Rose Muhando - Pombe (Official Audio)POMBE SKIZA *811*402#

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 965

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 10 місяців тому +83

    Sisi kama wakenya tnasema kwamba hii wimbo imeenda😅tutaanza kuiskiza na kushare ktoka asubuhi mpaka jionii,, wengine tutaanza usiku, usiku wa mananee mpaka iingie trending 😅💪🔥🔥

  • @rizikilubula4078
    @rizikilubula4078 10 місяців тому +1

    Kweli injili imehenda! Hakuna ambaye atasema sikuhubiriwa!
    Asante Mtumishi wa Bwana!
    Hacha basi Mungu akuinuwe Mara dufuuu!!!!!

  • @Jonathan99-9
    @Jonathan99-9 10 місяців тому +4

    Nimeacha pombe kabisa through this song 🙏🙏🙏🙏

  • @rosemarymumbi7029
    @rosemarymumbi7029 10 місяців тому +2

    Am here waiting for this ata wakuite con woman am from Kenya mum always remember i ndunge nakupenda sana ata sijui niseme aje ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @alamusictz
    @alamusictz 10 місяців тому +7

    #wouwooooooh Amazing our mother
    i'm listening from MwanzaTz.
    Kama unamkubali mama wetu rose wachilia like mingi hapa nione

  • @ndayizeyefredina-ni8uf
    @ndayizeyefredina-ni8uf 10 місяців тому +1

    Kipaji bwana Mama Rosemuhando kibokoyao🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍👍👍

  • @sylviahslyelvo7942
    @sylviahslyelvo7942 10 місяців тому +3

    Mama hongera Sana ,,,,,, twakupenda ata ukipigwa vita Aje songa mbele kelele za chura hizoo .....

  • @elinamapenzi4471
    @elinamapenzi4471 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki Rose.Unasaidia nafsi nyingi.Nakupenda sana mama.Natamani kukuona uso kwa uso

  • @chaomsanii9874
    @chaomsanii9874 10 місяців тому +19

    Leo ni Mimi wa kwanza nipeeni likes zangu jameni ,pombe inamadhara nyimbo tamu sana Rozy

  • @kunguricomedian
    @kunguricomedian 10 місяців тому +2

    Usiku wa manane😂😂😂hii imeenda i think we should own this woman now good music mom

  • @JoyceJohnson-b7o
    @JoyceJohnson-b7o 10 місяців тому +3

    Mungu akulinde Rose muhando
    Unatufanya tuenjoy
    Nashangaa anayesema bila pombe ushamba 😢😢😢😢
    Piga kelele kwakeee ❤❤❤❤👍👍👍👍

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 10 місяців тому +2

    Daaaaaaaah sijui hata nsemaje lkn itoshe tu kusema Nakupenda sana kipenz Changu Rose Muhando Mungu wa Mbinguni aendelee kukuweka jaman kwa ajili yetu wote tunao kupenda 💝💓❤️💖❣️🥰💋

  • @hdhdhdh2298
    @hdhdhdh2298 10 місяців тому +2

    Congratulations mama 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ love you from saudi arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @ArindaLinata
    @ArindaLinata 10 місяців тому +1

    Pombe hudhoofisha maendeleo ktk jamii.hakuna jema kwenye ulevi make huleta hanasa mbaya kama wizi,ugonvi na mengineyo.bigg up ❤❤A.ug

  • @AgnesWairimu-g5d
    @AgnesWairimu-g5d 10 місяців тому +16

    Very cool.true pombe ina madhara my dad died because of it i was left fatherless.Thanks Rose for this one i take it as a precaution ❤❤❤❤team 🇰🇪 piga likes

  • @charleslezile
    @charleslezile 10 місяців тому +2

    Very nice song hii imeendaaa ina bonge la Maudhui hingera sana mama

  • @thecharlesfamily254
    @thecharlesfamily254 10 місяців тому +11

    Mimi napenda pombe though I respect God
    Congratulations mommy we love you from kenya

  • @ibrahimmaroa1894
    @ibrahimmaroa1894 10 місяців тому

    sema kitu apo Mama wetu rose mohando ametuambia kua pombe ina madhara mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako Mama wetu Mimi natoka kenya lakini Mimi ni mkuria kutoka Tanzania 🙏🙏

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 10 місяців тому +23

    Kazi nzuri mama Yangu!! Pombe ina madhara 🎉❤

  • @nasoroadamu247
    @nasoroadamu247 10 місяців тому +1

    Mi ni Muslim bt huwa nakuckiliza Madam Muhando ur 💥 ur the best coz unagusa maisha y wengi &ur misic ni school tosha and i love ur wht u teach!,love u Rose i wish 2see u some day LIVE,respect!📌🙏mmmmwa!

  • @VellahJumba
    @VellahJumba 10 місяців тому +7

    I was just chilling,wueh,barikiwa sana mama, nice song

  • @IvonMaika-w2r
    @IvonMaika-w2r 10 місяців тому +2

    Pongezi dada 🎉 Kwa utafsiri mwafaka kwa wanaolewa ovyo.

  • @RogueWife
    @RogueWife 10 місяців тому +98

    As someone struggling with recovery, addiction is ugly. it even kills😢
    Kudos Rose!!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @franklinkarani7581
      @franklinkarani7581 10 місяців тому +1

      😢,

    • @mamakhairat8962
      @mamakhairat8962 10 місяців тому

      Kulachuma icho mama yang kipenz😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @kingumwami1434
      @kingumwami1434 8 місяців тому

      You are free,by the Power of Jesus

  • @justloveit5178
    @justloveit5178 10 місяців тому +1

    Ukweli mtupu dada Rose, Mungu akubariki ❤

  • @ibrahimkunei4835
    @ibrahimkunei4835 10 місяців тому +4

    Kabisaaa mama Rose muhando waambie ukweli na next uimbe wimbo ya bangi na sigari ,,Vijana wadogo WA shule Akili zimeruka ,,,,kabisaa

  • @EstherDiana-j8o
    @EstherDiana-j8o 10 місяців тому +2

    Pombe inamadhara kwel congratulations mum ❤

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 10 місяців тому +5

    Mama sautiii! Sio Mwingine ni yule yule Malkia,queen,Simba wa kike ,mama wa mapendo kila anapokwenda watoto wanamzingira ! Mama assembly uyu, airrrrrrrrr! hii nayo imeendaaa!! 🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥

  • @adsonwere4930
    @adsonwere4930 10 місяців тому +17

    Mum Rose may God bless you aki. Wewe ni Simba uliyeshushwa kuhubiri . Kenyans love you so much❤

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 10 місяців тому +1

    Mungu mkubwa,Rose mhando karudi kwenye ubora wake baada ya maradhi na changamoto nyingi.
    Shukurani sana kwa vijana wa kamukunji aka koinange,pamoja na ukora wao kuanzia saitoti,ouko,kariuki,msando,jumwa,msando wakiamua kuokoka ni watu wazuri ,big up sanaaaaaa Rose Muhando,wanyooshe(wanyorosheeee😂

  • @everlyneeshitubi9795
    @everlyneeshitubi9795 10 місяців тому +10

    Wow another one , congratulations 🎉🎉🎉🎉 mama may God continue blessings you 🙏🙏 wapi like za mama wetu aki am listening from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @isayamwirigi1866
    @isayamwirigi1866 10 місяців тому +1

    Asante Kwa Mungu May God bless Rose

  • @dinewithpurity8661
    @dinewithpurity8661 10 місяців тому +28

    Hii imeendaaa.........! kuwa National Anthem hii Christmas.much love from Kenya ma'am ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SelinaJaphet
    @SelinaJaphet 10 місяців тому +2

    Hongera nikwel pombe Ina madhara 💝💐🌹🌹

  • @aaronmailuofficial251
    @aaronmailuofficial251 10 місяців тому +19

    Hiii imeendaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ..wapi likes za wakenya 🎉🎉

  • @bengotwa
    @bengotwa 10 місяців тому +1

    Pongezi mama Rose, sina hela lakini nakutakia kila la kheri na maisha mengi usidi kuinua kazi ya menyezi mungu..

  • @Stephenmusyokaofficial1
    @Stephenmusyokaofficial1 10 місяців тому +20

    ❤❤am here waiting for this hata wakutusi wakuite majina ,nakupenda sana

  • @JoelmuimiMbuvi
    @JoelmuimiMbuvi 10 місяців тому +2

    Mama wape neno kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 10 місяців тому +5

    ❤❤❤❤❤❤❤
    Rosemuhando m1tu anatosha kuinjilisha
    Ndg yangu m1 alifukuzwa kazi kisa ulevikazini akakimbilia kwa mwamposa😂

  • @TheeBrandy045
    @TheeBrandy045 10 місяців тому +2

    Imgn hii ni content wakenya hawakuwai ona miaka yote ,❤❤❤tamba mama tamba

  • @VICTORMUTHENYA
    @VICTORMUTHENYA 10 місяців тому +80

    Simba amenguruma Tena,,,,kweli Pombe Ina mathara💯💯the queen never disappoint 🔥🔥🔥hii imeenda,,,Kenya tunakupenda

    • @mambilimuziq909
      @mambilimuziq909 10 місяців тому

      ua-cam.com/video/Bf3h5WvtiMU/v-deo.htmlsi=_vl4jwwMph0pZRJI

    • @JacintaMbithe-cs2km
      @JacintaMbithe-cs2km 10 місяців тому +3

      Simba ameguruma🎉

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676  10 місяців тому +19

      Aminaaaaaaa

    • @mambilimuziq909
      @mambilimuziq909 10 місяців тому

      @@rosemuhandoofficial5676 .ua-cam.com/video/Bf3h5WvtiMU/v-deo.htmlsi=TTyIgvMxLoI9kLu-ua-cam.com/video/Bf3h5WvtiMU/v-deo.htmlsi=TTyIgvMxLoI9kLu-

    • @gideonkiprotich8029
      @gideonkiprotich8029 10 місяців тому

      ​@@rosemuhandoofficial5676rose stop this hapit of collecting money, and not attending the venue, organized by people.. because you are famous 😢, the word of God to lead you.if you have three per week,inform other, you are not available.This shameful for blocking people in WhatsApp is a sign of greatness 😢😅,

  • @RaysonMwakasole
    @RaysonMwakasole 10 місяців тому +2

    Kazi nzuri, endelea kutunza vazi la Utakatifu, usiache kuziombea madhabahu unazoalikwaga kwenda kuhudumu, kwa maana madhababu zingine ni za Shetani ,kaa sanaa kwenye magoti kabla ya kukubali mwaliko, ubarikiwe sanaaa madamu Rose

  • @dominicmwololo7573
    @dominicmwololo7573 10 місяців тому +3

    Hii mama wacha tu..walevi hope mmesikia

  • @geobrega605
    @geobrega605 10 місяців тому +1

    Asante dada Rose kwa ujumbe wenye mafunzo kuhusu athari za pombe katika familia nyingi.Haswa, wakati wa msimu huu wa kirismasi watu wengi hunaswa na janga hili.

  • @tresor2240
    @tresor2240 10 місяців тому +5

    Balikiwa sana Mutumishi wamungu❤❤ My God blesse you Thank you so much pombeeeeee.pombeeeee.shindwa pembo

  • @star_babyke_001
    @star_babyke_001 10 місяців тому +1

    Mlevi malaya guok 😂😂😂 mummmy hawa walevi wamelaaniwa ..ni kweli pombe mbaya ..hiiii imeendraaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @PerisChari
    @PerisChari 10 місяців тому +3

    Mungu saidia wanaume waache kunywa pombe😢

  • @velmafadhillyoriga782
    @velmafadhillyoriga782 10 місяців тому +1

    Asante Kwa kufunza wanaume wetu nahata madada zetu wenye skio waskie sasa barikiwa queen of gospel

  • @hermanfrank6727
    @hermanfrank6727 10 місяців тому +14

    Nakupenda sana mama Queen of Gospel music,songa mbele wa kukunyamazisha hakuna.

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 10 місяців тому +1

    ❤❤🎉🎉 hongera sana malkia wa nyimbo za injili from Congo 🇨🇩 RDC tunakusubiri

  • @faithmasumba9100
    @faithmasumba9100 10 місяців тому +6

    Wooh ndio hapo sasa yule rose wangu wa kitambo,kweli hii imeenda , nimeipenda

  • @antoninahesatia1677
    @antoninahesatia1677 10 місяців тому +1

    Good message..........wenye masikio sikieni

  • @rajabmugo3882
    @rajabmugo3882 10 місяців тому +7

    Roho Mtakatifu hajawahi kundanganya, wala kupungukiwa, anafanyanga mambo kwa wakati na nyakati sahihi, majira ni ya chrisi, wengi wameshapanga budget ya mwezi, na pombe eti kwa wingi, jamani kabla ya yote sikiliza wimbo huu Roho abakushauri, Barikiwa sana mama yetu, Nabii wa Mungu ...#Nairobi Kenya#Dar Tz🥰

  • @dianahshikanga7344
    @dianahshikanga7344 10 місяців тому +1

    Mommy zidiwa kipawa zaidi 🙏 hiimeenda kabisaa more grace 🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 10 місяців тому +3

    Rose muhando toka uzaliwe ndo umejua kama pombe inamadhara au labda imekukuta siku izi, ila ongera sana kwakua umewajuz

  • @clementkingu963
    @clementkingu963 10 місяців тому +1

    Mama anatukumbusha watoto wake🔥🔥🔥hii imeenda

  • @KODDO_OPPAH
    @KODDO_OPPAH 10 місяців тому +11

    Kazi nzuriiii mtumishii wa mungu barikiwa saaana 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @edisaymkumbo987
    @edisaymkumbo987 10 місяців тому +1

    Umekuwa ni mama bora sanaaaa tokea uanze huduma Mungu amekutumia vyema kulitimiza kusudi lake kila nyimbo unayotuleta imekuwa na baraka sanaaaa binafsi nakupenda sana mtumishi wa Mungu mamaangu rose muhando umekuwa mtu ambae unafanya niendelee kupata nguvu kubwa ya kupambana katika huduma yangu ni ndoto yangu toka nikiwa mtoto wa miaka 13 siku moja nipate nafasi ya kuimba na wewe mamangu Mungu afanye njia naamini itatimia ..... Na Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu wimbo mzuri ubarikiwe sanaaa🙌🙌

  • @RaphaelKoleta
    @RaphaelKoleta 10 місяців тому +9

    Safi rose tamba na YESU, wawo waache wakijikongoja na wivu.❤👍 Kenya tunakubali wewe

  • @carolynewerunga9112
    @carolynewerunga9112 10 місяців тому +2

    Congratulations my dear umeimba ukweli,pombe ni mbaya sana,watu wengi wameshikwa na ukimwi kupitia pombe 😢

  • @joelmaige407
    @joelmaige407 10 місяців тому +4

    Ubarikiwee sana Mama yangu hujawahi kufelii asee🔥🔥

  • @LydiaAruba
    @LydiaAruba 10 місяців тому +2

    Hii imeenda😂 Kenyan proverb nakupenda bure momy ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @evansmasinde4042
    @evansmasinde4042 10 місяців тому +5

    We love you our mum, it's true pombe ina madhara infact mungu akuinue tu Sana wakati tujifunza mengi kutokana na uimbaji wako barikiwa sana

  • @annointingsuleiman213
    @annointingsuleiman213 10 місяців тому +2

    Simba wa kike amenguruma tena ,,,,,,,,pombe kweli inamadhara. ,,tunakupenda mum tukiwa samburu county maralal 👍🙏🙏🙏

  • @nemuelombasa8810
    @nemuelombasa8810 10 місяців тому +11

    Dada rose kweli huu wimbo unamashauli makali sana,mwenye masikio asikie kwa masikio yake mawili,mungu azidi kukupa hizo kibali cha nyimbo,watching from laikipia kenya.

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676  10 місяців тому +4

      Amina kaka Natamani watu waache Ulevi watunze famili

    • @EliMsuya
      @EliMsuya 10 місяців тому +1

      @@rosemuhandoofficial5676Kabisa Familia zina hangaika kisa pombe
      wanawake wengi wanateseka kulea familia wenyewe baba yupo bar

  • @ezekielswage6922
    @ezekielswage6922 10 місяців тому +1

    Ubarikiwe mama yangu maana bado unawahubiria watu kuusu dhambi,wahimbaji wengi siku hizi wanahimba kufanikiwa,kuhinuliwa,kufunguliwa,kuvushwa lakini abari ya dhambi awahimbi tena wamesahau lengo la ijili

  • @manisobblowi8894
    @manisobblowi8894 10 місяців тому +7

    Pombe inamadhara kweli kweli hapo sawaa mum🎉🎉🎉❤❤❤

  • @EdwardChisembe-hh9gw
    @EdwardChisembe-hh9gw 10 місяців тому +2

    Wakuite watakavyo penda lakini jambo moja wafahamu rose kawekwa hapa na mungu

  • @VictorCharles-c9v
    @VictorCharles-c9v 10 місяців тому +15

    Hakika wimbo huu umenigusa mm hadi ndani ya familia yangu, kweli pombe ni chanzo cha maisha ya watu kuharibika

  • @patrickmaithya1479
    @patrickmaithya1479 10 місяців тому +1

    Thank you mom wetu,umesema kweli pombe imeuwa wengi sana😢,mara familia kuvuruga😢mara umasikini😢pombeeee😢.Twakupeda mom apa Kenya.

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by 10 місяців тому +3

    MUNGU Azid kukutunza mama yetu , gueen of gospel Tanzania na Afrika kiujumala, Mafuta ya uimbaj yazid kumiminika juu yako kipenz chetu

  • @annabelrimui3660
    @annabelrimui3660 10 місяців тому +2

    ❤️❤️❤️woow nice song mamaaa

  • @AROMAA-KING_KENYA
    @AROMAA-KING_KENYA 10 місяців тому +319

    Mama wetu Rose Muhando never disappoints ☑️💯💯💯 nipeni likes 20 tukisonga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @mambilimuziq909
      @mambilimuziq909 10 місяців тому

      ua-cam.com/video/Bf3h5WvtiMU/v-deo.htmlsi=_vl4jwwMph0pZRJI

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676  10 місяців тому +53

      Woooouuwee!!! Ubarikiwe mwanangu

    • @AROMAA-KING_KENYA
      @AROMAA-KING_KENYA 10 місяців тому +1

      @@rosemuhandoofficial5676 🙏🙏🙏Amen🙌

    • @onesmuskyalo9976
      @onesmuskyalo9976 10 місяців тому +8

      Mama yetu keep shinning,, tangu utotoni umekuwa ukinibariki sana. Mungu azindi kukuinua from glory to glory.

    • @edisaymkumbo987
      @edisaymkumbo987 10 місяців тому

      ua-cam.com/video/tYkF9rno8wM/v-deo.htmlsi=Kda4cpp2wq5_KyU4

  • @lenaboboshanty9745
    @lenaboboshanty9745 10 місяців тому +2

    Umekosa Sana kutunga huu wimbo wa POMBE..Sisi wote Ni walevi . Nyoko wewe

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 10 місяців тому +2

    Wow ni nan atakayesema haya ujumbe umepewa ili wasikie nimefurh sana kwa ujumbe huu kwa kanisa la watu kwa sasa na watu wote

  • @muthokikimweli8004
    @muthokikimweli8004 10 місяців тому +2

    Hii nyota izidi kung'aa kung'aa tu mama wetu❤️❤️❤️wanaojaribu kuizima , yao izimike kwa jina la Yesu!

  • @lindakinya7807
    @lindakinya7807 10 місяців тому +3

    I can't wait for video ❤❤❤

  • @IvanovichMakana
    @IvanovichMakana 10 місяців тому +1

    Kazi nzuri Sana, barikiwa malkia

  • @PricilaOpula
    @PricilaOpula 10 місяців тому +5

    My mother since I was born ❤❤❤❤❤❤ l love you from Kenya

  • @elizabethchemutai1212
    @elizabethchemutai1212 10 місяців тому +2

    Asante dada wetu Rose Mungu akitumie kama kipasa sauti anaye tangaza injili kote ulimwenguni🙏🙏

  • @paulmwita
    @paulmwita 10 місяців тому +21

    Our queen never disappoint,much love from Kenya malkia🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @esthershiku1330
    @esthershiku1330 10 місяців тому +7

    Kazi nzuri mama yetu❤,kenya tunakupenda ❤🎉

  • @aishashaa1943
    @aishashaa1943 10 місяців тому +11

    Hero of gospel 😍 hata mfanye nn Yu can't stop her💕💕😍😍😍😍😍💕💝

  • @dafgwg4653
    @dafgwg4653 10 місяців тому +1

    Wee pombe ni chanzo cha vitu vingi mbayambaya mungu atuepushe nayo

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 10 місяців тому +5

    Kwenye utunzi Wa nyimbo Basi Rose Muhando kashindikana kabisa❤❤

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 10 місяців тому +7

    Walevi Wanaleta shida sana 😂😂Wale wanasema Rose aende Mbele Piga like please ❤

  • @winniefuraha
    @winniefuraha 10 місяців тому +7

    Hii imeenda kweli🤣🤣 much ❤️❤️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @michaellumumba1779
    @michaellumumba1779 10 місяців тому +2

    Pombe ni kifo...ni kifungo kibaya sana.

  • @mercymushindi2225
    @mercymushindi2225 10 місяців тому +4

    That's my role model ooohhh🎉🎉kazi nzuriiii muuuummmyy

  • @paulmuyanga3445
    @paulmuyanga3445 10 місяців тому +13

    Bonge la wimbi kutoka kwa Queen wa injili 🎉 wapi likes zake.

  • @YuppiesSilla1
    @YuppiesSilla1 10 місяців тому +8

    Wakenya oyeeee!! Tunakupenda sana 🇰🇪

  • @sammybase2
    @sammybase2 10 місяців тому +35

    Our Queen of Gospel ...WONDERFUL 💥💥💥....Listening from Kenya

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 10 місяців тому

      A TANZANIAN GIRL WHO WAS MARIED IN NIGERIA, EXPLANED HOW SHE BARIED HER LATE HUSSBAND IN THE LUXURIO
      ua-cam.com/video/Ha_yNED5gLI/v-deo.html

  • @Margaret.Okutoyi
    @Margaret.Okutoyi 10 місяців тому +3

    WOW 🎉🎉🎉 very powerful massage our queen 👑,, may God protect you 🤗,,, huu wimbo mm nasema umeenda yaan viral🎉🎉,,, umenikumbusha home😢,,, let God be God🎉

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 10 місяців тому +1

    Nakubali mama, hujawahi niangusha.

  • @AnnahMutunga-x4f
    @AnnahMutunga-x4f 10 місяців тому +3

    My sister rose. Mungu azidi kukupa amani ili uinue wengi

  • @pamelamulongo2608
    @pamelamulongo2608 10 місяців тому +12

    All the way from NAIROBI, here to support our LEGEND.

  • @HalimaPhilemoni
    @HalimaPhilemoni 10 місяців тому +3

    Nakupendaa sana dada mungu akutunze salon nkuhunguu

  • @lilcyrus4201
    @lilcyrus4201 10 місяців тому +1

    Waaah..am listening nlimalizia Keg yangu ya Nane🥲🥲🥲..nliona tiktok kumbe ilikua song ya ukweli...#wakenyapombeimeongelelewanaRose

  • @tesstescian255
    @tesstescian255 10 місяців тому +6

    😂😂kabisaa imeendaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zionfahariofficial2057
    @zionfahariofficial2057 10 місяців тому +5

    ❤❤our mum Huyooo,keep going Na tunakuombea nice song

  • @zipporahmujiti5435
    @zipporahmujiti5435 10 місяців тому +28

    Nyimbo za mafunzo nitasikiza nyimbo zako forever hata upigwe vita you are still role model in gospel field .Thank for blessings of the song🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Happy369Gn
      @Happy369Gn 10 місяців тому +2

      Hao wanaompiga vita watasurrender wenyewe. This is a gospel star

    • @MasikaMasikaOfficial
      @MasikaMasikaOfficial 10 місяців тому +1

      Nani anampiga vita sasa

    • @GilbertMwancha
      @GilbertMwancha 10 місяців тому +1

      Can we as Kenyans Adopt Rose Muhando

    • @zipporahmujiti5435
      @zipporahmujiti5435 10 місяців тому

      @@GilbertMwancha Done already