Kweli dada nimesikiliza nyimbo zako mbili ambazo nazipenda, Mimi ni dhahabu na Ebenezer sijasikia jina YESU Huu ndo wimbo nimesikia YESU anatajwa pole dada kweli humuweka mtu huru jipe moyo songa mbele na YESU 😢😢😢
Hawa ndugu wawili wa Damu ni Waimbaji Wakubwa wa Mungu, ibilisi anapambana kuua karama zao kwa namna yoyote ile. Ashukuriwe Mungu ambaye ni Mkuu kuliko mkuu wa giza maana hakika itajulikana mbivu na mbichi
I'm here in 2023, I'm really in need of peace right now and listening to this song soothes my soul... it's really relevant to my situation right now... Thanks 🙏 for this wonderful song.
I was feeling so low sick thinking about my family background with no hope i saw this song on my friend's status i searched here i feel better amazing voice and touching words "moyo wangu tulia "daaaah,am a blessed soul wishing you blessed journey you blessed my heart gave me hope of life i love you in Christ, God forever 😢 😢😢😢
We will never understand the impact we have to this broken world unless we accept to be guided by the Holy Spirit Beatrice Mungu anakukutumia kutia moyo walio kata tamaa. Ubarikiwe sana
Wale walioona video akilia kisha kuja hapa,nyoosha mkono
Niko hapa
😂😂 🙌🙌🙌
Tupoooo❤❤
Mm hapa tokea kenya
😂😂 una dhambi ww😅😅
Nimebarikiwa sana na huu nyimbo
Nimekuja kwenye account yako tena 16-12-2024 Baada ya kuona ushuhuda wako aise pole sana Madam Hongera kwa ushindi
Hata mimi
@@fridafrancis1960 nimejisikia kulia yani kuna kipindi nilikua nakaa hata mwaka sitaki kuongea na mama 😭😭😭😭
@@DommyAbasy-cn5ncikatae iyo ni madhabahu ya kuzim inakua inataka kukutumia kama kabisa
Kweli dada nimesikiliza nyimbo zako mbili ambazo nazipenda, Mimi ni dhahabu na Ebenezer sijasikia jina YESU
Huu ndo wimbo nimesikia YESU anatajwa pole dada kweli humuweka mtu huru jipe moyo songa mbele na YESU 😢😢😢
Tulia Kwa yesu
Freedom of choice, l will give my children freedom to choose the artist they love btn To choose Beatrice or leave my house
😮😮😮 Daah! kipawe unacho dada ❤ Mungu funguli dada wetu milango 😢😢yatakiwa awe super 🌟 Mimi kafika hapa Baada ya Joan kuongea kaa jini 😢😢
Waliojua kuwa kumbe beatice ni muimbaji wa gospel mzuri kuliko martha ila hawakumjua mpaka ikatokea vurugu wakusanyike hapa
Amen 🙏
Spirit lifting...admitted in the hospital and my baby incubated😢....Wimbo huu unanitia nguvu kila siku
May the Lord see you through
Hawa ndugu wawili wa Damu ni Waimbaji Wakubwa wa Mungu, ibilisi anapambana kuua karama zao kwa namna yoyote ile. Ashukuriwe Mungu ambaye ni Mkuu kuliko mkuu wa giza maana hakika itajulikana mbivu na mbichi
Amen
😢
I'm here in 2023, I'm really in need of peace right now and listening to this song soothes my soul... it's really relevant to my situation right now... Thanks 🙏 for this wonderful song.
Kweli moyo wangu tulia acha masham sham msikilize mungu moyo wangu, barikiwa sana mtoto wa yesu.
nabarkiwa sana dada yangu na nyimbo zako
🙏🙏🙏🙌🙌 asante mungu wangu
Amen moyo wangu tulia bwana anajua wakati wa kukubariki.tulia moyo watching from Saudi arabia.homeland🇰🇪🇰🇪.
Who is here 2024 🙏🙏🙏🙏
5th November 2024
Ata mara 10 kwa siku❤❤❤❤
Barikiwa
Vile napenda uimbaji wako but nilkuwa nakusubir hii video kwa hamu
Keep going my sister we praying for you 🙏 tunakuombea ufanikiwe iLi utimize ndoto zako. tokukwiputila twebandali palikimo nabanyakyusa 🙏🤲
Wimbo huu inakubariki sana sana mtumishi wa Mungu , Yesu akutunze sana🙏
Going through so much at the moment,Moyo wangu tulia kwenye pendo lisilo kwisha atatenda kwa wakati❤
Nyimbo za uyu madam are very emotional kwanza ile ya n mungu TU,bity i love you mamaaa keep going my playlist is full of your songs ❤️❤️❤️
Beatrice and Martha Mwaipaja -your really blessed, Keep on moving
Mwenyezi mungu azidi kubariki kipaji chako Bite
Kwakweli. Dada. Nyimbo. Iyi sijui niseme ila tu. Mungu. Akubariki sana tena sana
I was feeling so low sick thinking about my family background with no hope i saw this song on my friend's status i searched here i feel better amazing voice and touching words "moyo wangu tulia "daaaah,am a blessed soul wishing you blessed journey you blessed my heart gave me hope of life i love you in Christ, God forever 😢 😢😢😢
Unaimba vizur sana dada yangu ❤❤❤
Moyo Wangu Tulia Tuli Tuli Kwa Yesu ,Moyo Wangu tulia
We will never understand the impact we have to this broken world unless we accept to be guided by the Holy Spirit
Beatrice Mungu anakukutumia kutia moyo walio kata tamaa. Ubarikiwe sana
Hongera nyimbo ina ujumbe dada, 🙏🙏🙏
Beatrice your songs makes me cry 😢 😢nimekua nazo Skiza zanituliza
Moyo wangu tulia gulf sio mchezo moyo wangu tulia kwa yesu ..kwa maana kesho n ya bwana 🙏🙏🙏🙏🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Dadazangu zidi kusonga mbele Mungu yupamoja nawe milele na milele daima❤❤❤❤❤❤❤napenda sana nyimbo za zina tuinua❤❤❤❤
Wow 👌 hongera sana dada kujielewa na kutambuwa kuwa Bwana Yesu ndie njia pekee barikiwa mtumishi
Asante kwa kunitia moyo❤❤❤
Jaman sk nyingi nilikuwa nilikuwa nimekumis mpenz barikiwa mpenz
Nakupenda sana hadi nikiona sura yako nzuri na ya upore nafarijika
Umenifungia mie kabisa🙌🙌🙌💪💪💪barikiwa sana🙇🙇🙇
Unajua kuimba mungu akubariki kipaji kidum
Tupo huku sasa ivi🎉
Polesana dada munguakutiyeguvu katika upamubanajiwako
Wow good song 🎵my sister next year
Hongera sana kipenz nyimbo zako zmekua faraja kubwa mno kwangu,,,,,,dadaako nakupenda sana Mungu wetu aendelee kukutunza
Amen
Tik tok brought me here.....such a nice song
Hongera rafk yangu
Moyo wangu tulia kweli huu mwaka yalenimeona Kama si pendo la Mungu singekuwa 2023 I love this song it's a massage to me
yes Moyo wangu tulia Kwa yesu.
Hongera sana kipenz mungu aende mbele katika kukuinua amina
Hongera sna
Ubarikiwe sana dada❤❤❤
Martha unanipaga raha mpagiliao wa nyimbo zako na sauti ! mungu amekubariki saana
Huyu ni beatrice
@@sarahfisoo5689 ohh kweli nimewachanganya
Good! Massage!
Stay blessed my friend!
Hongera sanaa my sister
Woooow I love this song 🙏🙏🙏❤❤❤ more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
Mungu wa rehema,airehemu familia yako beatrice na matha na kuwaponya.
Moyo wangu tulia kwa Yesu tafadhali 🇰🇪🇰🇪
Hongera sana Mtumishi dada yangu
Hongera sana dada
Mungu akubariki sana dada❤.Nyimbo zako njema sana
♥️♥️♥️♥️♥️Moyo wangu jmn nakupenda Dada.
This song give me strength knowing that one day God will remember 😢😢😢 no matter what comes through my way 🙏🙏🙏
Huu wimbo umenibariki san
Hongera sana Mtumishi kwa huduma yako tunabarikiwa sana.
Merci Mungu kwa nyimbo iyi Mungu akubarikiya.
Hongera Dadangu wimbo mzuri barikiwa sana
Wow barikiwa sanaa my sister
Mungu n muzuri akukubuke na neema ingne tna nakupenda mum
Nyimbo nzuri dadaangu soon tutaachia goma lingine ubalikiwe
My song more grace girlfriend
Nimeusikiza zaidi ya mara tano...going through alot n this song soothes my heart...God bless you so much maanake umeiponya na kutuliza moyo wangu
Hongera dada wa mimi
Hakika mioyo yetu wacha itulie kwa yesu maana kilakitu ilikwisha pale msalabani
Mungu akubariki mtumishi wake kwa kaxi nzuri
Kazi nzuli dada beatreci mwaipaja good aidia Asante sana Mungu akubariki
Nakupenda sana
Hongera Sana umeitendea haki wimbo
Jaman mpak tunahandika haya ni Mungu nimetoka mbali san ,asant Mungu kwa makuu yako umenifikisha USA 🇺🇸 salama
Hakika moyo wangu tulia kwa Bwana subiri kwa wakat atatenda
Naupenda sana huu wimbo jamani
kazi nzuri mnooo rafiki yangu
Aliacha Enzi na mamlaka kwaajili yetu ...oh Hallelujah 👏 Jesus❤
wow nice song 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😊😊😊😊😊😘😘thanks for updates
Huu Wimbo mzuri mpk unakera
nakupenda dada nilikuwa naisubiri sana be blessed
Huu wimbo umenitia moyo sana
Mbona muimbaji mzuri 2 embu achana na dada yako
Mungu akubariki Sana
Umenipashia mwendo upya. Katika imani
Sauti tamu ya kumtukuza mungu,the song is lit na unatuliza moyo
Moyo wangu tulia
Amen dada unibariki sana mungu akuinue zaidiiiiiiiiiiiii
Kama dada @martha mwaipaja2.. hongereni san
Nakupenda Sanaa Ahsante kwa wimbo hours wa baraka
Ooooh my! Moyo wangu tulia kwa Yesu 🙏🙏.Am encouraged
Mwoyo turiya kwa yesu ubarikiwe sana
My favorate gospel singer 🙏🏻
Moyo wangu tulia kwa Yesu🙏
unajua kuimba B nyimbo nzuri
Hongera mtumishi wa Mungu
Moyo wangu tulia nimebarikiwa sana
AMEN.. be blessed... Watoto wamependeza....tupende watoto jamani
Moyo wangu tulia asante kwa wimbo mzuri sana nimekuta narudi sana kuusikiliza
Sichokii kusikiliza sauti nzuti kam hii🥰
Ameen! Barikiwa Sana Mtumishi