Nimempenda huyu mama sana jinsi anavomshauri mwanae heshima ni kila kitu katika jamii hata sehemu ya KAZI heshima inakupa mafanikio na watu wengi watakusaport pia na kukuombea mafanikio safi sana MUNGU ampe mwanao hitaji lake aende mbele Zaidi🙏🙏🙏
Mahojiano yenye mvuto, mafunzo na mazingatio. Mama Dick anaongea kwa utulivu, hekima na busara. Mama wa aina hii lazima hekima yake iakisi tabia na makuzi ya mwanae na hii ndilo tunaliona kwa Dickson Job. Hongera sana mama Dick!
Kujenga kajenga Fei ispokuwa yeye aliitaji maslai sasa tusimchukie akidai maslai yake kwa akili ya ushabiki maana Hawa wachezaji ni wapi kazini kama wafanyakazi wengine tuuu

Mungu ni Mwema
Amin asant Mwanamke mwenzangu
Haya tegemea mwakabeta itope moja Hiyo hongera sanaaaa
Very very good information
Pitia na kwa kina kibwana shomari pia nae tujue stories zake
Tayari Dar24media tumeshafanya mahojiano na baba mzazi wa Kibwana Shomari na mahojiano yapo humu kwenye channel yetu
Kwakina kibwana kuzuri tu baba tuliona
Kumbe Joj job sio kakaake mzazii !
Ongera mama.
Mwananchi
Nendeni kwa akina bakar mwamnyeto tujue history yake tuige mwenendo za watt zetu
Ananini
@@khamisbk8569 si shabiki wake anataka kujua history yake
@@khamisbk8569 we unataka awe na nini
Mama job
Mama
🙏🙏
Kujenga kajenga Fei ispokuwa yeye aliitaji maslai sasa tusimchukie akidai maslai yake kwa akili ya ushabiki maana Hawa wachezaji ni wapi kazini kama wafanyakazi wengine tuuu
Ugali na sukari inamfaa fesal na mamaye.
Mama na Baba Job waelewa, siyo wale familia zisizo na shukrani kama akina wale wala ugali na sukari.