AINA ZA MALAIKA WA ZAMU NA JINSI YA KUWATUMA WAKULETEE HITAJI LAKO KWA WAKATI |Shehe Omary Mnyeshani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 37

  • @Bénigne-k4x
    @Bénigne-k4x 3 місяці тому +12

    Karibu kwetu Mungu awabariki tunaipenda promover TV maana huku Burundi kila kukicha tunabadilika kupitia promover,karibu huku Gitega tuna chauku sana naninyi,promover mkiludi nyuma mumusalimie Amiel katekela mumwambie tunampenda sana Paulo wetu huyo wanyakati zamwisho,tunamhihitaji saana n'a Aston Adam mbaya atufikie n'a sd huku Burundi,promover Mungu awandalie sehemu kubwa mbinguni Jactan MUSAFIRI tuko naww MUNGU akubariki pia

  • @Bénigne-k4x
    @Bénigne-k4x 3 місяці тому +10

    Burundi oyeeeee,nampenda Mungu,mtumishi omary Mungu akuinuwe n'a akutumie ZAIDI nawafwatilia nikiw Gitega

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 місяці тому +3

    Zidi kuinuliwa mtumishi wa Mungu Omari..wanapromover tv barikiweni sana kwa kazi yenu

  • @EliyaAbdallah
    @EliyaAbdallah 3 місяці тому +9

    MUNGU. Awabariki kwa kazi njema ya mafundisho na shuhuda za kujenga ufalme wa MUNGU

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 2 місяці тому +1

    Yani Shekhe unaelimu kubwa sana, bila kujali uliipataje, najifunza sana kutoka kwenye seminar zako.
    Yesu akubariki

  • @abdulibrahim4202
    @abdulibrahim4202 3 місяці тому +2

    Amina sana shekhe omary, ulifundisha kuhusu PAISA pia nilikua naomba umalizie kutufundisha ile miji 8 ya kiroho

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 3 місяці тому +3

    God bless and protect this team of servants.

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 3 місяці тому +2

    We are Blessed with this teachings

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 3 місяці тому +3

    Baraka tele za Bwana Yesu zimiminike kwako siku zote. Asante sana kwa fundisho hili juu ya malaika. Niko na swali tafadhali wana promover muulize mtumishi Omar kisha mnijibu ama yeye mwenyewe akipata ujumbe huu anijibu please 🙏. Salamu hii ya kiislamu inamaana gani maana hawa watu wanalazimisha sana hiyo salamu??? Inaonyesha iko na maana fiche mimi nahishi nao yaani nashindwa iko na maana gani?

  • @suedahmadi9091
    @suedahmadi9091 3 місяці тому +1

    Yehova Elohim naomba unisaidie kushinda ya Dunia katika jina la Yesu Kristo aliye hai

  • @YoyoAlfani
    @YoyoAlfani 3 місяці тому

    Promover Tv, nawapemda sana. Na ninawafiata sana. Ila fanyeni angalisho. Hakuna andiko lolote linalowaruhusu binadam kuhongea na malaika au kuwatuma. Malaika ni watumishi wa Mungu aliye juu na wala hawapokei amri yoyote kutoka kwa binadamu.
    Hapo sheikh Omary anafundisha watu mafundisho ya Jewish Kaballah (uchawi wa kiyahudi) ipatikanayo katika vitabu vya Talmud, Mishnah na vinginevyo.
    Fanyeni angalisho sana. Yesu aliwafiya watu hawa mnao jaribu kupoteza na mafundisho kama haya.

  • @neemamassame8183
    @neemamassame8183 3 місяці тому +4

    Tunakuomba uandike kitabu au vitabu juu ya malaika hawa wote na mimi nitakusaidia kupata copy right ili watu wanunue na kupata maarifa haya,Mungu akubarki sana

  • @Lola_andOlii
    @Lola_andOlii 3 місяці тому +1

    Paster tunaomba ayo mafundisho yote promover please aendeleye kutufundisha awo wamalaika wote wow mimi nabalikiwa sana my God my God please aendeleye tuchuwe gizi tunaweza tukaomba

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 3 місяці тому +3

    Mtimishi huwa nabarikiwa na wewe sana....naweza kukusikiliza hata siku nzima bila shida!!!

  • @NenolabwanaSifayabwana
    @NenolabwanaSifayabwana 3 місяці тому

    Asaaaante saaaana kwa mafundisho.ubarikiwe

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 3 місяці тому +2

    Amina

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Місяць тому +1

    Kuwajua Malaika na kàzi zao ni vizuri, ila ktk habali za kuwatumia bado kuna shaka, kwa màana sisi hapa Duniani hakuna jina liwalo lote tulilo pewa liw3zalo kutusaidia au kutumià isipokuwa jina là Yesu, tunapoliita jina hilo ndo linamuamulu huyo Malaika husika afanye jambo hilo, siyo sisi kukalili majina ya Malaika fulani na kumtuma au kutumia jina lake, kufanya hivo ni kupunguza Mamlaka ya jina la Yesu, na bidii ya Kumuomba Mungu na kutegemea viumbe watusaidie, jina la Yesu ndo mambo YOTE 🎉🎉🎉

  • @SophiaLaluka
    @SophiaLaluka 3 місяці тому +2

    Amen

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 2 місяці тому

    Mbona izo zote nikazi za Roho mtakatifu kumaandiko
    Aya ni maarifa mapya unaweza kumbatanisha na neno

  • @Priska247
    @Priska247 3 місяці тому +1

    Mungu awabariki team yote, je kuna kitabu ?

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 3 місяці тому +3

    Hapo ktk Siasa au safali ktk kueleza umekosea mtumishi, kwa nini, Nikweli hizo kazi zinafanywa na Mikaeli kwa idhini Ya Yesu, hapa duniani hakuna jina tulilopewa lipaswalo kutusaidia au kulitumia tofauti na jina la Yesu, tunaliita jina la Yesu , halafu jina hilo ndo linamuamulu huyo Malaika husika afanye jambo hilo sio sisi, kuomba majina ya Malaika flani, kufanya hivo tunapunguza Mamlaka ya jina la Yesu,na Tunaondoa ile bidii ya kumuomba Mungu,na kuwategemea viumbe hao,

    • @bonifacemwansasu6638
      @bonifacemwansasu6638 3 місяці тому +1

      Wa jina sikiliza kwa makini,mtumishi anasema ita jina la YESU, anajaribu tu kutujuza kazi za malaika

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 3 місяці тому +1

      @@bonifacemwansasu6638 kasema watumie na kichwa cha habali kimeandikwa, kasema ni watumishi wetu wewe watumie au watume tu,

    • @YoyoAlfani
      @YoyoAlfani 3 місяці тому +1

      ​@@bonifasiemanueli21Malaika ni watumishi wa Mungu aliye juu na wala si watumishi wa wanadamu. Tusome Biblia zetu.
      Mtu yeyote akifundisha kwamba unaweza kumtuma malaika basi anakupeleka mara mpja kwenye uchawi wa kiyahudi (the Jewish kaballah) na sio mafundisho ya Biblia

    • @isaackmanyikaofficial858
      @isaackmanyikaofficial858 3 місяці тому +1

      Ninamuagiza Malaika Mikaeli akufundishe uelewe siri hii kubwa ya Mbinguni kwa Jina la Yesu Kristo

    • @pierreisaya
      @pierreisaya 2 місяці тому

      Kuwana ufahamu nitafauti ya kua na Akili. Fuata vema alioyasema

  • @suedahmadi9091
    @suedahmadi9091 3 місяці тому

    Yehova Yire

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 3 місяці тому +2

    Tunaomba uendelee kutufundisha wanaotawala ijumatatu mpaka ijumapili

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 2 місяці тому

    Ameen 🇰🇪✝️

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 3 місяці тому +1

    Msiyarudie mafindisho ya kwanza yaliyo dhaifu

    • @EdwinMbwilo-fj6bf
      @EdwinMbwilo-fj6bf 3 місяці тому +7

      kwa hiyo haya ni mafundisho dhaifu? Huyu ni askali mwasi anayetoa siri za serikali ya giza, tatizo liko wapi mpendwa?

    • @Esthermordecai
      @Esthermordecai 3 місяці тому +3

      Mungu wetu tufundishe kunyamaza kimya.😢

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire 3 місяці тому +4

      Inamaana umetumwa? Ila Mungu akusamehe maana haujui unalosema.

    • @silasnatir7915
      @silasnatir7915 3 місяці тому +5

      Marko 4:22 soma hiyo utaelewa maana yake halafu swali kwako je unawesa Pinga na adui umjui Wala Siri sake ?

    • @YoyoAlfani
      @YoyoAlfani 3 місяці тому

      ​@@EdwinMbwilo-fj6bfhaya si mafundisho dhaifu pekee bali ni mafundisho potovu.
      Ni mafundisho ya mapepo katika uchawi wa wayahudi (Jewish kaballah) ambayo yanapatikana kwenye vitabu vya siri vya wayahudi kama vile Talmud, Mishnah na vinginevyo.
      Maandiko hayajaruhusu wanadamu kuwaoimba au kueaita malaika. Malaika ni watumishi wa Mungu aliye juu na wala hawapokei amri kutoka kwa mwanadamu.
      Katika mambo yote ni Yesu pekee anayekufaa.
      Fanyeni angalisho! Yesu yu haja!