Pastor Carlos Kirimbai afunguka changamoto za kutokuwa na mke, 'Ndoa yangu ilinishinda'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 174

  • @NyotaMariamu-h1y
    @NyotaMariamu-h1y Рік тому +1

    Pole baba, mwenye hajapitia hiyo changamoto ya ndoa hewezi kukuelewa,kuna maumivu makali zaidi katika kuvunjika kwa ndoa,hata yangu imevunjika ,najaribu kumuomba msamaa anakataa,na akapita anaoa mke mwengine,ila shauri yangu,jaribu kumrudisha mkeo.

  • @DEEP.WORSHIP
    @DEEP.WORSHIP Рік тому +3

    Very honest uyu Mtumishi wa Mungu..
    Neema ya Mungu ikuhifadhi Baba na mapenzi ya Mungu yatimizwe kwako

  • @DEEP.WORSHIP
    @DEEP.WORSHIP Рік тому +1

    Nimekupenda mtangazaji yaani uko vizuri full of wisdom

  • @Loudlovealways
    @Loudlovealways Рік тому +15

    I always love my PAPAA he is full of wisdom Najivunia wewe baba angu wewe ni hadhina ya kizazi hiki aiseee

  • @pendomwiburi
    @pendomwiburi Рік тому +7

    Ninapata feeling like soon mtarudiana na tutaselebrate❤ yaaani soon! I love the transparency 🤭 sio watumish wengi hueweza kusema ugumu wanaopitia

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому

    Pole sana pastor carlos nimependa na ile jinsi unavyo hifadhi maneno, Mungu azungumze na mioyo yenu ili msameheane na kurudisha ndoa yenu. Watoto na jamii inayowazunguka inaumia. MKE WA CARLOS POPOTE ULIPO NA UKOSE AMANI MPAKA UTAKAPOJIKOSOA NA KUOMBA MSAMAHA NA KURUDI KWA MMEO. Haya ni maombi yangu kwako Yesu kristo na nimeamini umeshayatenda. AMENI.

  • @tumainmwamatenge4575
    @tumainmwamatenge4575 3 місяці тому

    MUNGU Akutunze saana Babaang wa Thamani,,,,,Kuna tunaopona Kwa huduma iliyo ndani yako

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 Рік тому +6

    Mungu akubariki sana mchungaji.
    Wewe ni mwalimu wa wengi sana.

  • @ElizabethNyenza-nr2zd
    @ElizabethNyenza-nr2zd Рік тому +3

    We love you pastor,
    Una kitu cha kipekee Sana Mungu amekupa,Kama ndoa itakuwa ni chanzo cha hicho kitu kupotea ndani yako baba kaa tu hivyo tuendelee kupona tunao kuelewa,huwezi kuridhisha watu elfu moja na kupoteza roho za watu billions huko,
    Mungu azidi kukutunza baba yetu!!!

    • @marykaaya6314
      @marykaaya6314 Рік тому

      Nashukuru kukuona hapo, niliwahi kuwa kwenye group lako la ulikuwa unatutumia mafundisho. Naomba kama bado lipo naomba niunge Tena yalinisaidia sana

  • @rev.musabalalarogersmusabalala

    Mchungaji Carlos Mungu akutunze nimekusikiliza na sikuwahi kujua umepitia wakati huu mgumu !

  • @dorissaivoiye687
    @dorissaivoiye687 Рік тому +2

    Umeongea point nzur sana kaka Carlos Mungu azid kukutunza ikimpendeza Mungu mrudiane na mkeo❤

  • @stevenlevittt
    @stevenlevittt Рік тому +7

    Dear Pastor Carlos Kirimbai,
    Thank you for opening up about the challenges you faced in your previous marriage. It takes courage to share such personal experiences, especially in a public forum. Your transparency and vulnerability can have a profound impact on those who may be going through similar difficulties.
    Marriage is a complex journey, and it's reassuring to know that even spiritual leaders like yourself have faced obstacles along the way. By sharing your story, you provide hope and encouragement to others who may be struggling, reminding them that they are not alone.
    It's essential to foster a community where people can openly discuss the challenges they face, especially within the context of marriage. By doing so, we create an environment that promotes understanding, empathy, and growth.
    Thank you once again for your willingness to share your experiences. Your honesty and authenticity serve as a reminder that we are all imperfect beings, and it is through our challenges that we learn, grow, and find redemption.
    Wishing you strength, healing, and continued wisdom as you navigate life's ups and downs.
    Warm regards,
    Steven

    • @benswai8099
      @benswai8099 Рік тому +1

      I have loved your communicating ability

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 Рік тому +8

    Very painful experience. Mungu aendelee Kukupa neema na uponyaji. Hata hivyo, ni fundisho kwa wanandoa. Thank you very much Pastor Carlos Rick William Kirimbai. Nimejifunza

    • @yakobondakala4853
      @yakobondakala4853 Рік тому

      Kwelii kabisa so painful lakini huyu dada sijapenda kumuuliza pastor haya maswali

  • @kamwende
    @kamwende Рік тому +1

    Asante sana nimefurahi kuona my mentor my pastor and my friend through his Whatsapp group 🙏

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 Рік тому +1

    Pole sana mtumishi kwa tatizo na changamoto unayopitia. Mungu siku moja atakujibu na kukupa maamuzi ya busara. Nakufahamu siku nyingi ni muwazi na mwalimu mzuri wa neno la Mungu.

  • @mtumejosephgoliama6159
    @mtumejosephgoliama6159 Рік тому

    Pastor Carlos pole kwa yote unayoyapitia. Naona huruma sana kwasababu naujua moyo wako. Sijajua kwanini umeamua kukaa pekee yako bila kuoa tena, namuomba Mungu akupe neema ufanye maamuzi yakua na mke tena. Oa bana fanya maamuzi sasa. Sioni sababu kwanini usioe nashauri uoe kwasababu ndio namna pekee yakua na mafanikio kiroho na kimwili

  • @Loudlovealways
    @Loudlovealways Рік тому +5

    Pole saana mzeee wangu endelea mbele wanufaika wa huduma yako ni wengi kuliko wapiga umbea we love you more Daddy 🤍🙌🏼🙌🏼

  • @everkivuyo8596
    @everkivuyo8596 Рік тому +6

    Nakupenda sana baba angu kirimbai Mungu akuponye akusaidie kiukweli ndoa zinahitaj neema kubwa

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 Рік тому +3

    My Pastor.......Nampenda sana , ananibariki mno na mafundisho yake...

  • @leahwefila2282
    @leahwefila2282 Рік тому +7

    My best spiritual pastor .may God be with you pastor ❤❤

  • @mariethamtawa314
    @mariethamtawa314 Рік тому +11

    Pastor I never knew this about you. Ndo nayajua saizi, regardless I hold very high regard for you and all that God is doing through you. Pole for all the stigma, Keep going man of God.

  • @colkiwale4973
    @colkiwale4973 Рік тому +3

    Pole sana Pastor. Miaka mingi iliyopita niliwahi kukuona zaidi ya mara moja kwenye Mikutano ya Injili wewe, ex-wife wako na watoto wako wakiwa wadogo sana. It was so lovely to see your family in such a tied union. Sorry for what happened. Keep on going. You are such an honest person. God bless you!

  • @patrickkiilu3962
    @patrickkiilu3962 Рік тому +2

    Mungu ana kusudi LA kila jambo analo mtendea mwanadamu so apa ndoa yako ilitumika kama daraja ili wengi wapate elimu. Kumbuka Mungu alimtoa mwanae Wa pekee ili wamuaminio wasipotee mbali wawe na uzima Wa milele

  • @estherynyagawa6839
    @estherynyagawa6839 Рік тому +6

    I remember we used to play basketball together at UDSM - ulikuwa first year mimi nikiwa finalist! I totally agree with you that you're the best tutor when it comes to marriage and relationships. Keep it up, do what you were called to do.

  • @rosemaryshio5493
    @rosemaryshio5493 Рік тому +7

    Whatever the case mafundisho yake yana tutoa Sana'a 🎉🎉❤❤

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 Рік тому +1

    Ukweli na uwazi umweke mtu huru maishani.
    Uzoefu wako Mchungaji naamini ni msaada kwa maelfu ya vijana ambao hawajaingia ndoani,hiyo post nilivyoisoma binafsi ilinipa tafakuri kubwa.
    Nakupongeza kumudu hiyo hali changamoto ya ndoa na huduma bado imekaa imara,na huduma yako bado inaendelea kutubariki kila uchao,
    Shukrani sana Pastor!....Kunta...Kinte.

  • @EvaBMkika
    @EvaBMkika Рік тому +8

    Ooh haleluya mimi kile na jua huyu pastor ameponya ndoa yangu tulitenana kwa miaka 8 lkn kupitia madundisho tu siyo kumwona na kumsimlia na kuniombea hapana hakuwa anafahamu kinachoendelea alisikia siku nikishududua the way madundisho yakeyameirejesha ndoa yangu so ninachojua ameponya ndoa yangu

  • @subirakomba
    @subirakomba Рік тому +7

    My dady❤❤❤ more love dady Mungu azidi kukupigania

    • @alexanderkabunduguru9839
      @alexanderkabunduguru9839 Рік тому

      Kwa kweli Pastor umekuwa Baraka mno ktk Maisha yangu nafuatilia sana mafundisho naona Mungu anaachilia kitu kikubwa ktk UPONYAJI WA NDOA..TUNAKUOMBEA KTK NYAKATI HIZI NDOA ZIPONYWE....

  • @editasikabenga3517
    @editasikabenga3517 Рік тому +2

    Bwana Yesu akutie nguvu Pastor

  • @MonicahMkamburi-sx4cm
    @MonicahMkamburi-sx4cm Рік тому +3

    Ooooooooh God!!!! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu alie hai akukumbuke kwa njia ya kipekee pastor... God has used you in a very special way and you have touched soo many souls.... I'm a beneficiary of what you do in the kingdom of God.... Nmeomba mungu alie kutumia kuponya wengi na akuponye, akuzidishie, akubariki.... Ajue venye atakurestore mpaka watu washangae..... Na wanaposhangaa mungu azidi kupewa sifa na utukufu in Jesus mighty name

  • @frankanatory6801
    @frankanatory6801 Рік тому

    God bless you pastor nmejifunza vitu vingi

  • @angelalyaruu7196
    @angelalyaruu7196 Рік тому +3

    I admire you.. Mungu aendelee kukutumia I pray one day your wife to come back.

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Рік тому +5

    Asante sana Pastor wangu.

  • @bildadlema2547
    @bildadlema2547 Рік тому +3

    Mmmmmh sikujua Pst Calos amepitia magumu hivi,,let's pray for him

  • @celestinamkamba4709
    @celestinamkamba4709 Рік тому

    Mungu naomba akutie nguvu ktk hili pito.Naomba Mungu akutunze .akulinde ktk kusudi lashetani kwako

  • @priscaadongo1922
    @priscaadongo1922 Рік тому +4

    Love to see you guys Mimi ni mwanafunzi wake kutoka Kenya

  • @harrietsolomon6163
    @harrietsolomon6163 3 місяці тому

    Pole kwa changamoto.

  • @mtumejosephgoliama6159
    @mtumejosephgoliama6159 Рік тому +1

    Pastor kama bado hujapona unahitaji ukombozi wa Mawazo. Usikubali kuishi na matatizo kwa kuyawaza yanachelewesha uponyaji wako wa moyo, Ukombozi wa mawazo utakupa mwanzo mpya. Ndugu yangu kuishi na Mungu kwenye mawazo kwa kumuwaza ndio namna pekee ya kupona na kuanza upya. Natamani KUSHARE nawewe kuhusu ukombozi wa mawazo. Mbona wengi tumepitia hayo na baadae tukapona mawazo yetu na sasa tulishaendelea na maisha yetu. Ndugu yangu kuishi na Mungu kwenye mawazo ndio msingi wa ukombozi wetu. Natamani KUSHARE nawewe nikupe kitabu changu cha ukombozi wa mawazo

  • @esthernyaga1766
    @esthernyaga1766 Рік тому

    Praise God pastor Mimi ni mkenya naitwa Esther na ni mchungaji naomba unipe nafasi tuoane

  • @anophrinedesdeus6139
    @anophrinedesdeus6139 Рік тому +4

    This is an eye opener. Thanks Pastor for sharing. ✍️

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 Рік тому +2

    Nakuelewa sana pastor Mungu Akubariki na kukutunza sana endelea mbele ,inahitaji akili ya kubwa sana kumuelewa huyu pastor na kama una akili za jujuu tu huwezi kumuelewa

  • @eng.kivuyo12
    @eng.kivuyo12 Рік тому +1

    God bless you, and thanks for sharing

  • @lydiahbhoke2284
    @lydiahbhoke2284 Рік тому +1

    Duh hii kama ndoa yangu and I am single 5years ago now!

  • @dorothychilembo-py7bo
    @dorothychilembo-py7bo Рік тому +2

    Mungu akutie nguvu pastor duniani hapa kitu kikubwa ni kumuangalia yes peke yake

  • @faustinemusunga5313
    @faustinemusunga5313 Рік тому +5

    Mtumishi wa Mungu Pastor Carlos, piga kazi songa mbele. Hao wachungaji wanaokusema kwa vile ndoa yako imepatwa na changamoto ni walewale binadamu ambao sote tuna asili ya kusema. Wewe una karama kubwa na unajitambua na neema ya Mungu imekufunika. Kazi unayoifanya kwa wanadamu pamoja na changamoto unayoipitia ni kubwa na imetukuka sana. Songa mbele Pastor wangu. Mbona hao hao wachungaji wanaokusema kuwa huwezi kuwashawishi lolote kwa vile ndoa yako imeharibika, wanatumia vitabu na mafundisho ya Paulo mtume ambaye ndiye ameandika vitabu vingi ktk agano jipya hakuwa ktk maisha ya ndoa? Tena wengi wa hao wachungaji wanaojaribu kukuona kama hufai, ndio tunasikia mengi wanayoyatenda gizani na kondoo wanaowachunga? What about wakatoliki ambao wachungaji wao hawaruhusiwi kuwa ktk maisha ya ndoa, bado wanaendelea na huduma zao za utumishi? Kwanza wewe kurhibitisha una neema kubwa ya Mungu imekuzunguka, unekuwa jasiri kiasi cha kutoka hadharani na kulisema hilo hadharani ili kuwasaidia wengine wengi wanaopitia changamoto ktk maisha ya ndoa. Mwenye akili zake anaiona hekima kubwa iliyojaa ktk maelezo yako. Ni ngumu sana kuwashawishi wanadamu au kuwaridhisha so wewe Pastor wangu songa mbele uendelee na kulitekeleza kusudi hilo jema ulilolibeba ndani yako ili vijana wengi wapate kujengwa ktk musingi bora ya Kikristo na hatimaye waishi maisha ya kumpendeza Mungu. Tuache mambo ya kuhukumiana maana hakuna mwanadamu aliye mkamirifu. Mungu Baba wa mbinguni akubariki sana Pastor wangu Carlos.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Siyo Kweli labda Mungu awe amekufa

    • @swahilistudiostz
      @swahilistudiostz Рік тому +1

      @@trophywilson7211uwokovu ni kwa ajili ya Dunia hii au mbinguni, na kama ni mbinguni huko utaulizwa cheti cha Ndoa?

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 Рік тому

    You have a special grace. Lamentations 3:22-23

  • @Joycematenga
    @Joycematenga Рік тому +5

    Tunashukuru Sana baba, Mungu azidi kukutia nguvu

    • @adveraruhere2393
      @adveraruhere2393 Рік тому

      Mchungaji unatufundisha nini? Maana yake Kila atakaekumbana na magumu aache ndoa yake? Soma Neno na ulielewe usituchanganye

    • @adveraruhere2393
      @adveraruhere2393 Рік тому

      Biblia imesema nachukia kuachana,wewe unachukuliaje na huyo roho anaekwambia mambo ya Mungu? Mimi Bado sikuamini kama umeokoka,Bado hutapata malaika hapa duniani,mtafute Mungu sana zaidi huuoni ufalme wa mbinguni wewe.wewe hukuwa na busara kuongea na mke wako

    • @adveraruhere2393
      @adveraruhere2393 Рік тому

      Mchungaji karlos hàta watoto ulionao wataishi maisha hayo unayoyaficha ,unà mabox tupu huna watoto maana wewe mwenhewe umefeli

    • @adveraruhere2393
      @adveraruhere2393 Рік тому

      Kumbe hujaokoka Bado ugumu wa moyo wako ndo umekuachanisha na mke wako, na usioe maana utakuwa unazini na mke wa pili

  • @annamsami2425
    @annamsami2425 Рік тому

    Pole mchungaji, mkeo atarudi hilo ni jaribu lako utashinda.

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 Рік тому +1

    @Nimekupenda sana pastor kwa njisi ulivyo Jasiri tatizo la watu ni watu wamwilini sana ukiwa mtu wa Rohoni uwezi kumhukum mtu maana kuna mapadri wanafungusha ndoa na hawana shida kabsa walokole kuna shida

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Hawakuwahi Kuingia ,Yeye aliingia Kuna Tofauti Pale

    • @upendojohn
      @upendojohn Рік тому

      Mchungaji endelea mbele watu wengi wapo kwenye ndoa na maumivumakali sana songa mbele baba Mbinguni hakuna tuzo ya ndoa fanya kazi ya Mungu

    • @upendojohn
      @upendojohn Рік тому

      Pastor fanya kazi ya Mungu . Mungu akupe Neema ya kushinda hili jaribu

    • @upendojohn
      @upendojohn Рік тому

      Utashinda baba . Kusema kweli Pastor anahitaji Maombi na sio kumpiga mawe tena. Mm nimejifunza kutoka kwake semina ya vijana ya beach 2001 niliyapenda mahusiano yao

  • @MarthaAmos-cl8zj
    @MarthaAmos-cl8zj Рік тому

    MUNGU atuvushe tu kwa mapenzi yake ayatimize mbarikiwe sana

  • @likekyamba399
    @likekyamba399 Рік тому +3

    Nimejifunza pakubwa sana from the Pastor umekuwa muwazi

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 Рік тому +5

    My spiritual Baba 🙏😍

  • @irenerobert9856
    @irenerobert9856 Рік тому +5

    My pastor🔥

  • @marymabula3878
    @marymabula3878 Рік тому

    Mmh pole,Bora ujane kuliko kuachana,

  • @alumakasuku1429
    @alumakasuku1429 Рік тому +1

    Amen. Naomba namba za huyo muchungaji

  • @enocknicholaus3258
    @enocknicholaus3258 Рік тому +3

    my pastor❤️😍

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 Рік тому

    Mungu akupe neema

  • @straton-shayo755
    @straton-shayo755 Рік тому

    Mshkaji wangu

  • @johnmbangwa1984
    @johnmbangwa1984 Рік тому +3

    Daaah, nimejifunza mengi sana, na mengine ndiyo nayapitia sasa, nimefahamu jambo hapa kuwa shetani akishindwa kuharibu huduma ya mtu kupitia njia zingine, anapitia kwenye ndoa, sasa naamini habari nilizo wahi kusikia kuhusu mtumishi mmoja ambaye ametangulia mbele za haki, kwamba alikutwa na umauti alipo sikia usaliti wa mkewe akiwa Israel, ninachokuomba Pastor kama utasoma coment yangu, hakikisha haufumbi macho kabla hujauweka uzoefu huu kwenye kitabu, kwaajiri ya kuponya ndoa za kizazi kijacho.

  • @cavitykimaro6386
    @cavitykimaro6386 3 місяці тому

    Leo nimwaka wa 5 toka niliachana yale matusi kejeli nilizopitia kwa kweli sitamani kabisa wala kufikiri swala la kuowa nashukuru Mungu watoto wamekuwa hakika maumivu ya ndoa kuachana nimakali sana sanaaa ambaye hajapitia hawezi kukuelewa

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 Рік тому +3

    Mungu wa mbinguni akupe nguvu uweze kuoa tena

    • @monicawagunda7751
      @monicawagunda7751 Рік тому

      Nawezaje kupata no. za huyu Pastor? Naona ni mtu ambaye anaweza kumfanyia mtu canceling akakaa sawa

  • @JACKLINELiwoga
    @JACKLINELiwoga Рік тому +2

    Yaani pastor Acha waangalie madhaifu lakini sisi Acha tuponywe ,iila najua si rahisi ila Mungu anamajibu zaid

  • @consolatateophil
    @consolatateophil Рік тому +7

    A true man of God

  • @realty8551
    @realty8551 Рік тому +1

    Mtimie kiengereza. Wakenya wanswatazama

  • @samwelmartine8209
    @samwelmartine8209 Рік тому +5

    Tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwa upande wetu ninani aliye juu yetu.. Hata sasa Mungu amekusaidia pastor

  • @mangakwigema
    @mangakwigema Рік тому +1

    So wise!

  • @lucykariuki9990
    @lucykariuki9990 Рік тому +2

    I love this teacher of the word.

  • @phinerjulius8487
    @phinerjulius8487 Рік тому +1

    Nilikuwa najiuliza ni yupi mke wako pale kanisani.
    MUNGU anamakusidi yake katika kila jambo.
    Asante mm nimeiludia ii mala 3 .
    SNS mala 2 na hii pia . Umenifunza sn pastor Asante sana

  • @tausimwinuka
    @tausimwinuka Рік тому

    Mungu akusaidie usikumbuke ya nyuma dah😭😭😭ina umiza kiukweli

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Pastor Ulichemsha Kusoma Vitabu eti iwe Suluhu la Ndoa ,Ungeingia Magotini

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 9 місяців тому

    Limbwata umelisha

  • @denisernest6266
    @denisernest6266 Рік тому +1

    Mbona kama hii episode imekatishwa,, 😄,, where is the rest of it..

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 Рік тому +2

    Yaani kweli ni changamoto. Shetani hapendi kuona mambo mazuri

  • @kakajoeprosper957
    @kakajoeprosper957 Рік тому +2

    Pole sana Pastor, Ila kuoa tena sio suluhisho la tatizo kwa sababu ni kama unaongeza pétrole kwenye moto, jitahidi umutafute mkeo ili utengeneze mambo ya nyumba yako

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Hakukuumba Usioe Huo ni udhaifu na kujirahisishia,Maana Mungu alimuumba Adamu na Eva

    • @naominyanzilamachongo9642
      @naominyanzilamachongo9642 Рік тому

      Kuoa ni amri ya ngapi? Kuumba Adam na Eva haimlazimishi kila mtu kuoa au kuolewa. Ndiyo maana Yesu alpokua mwanadamu hakujishughulisha na akina eva alifanya kazi hivyohivyo bila ndoa.
      Unapocoment vitu vipime kwanza. Na unaonekana kumshambulia kweli pastor like wewe ni naibu jesus.

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 Рік тому

      ​@@naominyanzilamachongo9642 naibu Yesu hahaha

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 Рік тому +5

    Mr Carlos bado unampenda mke wako Sana mridiane kila mtu ashjua makosa yake msameane mridiane

    • @ramamrutu4914
      @ramamrutu4914 Рік тому

      Kutakuwa hakuna upendo coz ukisikiliza vizur utaona mwanaume akipatwa na kitu kama hicho anapata ugonjwa wa akili

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      ​@@ramamrutu4914 maana yake hajasamehe,Wanawake mbona tunapitia Zaidi ya Hayo??

    • @ramamrutu4914
      @ramamrutu4914 Рік тому

      @@trophywilson7211 no, samahan nahisi utakuwa haujanielewa ngoja nijaribu kukuelewesha iko ivi, mwanaume alie kwenye ndoa , akipata taarifa kuwa mke wake sio mwaminifu kwanza anashituka then anarelax alf anaanza kufutilia nukta kwa nukta so akiisha kamilisha na akapata ushaidi basi mwanaume anapata ugonjwa wa akili, kwa mantiki hiyo hata kama atamsamehe mke wake ila bado atakuwa na ugonjwa akili coz mwanaume hasau , mwanaume hajaumbwa kusahau hivyo atakuwa anakumbuka yale mambo yote yaliotokea hivyo hawezi kurudi aliko toka na ukiona mwanaume anarudi alikotoka basi jua kuna kitu cha muhimu sana kimemfanya arudi inaweza kuwa ni mambo ya mali

  • @JullienMsukwa-oe6fc
    @JullienMsukwa-oe6fc Рік тому +1

    Yani mi nimejengwa na huyu pastor , na mapungu yangu tote naamini Mimi ni mboni ya Mungu, ananiwazia mema

  • @marthapaul3036
    @marthapaul3036 Рік тому

    Be blessed jmn

  • @nsiadawson7633
    @nsiadawson7633 Рік тому +1

    Songa mbele Mchungaji, achana nao hao wanaokunyanyapaa

  • @Apostlebarakanyagawa
    @Apostlebarakanyagawa Рік тому +1

    Yes Daddy 💞

  • @kimambaofficial4294
    @kimambaofficial4294 Рік тому

    Nimekuelwa baba.

  • @daesther-se2qw
    @daesther-se2qw Рік тому +1

    Twampenda saaana

  • @prosperreuben1724
    @prosperreuben1724 Рік тому +2

    Leo paster umekata kiu yangu maana nliwah kukuskia juujuu kwenye moja ya mafundisho yako

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому

    Watumishi Wafunge na Kuomba Kwa Ajili yako ,Pepo alishawatembelea Mama Akavamiwa Na Jini Mahaba hivyo hakuona Hamu yako wewe tena

  • @nelsonkazaura5713
    @nelsonkazaura5713 Рік тому

    Nimekubari, yote unayosema na yote unayopitia na jinsi ulivyo ktk huduma, ninamaanisha taswira nzima ya maongeza haya ni sawa sawa kabisa nilivyo mimi!

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 Рік тому

    Mchungaji clear hilo la ndoa.

  • @ephrymayombo6847
    @ephrymayombo6847 Рік тому

    Do mahusiano jamani Mungu tetea ndoa zetu sijui ni kitu Gani jamani

  • @arnoldbitegeko8468
    @arnoldbitegeko8468 Рік тому

    Kindly know that both of you are innocent,pray and ask other pastors to support you in petition and supplication to break ancestors convenant,ask for forgiveness from God and both of you,take steps for reunion,Psalms 51

  • @nsiadawson7633
    @nsiadawson7633 Рік тому

    Mchungaji haukushindwa ndoa, ni kwamba ndoa yako ilivunjika. Kilichotokea mpaka ikavunjika nani ajuaye?

  • @bonniebaraka
    @bonniebaraka Рік тому

    Du Huyu namfahamu toka Mazengo sec Baba yake alikuwa mwl wetu wa Biology. Alikuwa dogo sana anayoyapitia Mungu amsaidie.

  • @rosemtambo5931
    @rosemtambo5931 Рік тому

    Pastor rudiana na mkeo jaman

  • @sizyamigila7385
    @sizyamigila7385 Рік тому +4

    Huyu Pastor nilimsikia kwa mara ya kwanza Moshi May 2015.Alifundisha somo limaitwa JINSI YA KUJENGA MADHABAHU ILIYOVUNJIKA MAISHANI MWETU.
    From that point amekuwa mtumishi bora kwangu ni mnufaika wa mafundisho yake sana

    • @generosamahundi541
      @generosamahundi541 Рік тому +1

      Hakika ni shuhuda kubwa Sana . Inaumiza. Iliuwe dhahabu lazima upite kwenye moto, naming ndoa yako itarudi tu soon. Barikiwe.

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 Рік тому

    uwiiii kushikana mikono sio ndoa bwana eti kila mahali mpo wote ndio maana mmechokana ,ni tabia zako ndio zinakuponza Mungu unaweza kuwa nae lakini vitabia vya hapa na pale vinavyokera au vinamkera mwenzio ndio sababu

  • @HermentMrema-fw1kp
    @HermentMrema-fw1kp Рік тому

    Tatizo ni la kuwa na fikra,maono, mawazo hasi kuliko na mawazo chanya. Kwa mfano pale mwenza ameanza kuchepuka chukua kama dalili chanya kuwa hapati anachohitaji. Upande wa pili uchukue hatua ya kutimiza wajibu. Kama uwezo wa kutimiza kubali matokeo mruhusu mwenza apate tulizo la moyo wake na kuendelea kuishi pamoja kwa amani

  • @harrietsolomon6163
    @harrietsolomon6163 3 місяці тому

    Nimejifunza kuwa muwazi

  • @YohanaMadeje-bm2ur
    @YohanaMadeje-bm2ur Рік тому

    Pole sana mchungaji ila nataka nijue iliwaje mpaka Akaondoka

  • @apostleagnes5769
    @apostleagnes5769 Рік тому

    Carlos yuko sawa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Vitabu unavyo Vingi ila hujaviombea Ili Uweze kuongozwa Na Roho MTakatifu

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 Рік тому

      vitabu unaweza ukawa navyo tatizo ni kubadilika ndio mtihani

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 Рік тому

    You need to heal and move on staying there criples your ministry and the enemy use it to hijack level of impact God expect to use you to achieve...

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому +1

    kipindi hiki kinaitaji muendelezo jamani. huyu mtumishi aiseee daah ana hekima kweli kweli. lini tena unarudi mtumishi kwa ajili ya mambo mazuri na mwendelezo?

    • @adveraruhere2393
      @adveraruhere2393 Рік тому

      Mchungaji hufai kuwa kiongozi maana hata mwanamke tu amekushinda, kwà hiyo usherati wa mkeo umekuachanisha na mke wako, kaa chini tafakari sehemu uliyoachia