Kwan jaman mbona mm sielew namba mnieleweshe huyu diva mtangazaj wa clouds ndio aliolewa na yule abdull a.k.a devis wa jua kali au ni huyu lulu diva a.k.a vivian wa jua kali maan sielew eti nmekutia stor kati😂😂
Mzungu😂😂 mzungu kwio 😂 hivi anawajua wazungu au anawsikia.. kwanza hakuna mzungu anawezaishi maisha ya Dida.. mzungu anaweza kuwa na Hela za kutosha lakini Hana maonesho kama ya Dida .. wazungu Wana mipango na bajeti Hatari 😅😅
Nimejaribu kufatilia video za Diva na comment za mashabiki zake sijaona zaid watu wengi kumponda ponda diva akili hana mara masifa mara ajitambuwi nilitamani kupata comment nzuri sijaona bado😂😂😂😂
Yani angekuwa na umbo zuri tungeteseka 😂😂😂😂 sura kama embe iliyokanyagwa Shep kama kapigwa tekeamatako du tumbo limeshuka hata uchi wake hauoni mmi nimezaa ila ukiniona umbo langu lote na sura yake hanifikii😂😂😂
Hii yote ni kutaka umaarufu ni ukuu na kujitesa sasa jamani si utakutesa na kuwa kichekesho tu si uishi maisha yako kuliko hayo mateso mazito na majonzi
Watanzania Wengi munako erekea Yani 89%😀😀😀😄😄 wote ni English tu kiswahili acheni mutumie Rugha zakigeni kama Kirundi, France. .... Ira Kiswahili Kiko kinawatoka😀😀😀
Ila watangazaji,
Imagination is everything. It is the preview of life's coming attractions. keep dreaming girl🎉
😂😂😂😂eeehee aibu naona mimi mtazamaji😂😂
Diva is sweet crazy 🤪 😂😂😂 😂 Smart and funny. Hachoshi kumsikiliza. Ana kipaji kikubwa cha kuzungumza. A good story teller.❤
Kweli kabisa
Huyu dada naoa anaanza kuwa kichaa kwa uongo sasa
😂😂
😂😂😂😂yaani limejaa kama furushi la mwizi kwanza🤦🏽♀️👀😭
Ukichaa kaukwaa siku nyingi huyu anatakiwa apelekwe kufungiwa mahali
😂😂😂😅😅
Anaona sifa huyu lione linavyokula
Huyu kweli kichaa
Diva anahangaika sanaa 😂😂😂
Ha ha haaaa
Jamani😢 masikini diva kachanganyikiwa anajiongelea vitu havina maana kama chizi now kamwingilia Fredy vunjabei😭ni huzuni😭😭😭😭😭
Mwanamke akiachwa huwa anakua kichaa kidogo😮
Tuyu kazidi
Ni huyu tu taila
Hivi huyu bibi akifungwa kamba akapelekwa mirembe kupimwa akili zitakua zimechotwa kiasi gani jamani
😂😂😂😂😂
@@agriparose3942 huyo kigagula Tatizo tunampa tension,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Diva Mimi na wewe bega kwa bega mpaka mapenzi yakuuee 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Shenzi kabisa et begs kwa begs mpaka yakuue😂😂😂 looh bongo sihami
@@MbarikiwaWilliam-i7n mpaka mapenzi yamtoe roho 🤣🤣🤣 mimi namuunga mkono kwa kila kitu
Ila wee binti una mashauz sana unapenda makuu sana, MUNGU akusaidie sana
Huyu ni wazimu😂😂😂
😂😂😂😂😂
Stress mbaya jamani😂😂😂😂
Diva mnyamwezi sana ❤❤❤❤
Msimuamini Sana uyu dada mtakuja kunishukuru😂anapenda kutunga uongo
Mwizi uyu dada tena tapeli mkubwa mh 😂😂😂😂😮😮😮😢😢
Unahela gani yakutapeliwa fala wewe
🤣🤣🤣 mungu akubariki mume jmn unanitia uruma
Au Diva navRoja wanavuta Bangeee
Hiyo stress ya kuachwa na mganga wa kienyeji
😂😂😂😂
Wooie huyu ashakuwa mwehu sasa.....mzungu aliishia wapi😂😂
Kama hii story kweli huyo vunjabei naye apelekwe milembe😂😂😂. Yani amekosa wanawake wa kumzalia
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
nimejikuta nacheka tu cjui nacheka nini😆😆
😊😊😊😊😊😊😊uwiiiiiiiii
Anamrusha Roho Ex wake🤣🤣
Umeonaaaa😂🤣😂Chezea kuachwaa 😂🤣
Ama kweli mwendawazimu hajifichi, anatangaza umalaya wake
Jaman hata nyinyi mtaan mnachana mnaingia kwenye mahusiano mwacho ndio wakati wake diva ringa dada wakati wako huo umefika
diva napenda kucha zako very simple . ila mengine walai niokotwe 😂😂
🤣🤣🤣🤣 diva mshezi sana weeeeee hapo kwenye Bahar umeniacha hoyi
Uwiiii dadazetu aibu naona Mimi Kama mtambo hivi unasetiwa🤣
Eti Baby Dady Kapendeza 🤣🤣🤣
Naangalia tyu hii interview ila naona aibu mimi mbna amechanganikiwa sana
😂😂😂😂😂😂
Yani anajirazimisha kupedwa
Sema wat hawana kinyaa huyu mwanamke ajitambui hata nusu
Huyu diva nikichaa ila watu hawajui
Kwa sura nzito, hiyo sauti utasema inatoka kwa mtu mwingine Daah mungu fundi wezi kukupa vyote.
Wengine tu mna wivu maisha ya Diva hamyawezi 😂😂😂 hata mkimsema vipi hayo ndo maisha yake Go Diva go 😂
Unajigamba sana ona dida mwenziyo yuko wapi
Hili li dada liongo sana.
Eeeeeh mungu musaidie umupe mume wamaisha yake Amen🙏🏾
Tuache utani hili lidemu English iko pouwa Sana. Na kipindi chake ni so romantiki sana. Mengine huyu ni mwanadamu.
Yuko vzur na ni mzuri mengine ni mapungufu tu
Hakumzalia Mganga ndo mwenye Dawa,Huyo vunja Bei tia maji Dada pole kiki Abdul nomber One
@@HannanSomaiyah-wp7ny 😂🤣😂✍🏽🤝🤝🤝💯
Nimecheka sana
Kwan jaman mbona mm sielew namba mnieleweshe huyu diva mtangazaj wa clouds ndio aliolewa na yule abdull a.k.a devis wa jua kali au ni huyu lulu diva a.k.a vivian wa jua kali maan sielew eti nmekutia stor kati😂😂
@ 😂🤣😂🤣🤣🤗😂🤣😂😂Ni Huyu Diva Shangaziiiiiiiiiiijishangaziiiiiii🗣️chukua kigoda msikilize Mwajumaaaaa 😂🤣😂🤣😂Chezea mwajuma wa Buza weweee 🗣️😂🤣🫶🏾
Ila English yake iko poa sana
😂😂😂icho ndio kajaaliwa
Huyu mwanamke sio Mzima
Amna mapenzi apo ni ela tu kanatfuta ako ka sley queen
😂🤣🤣🫣🫣🫣Mzungu amekukataa sasa unajibabatisha kwa fred lo! Wewe unatembeza maradhi tuuu shenziii chizi msukule🤔🫣
Mzungu😂😂 mzungu kwio 😂 hivi anawajua wazungu au anawsikia.. kwanza hakuna mzungu anawezaishi maisha ya Dida.. mzungu anaweza kuwa na Hela za kutosha lakini Hana maonesho kama ya Dida .. wazungu Wana mipango na bajeti Hatari 😅😅
@@annasolomon9855 😳🤔🤔Divaaaa 🫵🏾Sio Dida😭😭😭
@@annasolomon9855 😂🤣😂🫣😂🤣🤣
Hivi unawezaje kula mbele ya camera jamani mmm unajiweza freed anapita tu hawezi kuweka makazi mda wote una miwani kama kobe unajigamba fyuuuuu
Mmh leo nimeamini kuwa huyu dada hana akili.
😂😂😂😂😅😅😢😢 mwanaume anae mpenda uyu dada hakiri hana kabisa wanaume mufanyiwe maombi ujiurizi uyu kwa nn awezi kuvua wigi 😂😂😂😂😂😂umasikin ni shida kweli
Nimejaribu kufatilia video za Diva na comment za mashabiki zake sijaona zaid watu wengi kumponda ponda diva akili hana mara masifa mara ajitambuwi nilitamani kupata comment nzuri sijaona bado😂😂😂😂
Hamkalibishi mwenzie masikini😢
Dah unanichekesha😂😂😂😂
Diva sauti yako ninzur😊
Kwani wazungu wanakulaga hiv😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅upumbavu upo katikati ya utosiii
😂😂😂😂😂 yani sijui wazazi wake wanajisikiaje
Inna lilahy wainna ilay'hi rajoun ..... Huyu hajafikwa na msiba au vp , "lahaula"..... # 😢
Mbona leo pua pana siyo ya kwenye picha😂😂😂
Mganga hakukupatia mbegu na umeishi nae leo huko utazaa
Anamayai ayatoe wapi ye atombwe tu kuzaa awaachie wengine
Fanya kazi kama wadada wengine acha udangaji
Kama ni kweli vunja bei nae atakua na shida.
Anashida huyu dada hayupo sawa kavurugwa
Yani angekuwa na umbo zuri tungeteseka 😂😂😂😂 sura kama embe iliyokanyagwa Shep kama kapigwa tekeamatako du tumbo limeshuka hata uchi wake hauoni mmi nimezaa ila ukiniona umbo langu lote na sura yake hanifikii😂😂😂
Hiv huyu anakuwagaa na akili vzur kweli?
Hii yote ni kutaka umaarufu ni ukuu na kujitesa sasa jamani si utakutesa na kuwa kichekesho tu si uishi maisha yako kuliko hayo mateso mazito na majonzi
Atume ya kiswahili vunja bei hajui kingereza😂😂
Tabia mbaya kula huku unaongea mbele ya camera
Limbukeni wa vyote dunian😂😂
Huyu dada nilikua namkubali.ila daah!kumbe anamambo ya kishamba.eti apo musichokijua anamrusha ruho aliekua mumewake hana lolote na mtumbo wake.
Jaman😂😂
Abdul kashamroga maskini diva 👨🎤 😂😂😂
Vunja bei hajawahi huweka wazi mahusiano yake ila vimada ndio wanahangaika
Kweliii
Huyu dada kweli kichwan hayupo sw
Mwenye akili timamu hawezi oa pimbi kama huyo ndo maana kaachika, haifai hata Kwa supu
Hiv Kwan huwa mnamuhoji huyu kichaa nyie mnampenda sana au hua anawalipa
love u Diva
ila wabongo kuna akili flani hv ya kuchanganua mambo tumepewa😂😂sijui kwnn tunaamini vunja bei hawezi kbs kutoka na diva
Isije ikawa shehe mganga kamfanyia jambo Diva jamani maana hii si kawaida
😂😂😂😂 namm nimesema kimoyo moyo
Mtangazaji acha unafiki jmniii😅😅😂😂
Huyu naye kumbe yuko, maringo sana nkt
nahisi yule jamaa amemfanyia kitu ajamuacha salama 😅
Ivi vunja bei uwa anaferi wapi jamani Sawa ata kama ivi Vidada vinajulikana ila havijakaa kimvuto kabisa
Nani kaona bibi kajiramba vidole😂😂😂
Family nyingne nimapepo..kwastahili hiii cjui kizazi chawatoto kitakuwaje mmmh wamepitaweng mwenye pesa cyo wakwako..unavyozani utanye2keya mpk utakoma...unapendasifa naumaarufu utaelewa tuuu maana yakupendapesa nini ?
Kiboko yake Dida huyo😂
😮😮 watoto 3😅😅
Jamani hiki kibwengo kimetoka wapiii.
Mmh kwa hiyo sura au
haki huyu dada kuna fuse zimechomoka kichwan mwake
Huyu hayuko sawa hata ukimsikiliza
Afya ya akili😅😅😅😅
Jocket kazi anayo haki nae aliyataka kuzaa namaya huwa anabahati yakupata bwana mpaka adadie wawenzie Jocket ukome kujihaibisha
Huyu afanyiwe maombi alisema atolewe mahari milion 500 lakini mganga akamuoa bule atamloga na akili😂😂😂
Dunia hii tunapita kujigamba sana hakutakusaidia
Mwambie mjinga huyo na minywele yake kama msukule
Ata x wake alisema alikua rafiki yake na uyo Fred itakua ivyo ivyo Diva anaujinga wake Mzungu yeye Mshamba yeye Mswahili yeye awezi kuwa na Mume
Hiyo note voice umetuma kwa mtangazaji acha hizoooo😂😂😂 huwezi elewa kama ujachanja .
Mtangazaji 😂😂😂 umenifurahisha unavyompamba eti uko poa shemela 😂😂
Haki Diva that why i love u ❤️ 4.5 million 😂😅😅
Mtangazaji mnafku😂😂😂😂😂kigagura anapenda sifa uyu
MBONA SIJAKUONA KWENYE MSIBA WA DIDA
Watanzania Wengi munako erekea Yani 89%😀😀😀😄😄 wote ni English tu kiswahili acheni mutumie Rugha zakigeni kama Kirundi, France. .... Ira Kiswahili Kiko kinawatoka😀😀😀
Huyu ni kichaa, anataka kukupita tu
*hivi mtangazaji unajua kingeleza kweli*
Usema kweli fredi vunja bei huyu mkinga hawezi kutoka na ww
4.5M 😅😅😅😅😅😅😅😅nyieeee ila huyu kwa ujinga
NA YULE DELULU ALIISHIA WAPI
Umekaaa kama jini mahaba mtoa roho za watu hivyo ulivyo shetani rajimi
Umesoma ulichokiandika?