MZEE BUBELWA KAJITOA, ANAFICHUA MAKUBWA KAULI ZA ASKOFU SHOO URAIS 202 MUNGU AMEMCHAGUA RAIS SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @RojasZebanga
    @RojasZebanga 2 дні тому +2

    Uko sawa mzee Mungu hadhihakiki

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 4 дні тому +9

    Asante sana mzee Bubelwa....🙏

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 3 дні тому +5

    Asante mzee Bubelwa kwa elimu hii kwa WaTanzania😊 hususan WaTanganyika huru ,natumaini sijakosea??

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md День тому

    Mzee mungu akubaliki wewe ndie mtumishi wa mungu sio hao wavaa majoho akina wacheza shoo wahuni wahuni wameshiba uchawa

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 День тому

    Asante mtumishi wa Mungu kwa kusema ukweli mtupu , haki ni adimu kwenye kura

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 дні тому +4

    Umeongea katika level ya upeo wa juu Sana 👏

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa 3 дні тому +1

    Mungu akutunze mzee Bubelwa ni mwalimu mzuri unachokisema ni sahihi.

  • @zakariakanyeka8024
    @zakariakanyeka8024 4 дні тому +9

    Kununuliwa ili uwe ni wakala wa ujinga ni sawa kuangamiza taifa bila kujua ajenda ya mnunuzi

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 3 дні тому +1

      Sasa atanunuliwa Shoo ili afanyeje kwani yeye anpiga kura? Tumieni akili nyie musiejuwa kuoga janaba

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 дні тому

      ​@@abuumuhammad7133Unajivunia "kuoga janaba"! Hivi kunawa "mavi" kwa mikono kwako ni sifa yakujivunia?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 дні тому +1

    Watumishi wa Mungu kazi yenu ni kusema ukweli utakaoliponya taifa na mjue kondoo wenu ni pamoja na viongozi wa kisiasa kwa hiyo muwaeleze ukweli ili watimize wajibu wao kwa kadiri Mungu anavyotaka sio watakavyo wao viongozi. Mtumishi wa Mungu taji lako liko kwa Mungu na taji laweza kuwa la miiba ama taji la dhahabu. Kumbuka Yesu alivikwa taji la miiba na wanadamu. Semeni ukweli wa Mungu roho zenu zipone.

  • @lusekelonelson7256
    @lusekelonelson7256 4 дні тому +4

    Kuacha misingi ya utaifa ndio chanzo cha haya. Kwa muda mrefu wanasiasa mmeanza kutumia watu wa dini. Mnatembea na maaskofu kwenye majukwaa ya mikutano yenu. Sasa Shoo akizungumza mnashangaa. Watu wa dini wabaki kwenye dini na wa Siasa wabaki na Siasa.

  • @EmmanuelKuzenza
    @EmmanuelKuzenza 4 дні тому +6

    Maneno yenye kuumiza mioyo ya wanaokuelewa, sijui tufanye nini ili nchi iwe kwenye ubora wake!

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 4 дні тому +4

    Bubelwa umenena!huo ndio ukweli wote💯

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 дні тому +1

    Askofu Bagonza alishatoa msimamo.Alisema tamko la Askofu Shoo ni la kwake sio tamko la KKKT.

  • @thomasluhumbika9606
    @thomasluhumbika9606 3 дні тому +1

    Akili kubwa sana. Big up

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 4 дні тому +5

    Nimekuelewa sana

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 дні тому +5

    Shooo ni mchaga mpumbavu sana kaaibisha wachaga

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 День тому +1

    Alimpinga sana Magufuli….sasa ni CHAWA

  • @paull8659
    @paull8659 4 дні тому +5

    Askof Shoo amelikosea kanusa sana..

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 День тому

      Alikuwa akimpinga Magufuli, sasa ni CHAWA wa watu fulani fulani

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 дні тому +1

    Askofu Shoo amejiabisha mwenyewe sio wachaga.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 дні тому +1

    Wanaojalibu kumtumia mungu wataishia aibu na kudhalauliwa milele jamani kubalini kutumiwa na mungu acheni shoo na janja janja

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 День тому +1

    Umeongea Ukweli kabisa

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 3 дні тому +1

    Asante baba.

  • @VailetPiter
    @VailetPiter 4 дні тому +2

    Sadaka haziwatoshi lazima wachukue na sa serikali wacha tunyooshwe maana watanzania hatujielewi mpaka tuombe poo

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 4 дні тому +2

    Mungu bado yupo...

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 дні тому +1

    Hawa ndiyo watu wa kuwasikiliza sasa! Watu wenye maono na mitazamo chanya na hoja zenye nguvu…Hili taifa linahitaji fikra imara kama hizi

  • @HelenikoBusagara
    @HelenikoBusagara 4 дні тому +4

    umenena kwel mzeee

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 День тому

    Kimsingi to be honest mama hana hoja ya kufanya abaki madarakani zaidi ya kututengenezea makundi ya machawa tu!

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 4 дні тому +3

    Mchanga na pesa

  • @mosesmsisia4602
    @mosesmsisia4602 4 дні тому +3

    Kumbe askofu shoo ana price tag

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 дні тому

    Thomas,sio kila mtu anaweza kuwa rais,tunagawana majukumu,kila mtu ana karama yake hata wewe unakarama yako.Tuombee taifa letu,tupate viongozi wanaokidhi matumaini ya taifa letu.

  • @secundawabura7902
    @secundawabura7902 3 дні тому +1

    usiite wenzako wajingawajinga si sahihi

  • @MzansiDiski27
    @MzansiDiski27 4 дні тому +2

    Safi ❤❤❤❤

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 3 дні тому

    Huyu askofu ameshakuwa Babu sanamsamamehen ty msiendelee kumjadili ila afuatwe apewe onyo. HATA mim ni bib watoto mengine wanayaacha ty kama yalivyo.

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 3 дні тому

    Jambo la maana ni kumu-Ignore Bishop Shoo,amepotoka,na najisi anajutia kauli yake imemporomosha mno kwenye chat.Amewapoteza hata wale waliokuwa wanamwamini na kumthamini.Lwa kuwa anaelewa maana ya kutubu,atubu tu hadharani,maana aliropoka hadharani na kutukosea hadharani watanzania,ametukwaza Sana.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 дні тому

    Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu mengine yote mtapewa kwa ziada.

  • @secundawabura7902
    @secundawabura7902 3 дні тому

    anzisha chama tukuone uongozi wako ni WA kiwango gani acha maneno mengi bubelwa,wasaidie wenye shida tukupime

  • @vincentmwaya6910
    @vincentmwaya6910 3 дні тому +1

    Mungu wetu ni mkuu zaidi na bado yupo kazini mungemjuwaje huyu baba ana hila kama siyo Mungu??

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 4 дні тому +1

    Dr. Kahongwa,

    • @charlesseba2000
      @charlesseba2000 День тому

      Walihongwa majaji na maaskofu wakati wa epa na richmond

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 4 дні тому

    WAZEE KAMA NYIE MNA MCHANGO MKUBWA SANA KWA TAIFA, MUNGU AKULINDE KWA UJASIRI NA UKWELI

  • @AgustinoBoaz
    @AgustinoBoaz 3 дні тому

    Ametoa mawazo muhimu Sana kw raia wa tanzania

  • @dawsonkaaya4210
    @dawsonkaaya4210 3 дні тому

    Kila mtu aheshimiwe mawazo yake.utajuaje kama unamsikia mtu kutoa anacho ishi.?

  • @diti4899
    @diti4899 3 дні тому

    Mtafuteni Askofu Bagonza atoe msimamo wake

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому

      Ask. Bagonza alishatoa msimamo wake kuwa aliyosema Shoo ni ya kwake wala siyo msimamo wa KKKT. Kwamba ahukumiwe kwa kauli yake

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 4 дні тому

    10:51 ivi wana ccm mnafikilia nn inamaana hamuoni aibu kutumikia mabepar

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 3 дні тому +2

    Shoo ni Mtumishi wa shetani kwa usishangae kula hongo na kuwauza kondoo wake

  • @pravdomirnsiegfried6564
    @pravdomirnsiegfried6564 4 дні тому

    Ukweli una tabia ya kutoka hata kama hali ikoje.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 4 дні тому +2

    Unagusa pabaya watanzania ss tunamwaamini Mungu na ni kweli Mungu upo, Samia akifanya mema tuuunge mkono na mtu au chama yyte ikifanya mema tuuunge mkono,ila tusiwanunue

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 4 дні тому

      Sasa mema hapa ni yapi au yako wapi, tupe maelezo kidogo hapo

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 3 дні тому

    Wachanga kwa pesa wapo tayari kusariti waumini wao

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 День тому

    Sikutegemea jitu kama hili linaongea upuuzi kama huo WA kibaguzi katika dini ya ukristo na uislamu potea huko mpuuzi wewe

  • @ThomasLeonard-ul7ot
    @ThomasLeonard-ul7ot 3 дні тому

    Mbona hata wewe unaonekana huna ajenda isipokuwa ni unafiki tu. Kama kweli una ajenda basi chukua hata fomu ukagombee urais tuone kama unaweza ukashinda

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому

      Hii akili yumkini si yako! Kama uliiona lile tukio natumai ulibaini hata huyo Mkuu wa KKKT alimkwepa yeye akasema yeyote aliye na sifa bila kujali chama!!

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 дні тому

    WAGALA MTALIA SANA 😢😢😢😢😢😢

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 3 дні тому

    shida ya viongozi wetu hawa wanahangaikia vitu sio watu madaraja watu wanakufa na magonjwa ya kawaida tu akili nzr wahangaike na watu bila watu furaiover za nn watu kwanza miundo minutes baadae ni akili tu Wasing sumbuka kwenye uchaguzi

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому

      Sera yao ni chama kwanza mtu baadaye! Ni sera ya kishenzi ambayo sidhani hata kama shetani naye anaweza kuutumia

  • @idrissakimwaga
    @idrissakimwaga 3 дні тому

    Ndg wewe una ajenda Gani Siasa Bado inakuruhusu unda chama chama chako Cha Siasa uonyeshe njia acha majungu ya kuchafua rais wetu mpendwa anayefanya mengi mazuri na ya maendelea kawaulize wakulima wa korosho kawaulize wakulima wa kahwa kwenu Kagera walivyonufaika na bei ya kahwa . WEWE UMENUNULIWA au una ajenda ya Siri ila umejulikana mapema

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому +2

      Kwa jinsi hii hatuwezi kuondokana na fikra mgando za kuendelea kutawaliwa hata na wasiyo na sifa

  • @SaimonWiliam
    @SaimonWiliam 4 дні тому

    Aenderee tu kuwahonga wajinga wajinga wenzie lakini sisi hatukubali.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 День тому

    Mijinga kama sho iko mingi

  • @jumanneomary2997
    @jumanneomary2997 3 дні тому

    Shooo peleka awa mahakamani awawatu wanakuchafua imeji yako wanaichafua alafu usisamehe watu hawa

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 3 дні тому

      Kajichafua mwenyewe. Hizi siyo zama za kusema "...mfalme amevaa vizuri..." kumbe kavaa magunia na yuko uchi! Akikaa uchi lazima tuonyeshe yuko uchi

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 дні тому

    Sasa tatizo liko wapi ? Wewe si umeshazitaja mathehebu mengi na ila thehebu na imani zake sasa hilo thehebu lake na hizo ndizo imani zake sasa tatizo liko wapi ? Au wewe ulitaka alifuate hilo thehebu lako nini ? Hebu nyiye watu mnaojifanya huwa mnakaa kikao na kuongea na Mungu basi mjitahidi na kumueshimu Mungu msiji sahau