@@maryannactress Yes she was Hurt if Zuchu was well u would have seen Fire....She is good and by the way im not Tanzanian.....And why do you sound so bitter?🤔
Diamondplatnumz deserve more awards amekuzaaa industry ya muziki bongo flavour Leo wakina harmonize, zuchu, rayvanny wamekuwaaa mastaaa wakubwaaa wanapiga show kimataifa wote wametoka mikononi mwa Diamondplatnumz congratulations to Diamondplatnumz legend legend Diamondplatnumz
Asantee sana wcb kwa uwekezaji huu congratulation bibie zuchu for good performance na Badoo dakika chache tuu ufikishe subscribes milion mbili congratulation canaaa
Chez nous Centrafrique on dit mbi yé mon mingui c'est à dire j'aime la façon donc elle danse làa ça témoigne la beauté des filles Africaine merci zuchi 💖💖💖🇨🇫🇨🇫🇨🇫
Kunavitu watu hufanya inabd upge magot ushukuru Mungu kwakua Ile talent hauna anayo mtu mwingne na kuptia yeye unakua proud...am just proud of you zuchu🥰sijutii kua mtanzania
Vimachozi vya furaha vimenilenga machoni ulivyokuwa unaimba na ku dance, nimefurahi sana, kuna jambo kubwa sana la kujifunza ukimuangalia Zuchu na perfomance anayoifanya. Congratulation to you, your Team, DJ, Managers and Chibu.
Daaaaaah Zuchu Amenifurahisha Saaana Aiseee ...Hongera Sana Kwa Uongozi Wake Na Yeye Mwenyewe Haswaaaaa , Confident & Kipaji $ Ubunifu ...Pamoja Na Kupata Ajali Yake Still Kaua Saaaana That's The Spirit Msanii Anatakiwa Kuwa Nayo "Njaa" ... Ona Sasa Mungu Kamsaidia Watu Hata Hawajanotisi Kama ameumia ... Pale Alipopiga goti Mpaka Nimesisimka ,Kimoyo Moyo Nakunja Nditaaa Ya Kumhurumiaaa Daaah Lakin Yeye Mwenyeweee Wapiii😂😂😂😂🙌...Kwa Sasa Zuchu Ndio Msanii Wa Kike Namba Moja East Africa Kama Sio Africa Nzima
Mamamamama!,zuu you kill it!walah zuchu sikujua kama una confidence ya hatari,alafu unajua kucheza balaaaah!,ahsante mama mzaa chema,bi khadija kopa kwa hii gift.
u my BIG artist msanii mkubw kwa muda mfupi unaweza mumy,,, ila usije ukachoka au kjisahau bdo wew ni mdogo utafika unapopatak tamu yangu,,, nakupenda sana zuchu wangu
Congratulations Zuchu,show the Nigerians how we do it in East Africa.Tanzania making AFRICA PROUD.The dressing,the make up,the colours,the movements,the voices all EXCELLENT AND SUPER.
unajua ukiangalia Africa wasanii wachache wanaweza kushambulia jukwaa zuchu namuona atafunika wasanii wengi kwenye jukwaa
If u like zuchu say jarooooooooooooh
All the way from Uganda tunakupenda sana Swahili family arua ug
Umeua chuchuu wangu but tuletee na joro jamn mbon Kunoga . Hviii jamn nakupend baby wcb for life
Zuchu is so confident
Zuchu yeye peke yake ni show kweli kweli ❤️love from Canada 🇨🇦
East Africa we are so proud of you, anyone else who thinks she deserves a crown 👑
ua-cam.com/video/N80zk6dLF0s/v-deo.html
True because she's a queen not only for African but the world ❤💚❤💚❤💚👌👌👌🔥🔥🔥
@@minzletluhunga1164 wow!
Nakupenda sana Mrembo Zuchu 🇹🇿 One Mrembo kama Mama Mzazi One Khadija love One 💘❤💕 East Africa Swahili Sound WCB record MashaAllah
Baba la music africa ni diamond na mama la mama la music ni zuchu na hakuna wakulipinga hilo jaman "WCB FOR LIFE BABY♥️"🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
QUEEN 👑 OF BONGO FLEVA
You always win wcb for life 🌹
🎉🎉🎉
No Africa’s female artists have ever come to Nigeria and kill show like this! The confidence is too much! U make East African and Africa pro
Na hapo kaumia
Zuchu is Raw Jewel for Africa.....And to think she had a knee Injury....Imagine if she was Well Chaiiiiiii she is great
@@maryannactress Yes she was Hurt if Zuchu was well u would have seen Fire....She is good and by the way im not Tanzanian.....And why do you sound so bitter?🤔
@@blackandblackandblac sound bitter how? Nimeuliza Tu swali
@@maryannactress bitter YES U SOUND
Diamondplatnumz deserve more awards amekuzaaa industry ya muziki bongo flavour Leo wakina harmonize, zuchu, rayvanny wamekuwaaa mastaaa wakubwaaa wanapiga show kimataifa wote wametoka mikononi mwa Diamondplatnumz congratulations to Diamondplatnumz legend legend Diamondplatnumz
Big respect
Kweli kabsa
Asantee sana wcb kwa uwekezaji huu congratulation bibie zuchu for good performance na Badoo dakika chache tuu ufikishe subscribes milion mbili congratulation canaaa
Chez nous Centrafrique on dit mbi yé mon mingui c'est à dire j'aime la façon donc elle danse làa ça témoigne la beauté des filles Africaine merci zuchi 💖💖💖🇨🇫🇨🇫🇨🇫
Upendo...
One love...
One Mama Africa 🌍❤️
Zungusha....upendo 🙏🏽
Kunavitu watu hufanya inabd upge magot ushukuru Mungu kwakua Ile talent hauna anayo mtu mwingne na kuptia yeye unakua proud...am just proud of you zuchu🥰sijutii kua mtanzania
Kweli kabisa.
Kweli kabisa ila singeli nimeikubali salute sana
Mungu akuongoze sana Zuchu ulikuwa na jeraha lkn hukutana kuliangusha taifa lako.. What a patriotism you've shown Queen 👑 of our music
Exactly but one thing I can say ,,let her keep her career she derseving to be Queen
@@goodluckalexander3399 she's already a Queen 👑 that's why she was there.
Mungu Amlinde Mrembo wetu.
Kenyans approve this performance. We all know when Kenya approves it's lit 🔥🔥🔥. Zuchu murdered this
Vimachozi vya furaha vimenilenga machoni ulivyokuwa unaimba na ku dance, nimefurahi sana, kuna jambo kubwa sana la kujifunza ukimuangalia Zuchu na perfomance anayoifanya. Congratulation to you, your Team, DJ, Managers and Chibu.
Hata mm aise🔥🔥
Ata mimi dah hadi raha
Kweli kabisa
NOMA SANA TUFANYE KUSUBSCRIBE HAPA WANANGU
Mwenyewe nusu nilie
Daaaaaah Zuchu Amenifurahisha Saaana Aiseee ...Hongera Sana Kwa Uongozi Wake Na Yeye Mwenyewe Haswaaaaa , Confident & Kipaji $ Ubunifu ...Pamoja Na Kupata Ajali Yake Still Kaua Saaaana That's The Spirit Msanii Anatakiwa Kuwa Nayo "Njaa" ... Ona Sasa Mungu Kamsaidia Watu Hata Hawajanotisi Kama ameumia ... Pale Alipopiga goti Mpaka Nimesisimka ,Kimoyo Moyo Nakunja Nditaaa Ya Kumhurumiaaa Daaah Lakin Yeye Mwenyeweee Wapiii😂😂😂😂🙌...Kwa Sasa Zuchu Ndio Msanii Wa Kike Namba Moja East Africa Kama Sio Africa Nzima
vile kanatoka kwa stage..noma sana
Umeupiga mwingi sana kwenye iyo performance bi up zuch........ zuchu to the world 🌎
Love you zuchu 2ml soon as possible ✌️👍🙏😎
👑 of swahili nation 👏👏👏
flow check 💯
energy check💯
africanacity check 💯
creativity check 💯
Nc
Wow!!!💯
This girl is something else
Ameweza kwa kweli ......😍
hope you see her mom perform live then you understand n appreciate her more.music is in her family
Tanzanian queen 👸 ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
Zuchu🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️💣💣💣💣💯💯💯💯
Zuchu much respect you killed it
The top East Africa artist for this moment is #zuchu and #diamond no other under. For they
Hii show nimeiangalia kalbun mala 32😊😊umejua tukosha watz qeen
Tanzanians don't know how much we Nigerians love them...Tanzania 🇹🇿 Nigeria 🇳🇬 loves you ❤️
We love you too cousin❤
Love you Back jooh
Ogini! Abeg we love una pass🥂
We love u too
We love you too 😘💗😘💗😘💗🇹🇿🖤💚❤️🇳🇬
Jamani mtoto wetu anaweza🔥🔥🔥🔥
Queen of 👸Tanzanian much more love to you zuchu 🥰much love from Gambia 🇬🇲❤ 🇬🇲 ❤ 💯
Yeah🇰🇪🇰🇪
🇹🇿🇹🇿
As Tanzanian we thank you Zuchu for representing us to the much extent,,,I pray for all artists so that they reach to where they want.
Zuchu I love you for free ,,keep the fire burning
Can we talk about this lioness and "it's wcb for life babey"🥰🥰yes that's how wcb do the thing
Queen of Afrika
Nimerudia mara5....jaman this lady awwww😘😘....nakupenda
Just like me I always watch her songs daily and I never get enough of them
i just love ur confidence zuu big up🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Leo nimekupenda bureeee zuchu kwa mara ya kwanza umenifurahisha kwenye stage congratulations girl 👏👏👏👏👏
Congratulation baby❤️😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzania Queen 👑👸
Mamamamama!,zuu you kill it!walah zuchu sikujua kama una confidence ya hatari,alafu unajua kucheza balaaaah!,ahsante mama mzaa chema,bi khadija kopa kwa hii gift.
WCB For Life
She is a marvel to watch....her smotloth moves are 🔥 🔥
Zim loves you.
Finally!! we got female version of diamond plutnumz
Absolutely
Yes
💯👊
😂😂😂 and they love each other good match the energy and all that
Say it louder plz
Dada umewanyoosha✌🏻💛🥰
Viva Zuchu Viva💪💪💪❤❤❤
Mungu akusaidie tyuu Amen🥺❤️❤️❤️
Zuchu is an an amazing and energetic performer🔥 🔥💖💖💖🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My born day is a blessed day 🎉. Zuchu we love you ❤️🎶
Our Queen is more than🔥🔥
Zuchu asante kuiwakilisha Afrika
WCB for life 🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥zuchu for life ❤️♥️♥️♥️♥️♥️
Fantastic zuchu
The best African singer
Zuchu I love you free ,,keep the fire burning gal
10/10 Performance. Tanzania is so proud of you Zuchu!!!!!!
New proud from Tanzania good job my dada toka kwetu Zanzibar
You kill it mommy😘😘😘😘😘😘😘😘
Wcb for life baby ..
Zuchu the queen 👸.you did it girl hata ukiwa na jiraha get well very soon dear.much love to you zuhura ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪congrat baby girl 👧
Nakubali kaka...
Zuuuh🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️
East Africa 💪 UGANDA KENYA TANZANIA
... Rwanda, Burundi, South Sudan and Congo those are members in East Africa
Zuchu Africa alltime Princess
👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥 queen of swahiliNation u kill it 💞💞💞💞🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I like your energy Zuu,kuna ako kavibe kapekee umebarikiwa 💥🔥
Zuchu is underrated.
Nimeota akifanya collabo na ruby.
Pure.....
You killed it zuchu what a lovely performance one love🇹🇿😍
You killed
Umetiiiiiiiiiisha saaana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿
Zuchu dadangu huu dunia zizote tutaiacha alafu polepole🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Energy 💯
Swahili nation
Wawooo mtoto wa ki zanzibar nakupenda sana dear 🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤🇴🇲
Wonderful performance even after the accident,it didn't slow you down....true queen of bongo
Mamaeeee#WCB4lifeeeeeee✌️👊💗💗💗💗💗
u my BIG artist msanii mkubw
kwa muda mfupi
unaweza mumy,,,
ila usije ukachoka au kjisahau
bdo wew ni mdogo utafika unapopatak
tamu yangu,,,
nakupenda sana zuchu wangu
Hii comment jaman ahhh,, mda mfupi kazi kubwaa❤❤💯💣💣
Congratulation zuchu.
Girl am out of words with such a performance despite the injury, go girl ♥️♥️
Shout out to you #Zuchu❤️❤️🇹🇿
keep moving our queen of bongo.... watching u from Qatar 💥🌍
Congratulations 🎊🎊🎊👏🎊👏🎊 zuchu I love you so much
History has been made with one leg💥💥
I like this lady so much, 🇺🇬
Wen wasafi cooks u indeed dey cook dey really make u ... A good musicians
Ilove your zuchu unajua mpak unakela love your
Our Tanzanian 🇹🇿 Queen, u made as proud by that superb stage presentation
VIVA Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 bongoland 🇹🇿,,Show them how we do it giirrlllllllllll
Congratulations Zuchu,show the Nigerians how we do it in East Africa.Tanzania making AFRICA PROUD.The dressing,the make up,the colours,the movements,the voices all EXCELLENT AND SUPER.
My girl zuu.........mwaa
Go girl ❤️☺️ you deserve it🥳🥳🥳
nimeangalia mara 10000000💞💗💞💗💞
Talented not just music but talented
🇹🇿🇰🇪 all the way , wanogeshe Binti wetu.....hongera....mwambieni,mwambieni...❣❣❣❣❣
And the Jaro's song....yoooo....its too romantic, your voice is just powerful, strong....levels baby❤
Kindly nisaidie kusubscribe kwa channel yangu.i will really appreciate alot maze.helpe get t0 300subscribers pls🙏
ua-cam.com/channels/gf-SgqIOlMhk_Ehjb_ZiuQ.html
Queen zuchu we love u so much baby girl ✌
Powerful performance, very hard working young lady. 👏👏👏👏👏
WCB hamna fara
Zuchu has killed it 🔥
Zuchu we love you
I burst into tears of Joy Zuhura 😭💖🔥