Ushindi wa Lissu Chadema, Ajenda ya No Reform No Election Yawatia CCM Tumbo Joto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • Makala hii inazungumzia masuala mawili. La kwanza ni jinsi ushindi wa Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulivyopokelewa na chama tawala, Chama Cha Mapanduzi (CCM). Pili, ni jinsi chama hicho tawala kinavyoonekana ku-panic kuhusiana na ejenda ya No Reform No Election ambayo Mheshimiwa Lissu anaipigia mstari.
    Ikikupendeza, albamu mpya ya #Jasusi iitwayo #JasusiThe Album sasa inapatikana kwenye platforms mbalimbali za muziki kama vile Spotify, Apple Music, UA-cam Music, Amazon Music, Deezer, Instagram, Facebook, TikTok, nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea jasusi.com

КОМЕНТАРІ •