Fursa Na Changamoto Kwa Lissu Kwenye Uenyekiti Chadema, Kuingia Ikulu Oktoba 2025
Вставка
- Опубліковано 2 лют 2025
- Makala hii ya kina inayoangalia fursa (opportunities) na changamoto (challenges) kwa Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu, imegawanyika katika sehemu kuu nne
Kwanza ni fursa kwa Mheshimiwa Lissu ndani ya Chadema
Pili ni changamoto kwa Mheshimiwa Lissu ndani ya Chadema
Tatu ni fursa kwa Mheshimiwa Lissu nje ya Chadema
Na nne ni changamoto kwa Mheshimiwa Lissu nje ya Chadema.
Pia ikikupendeza, fanya ku-subscribe vijarida hivi vya Jasusi
www.baruayachahali.com
www.ujasusi.com
www.adelphilacdemy.org
Vilevile #JasusiTheAlbum sasa inapatikana Spotify, Apple Music, UA-cam Music,Facebook, Instagram, TikTok, nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea hapa jasusi.com
Endapo unahitaji kununua vitabu mbalimbali vya jasusi, tembelea hapa jasusi.com/vitabu
Karibuni na asante sana