Analozungumzia Askofu huyu ni sahihi kabisa. Watoto hujifunza kwa kuona watu wazima wanafanya nini. Viongozi wetu jamani kumbukeni dhamana mliyopewa na Mungu: Kulinda taifa la kesho!
Tanzania tunahitaji viongozi wa dini kama hawa wa kweli, majasiri na wasiotawaliwa na ubinafsi. Mungu atujalie tuwe nao tele ili nchi hii iweze kustawi. Mungu akubariki baba Askofu.
Ni hao ccm
This bishop is wonderful....
Tunahitaji such bishops❤
Tannzania inaongozwa na raisi mbovu na incompetent , Tanzania haijawahi kuwa na raisi hopeless kama Samia.
WATOTO NI BENDERA HUFUATA UPEPO.
WATOTO NI MAJI HUFUATA MKONDO. KWAHIYO VIONGOZI WAJITAFAKARI SANA.
Unachambuaga mambo vizuri ila huo muziki ondoa hauna mantiki unasumbua tuu. 😮
Naungana na wewe
wakwaza kuangalia kutoka Zanzibar
Watu wanasoma kwa ajili ya kuiba sio kulitumikia taifa
Analozungumzia Askofu huyu ni sahihi kabisa. Watoto hujifunza kwa kuona watu wazima wanafanya nini. Viongozi wetu jamani kumbukeni dhamana mliyopewa na Mungu: Kulinda taifa la kesho!
Askofu uko sahihi!
Askofu yuko sahihi
Natafakari MUWONGO AKIDANGANYWA
Sasa baba kama wameamua tuwe na taifa la watoto waongo wahuni wezi tunafanyaje
Ondoa mziki. Please
Kumbafu, wewe....muziki ni Bora kuliko message?
Nani amesikia uteuzi mkuu wa mwakani😢
Wa pili kuangalia kutoka mbeya
Tanzania tunahitaji viongozi wa dini kama hawa wa kweli, majasiri na wasiotawaliwa na ubinafsi. Mungu atujalie tuwe nao tele ili nchi hii iweze kustawi. Mungu akubariki baba Askofu.