ACT-YABAINI MADUDU UANDIKISHAJI, MKURUGENZI MANISPAA ATOLEA UFAFANUZI; WATISHIA KWENDA MAHAKAMANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Chama cha ACT-Wazalendo Kigoma mjini kupitia kwa viongozi wa JIMBO LA KIGOMA MJINI kimekuja na hoja kukosoa uandikishaji wa wapiga kura, huku Mkurugenzi wa manispaa ya Kigoma ujiji akifafanua kuhusu dosari hizo na kuendelea kuwatoa hofu wananchi kuwa hakuna changamoto yoyote katika zoezi hilo na kuwataka wananchi waendelee kujiandikisha kwani ni muhimu kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

КОМЕНТАРІ • 3