Tunapotoa comments, ni vyema kujua namna ya kuandika neno la muumba wetu. Ni Mungu au ukipenda andika MUNGU, HATUNA neno mungu likamaanisha Muumba wa Mbingu na Nchi. Pitia Biblia na tuone inavyoandikwa. Ameeen Ameeen, Shalom Maranatha.
Uko sahihi,kama jina lako wewe kiumbe Unapaswa kuandika kwa herufi kubwa.Ni lazima unapoandika Mungu,umuandike kwa herufi kubwa ,hivi Mungu au MUNGU,mungu ni shetani!Uko sawa kabisa dada,unapomuheshimu Mungu ni mpaka kwenye matendo,siyo moyoni peke yake!hata Yesu anaadikwa hivyo na siyo yesu.
Mungu akurnde hofu yangu usje ftwa kwenye uso wadunia maana unayaweka lehani maisha yako' talatbu unawatoto tofauti naiman yako ebu tzama yesu mwenyewe aliumizwa unaongea mwri wangu unatetemeka navja jasho mungu akurnde mtumishi.
mmeshaambiwa msiandike mungu kwa herufi ndgo hamsikii kwani hta shule tumefundishwa herufi kubwa na herufi ndogo wapi zinatumika n shule gani mmesoma mbona masikio yenu mazito?
Aminaa,mtumishi wangu wa ibrahimu na isaka,mungu azid kukuonyesha na jina lake libarikiwe sana,ntajinyenyekeza mbele za bwana ili atakaporud nimlaki mawingun,mungu aisaidie tanzania
AMEN Mtumishi wa Mungu aliye hai. Hakuna kundi lolote linalomuishia MUNGU wa kweli aliye hai...! Tunamuombea yupi kati ya hawa wasioamini?! Nabii wa Mungu, je, sio sahihi tukiomba kwaajili ya Taifa lote badala ya makundi haya?
@Shedrackwilfred Nuhu alitumwa na Mungu hilo halikupi shida. Yohana alitumwa na Mungu, hilo nalo halikupi shida. Moses Kulola alitumwa na Mungu najua haikupi shida. Unataka Mungu amfufue Nuhu wa Biblia aje Tanzania aseme ndo utaamini n Mungu anaongea?? Ni nani ulitamani Mungu amtume, na mwenye vigezo gani ungemsaidia Mungu kuchagua! Fungua macho yako uone jinsis maisha yako unavyoyaingiza penye jangwa!
Nitamuombea Samia kwa kuwa tu imeandikwa,, waombeeni mema maadui zenu ila moyo wangu uko mbali kabisa nae so aruhusu katiba mpya ili wizi ukome ktk nchi hii
Ninatafuta kwenye huduma ya Yesu na mitume, labda sijasoma biblia yote bado nione kama nao walifundisha siasa.😢. Biblia siyo ya mzaha na wavivu, ndo maana wanafanya siasa na saikolojia kwenye madhabahu ya Bwana.
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Mtumishi. Acha kutisha watu. Umekosa neno la kuhubiria waumini wako.
Huyu nabii ni msenge Sana tena ni nabii wa mchongo sasa hapo anahubiri injili au anasimulia hadithi alizozitunga mwenyewe na waumini wake ni kama mazuzu wanavomsikiliza Aache uongo na atafute kazi ya kufanya nabii choko
mtumishi halisi hapaswi kuzungumza mambo ya siasa, kwani yeah ni mtumishi wa Mungu aliye juu sana, ambaye America kila kitu, hivyo mtumishi ni wakiri wa Mungu, anapaswa afanye ya Mungu ambayo ni Upendo: kumpenda kila mtu aliyeko Duniani kuombea nchi, vyama vyote bila kubagua. kupinga unyanyasaji, ukatiri, ulevi,uzinzi nk lakini si.....................................
Huo sio utabiri ila ni UCHAMBUZI wa hali ya kisiasa nchini. 😮Tunajua mgawanyiko ulioko ndani ya CCM kwa sasa. Tunajua jinsi upinzani unavyozidi kujiimarisha kwenye mikoa yote. Tunajua mkakati unaofanywa wa kuwa na Tume ya Uchaguzi itakayo hakikisha Chama fulani kinashinda.
Kitu ambacho huwa nashindwa kukuelewa ni unabii wako unavyokuwa unauongea kwa mafumbo, wakati manabii walikuwa wakiongea direct na kutoa solutions ili jamii na uongozi ujiandae au ubadilike. Lakini manabii waleo utadhani Mungu yupo mbali nao. ni jamaa mmoja wa arusha @huduma ya kristo you tube ndiye anaenda direct
Kwan kanisa ni siasa au mbn kila mtumisha anazngmza habar za siasa kisa uchagz umekarbia kanisa bwana wat ata awaamki bongo zao toeni maubr acheni siasa
Tusilaumu manabii Bali tuombe ili Mungu atuonyeshe walio wa kweli tusikimbilie kuhukumu Bali tuombe kwa bidii ili tupewe macho ya Kuna maana imeandikwa
Tunapotoa comments, ni vyema kujua namna ya kuandika neno la muumba wetu. Ni Mungu au ukipenda andika MUNGU, HATUNA neno mungu likamaanisha Muumba wa Mbingu na Nchi. Pitia Biblia na tuone inavyoandikwa. Ameeen Ameeen, Shalom Maranatha.
hilo ni dogo sana herufi kubwa iko moyon, unaweza andika herufi kubwa ila moyon hayupo.
lakn asante kwa ukumbusho mzuri
Uko sahihi,kama jina lako wewe kiumbe Unapaswa kuandika kwa herufi kubwa.Ni lazima unapoandika Mungu,umuandike kwa herufi kubwa ,hivi Mungu au MUNGU,mungu ni shetani!Uko sawa kabisa dada,unapomuheshimu Mungu ni mpaka kwenye matendo,siyo moyoni peke yake!hata Yesu anaadikwa hivyo na siyo yesu.
Mungu akurnde hofu yangu usje ftwa kwenye uso wadunia maana unayaweka lehani maisha yako' talatbu unawatoto tofauti naiman yako ebu tzama yesu mwenyewe aliumizwa unaongea mwri wangu unatetemeka navja jasho mungu akurnde mtumishi.
mmeshaambiwa msiandike mungu kwa herufi ndgo hamsikii kwani hta shule tumefundishwa herufi kubwa na herufi ndogo wapi zinatumika n shule gani mmesoma mbona masikio yenu mazito?
Mapenzi ya Mungu yatimie,Amen.Ccm ife kama inavyouwa wengine!
Tena ife na ioze kabisa japo hatutaisahau Kwa ilichotufanyia
Hujausikia unabi unasema watashka serikali za majimbo
Amina mtumishi tuombe sana jamni.usiogpe kufa kimwili maana utaurithi ufalme wa mungu muumba mbingu na ichi
Aminaa,mtumishi wangu wa ibrahimu na isaka,mungu azid kukuonyesha na jina lake libarikiwe sana,ntajinyenyekeza mbele za bwana ili atakaporud nimlaki mawingun,mungu aisaidie tanzania
Nabiii ubarikiwe na bwana na Mungu aendelee kukupa maono zaidi naamini napokea unabii kwaj kina la yesu
Bwana tunamuomba Mungu atuletee mtu kama JPM
Nani alimuondoa
@@frankjohn8706waliomuondoa
@@frankjohn8706nyie majambazi
Jpm nammiss ila kamwe asitokee kiangozi kama huyo tena Tanzania! Ilikuwa ni ajali
Una roho ngumu wewe dada
AMEN Mtumishi wa Mungu aliye hai. Hakuna kundi lolote linalomuishia MUNGU wa kweli aliye hai...! Tunamuombea yupi kati ya hawa wasioamini?! Nabii wa Mungu, je, sio sahihi tukiomba kwaajili ya Taifa lote badala ya makundi haya?
Asante Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe ulio wazi. Na iwe vile Mungu mwenyewe apendavyo kwa Jina la Yesu. Amen
Ulikuwa kushashiba tu, nabii wa siasa , kazi uongo tu.
Amina NABII wa Bwana
Ubarikiwe sana
Sina mashaka na unabii huu Maana huyu Mtumishi wa Mungu amewahi kuongea vitu vitakavyotokea kwenye Maisha Yangu 2023 na alisema 2021 na vikatokea🙏
Nahitaji maombi yako mtumishi
😢😢😢😢
Mapenzi ya mungu yatimiye . Amen
Asante mtumishi kama unasukumwa na mungu saw ila kama ni binadamu umefeli😢😢😢😢😢
MUNGU NA Si mungu
😢
Acha Mungu awafyeke wote walioharibu nchihii tukiwaombea wanakuwasalama wanaendeleakuharibu nchiyetu.
Kazi nzuri classmate...nakuona mbali sana..Mungu akusimamie
Ameen
Amina ila kama unasukumwa naMungu safi
The prophecy is very clear what we all need is prayers. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
Poleni sana afrika sida tu usaliti utaisha lini?ni ole ole kabisa
Jmn hakun mtu ambaye ni nabii Mungu pia amemwonyesha haya ili unabii uwe na usibidiashwe
2:56 wa kwangu…Prophecy has began to be fulfilled.
Suree prophecy confirmed kbsaa Mambo yasha anza
Amina mchungaji naomba tupate kiongozi bora ajaye.
Amen Prophet, unabii upo clear kabisa. What we need is to pray for this Nation ili tuvuke salama.
Huu unabii ni WA kweli ni muhimu kumuombea sana sana mama Samia
Ili mapenzi ya Mungu yatimizwe tumechoka na uongozi dhalimu
Na yeye inatakiwa ajimbee alone jee aliyoyaacha Magufuli alifuatisha au
@@mariamfaicalhassan2890 kwahiyo hujamuombea
Mungu isaidie Tanzania
MUNGU acha ajibu maombi prophet Edmund tusaidie mm Dismas igoma mwanza kwa pastor Antony Emmanuel Gwayaka
Mungu aliichukia ccm kitambo
Pascal Bujimu classmate wako shule ya msingi, nafarijka sana kwa hatua uliyofikia Mungu akubariki sana katika huduma yako.
Oh waoh Bwana akubariki sana. Tutafutane ndugu yangu. Wewe ni ndugu yangu!
@@ProphetMystic haya mtumishi wa Mungu.
Yaan Rose Huyu unamwamini naye Kama nabii?
@Shedrackwilfred Nuhu alitumwa na Mungu hilo halikupi shida. Yohana alitumwa na Mungu, hilo nalo halikupi shida. Moses Kulola alitumwa na Mungu najua haikupi shida. Unataka Mungu amfufue Nuhu wa Biblia aje Tanzania aseme ndo utaamini n Mungu anaongea?? Ni nani ulitamani Mungu amtume, na mwenye vigezo gani ungemsaidia Mungu kuchagua! Fungua macho yako uone jinsis maisha yako unavyoyaingiza penye jangwa!
@@ProphetMystic ndugu Kama Umeweza Muita Geodavie Mtumishi wa Mungu basi *ni wazi njia unayoipita sio ya Kweli*
Mungu atupatie Raisi sahihi 2025
Mwenye uruma na watanzania ni Gwajima na anauwezo wa kuendesha nchi bila kuiuza
munguu nimwenye haki kuna viogozi wanatunyanyasa baadhi yawanaichi
Mama aligeuka mipango ya magu kuusu taifa
Nitamuombea Samia kwa kuwa tu imeandikwa,, waombeeni mema maadui zenu ila moyo wangu uko mbali kabisa nae so aruhusu katiba mpya ili wizi ukome ktk nchi hii
Naungana na wewe
Ee mwenyez mungu tusaisie
MUNGU atuepushhe na dhoruba hiyo nchini TANZANIA amen
Unarikiwe mtumishi
Jiombee mwenyewe mkuu hujui ulisemalo
Amina mtumishi wa Mungu 🙏
Muñgu atusaidie ni hatari 😊
Sahihi kabisa mtumishi,
Mungu atusaidie
Mapenzi ya mungu yatimizwe
Hakika Mungu amekuita kutusaidia katika macho ya rohoni tutambuee yatupayao kutenda mbele za Muumba wetu Mungu wa Mbinguni akutunzee
Tunachoomba Huyu mama asiendelee kuongoza inchi 😂😂tunapigwa mno
Unaacha kuhubiri neno la mungu unawaka tamaa
Ninatafuta kwenye huduma ya Yesu na mitume, labda sijasoma biblia yote bado nione kama nao walifundisha siasa.😢. Biblia siyo ya mzaha na wavivu, ndo maana wanafanya siasa na saikolojia kwenye madhabahu ya Bwana.
Siasa ni mfumo wa Dunia , kilicho mfanya shetani awe adui mkubwa wa Mungu na wanadamu ni madaraka
Tena tamaa kweli
Uongozi hutoka kwa Mungu,tofauti kabisa na inavyidhaniwa kuwa siasa.
Ukisikia kikulacho ndioo hii sasa😂😂Walimsaliti kipenzi chetu wacha watafunanee tuu
Amen. ..Camera man na editor jitahidini muaplod material ambayo ipo clear mtumishi aonekane sisi tunaona gizagiza tu
Nalipokea Neno la Bwana .
Haya maelezo kama samia anapita tena 😭😭😭😭
Samia hapiti ng'o
Acha Mungu afanye
Mungu inusuru tz
Acha siasa bro mungu sio wa mchezo wanao kusikiliza ni wengi kwanini uciongee yanayo Toka ktka biblia acha ubbaishaji
Wewe ni Mungu..!?
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Mtumishi. Acha kutisha watu. Umekosa neno la kuhubiria waumini wako.
Ndo tunachotaka Mungu atamweka anaeona anafaa
Bwana alitetee taifa lake
Ni kweli kabisa Kwa sbb hayo mambo tayari yashaanza kimya kimya
Uko vizuri
4,5,6
Aisee
Haya mi naombea nchi na viti ,watakaa wanaotakiwa kukaai ,siombei mtu ,wasiotakiwa watajiju,Mungu anajua yupi anafaa
Kweli kbsaa
Hongera mtumishi wa Bwana watachagua wenyewe kuamini au kutoamini..
Hata hamjie lewi kabisa wakristo wajinga sana
Wajinga wenyew kwenda zako
Uchawa kanisani!
😂😂😂😂uchawa tena?😂😂
Hahahahaah
mungu atusaidie
Kazi
Usanii katika ubora wake
Nyie manabii Wa uongu mtazidi kulitabiria taifa mabaya mpaka lini ushuhuda Wa uongo utawapeleka jehanam
Siamini mwanadamu yeyote aliyeumbwa kama mimi naamini mungu ndyo muamuzi wakila jambo😅😅😅😅😅😅
Huyu nabii ni msenge Sana tena ni nabii wa mchongo sasa hapo anahubiri injili au anasimulia hadithi alizozitunga mwenyewe na waumini wake ni kama mazuzu wanavomsikiliza Aache uongo na atafute kazi ya kufanya nabii choko
Wewasema ila chunga sana kinywa chako wekijana,usiwe kam yule aliyekuw na YESU msalabani
We mwenyewe no Zuzu kwakuwa umemusikiliza
Chunga maneno yako
Mmmh 😮😮😮
Sina shida na unabii wa uliooteshwa ,lkn swali langu ni kwamba tutaaminije kuwa niya KIMUNGU
Hii sina.hofu lazima kuna uhakika
MUNGU tusaidie
Mamayetu amjiingiza kwenye vita isiomhusu kwahio Mungu atamazibu. Yeye nakikwete mshauri mbaya wataazibiwa vibayasana😂
Mh! Mtihani huu wakristo mnapotea xana dini ya uongo mtupu na mnakalilishw kila kitu na mnaamin
Hikawe ivyo ivyo ktk jina la YESU
Wewe ombea katiba ambayo itaweka wagombea katika mizani sawa.
Naomba namba ya mtumishi
Mzee acha ushabiki Wa kisiasa
Utabiri huu nao umechukua MB zetu ..!!
Amesikia rohoni ameoneshwa kwa macho. Naona anasimulia mtazamo wake !!
@@richardnganya2311kweli
mtumishi halisi hapaswi kuzungumza mambo ya siasa, kwani yeah ni mtumishi wa Mungu aliye juu sana, ambaye America kila kitu, hivyo mtumishi ni wakiri wa Mungu, anapaswa afanye ya Mungu ambayo ni
Upendo: kumpenda kila mtu aliyeko Duniani
kuombea nchi, vyama vyote bila kubagua.
kupinga unyanyasaji, ukatiri, ulevi,uzinzi nk
lakini si.....................................
Kusudi la MUNGU litimie katka nchi yetu tupate kiongoz mwenye hofu na MUNGU tu bas
Hapo ndipo nawashangaa serikali inavurunda halafu mnaitetea kuendelea kuharibu nchi
Toen mahubr kaz za kn mwijaku hizo
Nitumie namba yako mtumishi nifanye jambo
Kama sijaelewa vizuri namba 4 ni Kikwete, 5 Magufuli na 6 ni Samia
Ndiooo
Huo sio utabiri ila ni UCHAMBUZI wa hali ya kisiasa nchini. 😮Tunajua mgawanyiko ulioko ndani ya CCM kwa sasa. Tunajua jinsi upinzani unavyozidi kujiimarisha kwenye mikoa yote. Tunajua mkakati unaofanywa wa kuwa na Tume ya Uchaguzi itakayo hakikisha Chama fulani kinashinda.
Wahimize watu wafanye mema ili Mungu atupe mtu sahihi
Acha uchawa waimize waumini kufanya mema na ibada
Kitu ambacho huwa nashindwa kukuelewa ni unabii wako unavyokuwa unauongea kwa mafumbo, wakati manabii walikuwa wakiongea direct na kutoa solutions ili jamii na uongozi ujiandae au ubadilike. Lakini manabii waleo utadhani Mungu yupo mbali nao. ni jamaa mmoja wa arusha @huduma ya kristo you tube ndiye anaenda direct
Hallelujah
Mnamjua mtu mwenye uruma na watanzania na mwenye akili nyingi na Muombaji
mungu atunusuru
MUNGU mwema prophet
Tumuombee mama,,,,
Ili iweje!!? Umeme hakuna, Maji hakuna, sukari hakuna.... Tumuombee ili iweje!!?
Tumuombe Mungu huyu Mama asipite tu jamani
Tena magu alikua akisema niletee .... na alisimama kutokomeza corona
Mbona wote wanatabili makundi?mabaya?
Tunaomba Prophet
Natamani awamu ya nne ikufe na ya sita , Nimechoka
Unauakika kuwa ni mungu ama shetani
Pokea tarifa.niM 9:33 ungu au shetani munchies mtoataarifa
Siasa kanisan hii nch ndio mana aiendelewi
Amen mno
MUNGU TUNAKUOMBA UTUINULIE KIONGOZI MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA TZ
Kwan kanisa ni siasa au mbn kila mtumisha anazngmza habar za siasa kisa uchagz umekarbia kanisa bwana wat ata awaamki bongo zao toeni maubr acheni siasa
Upo sahihi mwaka 2025 Kuna makundi mengi yapo kinyume na mama ila tutashinda
Tusilaumu manabii Bali tuombe ili Mungu atuonyeshe walio wa kweli tusikimbilie kuhukumu Bali tuombe kwa bidii ili tupewe macho ya Kuna maana imeandikwa
Mie naomba god abadilishe huyu mama mie simtaki
Mungu anaweka anachotaka sicho unachotaka wew
Sitaki