Jua la Elimu
Jua la Elimu
  • 480
  • 512 085

Відео

MUHAMAD KHAMIS, AKISOMA MLANGO WA TATU, MASJIDI NNUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 567 годин тому
MUHAMAD KHAMIS, AKISOMA MLANGO WA TATU, MASJIDI NNUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
SHEIKH OMARI AKITAMBULISHA WAGENI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA MASJIDI NNUR MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 6920 годин тому
SHEIKH OMARI AKITAMBULISHA WAGENI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA MASJIDI NNUR MBWENI DAR ES SALAAM
WENYEJI MADRASAT NNUR YA MALINDI MBWENI WAKISOMA QASWIDA
Переглядів 592 години тому
WENYEJI MADRASAT NNUR YA MALINDI MBWENI WAKISOMA QASWIDA
SHEIKH RAJABU KUTOKA MISRI, KAMWAGA SIFA KWA MTUME, SHEIKH ALLY MBWERA AMETAFSIRI KWA UFUPI
Переглядів 952 години тому
SHEIKH RAJABU KUTOKA MISRI, KAMWAGA SIFA KWA MTUME, SHEIKH ALLY MBWERA AMETAFSIRI KWA UFUPI
ALISAFIRI KIMWILI NA KIROHO, SHEIKH ALHADI MUSSA SALUM, AKIZUNGUMZA MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI
Переглядів 3537 годин тому
ALISAFIRI KIMWILI NA KIROHO, SHEIKH ALHADI MUSSA SALUM, AKIZUNGUMZA MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI
MAPACHA WANNE WA MTUME WAKISOMA MLANGO WA PILI KWAPAMOJA MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 747 годин тому
MAPACHA WANNE WA MTUME WAKISOMA MLANGO WA PILI KWAPAMOJA MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MZEE RAMADHANI MADABIBA, MJUMBE WA BODI YA MASJIDI NUUR AKITOA SHUKRANI
Переглядів 2667 годин тому
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MZEE RAMADHANI MADABIBA, MJUMBE WA BODI YA MASJIDI NUUR AKITOA SHUKRANI
OSTADH ABDILLAH ABABUU, AKISOMA MLANGO WA KWANZA, MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 347 годин тому
OSTADH ABDILLAH ABABUU, AKISOMA MLANGO WA KWANZA, MASJIDI NUUR, MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
DUNIA INAMUHITAJI MTUME KWA KIASI GANI? SHEIKH YUSUF KIDAGO, MASJIDI NUUR, MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 2217 годин тому
DUNIA INAMUHITAJI MTUME KWA KIASI GANI? SHEIKH YUSUF KIDAGO, MASJIDI NUUR, MBWENI DAR ES SALAAM
MNAMILIKI VILINGE ACHENI UCHAWI, MUOGOPENI MUNGU, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, MBWENI MALINDI
Переглядів 9039 годин тому
MNAMILIKI VILINGE ACHENI UCHAWI, MUOGOPENI MUNGU, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, MBWENI MALINDI
RAIS WA QUR'AN TANZANIA SHEIKH MUHAMAD NASSON, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
Переглядів 7339 годин тому
RAIS WA QUR'AN TANZANIA SHEIKH MUHAMAD NASSON, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MALINDI MBWENI DAR ES SALAAM
TABIA NI KIUNGO AMBACHO HAKIWEZI KUBADILIKA, SHEIKH WALIDI ALHADI, AKIZUNGUMZA MALINDI MBWENI
Переглядів 1,2 тис.9 годин тому
TABIA NI KIUNGO AMBACHO HAKIWEZI KUBADILIKA, SHEIKH WALIDI ALHADI, AKIZUNGUMZA MALINDI MBWENI
Nilijua Mtu Akiongea Point Anapigiwa Makofi, Jonson Kashasha Katibu Wa Mazingira Elimu na Afya
Переглядів 9514 днів тому
Nilijua Mtu Akiongea Point Anapigiwa Makofi, Jonson Kashasha Katibu Wa Mazingira Elimu na Afya
NI LAZIMA UWE UMESOMA, MTUME ALISOMA, MAULIDI NNABII BUNJU B, KWA SHEIKH FIHI
Переглядів 10814 днів тому
NI LAZIMA UWE UMESOMA, MTUME ALISOMA, MAULIDI NNABII BUNJU B, KWA SHEIKH FIHI
HATUSULUHISHI KESI ZA NDOA BILA CHETI CHA NDOA, SHEIKH WA KATA YA MABWE PANDE KINONDONI
Переглядів 7714 днів тому
HATUSULUHISHI KESI ZA NDOA BILA CHETI CHA NDOA, SHEIKH WA KATA YA MABWE PANDE KINONDONI
QADIRIA MGAZA WASIMAMIA KIAMU KWA SHEIKH FIHI BUNJU B 2025
Переглядів 32314 днів тому
QADIRIA MGAZA WASIMAMIA KIAMU KWA SHEIKH FIHI BUNJU B 2025
RAHMA ZA MTUME MPAKA KWA HAYAWANI, SHEIKH ALHATIMI, KUTOKA KENYA 🇰🇪 254
Переглядів 28814 днів тому
RAHMA ZA MTUME MPAKA KWA HAYAWANI, SHEIKH ALHATIMI, KUTOKA KENYA 🇰🇪 254
VIONGOZI WA SEREKALI MAWAZIRI WATAMBIANA KWENYE USOMAJI WA QASWIDA NA MILANGO YA MAULIDI MKURANGA
Переглядів 253Місяць тому
VIONGOZI WA SEREKALI MAWAZIRI WATAMBIANA KWENYE USOMAJI WA QASWIDA NA MILANGO YA MAULIDI MKURANGA
NANI ZAIDI KWENYE KUGHANI? NA HII NDIO MADRASA ALIYOSOMA MBUNGE WA MKURANGA MH ABDALLAH ULEGA
Переглядів 807Місяць тому
NANI ZAIDI KWENYE KUGHANI? NA HII NDIO MADRASA ALIYOSOMA MBUNGE WA MKURANGA MH ABDALLAH ULEGA
UTAMBULISHO WA MASHEIKH MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA BAKWATA MKOA WA MKURANGA PWANI
Переглядів 2 тис.Місяць тому
UTAMBULISHO WA MASHEIKH MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA BAKWATA MKOA WA MKURANGA PWANI
SHEIKH SHABANI, SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA, ASISITIZA AMANI, MKURANGA PWANI
Переглядів 633Місяць тому
SHEIKH SHABANI, SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA, ASISITIZA AMANI, MKURANGA PWANI
RIDHIWANI KIKWETE NI MIONGONI MWA WALIOTAMBULISHWA NA MKUU WA MKOA WA PWANI ABDALLAH KUNENGE
Переглядів 796Місяць тому
RIDHIWANI KIKWETE NI MIONGONI MWA WALIOTAMBULISHWA NA MKUU WA MKOA WA PWANI ABDALLAH KUNENGE
MAPACHA WA MTUME HASSAN NASORO NA HUSSEIN NASORO, WAKISOMA MLANGO WA PILI, MKURANGA PWANI 2024
Переглядів 378Місяць тому
MAPACHA WA MTUME HASSAN NASORO NA HUSSEIN NASORO, WAKISOMA MLANGO WA PILI, MKURANGA PWANI 2024
MNAOMBA KURA KWA MATUSI NA KUWAFEDHEHESHA WENGINE, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, AWAPA MAKAVU WANASIASA
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
MNAOMBA KURA KWA MATUSI NA KUWAFEDHEHESHA WENGINE, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, AWAPA MAKAVU WANASIASA
WAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKISOMA MLANGO WA KWANZA
Переглядів 546Місяць тому
WAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKISOMA MLANGO WA KWANZA
WAZIRI MPYA WA UJENZI MH ULEGA AMFUNDISHA BABU TALE KUTINGA QASWIDA YA AL,AZHARI, MKURANGA PWANI
Переглядів 1,6 тис.Місяць тому
WAZIRI MPYA WA UJENZI MH ULEGA AMFUNDISHA BABU TALE KUTINGA QASWIDA YA AL,AZHARI, MKURANGA PWANI
SIO LAZIMA KUFATA DINI YENU, SAYYID SALEHE AL, AHDARI. KUTOKA KENYA 254 🇰🇪
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
SIO LAZIMA KUFATA DINI YENU, SAYYID SALEHE AL, AHDARI. KUTOKA KENYA 254 🇰🇪
QARY HASSAN MTULILA, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MAULIDI YA MKOA MKURANGA PWANI
Переглядів 432Місяць тому
QARY HASSAN MTULILA, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MAULIDI YA MKOA MKURANGA PWANI
SHEIKH TWALIB AHMAD ABDALLAH, AFUNGA HADHARA YA MKURANGA PWANI KWA DUA NZITO
Переглядів 234Місяць тому
SHEIKH TWALIB AHMAD ABDALLAH, AFUNGA HADHARA YA MKURANGA PWANI KWA DUA NZITO

КОМЕНТАРІ

  • @SaidaShekale-e4k
    @SaidaShekale-e4k 4 години тому

    MASHAALLAH

  • @FetyBeka-p3o
    @FetyBeka-p3o 4 години тому

    Alwaa 2:28

  • @FetyBeka-p3o
    @FetyBeka-p3o 4 години тому

    Alwaa

  • @FetyBeka-p3o
    @FetyBeka-p3o 4 години тому

    Mashaalwaa

  • @TheKhalefh
    @TheKhalefh День тому

    urais kapewa na nani kwanza kuna urais wa quran duniani hamuachi ujinga kila siku kuleta mambo ambayo hayakuepo na kujifakharisha kwenye dini hakuna kujifakharisha kaeni kwenye njia ya sawasawa acheni mchezo na dini hii DINI inamisingi na sheria zake musije na ujinga mkapotosha watu kesho mtakuja na waziri wa quran hamuna tofaut na wasanii hii DINI sio usanii kuweni shikeni mwendo ambao umeacha na MTUME na MASWAHABA ZAKE PAMOJA NA AHLUL ELMU.

  • @abdulali753
    @abdulali753 День тому

    Sheikh maneno mazito

  • @JaziraAvubalar
    @JaziraAvubalar День тому

    ❤❤

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 2 дні тому

    doooh! Sheikh katoka kweli hivyooo😂

  • @ShedrakShedrak-c1q
    @ShedrakShedrak-c1q 2 дні тому

    Kachaguliwa na nani kuwa raisi wa wasomaji? Mnapeana vyeo tu.

  • @MwinyiMaalim
    @MwinyiMaalim 2 дні тому

    Allah akuhifadh sheikh wetu yani napend kukusikiliza sna haswa unapotoa visa vya manabii hunikosha sna nafsi Yngu pamoja na othuman maalim Allah awahifadhi

  • @ZagazagaTanga
    @ZagazagaTanga 3 дні тому

    Sadakta ss tuna tabia na khulka tabia inabadilika khulka haibadiliki khulka ina mualaka na roho ya mwanadam tabia ninafsi inayobadilika badilika

  • @HemediMagwadu
    @HemediMagwadu 3 дні тому

    Shamsi maarif ni daarul maarif

  • @RukaiyaMustaph
    @RukaiyaMustaph 3 дні тому

    Ashaaaaalahhhhh

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 4 дні тому

    Mashallah. The holy quraan read in a beautiful voice and calmness..Allah akubarik

  • @JumanneJumampunga
    @JumanneJumampunga 20 днів тому

    Shekhe aslawiallaah akupe pepo kaka Angu

  • @ShabaniMwalimu
    @ShabaniMwalimu 28 днів тому

    هو سماكم مسلمين حقا ان الضمير يعود لابراهيم

  • @SalamaMohammade
    @SalamaMohammade Місяць тому

    Najivunia kuzaliwa muislam

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo Місяць тому

    Mawahabi la twaliinin

  • @jaabirbakar2081
    @jaabirbakar2081 Місяць тому

    Unachuki na ndugu zako katk iman uko tayar umsifu kafir kuliko muislam mwenzako,mtume kasema mnusuru yaan kua nae muislam anapodhulumu au kudhulumiwa,sasa vp ww chuki waz wazi,uislam n Aman vp ww useme hakuna chamaana ?fikir kbl yakusema akh wangu

  • @SalimOmar-r4g
    @SalimOmar-r4g Місяць тому

    Jaman raha kwel maulid

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 Місяць тому

    Shekh mtupu ufahamu democracy haina siasa nzuri daima siasa nzuri yapatikanwa kwenye uwislam

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Місяць тому

    Hakuna chaman hapo ni siasa tu

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota Місяць тому

    Mbn ck hz jukwaa la maulid linapoteza maudhui linakuwa ni politics platform

    • @khalidimuridi5958
      @khalidimuridi5958 Місяць тому

      Ww unaelewa yaliyop au unasem tuuu

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 Місяць тому

      Unataka atangaze chadema Kwa Nia ya kanisani

    • @HamisiJob
      @HamisiJob Місяць тому

      Ndio maana ya bidaa inaweza kuingiziwa chochote saa yoyote lkn Sunnah ubaki vile vile mpk kiyama

  • @saidiabubakari8581
    @saidiabubakari8581 Місяць тому

    Sasa chuki za nn . Achen chuki punguzen

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому

    January makamba katengenezewa skendo kwa uhasidi mkubwa!!! ulikuwa uiikatika umeme matusi chumgu nzima kwenye mitandao ya kijamii!! mbona bado umeme unakatika siku nzima lakini matusi hatuyaoni?

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Місяць тому

      Umeme c muhm muhm n ww kuhakikisha dini haikatik

  • @saniapembe1001
    @saniapembe1001 Місяць тому

    MASHALLAH MASHALLAH

  • @bagalucha
    @bagalucha Місяць тому

    Waislamu wote wanamsalia mtume,labda iwe sio muislamu huyo,Na hiyo Allah kaiweka katika kila sala za siku,za faradhi na sunna,huo ni utukufu mkubwa kumsalia mtume katika kila tashahud,Allah kaliweka hili kwa kujua,la umuhimu zaidi kufuata sunna zake za kweli,na kufuata alokuja nayo mtume Muhammad Sallalahu alayh wasalam,na kuacha mambo ya kuzua katika dini hii tukufu .

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Місяць тому

    Maulidi yenywe yapo kisiasa tu

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 Місяць тому

    tabia zunu ni tofauti namtume pia hamfanani na mtume kabisaa nyinyi mwajua hilo

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Місяць тому

      Kweli hatufanan mtume n muarabu

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 Місяць тому

      @AdamChogo nikwel siku laumu ndo ufahamu wakisufi huo hd uwe mwarabu ndo kufanana sio hulka na tabia sasa sijui mtume wa masufi ni mwafria 🤣🤣 ndo mfanane 💊

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Місяць тому

      @@jumanneissa8226 we ulmaansha hatufanan na mtume kwa tunayoyafanya ukiwa unaitakid nyie ndiyo mnafanana na mtume kumbe nyie n dhulkhuweisira ndye mnafanana nae nmkujb mtume n muarabu kwa akili yako ndogo ya kufkir ukaingia kibalbala

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 Місяць тому

      @@AdamChogo jifunze kuandika bc maana hueleweki au hujamaliza shuleya msingi au unaandika ki bidaa 😂😂

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Місяць тому

      @jumanneissa8226 we ndio huelew hukuelewa mafhum utaelewa hk kiswahili ndio maana unadandia dini toka Najd

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 Місяць тому

    hahahaha😂 wewe aliekulazimasha kufata dini za wengine ninani? au ndo ujingawenutu masuf 😂

    • @AdamChogo
      @AdamChogo Місяць тому

      Kwan umcklza ukaelewa au umeuwahab mada

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 Місяць тому

      @AdamChogo kunakuelewa na kuifahamu maana kwa haq pia kuna ushabikq hata kwenye ujinga ndo wewe 💊

  • @RukaiyaMustaph
    @RukaiyaMustaph Місяць тому

    Mashaaaaaalahhhhh

  • @IbrahimuMgweno
    @IbrahimuMgweno Місяць тому

    Allah akupe afya njema shekhe

  • @ibrahimmtipuka7793
    @ibrahimmtipuka7793 Місяць тому

    Aamiin yaa rabbi tukubalie sote inshaa-allaah 🎉🎉🎉

  • @Hamisjuma-u6j
    @Hamisjuma-u6j Місяць тому

    Allaah awahfadh mashekh zetu

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 Місяць тому

    ALLAAH AKUPE KHERI

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 Місяць тому

    Mashaallah

  • @ExcitedAtv-qx5pt
    @ExcitedAtv-qx5pt Місяць тому

    mashallah

  • @biramla-f5r
    @biramla-f5r Місяць тому

    Mashallah❤❤❤❤❤❤❤

  • @hanifaalsalamy2935
    @hanifaalsalamy2935 Місяць тому

    MashaAllah tabarakallah

  • @hanifaalsalamy2935
    @hanifaalsalamy2935 Місяць тому

    MashaAllah tabarakallah

  • @OthmanMaalim-xs6ol
    @OthmanMaalim-xs6ol Місяць тому

    Jaman tuwacheni matusi mbn hatuna adabu je mtume alitukana?

  • @OthmanMaalim-xs6ol
    @OthmanMaalim-xs6ol Місяць тому

    Ostadh zungu ww unajuwa kiish nawatu san allah akuhifadh

  • @SeifuJambia
    @SeifuJambia Місяць тому

    Kama haya kuhusu fanya yanayoo

  • @SeifuJambia
    @SeifuJambia Місяць тому

    Kama haya kuhusu fanya yanayoo

  • @KipendeSaid
    @KipendeSaid Місяць тому

    Mashaallah Allah amruzuku afya njema na umri mrefu wenye manufaa insha Allah ❤

  • @Al-farsy-l6p
    @Al-farsy-l6p Місяць тому

    Mm ni comment nn jmn kila kitu mumeniwahi, Alhamdulillah, mashaallah, vyakurithi vinazidi kumbe kitu kipo sawa kila sector

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f Місяць тому

    Mashaallah mashaallah Alhamdulillah,❤❤❤❤

  • @Zuhura-u5h
    @Zuhura-u5h Місяць тому

    Mashallah hadi chozi la furaha limenitoka

  • @MustaphaKiluke
    @MustaphaKiluke Місяць тому

    MashaAllah