Ijue Keki Mafuta F

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Instagram: / lawracakes_. .
    linstangram: lawracakesvifaa kwa vifaa mbalimbali vya keki
    Facebook: / lawracakesda. .
    lawracakes.com
    Tupo Kigamboni Dar

КОМЕНТАРІ • 34

  • @zalishitz2006
    @zalishitz2006 8 місяців тому

    Habar madam xamahan et kimbo una weza kumuwekea mtt kwenye uji

  • @zedpineaple7824
    @zedpineaple7824 26 днів тому

    Naomba unisaidie vipimo vya keki ya nusu kilo

  • @LissaMosha-hc1sw
    @LissaMosha-hc1sw Рік тому

    Jaman me natak nianze kutengeneza nitaanza na mtaj was shingap au vfaa vyak vitagarm shingap mpaka kuanza mtaj wang😮🎉❤

    • @LawrasBakeshop
      @LawrasBakeshop  Рік тому

      Njoo insta uingie Whatsapp upate majibu kwa kirefu

  • @tulymuhando96
    @tulymuhando96 5 років тому +2

    Je kimbo inafaa kupkia keki

  • @vibestudio4707
    @vibestudio4707 5 років тому

    nashukuru nimekuelewa vizuri

  • @batengaalinda77
    @batengaalinda77 5 років тому

    Asante Sana unaelezea vizuri

  • @buruhanimniachi1566
    @buruhanimniachi1566 3 роки тому

    Asante sana my kwa elimu yako

  • @hildachipalo208
    @hildachipalo208 5 років тому

    Asante dada mrembo... kesho naanza practice ntakutumia

  • @sukecake3456
    @sukecake3456 5 років тому

    Lawra kumbe ni mzuri ivoo😁

  • @fathiyaali6171
    @fathiyaali6171 3 роки тому

    Habari dada, umetuamia mafuta maz,unayo unionyeshe na nnapatia wapi

  • @gracenyengo7143
    @gracenyengo7143 4 роки тому

    Kumbe kimbo pia unaweza kutumia

  • @zawadirangi3883
    @zawadirangi3883 4 роки тому

    Tipi wap

  • @zawadirangi3883
    @zawadirangi3883 4 роки тому

    Nielekez zinakopatika kap

  • @lulupaul1122
    @lulupaul1122 5 років тому

    Asante my

  • @muhatemusiba5497
    @muhatemusiba5497 5 років тому

    Asantee kwa ufundishaji

  • @marylyamuya195
    @marylyamuya195 4 роки тому

    Naomba kufundishwa in WhatsApp video my

  • @akimanachristine8050
    @akimanachristine8050 2 роки тому +1

    sasa hio kimbo unaweza kuitumia kukandia chapati

  • @sifakeza8061
    @sifakeza8061 3 роки тому

    Dada ninashida nahayo mafuta ya kimbo ntayapata vip ila niko burundi

    • @sifakeza8061
      @sifakeza8061 3 роки тому

      Mbona sikuelewi ayo mafuta mnayo ikish niko burundi itakuwa rahisi kunifkiya

  • @annakiosso2130
    @annakiosso2130 5 років тому

    Jibu maswali sa unafundisha ili iweje maan hujib maswali ya hao unafundisha

  • @nigistsheikh7819
    @nigistsheikh7819 5 років тому +1

    Samahani kimbo yanafaa kuokea cake?.

    • @LawrasBakeshop
      @LawrasBakeshop  5 років тому +1

      kuna recipe zinaitisha shortening unaweza kutumia

    • @nigistsheikh7819
      @nigistsheikh7819 5 років тому +2

      @@LawrasBakeshop samahani cjakuelewa

    • @bennymoddy7449
      @bennymoddy7449 5 років тому

      Yeah inafaaa na no Urii

    • @latifahjamal2999
      @latifahjamal2999 4 роки тому

      @@LawrasBakeshop hay🙋‍♀️ nina swali plz. Je kimbo unaweza kutumia kutengezea butter cream ya cake??

    • @hubamgweno4197
      @hubamgweno4197 2 роки тому

      @@latifahjamal2999 ndio Tena inakua poa sana

  • @gracenyengo7143
    @gracenyengo7143 4 роки тому

    Kumbe kimbo pia unaweza kutumia

    • @LawrasBakeshop
      @LawrasBakeshop  4 роки тому

      Sijasema hivyo, ninesema kuna recipe zinaitisha shortening....🙄