Waislamu wote wanamsalia mtume,labda iwe sio muislamu huyo,Na hiyo Allah kaiweka katika kila sala za siku,za faradhi na sunna,huo ni utukufu mkubwa kumsalia mtume katika kila tashahud,Allah kaliweka hili kwa kujua,la umuhimu zaidi kufuata sunna zake za kweli,na kufuata alokuja nayo mtume Muhammad Sallalahu alayh wasalam,na kuacha mambo ya kuzua katika dini hii tukufu .
@AdamChogo nikwel siku laumu ndo ufahamu wakisufi huo hd uwe mwarabu ndo kufanana sio hulka na tabia sasa sijui mtume wa masufi ni mwafria 🤣🤣 ndo mfanane 💊
@@jumanneissa8226 we ulmaansha hatufanan na mtume kwa tunayoyafanya ukiwa unaitakid nyie ndiyo mnafanana na mtume kumbe nyie n dhulkhuweisira ndye mnafanana nae nmkujb mtume n muarabu kwa akili yako ndogo ya kufkir ukaingia kibalbala
Mawahabi la twaliinin

tabia zunu ni tofauti namtume pia hamfanani na mtume kabisaa nyinyi mwajua hilo
Kweli hatufanan mtume n muarabu
@AdamChogo nikwel siku laumu ndo ufahamu wakisufi huo hd uwe mwarabu ndo kufanana sio hulka na tabia sasa sijui mtume wa masufi ni mwafria 🤣🤣 ndo mfanane 💊
@@jumanneissa8226 we ulmaansha hatufanan na mtume kwa tunayoyafanya ukiwa unaitakid nyie ndiyo mnafanana na mtume kumbe nyie n dhulkhuweisira ndye mnafanana nae nmkujb mtume n muarabu kwa akili yako ndogo ya kufkir ukaingia kibalbala
@@AdamChogo jifunze kuandika bc maana hueleweki au hujamaliza shuleya msingi au unaandika ki bidaa 😂😂
@jumanneissa8226 we ndio huelew hukuelewa mafhum utaelewa hk kiswahili ndio maana unadandia dini toka Najd
hahahaha😂 wewe aliekulazimasha kufata dini za wengine ninani? au ndo ujingawenutu masuf 😂
Kwan umcklza ukaelewa au umeuwahab mada
@AdamChogo kunakuelewa na kuifahamu maana kwa haq pia kuna ushabikq hata kwenye ujinga ndo wewe 💊
Sasa chuki za nn . Achen chuki punguzen