Remmy Ongala - Niseme Nini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Old is gold!

КОМЕНТАРІ • 331

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 4 роки тому +6

    Natamani alipolala hata mifupa yake isipotee kwenye kaburi lake we love you Papa Remy ongala

  • @josemahena2305
    @josemahena2305 6 років тому +30

    Muziki enzi hizo ukiitwa muziki ndo maana mpaka leo unaishi na utaendelea kuishi vizazi na vizazi, r.i.p dr

    • @petermonubi9634
      @petermonubi9634 5 років тому

      We still remember you son of Africa

    • @fadhilichone8699
      @fadhilichone8699 4 роки тому

      Moving with this all the way from 1st January 2020 to 31st December 2020 .......
      insha'Allah

  • @zaym7769
    @zaym7769 5 років тому +4

    This was True Prophecy about Tanzania sasa yametimia kwa Kinana , Makamba, na Nape . Walipewa madaraka wakayatumia vibaya. Tembo wanatetea , uchumi unadidimia .

    • @stevemagadula9806
      @stevemagadula9806 5 років тому

      Naam naam hakika,sasa ndio wanalalamika baada ya kukosa madaraka

  • @marikiurassa8495
    @marikiurassa8495 3 роки тому +7

    December 2020, who else is listening?

  • @davidleparakuo2401
    @davidleparakuo2401 4 роки тому +7

    Dislikes!!for such a great song Hapa Kenya Mimi nashangaa Tu...siasa za Kenya**listening 2020..mwalimu anauza maandazi😁

  • @christinajaphethkuzenza5692
    @christinajaphethkuzenza5692 2 роки тому +3

    Lemi ongara saa sita za usiku mume wangu uko wapi?

  • @charlesmuga4152
    @charlesmuga4152 5 днів тому

    Niko hapa 2024

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 4 роки тому +10

    Machozi yananilenga lenga kwa yanayoimbwa humu.
    2020

  • @solomonmasanja7111
    @solomonmasanja7111 5 років тому +3

    Nyimbo hii kama Mzee Remmy aliiona Tanzania ya Leo kwa wale walio wajibishwa na kuanza kulalamika. RIP Remmy ...iwaendee wote wakina Makamba staili & co.

  • @rotichkiprop7183
    @rotichkiprop7183 2 роки тому +5

    For those of us in Kenya who are due for election this year, let's remember the words of this great legend as we go to that voting booth... 00:17 10/02/2022

  • @charleskahabi5049
    @charleskahabi5049 8 років тому +17

    nyimbo zako kwenye awamu hii ndo muda wake

    • @muddyso1953
      @muddyso1953 Рік тому

      Mwenyezi Mungu atujalie Daima hakika uko sahihi

  • @labanwalloga5171
    @labanwalloga5171 5 років тому +2

    Huyu Remmy kweli alikuwa mshairi wa ajabu.Yote aliyosema yanafanyika haswa hapa Kenya huu mwaka ninaosikiza huu muziki wake ya kipekee

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 5 років тому +6

    From UAE
    Rest Easy mzee Remy ongala dah Sina la kusema ila mungu akupumzishe kwa amani Amen

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 5 років тому +9

    Waimbaji
    Remmy ongala
    Cosmas chidumule
    Kiniki kiote
    Roshy mselela
    Solo
    Kawele mutimwana
    Rythm
    Shemboza mjusi
    Bass
    Muhidini haji kisukari
    Drums
    Laurence chuku
    Hii ilikuwa 1991

    • @davidleparakuo2401
      @davidleparakuo2401 4 роки тому

      Asante bro Kwa ujembe huo

    • @nyungwajunior1301
      @nyungwajunior1301 4 роки тому

      Huyu mwidin kisukari ndiyo aliyepiga bass kwenye nyimbo hii.
      Kiukweli aliitendea haki alicharaza bass kisawa sawa.
      Thanks mzee kisukari ulitisha sana

    • @mariakomba1646
      @mariakomba1646 3 роки тому

      Huyu pia Muhidin kisukari kapiga bass nyimbo ya msondo ngoma kiala chenja.

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 3 роки тому

      @@mariakomba1646 kisukari aliondoka matimila na kwenda sikinde akiwa na shemboza mjusi,kisha akahamia msondo akiwa na uruka uvuruge

    • @victormkongewa5229
      @victormkongewa5229 3 роки тому

      Cosmas thobius chidumule,ramadhani Mtoro ongala, haaa

  • @anthonywairindi5008
    @anthonywairindi5008 Рік тому +1

    Dr. Aliona hizo mambo zamani Sana, hivi Sasa tumezonga zongwa tuko taabani wandugu.

  • @lubarisamu2658
    @lubarisamu2658 2 місяці тому +1

    I can’t stop listening to this nyimbo RIP general

  • @anangisyekefa5654
    @anangisyekefa5654 6 років тому +2

    Nakumbuka mwaka 1991 kwa mara kwanza nazisikia hizi nyimbo RTD hizo kipindi cha misakato wimbo ulitoka pamoja na nyimbo kama Dodoma na Bwana mdogo.

  • @ndevundavo7798
    @ndevundavo7798 4 роки тому +3

    Sheikh anauza bangi mwalimu anauza mandazi

  • @rehemamiraji9486
    @rehemamiraji9486 4 роки тому +3

    Tembooo wanateketea tunaosikiliza wimbo huu tujuane 2020 tukiwa Caranteen

  • @sunset8001
    @sunset8001 7 років тому +44

    Ndungu Remmy was a true African legendary artist a great poet teacher defender of the oppressed and the powerless and a crusader for human rights. His works touched every sphere of our daily lives. RIP the legend your works will live forever for generations to come.

  • @cleviankavala6779
    @cleviankavala6779 8 років тому +24

    mwalimu anauza mandazi hahaha niseme nini mimi?

  • @isaacnewton1516
    @isaacnewton1516 5 років тому +6

    Talk of prophecy.... Kenyan's mpo

  • @givenmsigwa9978
    @givenmsigwa9978 5 років тому +1

    Aendelee kupumzika kwa amani shujaa wetu kama waafrika, alifanya kazi nzuri na nyingi wakati wa uhai wake.

  • @habibah7350
    @habibah7350 6 років тому +3

    Nothing,.....say safi kwa kazi nzuri pumzika kwa amani mpendwa wa Afrika mashariki na nje ya Afrika

  • @anangisyekefa5654
    @anangisyekefa5654 6 років тому +2

    albam hii ilikuwa na nyimbo kama Mrema, Dodoma, Bwana mdogo, Dunia na Utanikumbuka Mume wangu

  • @nyungwajunior1301
    @nyungwajunior1301 4 роки тому

    Pongeze za kipekee zimuendee aliyepiga gita la besi katika nyimbo hii.
    Kwakweli alilitendea haki si mchezo.

  • @user-nm5kx1we8q
    @user-nm5kx1we8q 5 місяців тому

    Ramadan mtoto mungu ailaze roho Yako mahali pema peponi mwezi huu WA Ramadan karim

  • @godfreymollel6903
    @godfreymollel6903 5 років тому +4

    Rest in Peace Remmy, you are gone but your legacy lives.

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 5 місяців тому

    Sawa kabisa kwa Hilo hakunaubishi

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 6 років тому +2

    R.I.p Remy nimekuwa nikikusiliza tangu utotoni mpaka Leo na miaka 30 . 2018

  • @amosmasala4972
    @amosmasala4972 7 років тому +25

    napenda sana kusikiliza nyimbo za marehemu ongola mungu amurehemu alipo

  • @molliskeymore1655
    @molliskeymore1655 4 роки тому +1

    This is the African Music...Big Cheers Our Legendaries.

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 років тому +5

    Dr Remmy aliimba akishirikiana na gwiji Cosmas Chidumule. Ilikuwa collabo waliiva sana kwa sababu mashairi yao yalinoga. But all story was so outstanding to date..
    Safi sana.

    • @mmangajuma5301
      @mmangajuma5301 6 років тому

      Peter Bay

    • @mmangajuma5301
      @mmangajuma5301 6 років тому

      lete habari mtu mzima

    • @beninyojamestungaraza9190
      @beninyojamestungaraza9190 5 років тому

      Kaka nadhani una mengi ya kutuadisia naomba utupe msaada +255745861002

    • @ASTUDIOSTZ
      @ASTUDIOSTZ 4 роки тому

      Safi sana. Huyu jamaa aliimba na chidumule ambaye baadae aliokoka kisha na Dr Remmy akaokoka miaka michache kabla ya kifo chake

  • @olvineokoth4628
    @olvineokoth4628 4 роки тому +1

    Mpaka leo 30/7/2020 bado sina la kusema....RIP Remmy Ongala

  • @deusnzella9213
    @deusnzella9213 5 років тому +8

    Hata hii tarehe ya leo 30/8/2019 sina la kusema

  • @anthonywairindi5008
    @anthonywairindi5008 Рік тому +1

    Wengine wanalia hivi Sasa, lakini wamesahau mazambi Yao..........niseme Nini?????????

  • @charleskahabi5049
    @charleskahabi5049 8 років тому +16

    hata Mimi sins la kusema ni mpitaji tu hapa duniani

  • @josephmgeni208
    @josephmgeni208 4 роки тому

    I can't for get Ongara oooh nice niseme nini huyu ni Tanzania one

  • @AlwaysRealStudiosKenya
    @AlwaysRealStudiosKenya 4 роки тому +20

    2019 and am crossing with this to 2020

  • @haikajohn7580
    @haikajohn7580 3 роки тому

    Nani alimwambia remmy anasurambaya? Mbona basi mungu kampa kipawa naroho safi? Kweli mungu aangalii sura iliakubariki!!! Mungu nimungu tu

  • @hznyamz6025
    @hznyamz6025 Рік тому +4

    Best song of this century....Kudos Remmy Ongala the LEGEND...

  • @eng.moseso.ongudipe2844
    @eng.moseso.ongudipe2844 2 роки тому

    Foleni kwenye supu....ofisi iko na nani?? Eish! May the soul of Remmy RIP.

  • @mzalendo2428
    @mzalendo2428 2 роки тому +1

    A funny and nice guy he was, " sura yangu mbaya, lakini roho yangu Safi", ukweli wa mu ngu. Rest in peace Remi🙏 🙏 .

  • @milestonestvke6856
    @milestonestvke6856 5 років тому +1

    Any one listening in 2018?sina la kusema.......

  • @natashaibrahim6744
    @natashaibrahim6744 3 роки тому +1

    The man was true nakupenda Sana remmy RIP

  • @velejilyomhongole1641
    @velejilyomhongole1641 2 роки тому

    Hata Mimi Sina la KUSEMA mwaka huo nimesahau Nilishituka sana niliposikia jamaa huyu hatunae tena

  • @philipmuiruri6264
    @philipmuiruri6264 4 роки тому +1

    Kenya tuliyopo sasa hivi 2019. Sina la kusema pia.

  • @robertnyaanga1320
    @robertnyaanga1320 Рік тому

    Sina la kusema.
    Remmy aliimba nyimbo safi.

  • @lutavisonlutavi8851
    @lutavisonlutavi8851 3 роки тому +1

    I listened thrice as much,still I need more.Jamani aaah!

  • @maureenakinyi1189
    @maureenakinyi1189 5 років тому +4

    Music that i never get bored listening to , great message that tough our day to day life experience . R.I.P legend

  • @timothnamunaba1233
    @timothnamunaba1233 7 років тому +4

    Remmy a prophet he sung this songs when we were not there, but this things happen

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 6 років тому

      Chidumule is doing the singing! This is one his great masterpiece of his career!

  • @jolitejolite1497
    @jolitejolite1497 6 років тому +4

    Mziki wenye ujumbe milele leo tunaona aliyo tabiri Remmy ongara 1986 bora tumempata anaye tutetea wanyonge J p M piga kazi baba wametusa Sana hao

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 5 років тому

    Mungu akupunguzie adhabu Remy uliona mbali sana . nikweli yanatokea sasa unapewa madaraka na kusahau majukumu yako kisha unanyanganywa r.I.p

  • @joshuamwangela8593
    @joshuamwangela8593 4 роки тому +4

    2020 maisikiliza in karantini😂

    • @furahamsabaha4238
      @furahamsabaha4238 3 роки тому

      Hisia kali sana haya ndiyo ana pambana nayo mzee magu tz mpaka yanakaa sawa hongera magu!

  • @maggiemacharia2046
    @maggiemacharia2046 8 років тому +5

    ata mimi sina la kusemaaaa...napita tu.....♥♥

  • @victormkongewa5229
    @victormkongewa5229 3 роки тому

    Ramadhani Mtoro Ongala,katika ubora wake,kitambo kidogo,wish to go

  • @larsolarsable
    @larsolarsable 8 років тому +5

    Always come back to this version! It is crisp and the bass and guitars just dance with Remmy's vocals and the drums! The best!

  • @victormkongewa5229
    @victormkongewa5229 3 роки тому

    Kifo usitufanyie ivo turudishie remy wetu

  • @barikibenson4678
    @barikibenson4678 5 місяців тому

    Great song ❤

  • @sannemeekes4205
    @sannemeekes4205 5 років тому

    kweli hata mimi nakupenda pia ila sina la kusema kama masai kutoka longido namanga mungu amurehemu Dr remmy

  • @osmond3616
    @osmond3616 4 роки тому +11

    December 22rd, 2019, and still listening to the song.

  • @ochiengsteven2507
    @ochiengsteven2507 7 років тому

    Kweli ilikua mwalimu kabisa ndiyo yanaendelea uganda kwa sasa sina la kusema pumzika mahali pema Remmy Ongala

  • @julianabusera4555
    @julianabusera4555 4 роки тому +3

    We still enjoy and appreciate your music!

  • @fadhymtanga
    @fadhymtanga 3 роки тому +3

    It is May 2021 and I'm still loving the song.

  • @mulusawalter779
    @mulusawalter779 4 роки тому +11

    I will never stop listening to Remmy's music

  • @faidathomas2730
    @faidathomas2730 2 роки тому

    Machozi yananitoka lala pema shu jaa wetu

  • @amandamapunda6201
    @amandamapunda6201 6 років тому

    Mungu akulaze mahali pema peponi yaani nyimbo zako zote zinamaana duh pole familia

  • @albertmichael8675
    @albertmichael8675 5 років тому +11

    2-5-2019 naisikiliza

    • @Imanibabel19
      @Imanibabel19 5 років тому +1

      Albert Michael 8.6.2019 naisikiliza

  • @larsolarsable
    @larsolarsable 9 років тому +3

    Thank you Power Oguzo
    Please post more Remmy!
    Remmy one of Africa's best ever!
    Miss you Remmy!

    • @simbarichard433
      @simbarichard433 9 років тому +1

      huyu naye ndiye babayao naipenda mistari yake iliyonakishiwa vya kutosha

  • @isaacokutoi4692
    @isaacokutoi4692 2 роки тому

    This one tosha kweli

  • @habauagway7251
    @habauagway7251 5 років тому

    Daaa nakumbuka mbali sanaa enzi hizo nikiwa mdg ila ma mdg alikuwa akiusikia ukiibwa bas anausikiliza had unaisha

  • @magorichacha6314
    @magorichacha6314 6 років тому

    Mambo haya yalikuwepo na bado yanaendelea.... kinachoshangaza hata juhudi zinazofanyika kuyapinga bado zinapigwa vita na wanaojiita wazalendo.

  • @lucasjacob6245
    @lucasjacob6245 5 років тому

    huyu jamaa alikuwa anajua vizuri havidumu pumzika kwa amani remi

  • @sylviandambuki7739
    @sylviandambuki7739 4 роки тому +2

    Ok this man made good music...crossed over to 2020 with this one ❤️

    • @mulusawalter779
      @mulusawalter779 4 роки тому +1

      The messages in his songs are true reflection of our leaders today

    • @mzalendo2428
      @mzalendo2428 2 роки тому

      This guy true singer, music full of good massage from the the bottom of his heart ❤️ ❤️. RIP Remmy🙏 .

  • @TheGZBeatz
    @TheGZBeatz 5 років тому +2

    Chidumule ndani ya ngoma, wametisha sana. 2019 🤘

  • @fredwafula6434
    @fredwafula6434 Рік тому

    Son of Africa

  • @godlovedonkoli6050
    @godlovedonkoli6050 3 роки тому +2

    Watch with me 2021🙏🙏

  • @larsolarsable
    @larsolarsable 9 років тому +5

    Remmy Ongala true genius!
    Beautiful version of this song!
    Fantastic guitar!

  • @frankmamboleo4179
    @frankmamboleo4179 5 років тому

    Tutakukumbuka daima kwa tungo zako zenye ujumbe mzur

  • @amanimwakagile3738
    @amanimwakagile3738 5 років тому

    wooooow. nipe pesa niwe kama wewe..................! i real love this song from remmy. huwezi kuwa na pesa bila kufanya kazi.

  • @mcevans2145
    @mcevans2145 4 роки тому +3

    I miss him alot my legend

  • @oduorevans3493
    @oduorevans3493 3 роки тому

    Sikia vile gita ni tamu

  • @janetwandeharris3934
    @janetwandeharris3934 5 років тому +1

    Asantee kakaangu power nguzo God bless you saaaana

  • @tyrehnonx9236
    @tyrehnonx9236 3 роки тому +2

    2050 I will still be listening

  • @elisilaackone2754
    @elisilaackone2754 7 років тому

    safi sana,uhaba wa technolojia haikua 7bu ya kushindwa kufanya vzri ," binahadam Ukitumia akili lazima utashi uonekane,by el,

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 5 місяців тому

    Sawa kabisa hujakosea mziki ni huu

  • @thomaswandai778
    @thomaswandai778 4 роки тому

    Cross over 2020 July 26 and listen to this African legend. Great and deep meaningful messages. It talk of corruption and in Africa ruled by black colonialists

  • @Unaxemaje
    @Unaxemaje 2 роки тому

    Sina la kusemaaaaa

  • @JumaMabera-es7xj
    @JumaMabera-es7xj Рік тому

    Dah doctor nakumbuka gari Yako uliandika mbaya babaako analog pumzika doctor

  • @matumbifaustine244
    @matumbifaustine244 5 років тому +5

    Whio's with me 2019

  • @abdallahkalala6932
    @abdallahkalala6932 7 років тому +2

    what can I say what can I say wengine walalamika hivi sasa wapo hoi, doctor kabaka mgonjwa, miseme nini sina la kusema m bunge anauza pembe

  • @zainabukibodogo238
    @zainabukibodogo238 7 років тому +4

    temboooo wanateketeeeea,yaani alitoa ujumbe pande zote,r .I.p

  • @flowila82
    @flowila82 9 років тому +6

    Tembo wanateketea, saa mbili asubuhi foreni kwenye supu, Daa hatari taifa linateketea

    • @khalidmakumulo8294
      @khalidmakumulo8294 7 років тому

      duuuh!!!@ kweli I h've northing to say. it's a good massage forever, this song back me in 1988.

    • @charleslkithinji2566
      @charleslkithinji2566 7 років тому

      khalid makumulo true exact. that is way it is in Kenya,,!!!!!

  • @georgerichard6706
    @georgerichard6706 3 роки тому +1

    Listening this in2021

  • @emngeso9560
    @emngeso9560 5 років тому +1

    wah... hapa sitoki, mi nitasema

  • @rodrickgerald6151
    @rodrickgerald6151 4 роки тому

    Ata mm cna la kusema aisee leo 20/01/2020 ila tuu NIDA wanataka kutufungia lain zetu uku remmy

  • @shadyshadee8966
    @shadyshadee8966 7 років тому +1

    very hot music of remmy mtoro ongala zairan musician with matimila ochestra formerly from songea

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Leo siku ya uhuru Tanzania 9mwenzi 12 2022 ibariki Tanzania 🇹🇿 ibariki Africa 🌍

  • @saidylikangasimba6518
    @saidylikangasimba6518 5 років тому

    Sina LA kusema no coment

  • @edwinagasso6013
    @edwinagasso6013 Рік тому

    Remmy was a great teacher