NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Usiyoyajua kuhusu Bongo Zozo, asema yeye ni Mtanzania, apanga kwenda Hijja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024
  • Ni kipindi cha tarehe 21/11/2019 tukiwa na shabiki mashuhuri wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) maarufu kwa jina la Bongo Zozo. Amefunguka mengi ikiwemo historia yake ya maisha pamoja na uhusiano wake na Tanzania licha ya kuwa yeye ni raia wa Uingereza.
    Ametaja maana na asili ya jina lake, huku akisisitiza kuwa yeye ni Mtanzania kwa kutaja sababu kadhaa. Amezungumzia uraia wake na wa watoto wake, ametaja jina lake la ukweli, ameeleza kuhusu taaluma yake na kazi anayofanya "Mimi ni mtaalamu wa fedha za zamani ".

КОМЕНТАРІ • 107

  • @West-side-lt9nb
    @West-side-lt9nb 4 роки тому +11

    Kasema ukweli wazungu tunaamini ni wabaguzi na km alivyosema watunyanyasa sana. Tumesha wasamehe wote 👐👐 Mungu ibariki Tanzania

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 роки тому

      Hawasameheki kwasababu hataki kubadilika. Damu yao imejaa hatred.

  • @mwandeagrovetandsupplies2549
    @mwandeagrovetandsupplies2549 4 роки тому +6

    Tutakupa uraia uko vizuri Sana bongo zozo uko tofauti Sana wazungu wengine

  • @leahedward8063
    @leahedward8063 4 роки тому +11

    kama umesikia wazungu wa uingereza wanavyotamka bongozooo gonga like😅😅😅😅

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 4 роки тому +7

    Masha Allah..mcheshi sana

  • @justingeofrey599
    @justingeofrey599 4 роки тому +5

    Nmekuelewa vzur sana BONGO ZOZO!,kuna kitu kikubwa sana kwenye maneno yako

  • @naimaikopoanaema5565
    @naimaikopoanaema5565 4 роки тому +2

    Nakupenda jamani mungu akulinde. Akupe maisha malefu

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 роки тому +8

    Watu km hawa wanaishi maisha marefu ni full shangwe! Yuko so positive! Hakuna chuki.

    • @musaking5991
      @musaking5991 3 роки тому

      I guess im randomly asking but does anybody know of a method to get back into an instagram account?
      I somehow lost the password. I appreciate any help you can give me

  • @habibukitwana1552
    @habibukitwana1552 4 роки тому +7

    ukimkuta Diva wa clouds anajifanya kiswahili hajui😄😄😄

  • @allymachanokeis3764
    @allymachanokeis3764 4 роки тому +10

    Hongera Mtanzania wa hiari.
    Bongozozo.

  • @allenmlelwa7950
    @allenmlelwa7950 4 роки тому +1

    Aisee bongo zozo upo vizuri sana.mungu akubariki sana

  • @issaahmady9644
    @issaahmady9644 4 роки тому +8

    Libiya waliingiziwa vibaraka hivo hivo sasa huyu bwana tumwanglie vzuri

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 4 роки тому +3

      Issa Ahmady;ila na huko ulaya wapo wabongo wamepata uraia sasa na wao wachungunzwe ama vp??!!.

    • @jumamakaja8802
      @jumamakaja8802 4 роки тому

      Acha kuwaza Kama mtoto.

    • @raymondkipipi516
      @raymondkipipi516 4 роки тому

      @@jumamakaja8802 ha ha ha--------

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 роки тому +4

    Umeona kiswahili kilivyo na nguvu sio

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +8

    Baruhani muhuza ufanye mpango umuite tenaaa aje kwenye kipindi

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +3

    Watanzania tunakimbikia ulaya na kuongea kingereza ila wazungu wanapenda afrika na kiswahili

  • @leahedward8063
    @leahedward8063 4 роки тому +3

    shemejiiiii ni 👌👌👌

  • @MARTINNDOMONDO
    @MARTINNDOMONDO 4 роки тому +1

    Ni makala nzuri.

  • @mbarakabdallah4631
    @mbarakabdallah4631 4 роки тому +1

    Hyu bongo comedy sanaa daah

  • @mdsadiq2569
    @mdsadiq2569 4 роки тому +1

    Safi sana

  • @sangomamourice9425
    @sangomamourice9425 4 роки тому +1

    Safi Sana hongera

  • @prosperutwa2260
    @prosperutwa2260 4 роки тому +18

    Huyu kakuria kilipo jaa English lkn kaamua kuongea kiswahili bila kuchanganya English lkn cc wa kibongo mara

    • @josamenezammbuji1768
      @josamenezammbuji1768 4 роки тому +3

      You know you know it's like 😂😂😂😂😂

    • @pendael02
      @pendael02 4 роки тому +2

      Wajiona ni wazungu

    • @suhailaali4175
      @suhailaali4175 4 роки тому +1

      Utaskia "am, so , actually, ha ha haa wabongo bhanaaa in shiddah!

    • @sharifamfaume9342
      @sharifamfaume9342 4 роки тому +1

      Ruga ngeni ni Tam mdomoni na ndio maana kila mwenye nayo mdomoni mwake anajisikia Raha kuiongea kwaiyo kawaida tu

  • @pasiensiabel7278
    @pasiensiabel7278 4 роки тому +4

    Genius Bongo zozoo👏👏👏

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +3

    Saafi sana bongo zozo mzee wa fujo isio umizaa

  • @eliasbenjaminmk3210
    @eliasbenjaminmk3210 4 роки тому +1

    Bongo zozo namkubali sanaaaaaaaa

  • @oscarmosha9170
    @oscarmosha9170 4 роки тому +4

    hongera sana bongo zozo wewe ni shemeji yetu

  • @boniphacejames6437
    @boniphacejames6437 4 роки тому

    Watoto wako ni watoto wangu,na watoto wangu ni watoto wako.
    Fanya hivyo uingereza watakuitia polisi.Dah!,Bongo Zozoooooo

  • @georgemwalukasa118
    @georgemwalukasa118 4 роки тому +5

    Mahojiano bomba sana

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 4 роки тому +2

    Bongo zozo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +3

    Shemeji wa Taifa....

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 4 роки тому +5

    Wengine hawa wanakuwaga wapelelezi

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 4 роки тому

      Hizo tuhuma zako zinakuwa hazina msingi, na mawazo yako ni kama ya wale wanaodai urai pacha watu watakuwa wasaliti. Mbona Zitto na Tundu Lissu ni wasaliti lakini husemi lolote ama kwa kuwa rangi yake nyeupe?

    • @alexmwalingo5120
      @alexmwalingo5120 4 роки тому

      Kila mtu ana mawazo yake na mtazamo wake, maana hapa hayupo Lissu wala Zitto

    • @khamisfaki4640
      @khamisfaki4640 4 роки тому

      Iiii iseee noma xna tuwe makin watz this secrety plan details agent.

  • @mirajihazard2117
    @mirajihazard2117 4 роки тому +3

    haha nashukuru sana bongo zozoz kwamba umejua kuwa wazungu wameiharibu na kuiuwa sana wakanyang''anya vitu sana Afrika kwaiyo narudia tena kama nilivyosema hapo wali kuwa wazungu hawawapendi watu wa afrika daima wala tusijidanganye kwa hilo hata umuone mwema vipi ila moyoni atabakia kuwa na roho ya kizungu milele habari ndi hiyo na ukimuona mzungu kapenda nchi ya afrika ana sababu zake za msingi ila sio mapenzi kutoka moyoni Ahsante sana

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 4 роки тому +2

    Kumbe wahehe wanahasira ndo mana mm nimerisi🤔🤔

  • @dimboyo9914
    @dimboyo9914 4 роки тому

    Bongo zozo noma sana heshima kwako

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 роки тому +3

    Huyu jamaa ana mambo mengi na anaongea mambo mazuli tuna mpenda sana

  • @shabanimbungo2651
    @shabanimbungo2651 4 роки тому +1

    Safi bongo zozo

  • @awadhimbarak2349
    @awadhimbarak2349 4 роки тому +5

    bongozozo unajifanya una wivu na mwanao sio ?

  • @jofreympwapwa6122
    @jofreympwapwa6122 4 роки тому +4

    Katika MTU natamani tumvute wcb ni muhuza fundi huyu

  • @vonostus
    @vonostus 4 роки тому +2

    Shabiki kindakindaki

  • @abujuhaifah7461
    @abujuhaifah7461 4 роки тому +2

    Hili jamaa asa lina akili hatar

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +1

    Hyu bongo zozo leo ndo nmemuelewa vzr san ni mjanja sanaaa anaakili nyingi san sio mtu wamchezo mchezo km tunavyo muona na ucheshi wake na vituko vyake kuna kitu kikubwa san anakihitaji hapo tz na atakipata kwa bahati nzuri amezaa na mtanzania basi kesha fanikiwa malengo yake

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 роки тому

      Watanzania wenzetu hawalioni lengo lake... wao kama kawaida wanashangilia tu.
      Mzungu atapiga hela apote wasimsikie tena.

    • @enockhamis5592
      @enockhamis5592 4 роки тому

      Pongez sana bongo zozooooo

    • @allyomary8130
      @allyomary8130 4 роки тому

      Mtazamo wako. Hiyo ndo asili yetu

  • @peterkatete5645
    @peterkatete5645 4 роки тому

    Kihamba cha asili bongozozo Tanzania ni nyumbani.

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +5

    😁😂😂😂😂😂😂
    Hahahaaa aisee jamaa huyu ni mtoa buludan saana yuko vizur koz anachangamsha akili za watanzani

  • @jacqulinekasondera5326
    @jacqulinekasondera5326 4 роки тому +2

    Bongozozo uko vizuri kwani unasema kweli. Naomba namba yako ya simu. Tuwasiline kwa namba hii 0784795190.

  • @sabrachala5801
    @sabrachala5801 4 роки тому +1

    jamani hichi kipindi marudio yake lini?

  • @aronndossy9898
    @aronndossy9898 4 роки тому +1

    Nitumie namba yako bongo zozo

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 роки тому

    Walah nimetokwa na machozi niliko vizee tunavilea sisi manyani mtoto anakuja mama kashaondoka duniani anabaki kuliza masuali

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 роки тому

    Walah usingizi sina wee zozo mama yuko wapi na baba n ndugu zako wako hivi mbavu zangu 😂😂😂

  • @oketchoketch7351
    @oketchoketch7351 4 роки тому +2

    Huyu jamaa ana akili sana....ukiachana na ucheshi wake

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 4 роки тому +2

      Ana akili sana kwasababu kagundua Watanzania hatuna akili kwahiyo ana mipango yake atapiga pesa kirahisi.

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 роки тому +1

      Sio akili ni ujanja. Lazima uwe mjanja utaitwa SMART 😂😂😂

  • @alexchandi2335
    @alexchandi2335 4 роки тому

    bongo zozo,,iringa sehemu gani ulipokuwa? Kibwa,kihesa,ipogolo,mtwivila,kitwilu,,

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 роки тому +1

    Huyu ni Moja ya masonic mchezesha kamali na upatu bahati na sibu

  • @hamidmohamed7806
    @hamidmohamed7806 4 роки тому +1

    Badilisha viatu Bongo

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 4 роки тому +1

    Mhehe kuliko mchaga hahahaa

  • @deadcrush
    @deadcrush 4 роки тому +1

    Uki waumiza zaidi, watakuwa wajinga zaidi.

  • @maxwellwilliam1663
    @maxwellwilliam1663 4 роки тому +1

    Mwambie ninayo ile yenye tobo aje tuongee biashara chap

  • @bwagaboe5438
    @bwagaboe5438 4 роки тому +1

    Bongo zozo me nina izo ela 2fanye biashara kwa mawasiliani zaidi 0767503668

    • @danifordndoza6545
      @danifordndoza6545 4 роки тому

      Acha tamaa

    • @bwagaboe5438
      @bwagaboe5438 4 роки тому

      @@danifordndoza6545 sio tamaa izo ela zipo na ninazo bola ungesema soko amna ningekuelewa

    • @emmanuelkapaya7779
      @emmanuelkapaya7779 4 роки тому

      Nichek Kama inawezekana tufanye biashara 0789140464

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 4 роки тому

    😎

  • @adnankhamis6235
    @adnankhamis6235 4 роки тому

    Ninaomba bongo zozo anitafute nipo na pesa nyingi za zamani anitafute kwa namba hii 0777432072

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 4 роки тому +2

    Baruani, wewe ukipewa passport ya Tz na ya British utachagua ipi?
    Majibu ya wengi wa Watanzania tunayajua
    Sijui kwanini umuulize mtu suali kama hili la passport ?
    Suali hili hili la passport niliona kaulizwa Salim kikeke kuhusu mwanawe ambae kazaa na mkewe ambae ni kutoka Welsh. Nashukuru Salim alikua mkweli moja kwa moja akasema atabakia na passport yake ya British .

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 4 роки тому +4

    Kweli ni muingereza na lugha yake ya asili ni english . Ila hapa kaongea kiswahili kwa asilimia 99% . Ajabu kwa mswahili aliye fikia kidato cha 4. Embu tuthamini lugha yetu ndio utambulisho wetu.

    • @sharifamfaume9342
      @sharifamfaume9342 4 роки тому

      Ruga ngeni tamu mdomoni nandio maana Ata yeye anajisikia raha kuongea

    • @dinocastico8495
      @dinocastico8495 4 роки тому

      Raha kamwe haisikiki ila sauti na ngurumo husikika. Raha ni hisia zenye mzizimo kwenye moyo wa mwana dam. Mswahili na lugha yake ni kitu cha kujifagharisha . Sio kuongea huku ukichanganya maneno ya lugha zingine ikiwa hadi sasa walio soma hio lugha na kuielewa asilimia 45 hawafiki.

  • @alexchandi2335
    @alexchandi2335 4 роки тому

    bongo zozo,,iringa sehemu gani ulipokuwa? Kibwa,kihesa,ipogolo,mtwivila,kitwilu,,

  • @oketchoketch7351
    @oketchoketch7351 4 роки тому +1

    Huyu jamaa ana akili sana....ukiachana na ucheshi wake

  • @issaahmady9644
    @issaahmady9644 4 роки тому +4

    Kwa kawaida huyu jamaa utamchukulia kawaida lkn kwa macho ya mbali huyu bwana mimi ninawasiwasi naye

    • @josephnjelekela6512
      @josephnjelekela6512 4 роки тому

      Unaweza kuta anatega mabomu sisi hatujui

    • @khamisfaki4640
      @khamisfaki4640 4 роки тому

      Uhakik na tuwe makin jaman hbu waulizen walibiya hhhhhhhhhhh noma xna

    • @bakarymbega6320
      @bakarymbega6320 3 роки тому

      myaka 23 tz kazi collector???

  • @bwagaboe5438
    @bwagaboe5438 4 роки тому +3

    Izo ela zipo soko ndo halieleweki .

  • @johnlugwaza3866
    @johnlugwaza3866 3 роки тому

    Nipe no yako bongo zozo

  • @mdsadiq2569
    @mdsadiq2569 4 роки тому +1

    Safi sana

  • @allykombo4036
    @allykombo4036 4 роки тому +1

    Daaah umelonga

  • @amanimwidowe653
    @amanimwidowe653 4 роки тому +3

    Huyu jamaa kafata pesa za zamani zilizopo mbeya kule na sehemu mbalimbali wakuangaliwa hapa tz

  • @lameckmugetanyaruga4209
    @lameckmugetanyaruga4209 4 роки тому +2

    Bigup bongo zozo wewe ni Mtz

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому +2

    Huyu jamaa namkubari sana

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 роки тому

    Zozo uraisi usikupite 2020 Pls mbona raha jiunge chadema