Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
mashallah .. huyo kijana yako anaitwa nataka kumfollow pia
Hongera Sana Brother,ntungie langu shahiri
Uko vizuri mwalimu..mwalimu wa Hassani. Love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Maashallah hino familia Lina kipaji kizuri kweli
Naskia rah sanwallah km ningekuwa hpo cjui ingekuwaj hii frah yangu😍😍😍😍bg respect my uncle mwagrash en my dear hamad
Karibu my dear
Hongera sana Baba na Mwanawe, Allah awahifadhi azidi kuwapa hekma na elimu zaidi ya ushairi ili mupate kuhuisha vipaji Ameen 🤲👍❤
Amiin inshaAllah
Aaamiin Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.Allah akuhifadhi nawe Rafiki yetu
Mashallah brother shairi zuri sana ongera kwa kipaji Allah akulinde na maasidi🤲🤲
MashaAllah Jazaakumullahu Khairan insha'Allah 🤲🙏
Shairi Safi sana keep up mwagarashi family
Thanks sana
Vipaji adimu wallah... MaaShaaAllah.. MaaShaaAllah
Shukran sana kaka
Mashaallah mashaallah mashaallah....heko kwa MWAGARASHI family
Asante kaketu
Hahahaha. Masha Allah ❤️ masha Allah ❤️ mwagarashi family. Kazi nzuri ,mola awafungulie baraka zaidi.
Mash'Allah vpii na mm nawezaje kujiunga n nyinyi mwagarashi kwa mashairii
0740733940
Huyu bwana Ibrahim Yuko wapi Dady baada ya kuwasiliana naye?
@@hamisimwagarashi9501 niko mwalimu mwagarashi
You are talented Mashaallah #like father like S
Kumbe familia nzima. Mashallah❤
I'M much blessed this man real he is inspiring the young generation with a good .motivation be blessed mr mwagarashi tuko pamoja
Kwa niaba ya wanangu,ningependa kukutana nawe.Shukrani
Mwanao pia Yuko fiti Sana
Mie naskia raha jmn🤗🤗🤗🤗
Maupendo Tz
Tamu sana Aisee ubarikiwe na uzidi Ngaa katika Utunzi wa Ushairi
Asante kaka, , Amiin
Mie fan wako frm Ld
Asante kwa support yako mpendwa
Fantastic hii.... Maa shaa Allah....
Thnks brother
This family is blessed. MashaAllah. Allah awalinde. Support from 🇺🇸
Alhamdulillah, , , Asante sana dada mpendwa, , Nawe Allah akujalie kheir zaidi
Keep up boy
kazi nzuri sana mashaallah
Ahsante dada mariam
Hahahaha! Baba na mwana wametisha kinomanoma lillah. Great minds always think alike! Good job...!!!
Thanks brother
@@hamadimwagarashi6599 My pleasure,kaka.
Daaaaaaah kama nzuri nzuri
Asante kaka
Hongera
Ikibamba sanaa wapii nduru weeeee🤗🤗🤗
Thnks dadake
Usitumike my friend
Wazo zuri, , , swali nikuulize, nitapata wapi pesa? Ama vipi kipaji hiki kitanisaidia? Ama watanitambua vipi viongozi?
Ma shaa Allah hii ilikuwa moto sana
Thnks kaka
Big up blessed family ,creativity Of high level
Asante sana ndugu yangu
Mashaallah Mwagarashi's family 😍😍😍
Asante
Wow wow...
Mashallah mashallah mashallah tabarakallah 🌹
Santii😍
Hahaha...eti staki wageni.....Safi sana
Shukran sana🙈🙈
Huyu bingwa Mwagarashe ni bei gani jamani?
Uko sawa
moto
MashaAllah 💝
Umetrendy
Nafurahi kuskia hivyo dada
Joho anasemaje
My friend😂
Manshallah tabaraka Allah
Shukran
Mwagarashi hekoooo!!!
Talent 💕💕
Thnks jacky
Mashairi yametulia ila dj kazingua zaidi na kelele tele.
Asante kakangu, , , nimempa mshororo wake😊
@@hamadimwagarashi6599 nmependa sana
Familia imesheheni vipaji
Mashaallah
What's wrong with the dj though.
He is disturbing😂😂😂
Masha Allah
Asanti
Shairi la VITUKO VYA DALADALA | Mapenzi, wizi, na ALLY MASHAIRIua-cam.com/video/aP90gvbTFEM/v-deo.html
Vyema
@@hamadimwagarashi6599 kaka ntungira sharing rangu
@@bibibakari7020 sawa dada, , nipigira tubishe, , 0740733940
Kongole ndugu, Mwagarashi.
Ahsante ndugu mpendwa
🔥🔥🔥🔥💖💖
🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
+255
heko
Ahsante kaka
kwa hakika...heko kwa lolote ulifanyalo
Ahsante kakangu
😂😂
0714741371
Masha allah
MashaAllah
mashallah .. huyo kijana yako anaitwa nataka kumfollow pia
Hongera Sana Brother,ntungie langu shahiri
Uko vizuri mwalimu..mwalimu wa Hassani. Love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Maashallah hino familia Lina kipaji kizuri kweli
Naskia rah sanwallah km ningekuwa hpo cjui ingekuwaj hii frah yangu😍😍😍😍bg respect my uncle mwagrash en my dear hamad
Karibu my dear
Hongera sana Baba na Mwanawe, Allah awahifadhi azidi kuwapa hekma na elimu zaidi ya ushairi ili mupate kuhuisha vipaji Ameen 🤲👍❤
Amiin inshaAllah
Aaamiin Aamiin Aamiin yaarabil aalamin.
Allah akuhifadhi nawe Rafiki yetu
Mashallah brother shairi zuri sana ongera kwa kipaji Allah akulinde na maasidi🤲🤲
MashaAllah Jazaakumullahu Khairan insha'Allah 🤲🙏
Shairi Safi sana keep up mwagarashi family
Thanks sana
Vipaji adimu wallah... MaaShaaAllah.. MaaShaaAllah
Shukran sana kaka
Mashaallah mashaallah mashaallah....heko kwa MWAGARASHI family
Asante kaketu
Hahahaha. Masha Allah ❤️ masha Allah ❤️ mwagarashi family. Kazi nzuri ,mola awafungulie baraka zaidi.
Amiin inshaAllah
Mash'Allah vpii na mm nawezaje kujiunga n nyinyi mwagarashi kwa mashairii
0740733940
Huyu bwana Ibrahim Yuko wapi Dady baada ya kuwasiliana naye?
@@hamisimwagarashi9501 niko mwalimu mwagarashi
You are talented Mashaallah #like father like S
Kumbe familia nzima. Mashallah❤
I'M much blessed this man real he is inspiring the young generation with a good .motivation be blessed mr mwagarashi tuko pamoja
Kwa niaba ya wanangu,ningependa kukutana nawe.
Shukrani
Mwanao pia Yuko fiti Sana
Mie naskia raha jmn🤗🤗🤗🤗
Maupendo Tz
Tamu sana Aisee ubarikiwe na uzidi Ngaa katika Utunzi wa Ushairi
Asante kaka, , Amiin
Mie fan wako frm Ld
Asante kwa support yako mpendwa
Fantastic hii.... Maa shaa Allah....
Thnks brother
This family is blessed. MashaAllah. Allah awalinde. Support from 🇺🇸
Alhamdulillah, , , Asante sana dada mpendwa, , Nawe Allah akujalie kheir zaidi
Keep up boy
kazi nzuri sana mashaallah
Ahsante dada mariam
Hahahaha! Baba na mwana wametisha kinomanoma lillah. Great minds always think alike! Good job...!!!
Thanks brother
@@hamadimwagarashi6599 My pleasure,kaka.
Daaaaaaah kama nzuri nzuri
Asante kaka
Hongera
Ikibamba sanaa wapii nduru weeeee🤗🤗🤗
Thnks dadake
Usitumike my friend
Wazo zuri, , , swali nikuulize, nitapata wapi pesa? Ama vipi kipaji hiki kitanisaidia? Ama watanitambua vipi viongozi?
Ma shaa Allah hii ilikuwa moto sana
Thnks kaka
Big up blessed family ,creativity Of high level
Asante sana ndugu yangu
Mashaallah Mwagarashi's family 😍😍😍
Asante
Wow wow...
Mashallah mashallah mashallah tabarakallah 🌹
Santii😍
Hahaha...eti staki wageni.....Safi sana
Shukran sana🙈🙈
Huyu bingwa Mwagarashe ni bei gani jamani?
Uko sawa
Asante
moto
MashaAllah 💝
Umetrendy
Nafurahi kuskia hivyo dada
Joho anasemaje
My friend😂
Manshallah tabaraka Allah
Shukran
Mwagarashi hekoooo!!!
Shukran
Talent 💕💕
Thnks jacky
Mashairi yametulia ila dj kazingua zaidi na kelele tele.
Asante kakangu, , , nimempa mshororo wake😊
@@hamadimwagarashi6599 nmependa sana
Familia imesheheni vipaji
Mashaallah
Asante
What's wrong with the dj though.
He is disturbing😂😂😂
Masha Allah
Asanti
Shairi la VITUKO VYA DALADALA | Mapenzi, wizi, na ALLY MASHAIRI
ua-cam.com/video/aP90gvbTFEM/v-deo.html