VIDEO DIAMOND NA P DIDY IMEVUJA | KILICHOFANYIKA NDANI HIKI HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @AlbertPike-e4b
    @AlbertPike-e4b 5 днів тому +4

    Hiyo ngoma inaitwa BABY DON'T CRY "Tupac" na hiyo ngoma ya P Diddy inaitwa I NEED A GIRL

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 5 днів тому +6

    HAKUNA lolote diamond hajafanyiwa chochote acheni 😊ujinga

  • @faridamatata1950
    @faridamatata1950 3 дні тому +2

    Kwani ukifirwa Ndio unatembea hivyo huo ni mwendo wa mitandao tu wanaofanya Kama Ndio. Kafanya hebu firwa Ndio utatembea hivyo wamkome Diamond wetu Mahanisi wakubwa

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 День тому

      Sana tu mpenzi watuachie diamond wetu wivu na chuki vitawauwa

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 2 дні тому +1

    Sijasikia diamond akawa shoga,, mama yake alimzaa mwanaume rijali,,,mnasimulia ujinga tu watangazaji mmekosa kazi,,,

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 5 днів тому +1

    Akatwe kabisa mkia wake nawanamtete wote tiari wamesha jitowa kwamwenyezi mungu hivyo nao wasubiri hukumu ya mwenyezi mungu huwezi kuwa mtu mwema et ukamtetee pididi pia wapo wanawake hapa tanzania et wanampenda pididi wakae wakujuwa tiari wamsha raniwa na mungu

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 4 дні тому +2

    UMENENA MWACHENI DIAMOND WETU

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 2 дні тому

    Mtetezi wa ushetani au Mungu maana naona unatumia nguvu kubwa

  • @hamisisuleiman2674
    @hamisisuleiman2674 7 годин тому

    Uwongo diamond taar

  • @onesmosizinga7413
    @onesmosizinga7413 4 дні тому +2

    Channel ya kipumbavu kwann mnashabikia kumdhalilisha diamond?

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 2 дні тому

    Nduo nichezo yke tazama alivyo jiri mashoga wengi pale kazini kwake😅😅😅

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 2 дні тому

    Mbongo hua haongop ila mbongo ni mtu asieweza kuvumilia kitu lazima aseme2

  • @makubaSamweli-vm3tu
    @makubaSamweli-vm3tu 2 дні тому

    Hii media gan inanimalizia mb zangu bure tu

  • @Lightness-c8b
    @Lightness-c8b 6 днів тому +1

    Woooooooooooooooooow

  • @Oliver-Ijs
    @Oliver-Ijs 2 дні тому

    Uyo jamaa enu nae anashobo atajua mwenyewe kma ame p,diddishwa ata uki trace back somehow p,diddilization inamfaa

  • @AbdallaSaleh-n4k
    @AbdallaSaleh-n4k 2 дні тому

    Mm nakubali kwamba wanamuziki wengi wanapibidiwa ndio maana wanavaa herine

  • @JoshuaMsaka-f5e
    @JoshuaMsaka-f5e 5 днів тому +3

    Weye mbona unamtetea sana Mond kama ulikuwepo ?

  • @RizikiAliAmeir
    @RizikiAliAmeir 3 дні тому

    Ila upo vizuri kuzitete hizi mbwaa

  • @SabastianMasolo-b5n
    @SabastianMasolo-b5n 2 дні тому

    Lisemalo lipo bn

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 5 днів тому +1

    Wewe wacha urongo kwani watangaza mpira yanga na pamba mond ana ishara zote mbaya anava vikuku vya miguu vipuli ametoboa puwa ishira zote ziko usimtete wacha mwenyewe aonge wacha ushabiki wa yanga

  • @FadhiliMesha-pd2th
    @FadhiliMesha-pd2th 5 днів тому +1

    mnarisikiliza halina akili linaongeaongea tu niliongo

  • @TatuYasini
    @TatuYasini 2 дні тому

    Maneno yauzushi watanzaniwaongo sana

  • @KwathemaBoay
    @KwathemaBoay 3 дні тому

    mh analipwa huyo

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 3 дні тому +1

    tanzania ni inchi ya elimu ndogo

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 2 дні тому

      Yaani hujakosea apo ni kweli

    • @ndizindeleti761
      @ndizindeleti761 2 дні тому

      Mwenye elim elim ndogo ndio anae ajili wasomi wakubw maisha ni maarifa co elim mind elim ndogo kaajili awsomi ila kaliwa baati mbaya2😂😂😂

  • @mussamzee959
    @mussamzee959 2 дні тому

    Wewe izo habari umezijuawaje au na ww ulikuwepo kwa ppdd

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 днів тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SengiyumvaHassan
    @SengiyumvaHassan 2 дні тому

    Tunamtaka uyojama ninoma😊

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 4 дні тому +1

    KWELI KWA USHAHIDI UPI?

  • @AlbertPike-e4b
    @AlbertPike-e4b 5 днів тому +2

    Diamond alifirwa kama hujaona clip akishuka kwenye ndege mbona alikuwa anatembea kwa kuchechemea 😂😂😂😂😂😂😂
    Alafu muislamu gani anavaa misalaba ???

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 День тому

      Utakwendajibu kwa mungu si mbali kwa dhana zisizo na ushahidi na ukimzushia mwenzako yatakupata wewe madhali bado uko hai Allah akunusuru na akustiri

    • @AlbertPike-e4b
      @AlbertPike-e4b День тому

      @@ramlaleila374
      Mbona waumwa sana??? Nimeuliza ni muislamu gani anavaa misalaba unapayuka payuka kama alifirwa alifirwa tu wewe waumwa nini?? Kufirwa ni hiari ya mtu usiingize Allah hapa huyo domo ni mtoto sio riziki kama imekuuma andamana

  • @SitelaKyamata
    @SitelaKyamata 2 дні тому

    Urikuapo au mond arikwambia sirizake komanyoko tumbafu

  • @AbuuNasir-q9w
    @AbuuNasir-q9w 3 дні тому

    We muongo kweli kweli unachekesha

  • @faridamatata1950
    @faridamatata1950 3 дні тому

    Kwani ukifirwa Ndio unatembea hivyo huo ni mwendo wa mitandao tu wanaofanya Kama Ndio. Kafanya hebu firwa Ndio utatembea hivyo wamkome Diamond wetu Maharishi wakubwa

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 4 дні тому +1

    Funga kinywa chako wakati wamezungumza muri kuwa pamoja. Unatushika kama marofa. Mzee mzima muongo. DIamond ana nguvu sa kiyasi aje kusema atoke chumbani kwa P-Diddi. Kesho pakitoka video akipididdiwa utaweka sura yako wapi we mzee? Ku signe cotract na Shetan na kupididdiwa cha wapi kikali?

  • @EdwinMwesiga-r7y
    @EdwinMwesiga-r7y 3 дні тому

    Kumpi didy ndo kufanya nini??

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 5 днів тому +2

    Mnajitahid kuttea domo lakn wap

  • @KibetaSubstation
    @KibetaSubstation 3 дні тому

    😅😅😅😅

  • @AlinaniSiame-d5p
    @AlinaniSiame-d5p 4 дні тому

    KKKkkkk🎉🎉🎉🎉

  • @AlinaniSiame-d5p
    @AlinaniSiame-d5p 4 дні тому

    KKKkkkk😂😂😂😂😂😢

  • @AlinaniSiame-d5p
    @AlinaniSiame-d5p 4 дні тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @JosephShatta
    @JosephShatta 3 дні тому

    Acha uogo wewe mondi kaliwa nyuma acheni kupidsha

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 День тому

      Anayejua mwanga ni mwanga pia nna shaka nawe

  • @DickSmith-x8h
    @DickSmith-x8h 3 дні тому

    😂😂😂🇺🇲

  • @AlinaniSiame-d5p
    @AlinaniSiame-d5p 4 дні тому

    KKKkkkk🎉🎉🎉🎉