MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024.

КОМЕНТАРІ • 84

  • @aciamwinyi3991
    @aciamwinyi3991 27 днів тому +5

    Hongereni nyote Ulioamini na Mh. Rais, Mwende mkatende haki, kwa kufanya kazi kwa Weredi. Mwenyezi Mungu Awajalie Mema kwenye Majukumu yenu Amiin.

  • @jamesjumbe3577
    @jamesjumbe3577 27 днів тому +8

    Mungu awatangulie katika kazi ya kuwatumikia watanzania

  • @user-gl8xq8vk6j
    @user-gl8xq8vk6j 25 днів тому

    Hongera sana mh: rais kwa kazi wizara ya afya inachangamoto sana jenifa afanye kazi

  • @wilfredmuruve3323
    @wilfredmuruve3323 26 днів тому +3

    Ni kweli Palamagamba Kabudi na Rais ajaye kama atasikiliza sauti ya Mungu kwa kutenda na kusimamia haki

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 26 днів тому

    Mungu aendelee kukupa maono ya kuijenga na kuistawisha nchi yetu mama.

  • @MrA24G
    @MrA24G 25 днів тому

    Bora kabudi na lukuvi mama hongera kwa kazi

  • @TUMLACKMSIGWA
    @TUMLACKMSIGWA 24 дні тому

    Hongera sana mama rais jamuhuri ya muungano wa Tanzania na sisi Mtwara mpakani na msumbiji tunasema chapa kazi mama 2025 kura ni zako

  • @victanoah2928
    @victanoah2928 26 днів тому

    kazi uendelee.
    God is an overseer.

  • @mussashakhry2971
    @mussashakhry2971 26 днів тому

    Hongereni sana

  • @user-es7jx9vx4v
    @user-es7jx9vx4v 26 днів тому +1

    Kabudi hongera sana

  • @davideleuter1207
    @davideleuter1207 26 днів тому

    Mwenyezi Mungu awajalie Moyo wa Kizalendo Viongozi wetu,Mumsaidie Vyema MH.Rais wetu.Katika Majukumu ya Kuiongoza,Kuilinda na kuiletea Maendeleo Nchi yetu Tanzania na Watu wake.🙏🙏

  • @LizbethSimon-j8v
    @LizbethSimon-j8v 26 днів тому +1

    Hongera mama

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 10 днів тому

    Takukuru kumepata MTU mama chapa kazi

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 27 днів тому +1

    Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu mtarajiwa hivyo nikiwa na akili zangu timamu nilimchumbia Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha miaka mitatu iliyopita akasema analifakari ombi langu kwa kuzingatia JPM aliwahi kukutabiria urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ukiwa Mume wangu naona utanifaa kuwa pia kama mshauri wangu.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 27 днів тому +2

    Asanteni na pia hongereni.
    Ila hizi viapo mnakula kila nyakati mbona hamtekelezi kikatiba isemavyo?

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 26 днів тому

    Mama Job Ndugai naomba umrudishe Kazini yule mtu mzalendo wa nchi hii ana kitu anaweza kukusaidia serikalini ni maoni mamaangu ikikupendeza na yule mkuu wa mkoa wa zaman wa tabora mwanra maarufu kama soma hiyo muangalie na huyo mtu ana kitu cha kufanya serikalini ikikupendaza mengine kazi yako tunaiyona mitaani iko vzr ongera sana mama kazi iendelee

  • @KhamisKhamis-h3b
    @KhamisKhamis-h3b 26 днів тому

    Vizuri Sana nimependa hapa kazi tu

  • @Johnsonzakaria-bj7ml
    @Johnsonzakaria-bj7ml 26 днів тому

    Safi sana mama namkubali Rukuvi sana na paramagamba kabudi nawakubali sanaa wanachapa kazi

  • @OnesmoSanga-j2f
    @OnesmoSanga-j2f 26 днів тому

    Hongereni wateule chapeni kazi

  • @JohnNzwaga
    @JohnNzwaga 23 дні тому

    Mh Rais Mimi kiongozi wako ninakuamini rais chapa kazi asante kwa uteuzi Mimi mwenezi wa ccm kata

  • @Saki930
    @Saki930 27 днів тому +1

    Kazi njema

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 26 днів тому +1

    Viongozi wa ccm hawafai ni Wezi kila mara wanabadilishwa lakini hatuoni kushtakiwa Mahakamani.

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 27 днів тому +2

    Tz syo nchi bali ni kikundi cha familia fulan, hawa watu wameshatumika kwann rais asiangalie wengne ili mnyororo wa pesa usambae, sasa famili ni zilezile toka 2010 wao ni mawazr inamaana hakuna wtu wazri wengne?

    • @richardmoses7470
      @richardmoses7470 26 днів тому

      Sas hizo ni njaa zako wanafaa ndo maana mama kawarudisha mnyororo hata kwenye baiskeli upo

  • @rizikakazoba9668
    @rizikakazoba9668 27 днів тому

    Hongera kwa Wateuliwa Mtimize Viapo vyenu

  • @zablonmlazi4415
    @zablonmlazi4415 27 днів тому +3

    Raisi amejielewa sasa, tunakushukuru sana na tunakuombea amani iwe juu yako..umetutolea wale vijana mafisadi kwenye baraza lako.nina miaka 37 na sijawahi kupiga kura ila kwa kipindi hili lazma nisimame na mama. Endelea kuipenda nchi yetu na kutuandalia watu walio wema kwa ajili ya kizazi kijacho.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 27 днів тому

      Nchi inapendwa kwa kuwa na utashi wa kuwapenda watu wake na kulinda rasilimali zake

    • @SwaibuRajabu
      @SwaibuRajabu 27 днів тому

      Hakuna jipya umekumbuka kujifunika kumekucha kabudi anamaono makubwa leo umeujua ukweri imani unaanza kuilejesha kwa watz.

  • @jumakileta599
    @jumakileta599 26 днів тому

    Kaz iendelee

  • @AmosNkwija
    @AmosNkwija 26 днів тому +1

    Majembe ya magufuli yamerudi kazikazi

  • @GeofreyLema
    @GeofreyLema 26 днів тому

    Tanzania tupo vizuri heshima mbele tu nakumuomba mungu sana kila mtu Kwa dini yake.

  • @goldengordian6835
    @goldengordian6835 27 днів тому

    Nimependa namna Mh Jenista alivyo-Bend kwa kupiga Goti wkt wa kupokea Biblia na Kiapo hasa alivyosema "Ewe Mwenyezi Mungu Nisaidie"
    Kwa tuliokulia Nyanda za juu Kusini km Njombe hiyo ni Heshima Kubwa sana. Asante

  • @user-bj9lp6jw3n
    @user-bj9lp6jw3n 26 днів тому

    Mimi ni kweli kabisa nimeamini huyu mama na Raisi wetu ni mtu bingwa, na makin Sana anajua ni wakat gan sahihi wa kuwatumia watu makin

  • @user-rj1gn9hh8x
    @user-rj1gn9hh8x 26 днів тому

    Mh raisi wetu mama nikupongeze kwa kuwakumbuka wa zee wetu wazalendo kazi iendelee

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 26 днів тому

    Ndugu Jenista Mhagama karibu sana kwenye wizara ya afya. Kama makamu wa raisi alovyosema, tunatarajia Kupata huduma Bora. Tumeyumbishwa sana na Nhif. Tafadhali sana Anza na hilo

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 27 днів тому +1

    Tatizo viongozi wetu wanajisahau sana wakiwa madalakani

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 26 днів тому

    Masikini biblia inachezewa vibaya😢😢😢😢

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 26 днів тому

    Waziri Kabudi huwa unanikosha hapo unaitamka Tanzania, si kwa mbwembwe hizo. Safiii sana.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 26 днів тому

      Ni Sanaa ya hatari mongo sana tapta wa hatari

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 26 днів тому

    Mama umefanya vizuri sna kuwarudisha awa wazee kabudi na lukuvi hongera sana hao ndio wazee wenyewe

  • @MartinLilenga
    @MartinLilenga 27 днів тому

    Very good

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 25 днів тому

    Nawapata nikiwa mozambiq maputo

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 27 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @MkuuKimaro
    @MkuuKimaro 27 днів тому +2

    Wasegetuu

  • @zakazitanzania1565
    @zakazitanzania1565 26 днів тому

    Huyu Palamagamba Kabudi ndio Rais ajayeeeee Prophecy and Declaration met.

  • @nebombago2969
    @nebombago2969 27 днів тому

    Mungu awasaidie viongozi wetu, tunawaombea Sana🙏

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 26 днів тому

    Mfanyee Kwa haki na serikali iwajibikee mna kibarua 2025 tunataka tuone Siasa safiii ndio mtushawish kujiunga na hiko chama chenuu na Polisi 😅😅😅 Huyu Awadhi mama Samia piga chini maana Hana akilii na wenzakee

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 27 днів тому +1

    Wa kwanza kutoa maoni

  • @sidodeni3468
    @sidodeni3468 27 днів тому

    Kabudi umerudi safiiiiii sana

  • @michaelpatrick9317
    @michaelpatrick9317 26 днів тому

    Mimi nisemee tu Siasa ni Kama Dini huwezi kumlazimisha mtu awe muislam au mkristo hiii Katiba watu wa aina zoteee 😂😂 hatuwezi kufanana ndio maana Kuna wazungu na waafrikaaa ingieni muwajibikee sio mnawatuma Polisi watuvunje miguuu hyo nguvu si uitumie kuwasaidia watu

  • @halifajuma545
    @halifajuma545 26 днів тому

    Inchi ina chezewa hii

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 26 днів тому

    Viapo vyote vya misahafu hupata kibali cha Mungu kwa wenye dhamira ya kweli mioyoni ili mema ya Mungu yatimie kwa wote katika taifa.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 26 днів тому

      Viongozi wa ccm hata ukiwaombea Yao maombi mungu asikii

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. 26 днів тому

    Wanaapa alafu wanakuja kuiba shenzi sana

  • @user-dr2lk7im7r
    @user-dr2lk7im7r 26 днів тому

    Kabudi apitishwe mwaka kesho kugombea uraisi watanzania, wananchi munasemaje?

  • @Mwitabenson_tz
    @Mwitabenson_tz 26 днів тому

    Kwani Kila cku ni Hawa Kuna vijana wangine mbona Kila cku Hawa wazee badilisheni Kuna wasomi jamani this is stupidity

  • @ibrahmpinga380
    @ibrahmpinga380 26 днів тому

    Ukipewa nafasi na Mheshimwa Rais haimaanishi we ni mbora kuliko wengine,nenda kafanye kazi alokuagiza

  • @HamimMbango
    @HamimMbango 27 днів тому

    Ongera muheshimiwa raisi kwauteuzi wako ila kwa muheshimiwa johari umeferi kama ulivo kaferi ktk uteuz wa nape na makamba ikikupendeza fanya mageuz mapema

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 26 днів тому

    Vijana mnatuzingua mkipewa madaraka mana bata nyingi bora tutawaliwe na wazee....

  • @user-zj9uz6vz3g
    @user-zj9uz6vz3g 26 днів тому

    KABUDI OYEEEEEE,,!

  • @edwardmagige3187
    @edwardmagige3187 26 днів тому

    Wengine hapo kipindi Cha magu, mmmmmh

  • @HusseinSuleiman-g3b
    @HusseinSuleiman-g3b 26 днів тому

    Mama mrudishe rc mwanri wa tabora ni mzalendo yule mzee

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 27 днів тому

    tatizo mnaenda kinyume na viapo na Hali mnatumia misaafu mitakatifu ccm nimetokea kuwachukia kabisa,Bora Emmanuel nchimbi pekee Ana hekima

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 27 днів тому

    KWA KABUDI UMERAMBA DUME NI MZALENDO WAKWELI ANAPENDA NCHI YAKE

  • @abeidsaleh5255
    @abeidsaleh5255 27 днів тому

    Mh. ni miongoni mwa wabunge wa Morogoro tunajivunia

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 26 днів тому

    Mh.Kabudi, wengine tulitoa machozi ulivyowekwa pembeni, tunaomba usaidie serikalil kufuatilia vyesi viingi vilivyofunguliwa dhidi ya serikali,ambavyo ni mianya ya upigaji deal kati ya wanasheria wa serikali na wawekezaji

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 27 днів тому

    Kwa nini zoezi hili la kiserikali halikufanyika makao makuu ya nchi Dodoma?!

  • @abeidsaleh5255
    @abeidsaleh5255 27 днів тому

    Mh. Karamagamba mbunge wa Morogoro

  • @Benjamin-r8g
    @Benjamin-r8g 27 днів тому

    Kati yahao wote namkubali kabudi tu Kwanza ilitakiwa ccm wamuandae kuwa raisi wa Tanzania

  • @MerereJr
    @MerereJr 27 днів тому

    Mbona hakuna brassband? Au wamechoka kila baada ya wiki mbili tatu watu wanaapishwa.

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 27 днів тому

    matumizi mabaya ya vitabu vya dini kwa nyie CCM, mungu shahidi wa hayaa siku ya kiama yenu.

  • @gabrielsanya3278
    @gabrielsanya3278 26 днів тому

    Hivi Rais Samia anapo teua Mawaziri kuna Vigezo maalumi anavyo zingatia kufanya uteuzi huo au anafanya kwa hisia tu na furaha ya NAFSI yake. Mhe. Lukuvi, Mhe Palamagamba Kabudi aliwaweka bench kwa MDA mrefu labda kwa hofu kuwa labda walitaka madaraka ya uspika na pengine walikuwa na agenda Fulani Fulani.
    Kama kuna vigezezo maalumi vinavyo tumika basi ni bora angelivitumia kupata anacho kusudia kuliko hii badilisha badilisha. Baraza la Mawaziri limekuwa kama soko la la nguo za MITUMBA kukuu na zilizo tumika kidogo na zile ambazo ni reject lakini zote zina changanywa kwenye kapu moja.
    Kuna Mawaziri walikuwa wachapa kazi na ni wasimamizi na wafuatiliaji, wabunifu na wawajibikaji lakini wameachwa na kutupwa nje.Japo kuwa ni mipango yake kama kiongozi wa nchi lakini yawezekana angelipata ushauri. wake na mapendekezo yao.

  • @akimuabdallah8039
    @akimuabdallah8039 27 днів тому

    Na magufuli anakalibia kurudi

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 26 днів тому

    Karudi hoyee CCM juu,kidumu chama cha mapinduzj

  • @user-bh4wu3tx7h
    @user-bh4wu3tx7h 27 днів тому

    Mwamba uyupa Palamagamba

  • @BenardBwakitare
    @BenardBwakitare 27 днів тому

    Mngekuwa mnaapa kwa kushika bunduki siyo biblia mnajihukumu wenyewe

  • @user-im9ly7vt6b
    @user-im9ly7vt6b 27 днів тому

    Kutoka dpp mpaka mahakama ya rifani

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 27 днів тому

    Upuuuzi mtupu hamna kitu

  • @abeidsaleh5255
    @abeidsaleh5255 27 днів тому

    Rais amewateuwa na kuwaamini ili mtutumikie wananchi