MUNGU BABA MUUMBAJI akubariki akulinde na kukutunza akutendee mema siku zote za maisha Yako wewe na familia Yako ROHO Mtakatifu azidi kujifunua kwako tupate chakula hiki kinachoshuka kutoka mbinguni Amen
Mungu nisaidie kuingia gharama bila kujali hali ya kujifunza seriously na kutendea kazi haya mafundisho. Aaameni . God Bless u alot my Teacher Tengwa. Bwana asikupungukie . Amima!
Hakika napondwapondwa na kusagwasagwa na kufikichwa.kila upande wa nafsi ,roho na mwili wangu. Sio masihara. Mungu nisaidie niwe Seriuos sawasawa. Mungu aendelee kukutunza Mtumwa wa Kristo. Aaameni. Mungu wangu nisaidie mm Niendelea kupokea nguvu ya mabadiliko na matengenezo ya kiroho kwa kumaanisha.

Aaamen ubarikiwe sana Mtu wa MUNGU, ubarikiwe na BWANA amen
Mungu nisaidie kuingia gharama bila kujali hali ya kujifunza seriously na kutendea kazi haya mafundisho. Aaameni . God Bless u alot my Teacher Tengwa. Bwana asikupungukie . Amima!
Bwana tutengeneze na ile kweli yako utuhurumie na utusaidie sisi wanadam kwa nguvu zako ewe Roho wa Mungu
Yesu aeñdelee kukutunza Mwl Tengwa.
Ameeen Ameeen barikiwa sana mtumishi wa mungu.
Hakika napondwapondwa na kusagwasagwa na kufikichwa.kila upande wa nafsi ,roho na mwili wangu. Sio masihara. Mungu nisaidie niwe Seriuos sawasawa. Mungu aendelee kukutunza Mtumwa wa Kristo. Aaameni. Mungu wangu nisaidie mm Niendelea kupokea nguvu ya mabadiliko na matengenezo ya kiroho kwa kumaanisha.
Nifinyange upya Yesu,ktk safari hii ya mbinguni.
Amen,Mtumwa wa kristo.
Amina mtumishi wa Mungu
Amen
God is good all the time
Amina