Barnaba ni msanii mkali sana tokea kitambo aliyeshindwa kutoboa tu kimataifa na sasa ndiyo muda wake wa kutoboa kimataifa na miye ni shabiki wake mkubwa tokea aanze kuimba!en am happy right now💪🔥
Ule wimbo wa Lina na Barnabas wa nipigie na Sauti yake pamoja na mwonekano wake kwa kweli huwa nazimia but no choice ,nakutakia kila raheri fun wangu,nitakupa kijana wangu umukuze kimziki coz anapenda Sana usani ,bado yuasoma .so note that
Ooh Wasafi wanadhurumu ,ona sasa msanii mkongwe na anaujua undani wa bongo flava kini Huyooo Kajiunga WCB,ndo mjue sasa kuwa wasanii wengi wanapatamani kini nafac sasa ndo finyu 🤣🤣🤣
Barnaba alikua ni msanii ambae namkubali Sanaa lkn kitendo cha kuingia uchafuni kimeniumiza Sanaa nimechukia kwa kweli ashanipoteza mm kama shabiki wake
Tatizo mnaingia kwa mbwembwe alfu mkitoka mnaanza kuliya liaya kweli mond anaweza kuwatumia vizur kujinufaisha yeye binafc maana mnaendekeza njaa sana we nimsani mkuwa ulitakiwa uwe na Lebo yako sasa
Rayvany kaingia wcb baiskeli hana leo anamiliki lebo na anamiliki msanii pia yote hayo kayapata akiwa wcb tusingemjua harmonize kama c wcb hilo halipingiki ikumbukwe bongo star search walimtolea mbavuni akaokotwa na mondi katengenezwa ndo tukampata konde boy wa ss au mmesahau
Diamond kwa taarifa yako majembe nchi hii makali yanayohitaji sapoti yako ili yake Duniani ni 2, Barnaba na Aslay usikunje kwa Hawa jamaa ni pesa kwao na kwako pia
Kwasasa hatutaki tena MTU wasafi msaada umekwisha utamuona mnyenyekevu hapo ila utakuja kushangaa uyo uyo akajakua adui mkubwa kwa diamond I say enough hatutaki tena MTU kwenye lebo yetu
Barnaba ni msanii mkali sana tokea kitambo aliyeshindwa kutoboa tu kimataifa na sasa ndiyo muda wake wa kutoboa kimataifa na miye ni shabiki wake mkubwa tokea aanze kuimba!en am happy right now💪🔥
Oooh wanyonyaji wanyonyaji mbona watu wanaingia tena wajuzi watunzi 👌
Karibu sana tunasubiri mawe yako kwa shauku sana usafini hautokaa ukaferi blood ✊✊✊🗽✊✊✊✊✊✊
Weweeeeeeeeeeeee Barnaba boy❤️❤️❤️❤️
#cbo + #saraphina💪🔥. Another new song 👇👇
ua-cam.com/video/Jp2P5xhqWFc/v-deo.html
Barnaba akiingua wcb hehehehe tutakuwa hatupumui jamani..joto..kipaji halisi ongeza management nzuri👑👑👑👑👑
I lov u very much Barnabas,u have chosen wisely
Kweli mambo ni fire.
Barnaba ana roho nzuri ♥️🙏 kama wcb wamemchukua 🙏🙏 nimefurahi🤗♥️♥️
Diamond platnumz the king of Africa
Welcome to the big family Barnaba, now you have a much bigger platform than before, ujuwe mashabiki wa WCB wengi sanaa😊😊
Hongera sana wala hujafanya maamuzi magum♥♥
Iko pow iyo
Hongera sana nahis mtatishaaa
Welcome.... Welcome.
Welcome kwenye chama lawana bro WCB 4Life
Barnaba ni very humble
well come wasafi
Naona ni Wasafi Classic Baby,....Sio Band jaman...
Umoja ni ngumvuu sn🙏🏼🤝🏼
Karibu wasafi barna mambo yatakuwa motoooo weweeeeeeee
Barnaba to the world 🌎 ✨️ ✨️
Karibu
Barnaba Boy fundi wa muziki huyoo
🦁💌
Fundi kaingia usafini karibu Barnaba boy sis kama wasimamiz na watu wa wcb tutaakuuinga mkono ad mwixho
Woooooyooooooooo wasanii wangu pendwa haawaaaaaaaaaa
Nilikuwa sisikilizag nyimbo zake sasa nitasikiliza🙌🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣
Tuko wengi
Karibu wasafi
Karibu Wasafi
Jambo jema sana, syo mziki tu, Watz na Wafrica inabidi tujifunze kufanya vitu kwa umoja au kwa team ili kuleta mashindano yenye tija
Barnaba to the world.
Barnaba noma ngoma zipigwwe kama nigeria
Good
Barnaba ni bonge la msanii mchukue mondi anayo hadhi ya kuwa msafi na WCB haitatumia nguvu kubwa Sana atafika Duniani kirahisi
#wcb4life
Njoo uku mzee
Karibu barnaba
Barnaba usisikilize maneno ya watu
Njoo WCB upige hela na mziki wako uende mbali sana.
Diamond platnumz simba baba Lao africa
Wooooooooow
Mbona unazimisha sana
🔥❤️🔥
Mi nampenda sn barinaba na jux hawna ujinga wakundi kbs
Kwisha kipaji chako kwaheriiiiiii kipaji baiiiiiiii
WCB ni kubwa sana
true
Sign mkataba ambao siku ukitaka kutoka isiwe shida. Tafuta washauri wazuri kabla ya ku sign.
Hakunaaa mkatabaataa mzuriii
We divva kichaaa sana uyu barnaba awe namb 2
Muulize mavoko mzeeia, we ni star inatakiwa ushindane na wakna Mond na Alikiba
Ule wimbo wa Lina na Barnabas wa nipigie na Sauti yake pamoja na mwonekano wake kwa kweli huwa nazimia but no choice ,nakutakia kila raheri fun wangu,nitakupa kijana wangu umukuze kimziki coz anapenda Sana usani ,bado yuasoma .so note that
🔥🔥🔥🔥🔥
Wasikuchote maneno keshoo lil ommy apete interview wawo wanataka interview kwakoo usifanye mtuu mungu
Unaenda kupoteza music wko mpuuz ww yn hp ukiingia nakutok shughuli huna daa😭😭😭
Wow nimependa na subiri song nyie wawili diamond and Barnaba itawaka sana
Barnaba tulikupenda ila wasafi imekupenda zaidi
Hahahahaha
Na mungu pia atampenda zaidi
Safi kijana kikubwa mafanikio
Ooh Wasafi wanadhurumu ,ona sasa msanii mkongwe na anaujua undani wa bongo flava kini Huyooo Kajiunga WCB,ndo mjue sasa kuwa wasanii wengi wanapatamani kini nafac sasa ndo finyu 🤣🤣🤣
Ajielewi ndomana n houkongwe wake
@@mohamedswaleh6778 ww unajieewa nn
Sn wnatoka GA kwa tamaa tu
Kapotea uyo
Barnaba sio fara na awezi kuwa wcb ata siku moja
💯💯💯💯💯
Karibu kwenye familia ya WCB
Mnaingia vizuri mnatoka na maneno
Wcb for life
Veema 👍 Sr Barnabas
Karibu WCB utavuma uliwengu mzima ulikua gizani
Kweli nakumbali
Wasafi Game Changer
Diamond mjanja rayvan mtunzi kaondok huyo Barnaba nae mtunzi so jamaa mjanja safi mpig pes Barnaba lebal for life,
Safi
Barnaba alikua ni msanii ambae namkubali Sanaa lkn kitendo cha kuingia uchafuni kimeniumiza Sanaa nimechukia kwa kweli ashanipoteza mm kama shabiki wake
Bange hizi 😂😂😂
Wew nani pimbi wew kwendraaa🤣🤣
Poleee na upoteee
kama ni kweli basi mtakuwa moto fire
Moyo unabubujika furaha kusikia tu hivyo hata kama sio kweli mmeniongezeq cku za kuishi ..
Mimi mwenyewe hivyo hivyo
Pale zuchu pale Mboso pale Queen dearlin pale Barnaba pale Jamaa yangu basi sio mchezo
Top na anavyojua kuimba
Mamaaaa asijalibu atapotea oooh
Kwani uliwahi sign WCB??
Barnabas bar
💫
❤❤❤❤❤👏👏👏👏
We acheni kulazimisha bwana
Tatizo mna Mikwara kma Mandonga nyie watu😂😂
Kwaio ndo kajiunga au
Kiki mpya na hii itabumaa pia, huwezi ht siku moja ku sign WCB atafanya kz km business partner tuu, labda kingereza chenu
Wajinga hamkosagi
Barnaba anaheshima xna
Wcb
Snoop kaleta Eminem kaleta 50 cent leo Bt today hit song is only snoop dog end Doctor dre
Unamjua eminem vzr
💎💎💎💎💎
💞💞💞💞💞
Tatizo mnaingia kwa mbwembwe alfu mkitoka mnaanza kuliya liaya kweli mond anaweza kuwatumia vizur kujinufaisha yeye binafc maana mnaendekeza njaa sana we nimsani mkuwa ulitakiwa uwe na Lebo yako sasa
Leboo mzeee hunaa helaa nikikundiii cha kihunii
Rayvany kaingia wcb baiskeli hana leo anamiliki lebo na anamiliki msanii pia yote hayo kayapata akiwa wcb tusingemjua harmonize kama c wcb hilo halipingiki ikumbukwe bongo star search walimtolea mbavuni akaokotwa na mondi katengenezwa ndo tukampata konde boy wa ss au mmesahau
Barnaba anajuaga atari sn sauti km yote hapo
Wanatuleteya 💥💥💥wsb Kweli SIMBA babalao,..Unatuleteya MTU mkubwa.
Shehe utapotea kweli kweli kaka
Usije lia kama Mavoko 😄
Mavoko anasikika wapi Sasa mpka xaxahivi🤣🤣
kweli au mnatuzuga
Nilikukubal sanaaaaaaa ila kwa hapo umezingua nenda kafe uko fala wew
Boss usiwena wa hapo ndiyo home wasafi ina bishaa tuko ndani
Sisi tunasema karibu
Diamond kwa taarifa yako majembe nchi hii makali yanayohitaji sapoti yako ili yake Duniani ni 2, Barnaba na Aslay usikunje kwa Hawa jamaa ni pesa kwao na kwako pia
Kwasasa hatutaki tena MTU wasafi msaada umekwisha utamuona mnyenyekevu hapo ila utakuja kushangaa uyo uyo akajakua adui mkubwa kwa diamond I say enough hatutaki tena MTU kwenye lebo yetu
Acha uchoko
Unafeli barnaba
🥰🥰🥰