji ni muongo

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 Рік тому

    Kama swali hilo halipo basi yeye bachu ndiye mkosa kwanini aseme kwenye barzanji kuna uongo wakati kumbe huwezi kuthibitisha uongo wa hadithi dhaifu?

  • @Swalehthabit-gb9ei
    @Swalehthabit-gb9ei Рік тому

    Km nyie mnamuamini huyu bachu ndie😂shekh wenu na Ako hvo jee nyinyi nitakuaje . Safishamazingira na muje mambrui musomeshwe muache ushindani

  • @RashidRumba-c3g
    @RashidRumba-c3g 5 місяців тому

    Wewe nae kalale tuu angesema hajui angeonyeshwa jibu###sema sijui##

  • @ZahorSaid-ff8cf
    @ZahorSaid-ff8cf 3 місяці тому

    km maulid ikkuwa n hak asende liacha mtume wet kufanya au kufundisha kuwen na akl nyny mucfate mkumbo t mkawa mwazema babu kfanya voo 😂😂😂 achen ujnga tusomeni tujuwe hak iko wap na batli iko wap cyo babu kafanyaa 😂😂😂 aya km babu kafanya moto una tusubr uko au ndio munashndwa kusema ukweli mtakosa kula kula t

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Рік тому

    Ww Huna ilimu swali hajajibu vichwa vyangombe vp ww unaeleta video toa swali lako la msingi ngombe moja ww

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c Рік тому

    SUALI NI HILI:
    JEE INAFAA KUMUITA MUONGO MTU ALIETUMIA HADITHI ZA MUNKAR KTK KITABU CHAKE??
    WALIOTUMIA HADITHI ZA MUNKAR KTK VITABU VYAO WAPO WENGI HAWA TUWAITE WAONGO NAO??

  • @nassorrajabujuma-vj5cl
    @nassorrajabujuma-vj5cl Рік тому +2

    asalam alaikum waislaam tusomen hawamasufi watatupoteza jaman wasia huu masufi niwatu wamagoma

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k Рік тому

    Anakiburii Cha elimu uasitake kumtetea anajiona Kila kitu anajua kusema hajuii anaona aibuu ni ujingaa huooo ! Wewe na huyoo Muhammad bachu wako nyote wapuuuziii musitake visingizioo

  • @Airport_view
    @Airport_view 2 місяці тому

    Wewe wampamba sana huyu bachuu kaingia kwenye mtego panya usimpaishe sanaa

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 Рік тому

    Ikiwa ibara tu anazikosea shekh wakutegemewa ilmu chache wafuasi nao pia hivyo hivyo ndio maana salafi wakubwa wa mombasa hawakuchangia hili wala kulikubali kwa sababu mwenzetu amekuja kutafuta maslahi amechangisha amefaulu atarudi yatakwisha tutasonga mbele

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 Рік тому

    Chaajabu ni kitu kimoja.kama shekh Said alikua na jibu kwann hakujibu na kumuelekeza majibu ya swali nililokuliza ni hayaa hapo tungesema bachu kashwinda kujibu. Jaman mm nimiongon mwawatu nilioacha maulid

  • @AbdillahAlly-q6j
    @AbdillahAlly-q6j 11 місяців тому

    Et!! mwanangu kwani wewe ni baba yake au mama yake? Acha kujipendekeza au umetumwa useme hivyo

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 Рік тому

    Kwa hivo hadithi munkar.
    Ni uwongo umeipata wapi ? Pata ilimu kwanza.

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 Рік тому

    Nawewe mjinga tu kwani hizo hadithi zimegawanywa na nani?mumeshindwa mwatoa povu .sheh wa vichwa 5

  • @AbdulKadir-h7z
    @AbdulKadir-h7z Рік тому

    acha ujinga na ww unamuangamiza bacho mpuunzi ww Cc mbn ilo jawabu la kwanza amelikata et me sju kabadil kajib vyengine

  • @alyamuhammad1172
    @alyamuhammad1172 Рік тому

    Na ww pia ukasome tutapiga twariiiii machungu yenu ni maulidi mengi hamupingi ila maulidi ndio kupinga kasomeni mujue mahaba yamtume hamutotueza

  • @nassoroboss1472
    @nassoroboss1472 Рік тому

    Swali la sheikh said halina msingi wowote katika dini na jawabu lake ni ,,,,,"Hadith ikiambiwa ni munkar aimaanishi ama kuitwa kuwa ni uongo bali huwa haizingatiwi ama kutumika kama dalili",,,,,,,

  • @ZahorSaid-ff8cf
    @ZahorSaid-ff8cf 3 місяці тому

    masheikh wa mauldi Wana fata kula kula t awo wanaiyacha hak Kwa kufata kula t mackn nyii mngu awaongoze ishaallah

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Nyny Maghurafi msipotubia mnatafuta utesi na ALLAH KUFANYA MAMBO MSIYOAMRISHWA.

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su Рік тому

    Yeye kasema hadith hio ni munkar akaulizwa ikiwa ni hadith munkar jee wanazuoni wamesema vipi ikiwa mtu atatumia hadith munkar aesabika ni muongo.tanga aliambiwa kuwa mtume alifuta ukafiri kwahio ikiwa mtume afuta ukafiri na ukafiri ni madhambi kwahio mtume afuta madhambi bachu alipo juwa hilo swali lina kifungu cha kikanuni sharti kijibiwe bachu alisema wanazuoni wa hadith wapi wamesema kuwa mtume afuta madhambi na hadith inasema mtume afuta ukafiri

  • @ZubeirShomar
    @ZubeirShomar 3 місяці тому

    Haya ndio mambo tusiyo yataka ww kama kidume wa elimu omba mjadara na shekh said na ww uji nyee tukuone 😂

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 Рік тому

    Acha kufanya watu wajinga kwan hukmu za hadithi wanaozitaja ni watu gani kama sio wanawachuoni wa ilmu ya hadithi?? Swali bado lipo palepale aseme ni wanawachuoni gani wa ilmu ya hadithi kwa ijmaa yao wamesema mtu akitaja hadithi munkari huitwa muongo au maneno ya hiyo hadithi huitwa ni ya uongo??

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 9 місяців тому

    Allah akubari kwa ufafanuzi wako mzuri wallahi bachu alijibu lakini hawa walitaka bachu aseme sijui. kwanza yatakiwa hawa masufi wafahamu majibu yako namna mbali mbali unaweza sema sijui au hilo swali lakitoto yani sijawahi liona kwa wanazuoni yote hayo niaina ya majibu tosheka naulivyo jibiwa halafu twende mbele lakini said akaamua kukazana sema sijui wallahi hii niaina fulani ya uwoga huko mbele hawezi kujibu kuhusu kutamka kwa wanyama. yaani nimbinu walitumia kukwamisha mjadala.halafu ikumbukwe mada ilikuwa ni uwendelevu wa mada ya tanga sio kumjadili barzanji lakini kwa mtu mwrnye kutafuta haki aliona shekh bachu alikaa katika mada lakini said out off mada

  • @rashidkhamis8282
    @rashidkhamis8282 11 місяців тому

    Kauli ya hakuna ktk dini haipo ispokua kuna sijui
    Na weww ni muongo pia kwa sababu wanachuoni wameongea kuhusu hadithi dhaifu alikua aseme tu wanachuoni wa mutalahu wamesema kuwa anaetumia hadithi dhaifu ni muongo au alichokisema ni uongo basi lingetosha kuwa jibu au angesema sijui tu

  • @SaidiPepo
    @SaidiPepo Рік тому

    Hata mkitwtea vp Bachu kakimbia Hana ilmu juu ya zaidi ya kuropoka tu Kama angejibu sijui,walivyosema angeelekezwa wangeshindwa kumuelekeza hapo ndo tungejua kuwa yupo sahihi madhali kakimbia kasjindwa na Hana jipya JAAHILI MKUBWA AHLULBIDAA alievaa nguo ya SUNNAH

    • @ismaelWashe
      @ismaelWashe Рік тому

      Aslm alykm? Ukweli tuache ushabiki kwenye dini, huyu mtoto wa bachu kwenye anaelekea atavuruga umoja wetu , namaanisha wahabi na twariqa watakua mfano wa paka na panya,

  • @yunusramadhan-vp1bc
    @yunusramadhan-vp1bc Рік тому

    kama hakuna kulazimishana katika dini acheni fujo la watu wote kufuata nyendo za salafi fanyeni mambo mengine watu wanazini, wanaiba, nk

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Рік тому

    Weka wewe munakasha misitafute kiki kwa mtandao onesha dalili Wacha maneno matupu tuuuu

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 Рік тому

    Wewe kama wajua si utujibie ama watafuta kujulikana pia wewe. Kisha pili ni uwongo ulotumika kuwa kuna watu wamejitokeza hawataki maulid mpaka leo hawajaonekana tatu si vibaya kusema sijui iwapo hujui hata imamu abu hanifa aliwahi kusema sijui na hakushuka daraja.

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 Рік тому

    ushashiba ugaliwako na dagaa yanakutokatu hatuoni ulichokiongea cha maana

  • @mdoekibai5063
    @mdoekibai5063 10 місяців тому

    wee bakhero siuliambiwa ukae kwenyekiti umsaidie mbn ujakaa

  • @RamaRashid-t4h
    @RamaRashid-t4h 11 місяців тому

    😂😂 ww Ndio unatengeneza kama hajui angeli sema

  • @muhammadmehraaj
    @muhammadmehraaj Рік тому +2

    Fahamu swali kwanza c kuzungumza tu

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 7 місяців тому

    Mimi naitwa Amissa binti maulidi 😅 ndo jinaalilopewa baba yangu kipindi aliingizwa dini na watu wa maulidi.ila si mtu tena wa maulidi.jamani maulidi bidaaa

  • @salimujuma-kb7wv
    @salimujuma-kb7wv 11 місяців тому

    Kumbe wewe unaelimu mbona ukwenda kutetea hoja unapiga kelele

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 7 місяців тому

    Tuliona haqi sheikh kila point tuliona ujanja wao wamswali

  • @doktahajejia
    @doktahajejia 10 місяців тому

    Sisi hatuezi fanyiwa ujanja na bachu kama hajaui alikwa aseme2 sjui ajibiwe

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 10 місяців тому

    Yeye bachu amstaki imam barzanji aka kua hakimu kisha akamtolea hukmu ile hukmu aliye toa ndiye aka ulizuwa suala enda safa wal marwa hawezi ka jibu

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 11 місяців тому

    KWANI BACHU KAMA HAUJAWAI KUONA KITABU AMA KUSOMA HICHO VITABU NDIO ASHAKUWA MWANACHUONI MKUBWA. KUMBUKA WAFAUQA DHUL ILMI ALIIM.

  • @hantiroadhan3241
    @hantiroadhan3241 11 місяців тому

    Huyu mchambuzi Hana muelekeo kabisa

  • @salehkifaya392
    @salehkifaya392 Рік тому

    Kumbe na wewe ni kama huyo bachu halafu nyinyi mawahabi tatizo lenu uwelewa hamna na wewe huna ilmu

  • @rashidmohd115
    @rashidmohd115 Рік тому +1

    Na ww huna elimu usitupotezee muda

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +2

    Kweliiiii masufi ni wababaishaji wa uislamu wetu

  • @JumaMohd-y4v
    @JumaMohd-y4v 6 місяців тому

    Hao mashekhe wa maulid ni mtihan mtupu

  • @HemedAbdalla
    @HemedAbdalla Рік тому

    Mawahabi mnataka kila mtu mumburuze...Kwa iyo hukmu atowe Bachu ?
    Lete wanazuoni wanaosema kutumia hadithi dhaifu ni uongo...?
    Et hakuna sema sijui ufundishwe km lipo suali na wanazuoni wamekubaliana hukmu za kutumia hadithi dhaifu

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 11 місяців тому

    Wewe unatumalizia bandle Bure

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 Рік тому

    Ameshindwa bwana acha wewe uongo wako

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 5 місяців тому

    Watu wa bidah ya maulid ni waongo sana kabisa

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Рік тому

    Sasa ww wakubali yesu mwana wamungu Fala ilimu huna

  • @akambi482
    @akambi482 Рік тому

    Soma kwanza mpumbavu wewe

  • @SaidhasanOmary
    @SaidhasanOmary Рік тому

    Engesema hajuwi asime mtuu mungoo haliyakuwa hajuwi maneno yabarazanje mtukubwa sana shee jafari alikuwa msikitimtume madina nalimu yakutisha bachu hanaelimu na mimi nawambia bachoo atakumbwa na mitihani kuwazuliyaa wachuoni niwangoo nakutupa kilekitabu balaalitamkuta kitabu chenye maneno. Yamungu.akitupa wamepita wachuweni wakubwa hakutowa makosa wenzi nazni watu walibea elimu mpakazungu mza nawanyama ijee kuwa mtotodogo bachu yeye aseme hajuwi maneno yabarazanje asememungo alikuwa hajuwi naengesema sijuwi engefundishwa shee saidi mana tanga alifundishawa nakapinga sasa huyumtu atafutajina tuuu atajwe hanaelimu

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 11 місяців тому

    FAHAMU ZA BACHU NA HUYU MCHAMBUZI ZIKO 0%

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 Рік тому +1

    MWAMBIYE AKASOME ALIZIDIWA BADO ILMU YAKE NDOGO MPELEKE MAMBRUI AU LAMU AKASOMESHEE

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Рік тому

      @abdulkhalifan akafundishwe Majazi +Munkar ust said alinyima watu elimu swali liko pale pale jee wanyama waliongea angefundisha watu wajue kma wanyama waliongea

  • @kasumunigwasa
    @kasumunigwasa Рік тому

    ما فرطنا من كتاب شيء

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Рік тому +1

    Safi sana

  • @IbrahimAllyDulle
    @IbrahimAllyDulle 3 місяці тому

    SEMA SIJUI

  • @IsmailiallyIsmaili
    @IsmailiallyIsmaili Рік тому

    Ww huji elewi

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 Рік тому

    Wejinga sana

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 Рік тому +1

    NENDA WEWE UKAPAMBANE NA USTADH SAID

  • @Swalehthabit-gb9ei
    @Swalehthabit-gb9ei Рік тому

    Sasa mwanangu ungenda ww ukajibu

  • @saidsaleh4086
    @saidsaleh4086 Рік тому

    Shida ya mwanao ana kibri na anajifanya anajua sana. Sasa alitakiwa ajibu hilo swali kama hajui aseme hajui ili afundishwe. Kwasababu alishasema bar zanji ni muongo. Mpaka kumwita mtu muongo kuna hukmu zake sio unahukum. Uongo! uongo tena aliongeza ni mushrik! Ujahili kabisa huo wa Bachu.

  • @rumaythaseif5613
    @rumaythaseif5613 Рік тому

    hili swali km c mtu wa elimu ni kazi sana kujua km hakuna swali na hivi ndivyo wanavyoburuzwa watu wa twariq c watu wenye kufatilia mambo km masheikh wao wamefurahi kw swali la kipuuzi hili jee wafuasi watakuaje tizama ugumu uliopo. Oh! Allah ilinde dini yko hakiki wachafuzi wa dini hii wamekua wengi ameen?

  • @Ibrahim_Husseina_Badawiy
    @Ibrahim_Husseina_Badawiy Рік тому

    Swali lina jib lkn akijib ndy ameshindwa kwahio alitafuta sabb ya kutojib .mfano nikulize hujambo unambie swali hilo hakuna ndy alivojib huyo bachu asojua ata hadith gharib na munkar maana yake

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому

    Bachoro hajajibu wala alikua hajui lakujibu swali halikujibiwa nyinyi hamna ilimu añgejibu mbona kakimbia bachoro aliona saidi ni maji mazito alijua kua hamuwezi bachoro njia pekee ni kukimbia

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 Рік тому

    Jibu hajajibu ki ukweli sio ujanja bachu hana ilimu swali alikua ajibu wanazuoni wa mesema nn yy alikua aseme hajui alafu umsikize yy angelitoa jibu alafu aulizwe swali la kielimu ww unaongea pumba

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Рік тому

    Acheni kuongopea watu hakuna cha mfano yani mnawapoteza watu hivi km hatuja minutes mtume tuwasifu yu

  • @Klement84
    @Klement84 Рік тому

    Mkutano kwa mungu mkwelihuko atajulikana olewake anaetangazadini kwa ubishani wachamungu mamboyao mungu walikua wanakaa faragha kumtakaushauri mungu na wanapatata majibumazuri

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su Рік тому

    Acha ujuha kaangalieni mjadala wa tanga yeye pia ulitaka kujibiwa swali lenye mfano kma aliulizwa mbna yeye hakutakq kujibu hyu ni muhuni ktka dini

  • @habibumadege8187
    @habibumadege8187 Рік тому

    Mtoa audio uzungumze na Yale makosa ya bachu ktk ibara tuone,

  • @MohamedMwafujo
    @MohamedMwafujo Рік тому

    Ningumu kumpata mtu wa Sunnah kurudi katika bidaa,lakini makhurafi kuingia katika Sunnah yawezekana

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 Рік тому +1

    😂😂😂😂 mbna alijikojolea hyo jamaaa wenu hhhhhhh amejibu aje

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 Рік тому

      m/mungu anasema ktk quran kua hakika wale ambao wanao wasema waumini kwa mambo maovu na machafu wanaadhabu kali kwaio tuchuke sana tutakuja kulizwa juu ya haya tunayoyasema.

    • @abdulhamidbakar2461
      @abdulhamidbakar2461 Рік тому

      ​@@jumamahmoud9271 alipo kua anafanyiwa kejeli shekh sabas ww ulisema hili?

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su Рік тому

    Nenda kaangalieni mjadala wa tanga huyo bachu aliulizwa swali na yeye alijibu hivyo hivyo acha ujinga weweee

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k Рік тому

    😂😂😂 kama rahisi mbona hakulijibuu ? Achaa unafik na wewe

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 Рік тому +1

    Wewe mchambuzi mjinga sana, hujuwi ata unachokiongea,,, bachu baada ya kubanwa akajibu kwamba "hajawahi kuona pahala popote wanazuon wakisema Kadha...kadha kuhusu hilo suali aliloulizwa. Ndo maana sheikh akamwambia aseme "sijuwi" kwa7bu ametoa ufafanuzi wa neno "sijuwi" lkn hilo neno hakutaka kulitamka. Kwahyo kwanza alitakiwa aseme "sijuwi" Kisha ndo atowe hyo sababu kwanini hajuwi,,, ndo hapo Kisha engesema ""kwasababu sijawahi kuona pahala popote wanazuoni wakisema kadha...kadha..., kuhusu hilo suali alilloulizwa"". Kajifanya mjanja ila kwa wajinga kama nyie musiojua kiswahili ndo munashindwa kuelewa.

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 Рік тому

      Bachu kajibu kwa kaeleza kuwa itifaki ya Wanazuoni wanatoa hukumu kwa MPOKEAJI wa hadeeth na siyo MSIMULIAJI wa hadeeth. Iwapo hadeeth inasimuliwa na MTU, itifaki ya Wanazuoni ni kutoa hukumu kwa KITU kilichosimuliwa na siyo MTU aliyesimulia. Na iwapo hadeeth impokelewa na MTU basi itifaki ya Wanazuoni wanatoa hukumu kwa MTU aliyepokea hiyo hadeeth. Ndiyo maana Bachu aliweka wazi kabisa kuwa wako pale siyo kumjadili Jaffar Barzanji (MTU) bali kujadili kilichoandiandikwa kwenye kitabu cha Barzanji (KITU).
      Ngumu kuelewa hii kitu iwapo aidha akili imekaa kiushabiki ama akili umeshikiwa.

    • @niyakhalid5650
      @niyakhalid5650 11 місяців тому +1

      Wewe ndio mjinga kabisa achana na Bid'a ndugu yangu

    • @Abdallah-e7o
      @Abdallah-e7o 11 місяців тому

      Sasa hajawahi kuona kuona popote kwani yeye bachu ndio ana elimu ya kujua kila kitu ?

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 10 місяців тому

      😂😂😂😂Yaani Said kampangia Bachu namna ya kujibu kuwa ni lazima aseme 'sijui' ila yeye aliambiwa rekebisheni swali alikataa kuwa asimpangie namna ya kuuliza ila yeye ndio anatakiwa kumpangia namna ya kujibu. Hebu Pima akili yako japo.
      Na amdshajibiwa kuwa hajawahi kuona wanazuoni wa Hadith wamesema nini kuhusu hilo. Hapa automatically Said alitakiwa kuelewa hilo jibu ni Sawa na mtu kusema hajui. Yeye angeendelea kutoa darasa Sasa kuwa ipo na wamesema kadha wa kadha kuhusu jambo hili.

    • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
      @Alrisaalaturrahmahislamiccente 9 місяців тому

      wewe pia umekiri eti bachu baada yakubwana AKAJIBU kwamba hajawahi kuona....,. sasa sihilo ndio JIBU lake kweni nilazima aserme sijui?

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 Рік тому

    Sikulazimishana ni ilimu ww ushabiki tu ila bachu akasome jibu ataliona unaongea sana wala ilimu huna

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 Рік тому +2

    SEMA SIJUWI

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 Рік тому

      sheikh said alikataa kufundishwa kuliza swali haikua tatizo ila sheikh muhamed kakataa kufundishwa kujibu swali imekua tatizo

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 Рік тому

      Mlikua mumemtega akawaona bachu ni mnoma tushawajua tunacheki tu
      ..

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 Рік тому

    Hatudanganyiki sisi tuna macho yetu tumeona kila kit
    Alimwambia aseme hajuw ili Ustadh Said afunguw vitabu kumuelimish Bachu . Hio ndi sabab Ustadh Said kumwambia Bachu aseme hajuw ili apate kuendelea mbele kutoa elimu.

    • @niyakhalid5650
      @niyakhalid5650 11 місяців тому

      Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli watu wa Bid'a hamna lenu

  • @mohammadjaffar2442
    @mohammadjaffar2442 Рік тому

    Wewe kale mogokaa ilmu ya kula mogokaa ndio yako

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj Рік тому

    Tutasoma maulid na kumsifu mtume

  • @shilingi-Ahmadi
    @shilingi-Ahmadi Рік тому

    Angesema sijui

  • @yunusramadhan-vp1bc
    @yunusramadhan-vp1bc Рік тому

    acheni fujo wewe na mwanao nyote hamjui

  • @abdurahmanabdallah2403
    @abdurahmanabdallah2403 Рік тому

    KANYOE WATU CHINJA ZA KIYAHUDI

  • @ShabanMohamedi-lb8hs
    @ShabanMohamedi-lb8hs Рік тому

    Wewe na Bachu ni kitu kimoja