Walae nyakati za mwisho natokwa na amariga amange with no control all your song venny seseniwa mono but I have one ambao sasa miaka minane unasema nigonde nobororo ase omoyo one obororo obonge intanyare gokwana is the one of me gogonkonya in my life veliane from saudia Arabia barikiwa sana sana.
Fenny, this is an inspiration song ; one among your best songs for it carries heavy last-time message for God's chosen remnants; Those who have been blessed for understanding the Prophecy. May the Almighty God continue blessing you with this wonderful gift of the Prophecy.
Fenny it is God who is sounding in you keep it up and mungu akujaze huyo roho zaidi uwashinde walimwegu wa giza.nawaombea waimbaji wote wakenya iwafunike maadui waangamie wenyewe.fenny dumu uokoe watu.
UJEMBE MZURI..TENA WA WAKATI...FNNY KERUBO MUMGU NDIO AMEKUTUMIA KUTOA UJUMBE HUU ENDELEA KUOMBA NA KUNYENYEKEA MIGUUNI KWA BWANA KWANI VITA NI KUBWA SANA.ILA UTASHINDA MAANA UNAYE MTUMUKIA NI MUNGU MUUMBAJI. SONGA MBELE FANYA HARAKA WAKATI UMEKWISHA
Good one ...nimeona wimbo yako kwa status ya mtu watxapp na ikaniguza nikakufuata mpaka huku .....mungu akuzidie kibali na akubariki kwa kazi zuri unayoendelea kufanya 🙏
The best of the best, Dear Fenny Kerubo. Indeed, you've stood to be among those proclaiming the 3rd Angel's message. I pray that together we'll gather and be among the chosen in the Coming of the Son of Man(Jesus)
These two songs always causes goosebumps and eagerness to draw more to the lord, and i feel am not doing enough for the lord. Thank you sister fenny, watching you from south sudan. may God bless you and watch over you as you continue to win more souls to the lord
Good work indeed wenye tumeona kubarikiwa kupitia wimbo huu gonga like zake fenny kerubo tumpee motisha kwa kazi nzuri.
Umenibariki Na Huo wimbo xnaaa dada fenny
Not everyone will understand the message of this Song , asomaye na afahamu
Mungu akubariki na akusidishie maarifa ya kumtumikia kwa mazuri na mabaya 🙏🙏🙏♥️
I like the song mwenye sikio asikie Sasa
I need the video please fenny... Send to my number. 0703895992
Message delivered my sister keep it up ,,,,send me the song dada +966582664639
@@geoffreytheprincemwimbaji9343 that is the video
We are undergoing going hard time 😭😭But nothing but prayers 🙏🙏🙏
First one to view wapi likes za Fenny Kerubo
amen mam h
Wangapi wamerudia huu wimbo Mara kumi
Shida iko Kwa wenye hawataamini Dada wambie watunza jua yaa Sunday keepers wako Kwa shida n wafuate amri za mungu kumi
Good One may GOD bless your work wapi likes za Kerubo
Unabii uliojawa ujumbe kwa wakristo wa kweli,Mungu n saidie pia nami nielewe unabii wako kwa Jina la Yesu ,asante fenny
This is true gospel music, let all musicians copy from you. Congratulations
Very powerful message. I could not hold my tears. 😭😭😭😭
@@petronkashapa true soooo touching
@@precious5277God bless u
True
Amen sister fany may God bless you bcs I can see they trône Angel's of GOD are very happy, congratulations
Siku za mwisho kweli, nimebarikiwa fenny...nyimbo zako unibariki Sana hata zenye umeimba Kwa lugha ya nyumbani hata kama sielewi yote
Mungu ukatupe kumaliza mwendo wetu salama na kujua ya kwamba nyakati hizi niza mwisho barikiwa dada Fenny Kerubo wimbo huu wanigusa rohoni mwangu
Wewe ni Nabii kamili , unahubiri Injili inayokwepwa na Watumishi wengi leo wanahubiri laini isiyo Onya katika kweli. Barikiwa sana
Walae nyakati za mwisho natokwa na amariga amange with no control all your song venny seseniwa mono but I have one ambao sasa miaka minane unasema nigonde nobororo ase omoyo one obororo obonge intanyare gokwana is the one of me gogonkonya in my life veliane from saudia Arabia barikiwa sana sana.
This has touched my heart.may the Lord uplift you great. Hassan from Mombasa(Kenya).
Amen amen, mubariwe na Bwana wetu Yesu 🙏 nawafwata 100% Norway.
Kweli venny pawar song blessed veliane from saudia.
Thanks for the message.
Only holy spirit can guide you to understand the meaning of the song barikiwa sana Dada good message indeed
Fenny, this is an inspiration song ; one among your best songs for it carries heavy last-time message for God's chosen remnants; Those who have been blessed for understanding the Prophecy. May the Almighty God continue blessing you with this wonderful gift of the Prophecy.
Its 1 year down the line.but this song has been a blessing to me this afternoon.i feel it drowing me more close to God spiritually.
Lov you so much my sister nakupend sana nyimbo zenye kutufungua macho ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋
Amen,dada yangu huo wimbo huko na ufunuo God bless you
Anayesikiliza huu wimbo haifahamu ulilimwengu wasasa vile uko
Hata siesabu gharama ya data zangu kurudia huu wimbo Mara mingi kupita fahamu zangu,unanibariki sana
True massage true gospel may God expand your territories nw en forever Amen Amen Amen 🙏🙏 may one soul be saved through thiz song Amen 🙏
Tena nko hapa sichoki watching from country 966
Thank you Fenny for this powerful song,it really tells what's happening in the world today.let God be called God.
Very powerful message daughter of Zion
Oyore namato tiga aigwe eki omoika agotebia chikanisa...amen fenny
Wimbo mzuri Sana, unatupa moyo WA kuomba,be blessed kerubo
Narudia rudia kusikiliza i think Mungu anaongea na mimi. Umepandakitu kwangu. Donald from Arusha Tanzania Mungu akubariki dada
Only those who led by the holy spirit will understand the message good work sister.
wonderful may the lord keep lifting you each second.
Nyimbo taMu
💔💔
The true gospel....narrates on eschatology time. wahubirie watu Fenny umetumwa uwakomboe
Amen,kwa nyimbo zako ziko na massage nzuri
Fany ubarikiwe kwa wimbo huu umenifanya nichunguze maandiko kabisa siku ya mwisho wa dunia imetimia.
Halellujah,,Nalibariki Jina la Yesu sana kwa kukupa ufunuo Huu,wacha Mungu akupeleke Kimataifa uwahubiri ujio wa Kristu Yesu.
Really terrifying, but the fact! Shine sister as you make the TRUTH KNOWN 🙏.
Only if you have the Spirit of God you will understand the message in this song.may God richly bless you sister Fenny.
It's true my sister fenny tell them,be blessed
The massage in the song is so touching and it has a deep massage GOD bless you kerubo listening from malaba.
Fenny it is God who is sounding in you keep it up and mungu akujaze huyo roho zaidi uwashinde walimwegu wa giza.nawaombea waimbaji wote wakenya iwafunike maadui waangamie wenyewe.fenny dumu uokoe watu.
Napenda wewe dada yangu nyimbo zako nzuri tele ubarikiwe sana
Fenny kerubo wimbo mzuri huwo ..mwenye masikio na asikie
Mwenye masikio na asikie ujumbe mzuri dada barikiwa sana
Although I don't understand the language but when you read the Bible and coqtation, you will understand.Amen
Powerful message in this song, day by day I'm listening this song, bring it more my sister. God bless you.
Indeed the message is powerful. God help us to fully understand!
who else leastening to this song the only who led by the holysprit can understand lets change our atitude nad folow jesus christ
Fenny Kerubo music good mine favourite song
Barikiwaaaa Sanaa Fenny kerubo songa mbeleeee 🙌🙌🙌🙌🙌
Let take the message. ... ufunuo wa mungu...tumepokea habari Fenny. ...more grace
Veryvery nice song ubarikiwe zaidi uzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri mtumishi wa Mungu!
UJEMBE MZURI..TENA WA WAKATI...FNNY KERUBO MUMGU NDIO AMEKUTUMIA KUTOA UJUMBE HUU ENDELEA KUOMBA NA KUNYENYEKEA MIGUUNI KWA BWANA KWANI VITA NI KUBWA SANA.ILA UTASHINDA MAANA UNAYE MTUMUKIA NI MUNGU MUUMBAJI. SONGA MBELE FANYA HARAKA WAKATI UMEKWISHA
Mi na barikiwa saaaana muenye iko na masikiyo asikie maneno Roho y’a Mungu ina sema n’a Kanisa
Wow!!!..ameeen this is wat have been waiting to hear from any gospel artist but finally kerubo have made it,,,barikiwa sana huu ni ukweli mtupu!!!
That is My favorite artist si mwingine Bali ni Fenny Kerubo ❤️❤️❤️ dada Lizylizy anakupenda ❤️
Fenny be blessed Kwa kufafanulia wengi kuhusu end times I feel like joining u to preach da gospel
Good one ...nimeona wimbo yako kwa status ya mtu watxapp na ikaniguza nikakufuata mpaka huku .....mungu akuzidie kibali na akubariki kwa kazi zuri unayoendelea kufanya 🙏
Sooo touching is the song...May God give me knowledge and understanding to know more about the prophecy...Thanks Fenny for these be blessed
Talented kisii musician with sweet voice .Love her songs and I enjoy listening to them.May God bless you Always Fenny Kerubo.
Hongera sana kwa massage sand,imefka vya kutosha
Amen amen ukweli ni siku za mwisho tusimame imara kwa kuomba na kufunga na kumwita Mungu atupiganie
Waw a great message feel blessed with the song sister ubarikiwe sana
I love listening to your songs Fenny but this one has touched my heart. From all the way USA. May God bless you and your team.
Thanks dear kerubo this is a strong message let the almighty God see as through
When listening to this song napatwa na goosebumps 😓😓😓God above all remember us king jesus
The best of the best, Dear Fenny Kerubo. Indeed, you've stood to be among those proclaiming the 3rd Angel's message. I pray that together we'll gather and be among the chosen in the Coming of the Son of Man(Jesus)
The best of the best let the whole world here this, True Gospel thanks Fenny
0n
Awachao mungu amewapa uwezo wa kufahamu ujumbe Huu. Shukran Fenny umetumika kama chombo
God bless you wewe na huduma yako
Uimbaji ndio huu umejawa na roho mtakatifu, anakufunulia kila kitu, wimbo wa nyakati hizi, Mungu akuzidishie dadangu kipenzi
Amen dada vane wimbo wenye upako kweli. Barikiwa sana 2021 mko wapi huu ni wimbo mtamu acha roho wa mungu atusaidie tuelewe.
Kwani nimekua wapi huu mwimbo nausikiza leo mungu na akuvunulie zaidi dadangu wewe ni kama dada Ester white alievuniliwa ufunuo
Accenti mupendua Wetu wa Roho mafundisho y’a wakati za muicho Iyi Wimbo inanipatia Moyo tu chimame Imara Wateule Amen Shalom Shalom Amen
Wow amen yaliyotapiliwa yametimika amazing song congratulations our fenny
He ! Mungu Uyu simamiche Imara Ye Yula Nyama Wa Yahuli Anafika Buana Yesu Tusaidie
Mtumishi bwana hapewe sifa mungu akutumie sana umetukumbusha kwamba tuko na vita
Message delivered.. I love everything in this song
That's true maandiko yanatimia kwetu walokole tusimame imara, vita vimeanza, barikiwa sana dada❤❤❤❤
I can't even hold my tears while listening to this song.thanks so much mummy.we love you,and we need more and more.
Very encouraging am blessed
Best song fenny
Me too dea very powerful
Sooo touching aki
These two songs always causes goosebumps and eagerness to draw more to the lord, and i feel am not doing enough for the lord.
Thank you sister fenny, watching you from south sudan. may God bless you and watch over you as you continue to win more souls to the lord
An anointed product. A global outreach track. Indeed, the gospel music industry has been waiting for this. God bless thee
Gonga like Kama unakubali hii song na figure ya fenny😜😜😜
Nice song with Revelation! May your spirit guide us ooh Lord
Nakuelewa my dear sisy naupe sana nice one song.
Am here from tiktok.....a nice song indeed
the real gospel am proud of here in Kenya...this can change us as youths...others are just secular #BAHATIKENYA
wimbo hi ulitoa poa pia na kujaza taratibu mungu akubariki
Woooow,, gud job,,,acha roho mtakatifu atufafanulie,,,be blessed for this good work
Am here everyday to watch the song, it touches for real. It makes me feel relaxed
Fenya una ufunuo wa mungu amefunguliwa kweli lakini kunawale hawajajuwa mungu aongeze ufunuo santi mama fenya
Amen let God use you to preach hhe gospel, this is pure prophesy, kuelewa ndio shida
This song is surely spirit filled
Wenye maamini akuna mungu,sikizeni huu wimbo ,na mfahamu kwamba siku za mwisho zaja
Is true watakatifu tutaokolewa sana AMEN 🙏🙌👏 be blessed
Amen mtumishi wa mungu mungu akubariki sana I like the song
Wonderful gospel and ministering to the world keep it up and be blessed madam amen .
Asomaye na afahamu, barikiwa Sana Fenny.
Mungu akubaliki Kwa huduma yako nzur kupitia nyimbo
Your song touches the heart Fenny..be blessed sis
Congratulations feny that is the real cospel, may God bless you
I loved this song and the message in it from the first day I listened from it,may God bless you woman of God 🙏
Psalmist more grace💥💥💥
Very powerful message