If you will watch this video in 2097,I am not alive anymore, but just know that the Youths in Kenya, in 2024, brought change, they were tribeless, they were fearless and they were leaderless, we fought for our country, we lost our fellow youth and we are all smiling in heaven because walianguka nayo!!!!!!! We fought for you, keep on fighting! Gen Z viva!
Ruto: vijana si nishatoa finance bill Sasa mnataka nini manze Vijana :Anguka nayo😊 Big tune hadi ishafika bunge big ups wasee kama unakubali hii Ngoma imeweza piga like tusonge...#Anguka nayo
Sijui ka hii ngoma imetoka mapema bado iko on time coz mimi nangoja 2027 Ruto akianguka na hizo uongo zake zenye akisha danganya ajaribu kusafisha jina Kwanza hawa Gen Z waliuliwa Githurai na masanse then wanalipa mtu aseme yeye ndio amekua akiua watu 2years ago na hizo mili zote ziko fresh ni za juzi . Sai tumechanuka zakayo lazima aanguke 2027
There will be a year my kid will read this comment and let it be known this was a vibe during the revolution by us for a better kenya they could have never found maybe😊
If you will watch this video in 2097,I am not alive anymore, but just know that the Youths in Kenya, in 2024, brought change, they were tribeless, they were fearless and they were leaderless, we fought for our country, we lost our fellow youth and we are all smiling in heaven because walianguka nayo!!!!!!! We fought for you, keep on fighting! Gen Z viva!
❤❤❤❤❤❤❤❤q❤❤❤❤❤a❤❤
Viva🎉🎉
Vivaaaaaa!!!!!!!!❤❤❤❤
Uko wapi nikuoe haraka
💯🇰🇪
Finally nani ako hapa vile imerudishwa ❤❤❤❤
Lazima tungerudiii
Manzee😂🤘🏽
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Kufa juu beat hitting on another level
Anguka na mix mkuu😂😂
Nakumbuka ukicheza Zimenishika 7D then ikakua hit hatari..anguka na hii pia mkuu
🔥🔥
Kwani uko naks@@VictorGikonyo
from Tanzania 🇹🇿 majirani ila ngoma.ya anguka nayooo imeenda mbalii sana pamojaaa sana
😂😂
Daa mumeanguka uko baraa😂😂🇰🇪🔥🔥
Wameangukia manzee😂😂😂@@Tallerk.e
😂😂😂😂😂😂😂
@@Tallerk.e😂😂😂😂😂
WADAGLIZ ANGUKA NAYOOO!!!!🔥🔥
Vic Twende 🔥🔥🔥😂...Remix ?
🔥🔥
@@fromthehoodmusic Remix vipi ? 😂😂😂
Waziii mkuuu 🔥🔥
@@toffeemontana 😂😂let's wait
ANGUKA NAYO!! 🔥🔥🔥
Remix😢
Please😅
Inakubalika
Imagine ikianza na MATATA MATATA🥹
Inakubalika
Mimi si prophet lakini najua 2027 after elections hii doba itasumbua sanaaa zakayo akianguka nayo
Pigwa like juu ya kuongea facts
Factoid!
Eeeii nabi😂😂, ebu itisha kinywaji kwa bill yangu
@@waridirehema8454 kinywaji saai ni uji moto ama kahawa😂 lakini sana sana uji moto ndio inabamba
Unangoja 2027😂
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa muzikii huu wa kenya npo Tanzania 🇹🇿 na ni mtanziana halisi napenda kazi zenu njooo inta kama #LOGOYAMTAA
❤❤🇰🇪
Hii tunaAnguka Nayo💥💥
nayo nayo Mzee
🔥🔥
Translate to english😂😼😼
Nani ako hapa after Ruto ameanguka nao i.e All C's fired
Tuende down low
Aanguke 2027, na raila AU
KE KE KE!!! ANGUKA NAYO!
Karibu nindanie ni Zakayo anacheka.🤣🤣🤣 anyway much love for Kenyan Music
Wameamua kuanguka na Rigadhi😮
nice one collinscollo but wewe ni mjinga
Arusha's People are number One Fan of Kenyas Music.... Sijui mbona Amji kupiga Show mchukue Hela zenuu
Ipo siku watafika huko
Sai tumeshikana kidogo na shuguli ya maandano lakini usishtuke ndugu, hatujawasahu
We are closed for political renovation.
Hela gani,how much can they make in Tanzania surely 😅
Hujui arusha mkuu@@virginiam7842
Kama unaskiza hii ngoma na kichwa inatingika uki anguka nayo for 3 minutes piga like 😂
Nmeanguka kwa nyumba nayo
Big tune nipeeni izo likes❤
Ila kenya genge kwann nliiacha ipotee hizi song ndio zilifanya mle hela za tz sana honestly zinababa sana zipo na vibe zake zake tu za kitofauti .
Ruto: vijana si nishatoa finance bill Sasa mnataka nini manze
Vijana :Anguka nayo😊
Big tune hadi ishafika bunge big ups wasee kama unakubali hii Ngoma imeweza piga like tusonge...#Anguka nayo
Ndio naigia club kuanguka nayo after president kufagia all css🍾🍸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mtukufu lies ,anguka nayo👯♀️👯👯♀️
ua-cam.com/video/f5B_h8zRoFY/v-deo.htmlsi=o6cAYh1pB2WOzNKL
anguka nayo twende down low now.....standup to your feet mikono juu alafu click ....tuliza pace alafu one legge...........noooomaaaaaa👯👯👯👯🍂
Kama umetoka tiktok anguka nayo hapa na likes.💥💥
Kama pia wewe umekua on-repeat mode na hii song pita na like😂
ua-cam.com/video/f5B_h8zRoFY/v-deo.htmlsi=o6cAYh1pB2WOzNKL
Na mbona hii haingii trending .....nimeamini wasanii wakubwa hubuy kutrend ....hii ngoma pace yake inafaa kukua trending
Inatrend brooo inadepend uko part gani ya media
Tanzania let’s gather here to supports these youth musicians from ke
cant wait for tueday tuanguke na Ruto.
piga like kama tutaanguka pamoja
Wait for 2027 he is not leaving any soon
The dance nayo iko lit angusheni hadi likes
Enyewe Kila mtu akona siku yake ,,, itakuja jipa ,,anguka nayo big up 🔥🔥
Who is here after seeing Ruto dancing it in Kwale during Mashujaa day, I hope it was prophetic RUTO ANGUKA NAYO.
Mimi 😂
They killed vibe ya hii song.....but wataanguka nayo
Huyo fambatala😅
Bvzz James
He looked uncomfortable 😂😂
Millenials kujeni hapa tuanguke nayo i say
Bado tuna gotha haki🤣🤣 syllabus ziko mbio.
Ndio kudunda kudojo na kuanguka nayo😂😂
Mimi nishaanguka nayo ata tukiwa na vitambi 😂💃💃
Millineals tunaanguka nayo tukihema...ile mbio iko na hii syllabus😂😂😂
Moto kama pasi safi sana
Kuanguka nayo kama iyo finance bill...like tukisonga 🇰🇪
Kabisaa 😂😂😂
@@FidelMuchai-jz7bj😂😂😂
Anguka Nayooo🔥🔥🔥🔥
I big up these director why can't u try him
🔥🔥
Wwe want a remix😢❤❤
ua-cam.com/video/f5B_h8zRoFY/v-deo.htmlsi=o6cAYh1pB2WOzNKL
Gotha gotha tena
Aunty Millie Odiambho brought me here all the way from Zambia 🇿🇲🇿🇲
nimekua nikianguka nayo bila vida, sasa juu imetoka si mniangushie likes😂😂
😂Ndio maana inajiita mhenga🙌
Noma sana
nani ako hapa baada ya Zakayo kuanguka nayo😂😂🇰🇪
😹😹
Sa@@Nimitramartin.
Wakenya wacheni upuzi bana muna view na hakuna ku subscribe choreeni izo bana support mayouth man.doba noma sana Acha ni anguke nayo🔥🔥
Bana wallai nashangaa ata
Pin hii comment
1❤
Bana jo.. hadi nimesubscribe.
isha monitize
From Fiji,we love all our African bros and we will one day come back home!
Real Fiji Fijiverse
Like za wadagliz hapa
#1 Trending Wadagliz siku zote
Sijui ka hii ngoma imetoka mapema bado iko on time coz mimi nangoja 2027
Ruto akianguka na hizo uongo zake zenye akisha danganya ajaribu kusafisha jina
Kwanza hawa Gen Z waliuliwa Githurai na masanse then wanalipa mtu aseme yeye ndio amekua akiua watu 2years ago na hizo mili zote ziko fresh ni za juzi .
Sai tumechanuka zakayo lazima aanguke 2027
ua-cam.com/video/f5B_h8zRoFY/v-deo.htmlsi=o6cAYh1pB2WOzNKL
I'm from Uganda , I love this vibes 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🕺💃💃Anguka nayo
Anguka nayo, one lege
Anguka nayo noma sana
Naanguka nayo from 001 mombasa nakuona lexxy
This song is a hit in Zambia 🇿🇲 keep it up 👏
So this will be remembered as the revolution song that liberated Kenya 😂😂Wadagliz watakua pale kwa notes za social studies...nice very nice😂💯💯
na ile reject reggea verson pia so tuko na mbili🤣
😂😂😂
Ruto: I have dissolved the cabinet sasa kazi iendelee
Gen Z: Anguka nayoo😏
Ngoma safi arafu search Geri mental pia Kuna doba kalikali
Anguka nayooooo kabisaaaa ogopa hii hit joo🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania aamaapian
Hii song ni anthem of the year.
Hadi watu wa majuu wanaitambua pia.❤❤🎉🎉
Mlike hii kitu doba fiti💯💥🔥
Nimeskia imefika one million ongezeni yangu
Leo tunaanguka nayo wavinya ndeti akikamatwa na 650M..kule ulaya.......09/09/2024
Iolite says that he is all talk about what is going on in our bank 🏦 and I don't get rid of them so qu is well 3:48 🎉
wale tuko hapa after prezzo ameangusha ma CS
Ghetto boys are changing the Nairobi music scene. No flashy Cars videos, just raw vibe. Realest.
Nice kabisa the pac era,, westside n east side
Imeweza ndaniya ya 10over10🔥🔥🔥
#Anguka nayo
sasa ju mumeamua kusaidia huyo jamaa hii ndo mara ya mwisho tutaskia ngoma yenu I hope mumekula fitty
Najua mshaskia ni Wadagliz💥💥🕺🏾
Anguka nayo😂
Ruto must Gooo ..like
We kenyans tunaeza fanya ngoma zetu ziskike the whole damn world, hii ni Kenya na Kenya is our business. After imepiga 20M views remix ianguke pia
Mnaonaje Genz hii nyimbo muimbe wakati wa maamdamano basi gonga likes kama unaamini
Imagine in just 13 days imepata over 2milion views 55k likes. Tingekua tunasupport kenyan artist na music wangukua mbali sana❤. In short RutoMustGo💪🏾
Bt most of Kenyan artists sing rubbish.
Piga like kama ume anguka nayo✅
Who's here once again after the holyhood stars did it? What a time to be alive. Proudly Kenyan 🇰🇪
Hollywood imekubali hii ngoma ni international
Who is here after the betrayal.? Itabidi muende muanguke uko kwa museveni
Walikuwa mboka bro
Walikuwa mboka bro
Betrayal kweli😂😂😂pesa muhimu
Tumbo kwanza after mashujaa waliuliwa.
Washeezi sana.
We will take them back to zero
Zakayo aanguke na hiyo mti...anguka nayo
Hii hata wakatae kueka trending bado tutaanguka nayo🔥🔥mtashtuka sana hii ngoma ikifika 10M+ before end of year!!🔥🔥👊🏾
I said itakua 2M B4 2weeks ziishe, Likes za prophesy yangu.
3M now 🎉
Angular nayo
@@denismusilipapa2981 ni anguka si angular
Now n 9 M
umoja iko na wasanii
Anguka nayo zakayooooooooo
Gen z after ruto kuangusha finance bill..👇👇👇👇👇zakayo anguka nayo 🤣🤣🤣🤣
Aki😂😂
Kabisaaa😂😂
Akii si nina penda Kenya 😅
Anguka Nayo ka Uko single for now😂😂😂😂💯💯💯💯mad vibe❤
Love from Tanzania, tuna vibe nayo huku
Watu wangu hawa❤💯. Wadagliz 🔥
Ule wa downlow😙😙
Best music ever in Africa ✊💥💥💥💥anguka nayo Basi,1 million views Na wiki moja
Kutoka tz🇹🇿 tuanguke na like
Ntaanguka nayo in my 40s........ I will miss this moment.......2040 ...... ntaanguka nayo
8 days 1M views ?? Kweli Tumeanguka nayo ! Hit like if you agree.
Wueeh itafika 40milli0n
9 days 1.3M 😮
😂😂😂 imebidi nisake hii video pia nakuta 1.5m views in 10days. Watu wasubscribe pia
Wasema ata komasava imepitwa wakenya tu support nyimbo zetu❤❤❤❤
1.7M ...11days
kama uko hapa juu ya ig na tiktok piga like before ifike 1M😂🔥🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/f5B_h8zRoFY/v-deo.htmlsi=o6cAYh1pB2WOzNKL
hi can we be friend I am from USA but I love you songs
Magen z tuanguke nayo tukipiga malikes hapo chini❤❤❤💥💯🔥
Anguka nayo hadi tamati🔥🔥🔥🔥🔥
Anguka nayo. Kama finance bill.🤘🤘
Sai Kila Mtu Ana ANGUKA NAYO 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
hii ndio ilitega financial bill ikaanguka nayo
2024
😂
Kabisa ki One legee!
The best generation ever...2024 here hope my grand children will listen to east come 2090 huko😢
Am from Tz I really love this long ❤❤❤❤❤KENYA twawapenda sana I really love this song 🎉❤❤❤❤😊
Am from South Africa I don't understand more Swahili lakini hii imeweza naanguka nayo 3M views wapii likes
😂😂
😂😂😂😂🤦♂️
How is Johannesgithunguri😮
😂😂😂 Githurai kuhana atia muthuri
What's good in Joburg
Vulai❤
There will be a year my kid will read this comment and let it be known this was a vibe during the revolution by us for a better kenya they could have never found maybe😊
Anguka Nayo 🔥🔥💯
Anguka nayo kaa ukona a New Catch 😮💨✌🏾
Anguka nayo imenipasulia debe kwa dinga. Naweka ingine ipasue tena. Noma tena sana 🔥🔥🔥
Na lazima Zakayo anguke nayo
Before ifike 5 million likes zianguke hapa
Dexe ulisema lazima turepresent 👊🏿👊🏿
likes za anguka nayo hapa,,,,,, eka video na upost pale ngc💯
ngoma imeweza Keep it boyz
Hii nayo itaanguka 1m kupanda
Aah nikuanguka nayo tu...nice song❤
Deadly 🔥 🔥. AGWAMBO ANGUKA NAO
Kenya tuko na talents😊😊