Hongera sana WanaTuzinde, hata pande hizi tumewapata vizuri. Ni namna nzuri ya uinjilishaji kwa nyakati za Leo. Mungu awabarikini nyote. Heri sana kwa Mwaka Mpya 2025!
Yaaani,, mmeacha simulizi Jimboni Ifakara.Hongereni sana kwa uinjilishaji mwema!! Mwenyewe kila nikilala kale kawimbo kakutanyanyua kale bwana weè!!! Hata sisinzii! Napenda sana ninyi
@kwayayamt.mbagatuzindeparo1959 naijua sana kwaya yangu hii, kwa ubora wake sasa naifananisha na kwaya ya mt Cecilia ya Makuburi Dsm ndio maana nkasema hivyo. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Hongereni sana Mungu awabariki❤❤
asante sana
Hongereni sana wanakwaya Kwa uimbaji wenu mzuri. Mungu awabariki Kwa kutuinjilisha❤❤❤
Shukran
Nawapenda tuzinde Mungu awe nanyi daima
@@AgnesMsigwa-n2q asante sana
Hongera sana mko vizuri ongezeni juhudi umakini wa steps
@@DeoKaduma-g1d Mungu ni mwema
Mnako elekea huko amazing
@@johaneshaule4378 Amina
Hongeren sana mbaga tuzinde mungu azidi kuwabaliki kwa utume wenu mzidi kusonga mbele
@@AdelinaMgimba asante sana mwanafamilia Mungu akubariki
Asanteee
Hongereni sana❤.
Keep going ❤
From kenya
@@JonaQym Amen
Leo mmetuinjilisha vyema sana jimboni Ifakara tumebarikiwa
@@silvanasanga437 asante sana Mungu ni mwema sana
Waoooo Shukran sana Kwa kutupokea Na Kutuona Twaweza Fanya Kitu kwenu. Sifa na Shukran zimwemdee Yeye Aliyetufanya kuwa Hai
Hakika tumebarikiwa
@@marukizzyonline7102 asante sana
Hatariiii😂😂
Hongera sana WanaTuzinde, hata pande hizi tumewapata vizuri. Ni namna nzuri ya uinjilishaji kwa nyakati za Leo. Mungu awabarikini nyote.
Heri sana kwa Mwaka Mpya 2025!
@@aurelianmwinuka4550 asante sana heri na we pia
Asante sana baba Yetu
Mpaka raha!!!.
kumwimbia Mungu
Hongereni sana wapendwa ❤🎉🎉
Vibe kama lote 😂😂😂😂
Hapo bro Tass na bro Mass kama wazee wa Kanisa hivi 😂😂😂
@@emmanueldkulwa1824 hahhaaaaaa.. wanawakilisha kwa kiwango cha juu sana
KUSIFU KUNAWAPASA WANYOFU WA MOYO 🎉🎉🎉
Hongera Sana Wapendwa kwa kazi ya BWANA.. BWANA apewe Sifa ANAYOSTAHILI ❤
Nimebarikiwa kutazama hii video
@@suzannakipapy5951 Mungu ni mwema sana
Hongereni sana Tuzinde
@@ReiphanLusungu asante sana sana
Mbarikiwe sana marafiki na wanautume wenzangu kwa uinjilishaji uliotukuka, mnafanya kazi kubwa kwa kweli na tunaziona. 🎊🎊🎉🎉👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾
@@wolfgangmsigwa94 amina sana mwanafamilia
Hongera San kway ya Mt tuzinde kwa wimbo mzuri pia hongera Sana ayubu myonga kwa organist safi mno
Yaaani,, mmeacha simulizi Jimboni Ifakara.Hongereni sana kwa uinjilishaji mwema!! Mwenyewe kila nikilala kale kawimbo kakutanyanyua kale bwana weè!!! Hata sisinzii! Napenda sana ninyi
@@IreneNgoja hahahaaaaaa... asante sana kwa kutupokea na tuendelee kumtukukuza Mungu... karibu sana
Congratulations 🎉
Woow❤❤❤
Hongereni wapendwa. Katekista neema na rudesinta nawaona .
Mbarikiwe
@@mjasiriamalikwanzanjombe6708 asante sana mwanafamilia karibu sana
My best choir....nawasapoti nikiwa mkata -Tanga
@@flova7022 Asante sana endelea kutuwakilisha... ndg yetu
@kwayayamt.mbagatuzindeparo1959 tupo pamojja sannaaa
Asante sana rafiki yetu
Waoooo Tunakushuru Sana Ndugu yetu
@emilyserikalin4804 Amina ..
Ah Tuanze challenge sasa🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@@tedrinaevaristo2289 hello mwanafamilia tupo hapa
Twende kaxi
@tassygeorge6717 ✅✅✅
Gls 💥💥💥 nice video, amaizing audio
@@kirinanyahuro2512 GLS wako vizuri sana..... tuendelee kumtukuza Mungu kwa nyimbo
Watu wangu wa nguvu 😊mnajua vyenyew nawapendraaaaa Tutamwimbia Mungu mpaka Mbinguni
@@salomefwalo8724 asante sana tunakupenda pia sana
Pamoja Dada
Hakika kabisa na tunakupenda pia 🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuriii sanaaa ❤❤❤🎉🎉
MYONGA 🙌🙌🙌
@@paulyohanemaduhu9772 yuko moto hatari sana GLS kwenye ubora
Woooow MBAGA TUZINDE,,,,, BRAVO
Mwitanzile nyevaa hongereni sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kazi imetukukaa, Hongereni Sanaa Tuzindee ❤
@@lazaromhepela8038 asante sana mwanafamilia wetu
Mambo ni moto❤
@@eliailomo6291 Mungu ni mwema
@@eliailomo6291 Mungu ni mwema
🎉🎉🎉🎉🎉 hatari
@@moshadeiv2991 kabisa
Hongereni wapendwa kwa utume
@@kingdongoja3951 asante sana
Hongereni sanaa.mnaupiga mwingi
@@enilickmgani1608 asante sana ndg yetu
Mt Cecilia ya Njombe hiii. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@baziliosasila5064 hii ni Mt Mbaga Tuzinde Njombe
@kwayayamt.mbagatuzindeparo1959 naijua sana kwaya yangu hii, kwa ubora wake sasa naifananisha na kwaya ya mt Cecilia ya Makuburi Dsm ndio maana nkasema hivyo. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
@baziliosasila5064 ooooh asante sana
Njombe yangu uinjilishajii mzurii
Hongereni Sanaa
Nyie watu hamda dogoo....mpo vizuri nikija likizo Njombe Thadei utaniachia kayamba
@@flova7022 hahahaaaaaa usijari karibu sana kayamba utapata bila shaka
Asanteeeee
Good Job Tz
Kazi nzuri ❤❤❤
@@IsentrudaRose 👏🏻👏🏻👏🏻
Tumwimbie Bwana
@@EsterBanda-n6j katika roho na kweli
Hongera sana ❤🎉🎉
@@josephkasanyu645 asante sana ndg karibu tumtukuze Mungu kwa nyimbo
🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Nice
Mbarikiwe na bwana🙏
@@bestanziku5704 Amina sana
Kazi njema mnoooo❤️❤️
Hongereni sana kwa utume, kazi nzuri inabariki👏👏🎹🙏
@@muzikimtamumtakatifu897 asante sana
Amina
🔥
Hongereni sanaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@@LwivaGloria asante sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Karibuni tena ifakara
Asante ttakarbia tena
@@credokomba335 asanteeeeee,hakika tutafika Mungu ni mwema
😂😂😂asante mmetubariki vyema........hasa wapiga vyombo kwenye video😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@@henrychamatata2881 asante sana
😍😍
Hongereni sana mbaga tuzinde,Jana mlitukosha sana ifakara,karibuni tena
🔥🔥🔥🔥jana ilikua n fire 🔥🔥🔥 sana
👏 👏
🎉🎉🎉
Hongereni sanaaa...
🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu azidi kuwainua ❤
❤❤❤❤❤
@@felisterligwa 👏🏻👏🏻