Hiyo mikoa pia inaongoza kwa ushoga yamkini Mungu kaamua kuwakumbusha waache Usenge na usagaji hawa wanadamu Nakuombea Nabii wa Bwana endelea na kazi uwe jasiri na Ushujaa mwingi.
Mungu aturehem aiseee chife wee ni noma wewe ni nabiii nakumbuka uliyo tabiri sasa tunaaza kuyaona kama arusha kule mafuriko makubwa duuuu a bado tunayaona
Kikubwa tunatakiwa kuomba rehema kwa Mungu alisamehe Taifa letu maana siku hizi uchawi unatumika kila mahali hata wanaojiita wa timishi wa Mungu wanatumia uchawi je Mungu atanyamaza kweli Mungu tusamehe sana
Kwanza hakuna kitu kibaya ambacho Mungu hapendi ni ushoga.kumbuka mji wa sodoma na gomora walioywa mwisho wake waliunguzwa na moto.tumrudie Mungu wapendwa
Mm nimeota.mvua.itaendelea na itaharibu uchumi vitu vingi vitaharibiwa.watanzania tutubu uhuru ni mwingi sana tunamkosea Mungu watanzania tutengeneze tuwaonye watoto wetu uhuru umezidi sana kila mtu anafanya anachotaka taka
Hiyo mikoa pia inaongoza kwa ushoga yamkini Mungu kaamua kuwakumbusha waache Usenge na usagaji hawa wanadamu Nakuombea Nabii wa Bwana endelea na kazi uwe jasiri na Ushujaa mwingi.
Amen askofu Wangu Asante Sana kwa Mafundisho na Maombi 🙏 God bless you 🙏 Naendelea kujifunza...
Amen chief. May God protect us in Jesus name
Thanks Chief, Mungu atuhurumie apitishe wema na rehema zake. Madhara ayaondoe na mioyo yetu imwelekee yeye
Barikiwa sana chief
Asante sana Mungu kwa ajili ya watumishi wako ...hata sasa Mungu anasema
Kwa kweli.
Mungu aturehem aiseee chife wee ni noma wewe ni nabiii nakumbuka uliyo tabiri sasa tunaaza kuyaona kama arusha kule mafuriko makubwa duuuu a bado tunayaona
Mungu ni mkuu sana. Nimefrah sana kwa ujumbe huu utokao kwa mungu
Power
MUNGU tuRehemu
Kikubwa tunatakiwa kuomba rehema kwa Mungu alisamehe Taifa letu maana siku hizi uchawi unatumika kila mahali hata wanaojiita wa timishi wa Mungu wanatumia uchawi je Mungu atanyamaza kweli Mungu tusamehe sana
Mungu akutumie katika roho nakweli bilamaigizo kamawengine kwakutaka pesazahaibu
Utawla na mamlaka katika nchi iliyopo ni tatizo na tabia mbaya ushoga ni laana kweli mungu utu rehemu
Amen Apostle asante kwa soma Zuri Mungu
Akubariki sana
AMEN BABA
Mungu tuhurumie jamani ss wakosaji baba
Tatizo lipo,,Mungu mwenyewe atusaidie
Kwanza hakuna kitu kibaya ambacho Mungu hapendi ni ushoga.kumbuka mji wa sodoma na gomora walioywa mwisho wake waliunguzwa na moto.tumrudie Mungu wapendwa
Nakuelewa sana
Mungu tunakushukuru kwa ajili ya Mtumishi wako.
HUU NI UKWELI
Mungu atusaidie asikie maombi yetu.
Mungu atusamehe sana
Mm nimeota.mvua.itaendelea na itaharibu uchumi vitu vingi vitaharibiwa.watanzania tutubu uhuru ni mwingi sana tunamkosea Mungu watanzania tutengeneze tuwaonye watoto wetu uhuru umezidi sana kila mtu anafanya anachotaka taka
pole saana
Asante kwa Neno, God bless you
Dar watu wanamchezea Mungu hadi madhabahuni
Gharika IPO maeneo maeneo na ni MUNGU mwenyewe amekasirishwa na dhambi tutubu na kuacha maovu.wanadamu sisi tafadhali jmn.mvua,moto,ukame
True man of god
AMEN CHIEF MUNGU ATUREHEMU
Amen
Nice
Jumbe kama hivi dar hawataki
Mwambie rais aachi kufuata miungu kutoka nchi mbalimbali. Leo yuko uturukii kuokota miungu.
Kama ilivyokuwa sodoma na gomola ndivyo itakavyokuwa kizazi hiki
Propaganda at its best...