Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mim wa 22 jaman like zote zije kwang
Wale wanaothani kuwa kimu akipelekwa Madhabahuni atatoka Salama wagonge like
Atatoka salama namuamini💪🏿
Kweli ksbisa
Leo nimejaribu kuwahi kim twende kazi usikupali kushidwa nakuaminia ❤❤❤❤
Mimi ndio babu yake sakmat naombeni like
Movie nzuri 👏🥳 ila dakika ni chache mno
Movie nzuri Ila mnachelewa kututumia na kutuletea kwa wakati jaman
Wa nane leo mwenzenu kutoka msumbj 🇲🇿
Hata mm nmewhi jamani,Kaz nzur san
Kim napenda sana kazi zako ❤❤❤
Kim assante kwa kutuongezea dakika❤❤ 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like apo
😂 nawaona majini wa 2,000 😂😂 wana maneno ya shombo kama wamezaliwa Mbagala 😂
Au sio 😂😂😂
@@ZenaKambi-d6n hawa majini hawajawahi kutokea hata kwenye muvi 😁
Kabisaa 😂😂😂
@@Iryne-m6f 😁😁😁😁
Jini anatafuta bwana😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
🔥🔥🔥kwa Hakika na mimi nimewahi leo😊
Jini anataka bwana chezea bwana we🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Du! Wabongo bhana jini anachamba hatari
Leo kweli nimewah❤❤
Tuna wapenda sana huku rwanda
Watano leho❤❤
tumeipata kabsa kwa wakati
Safi sana
Safi sana Kim nakukubari kinoma yani
Anatakiwa kukaza bila kuogopa tishio lolote, tishio! Tishio hilo la nyoko!!!!😂😂😂
Kazi nzuri dada kim
Kazi nzuri sana kim❤❤❤
ila nyie mashetani niwazuri ivo mbona
Mafunzo mazuri ❤❤❤
Kim mrithi wa clam hakika unafanya vyema 🎉🎉🎉🎉
Kim kazi nzuri sanaaaa tunawapongeza toka Kenya 🎉🎉❤❤
Leo nimekua wa kwanza laik zangu
Vipandee vifupi jmn kaaaa
Kazi ipo sawa sana
Sapnet vituko kweri 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wa twenty nine ku comment
😂😂😂sakmet anataka abaki duniani atafute bwana 😅😅karibu duniani sakmet tushirikiane kulia unadhani hao mabwana wanaeleweka basi mmmh nipite mie😂😂😂😂😂
Napenda sana ❤❤❤❤😂😂
Tunakutegemea sana Kim
Kasi safi sana Kim mama gagana mrembo kazi unaijua sana ❤❤❤❤
Kim vevo❤❤❤
Uyu sakmet anabalaaaaa Jamani kaaaaa . ila hongera Sana kim kazi nzuri mumy
Nzuri sana tunawapenda sana Kim nakukubali sna 🇹🇿🎥
Nimependa kimu kaz nzur
Nilikua nasubiria sana
❤vizuri sana powa powa natoka DRC congo kinshasa
Sawa kim tunakuaminia ucje ukatuangusha kwa hao majini 😂😂😂 mwendelezo please
❤❤❤❤❤❤❤
wakwanz
Kazi nzuri sana Kim love you too
Ya moto💥💥💥💥
Dakika ni ndogo ongezen
Sijachelea
🎉🎉🎉
jini ataka bwana makubwa haya
❤ila unafanya Fupi sana
Sasa majini mpaka yacheke hivyo?😂😂😂😂😂😂😂
Hongera bongo movie nzuri sana
Dkk chache jaman ongeza kdg❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Sakumet na kujisifu walai
Hii kazi ni moto🔥🔥🔥
NIKO NYUMA DAA KIMU ❤❤❤❤❤
Majin wakisasa ni shobo tu kwakwenda mbele 😂🌹🌹🔥🔥
Tu me maliza snack boy, jamani kujeni uku tumusapiti Kim wetu🎉🎉🎉🎉
Nice
Safi Sana nimeipenda hyo
Kim utalia ww kil ck tunakwambia mda tuongez hiii mzenj ap
Zambia
Wanazingua muda mfupi
Yaani hii episode yoote imeishia kwa uyo summaiya kuyayuka na kucheka basiii.. Yaani yeye anaamini ili uwe jini mzuri uwe una cheka cheka
Muda mchache san vipande vofup
This song nyie🎉❤
Hongera kim vevo😊
Kwa nini mwesi ogeza muda jameni😢
🎉
Nainpenda sana
❤❤❤🥰🥰🔥🔥🔥🔥
Ongeza dk my dear
Tishio la nyoko. Ila huyu jini khaaa mdomo wake unatapika hatar. Kama majini waswahili hivi mmmh
Wakenya wenzangu mmerauka😂.hongera Sana Kim vevo❤❤
Ila sakmet😂😂😂
Refusha movie kim twakupenda huku kenya 🇰🇪
Sakhmet anataka bwana we huogopi🤣
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣😂😂😂
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kizazi cha vevo
Kimya hio kwio😂😂😂 shetani ana upwilu anataka kubaki duniani atafute bwana😊,khaa!
Hawa majini wanichekesha😂😂😂😂
Na uyu wa kuchekacheka hawache😅😅
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Naomben mnisaidie jaman huy mkuu ni yule bint WA kicheche ama mamfananisha
Jamani❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hapana
Ndo yeye😂😂
Kim
Majini ya sasa ivi yanadamshi yanabadilisha misuko Kila siku😅😅😅
Hatari sana, Unyama sana
Jamani mbona zinakua fupi sana muongeze kidgo
asante kwa burudani
Tatizo hamtaki kuongeza dk
Huyu jini anamatusi 😂😂😂😂😂😂
KM ongeza dakika jamani
Muache matusi mchezo siyo kutukanana kila mtu anatazama mpaka watoto unavosema mara nyoko mara nini
🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤🇰🇪