Dakika 16 Za Ustadhi Mazinge Nyumbani Kwa Sheikh Othman Michael Atoa Nasaha Nzito
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM UA-cam @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...
maashaallah ,hakika namuomba allah akuongeze umri mrefu 💯
Mungu mjalie uyu shekhe aish miaka 20 mbele aammiiinn
Mashallah ilahuyu shke anajuwasana
Mashallah Mashallah shukran Mazinge Allah awabariki nyote Inshallah
Yahaya yuleee .... mpe maiki.... yahaya... soma
Ila sheik mazinge jambo jema ni kuwaleta watu katika dini ya Allah
Maansha allah
Ust Mazinge tokea mdgo namfatilia na sijuwi kama atakuja tokea ust kama huyu ambae atatoa chalenge kwa makafiri
Mazinge Allah amemjaalia akili,kuichambua bibilia na kuvunja hoja bt elmu ya dini bado sana.hawezi wafikia bachu kishki walid na othman maalim.
Kwanini sasa atuumbe na atuumbie option ya kumcha na kukufuru? Kwanini atuumbe then atutie motoni?😢
Swali zuri..chukua mfano wa mtoto wako mwenyewe..mmoja ana kutii na mwingine hakusikilizi kabisa..ila wote ni wakwako..Je ni yupi utamuadhibu na yupi utamridhia na kumpa malipo mazuri?? Hali ya kuwa kila mmoja amechagua mwenyewe??
@saidkamwana1195 doesn't make sense ndugu huyu ni mtoto wangu ambaye ni mtu aliyetokana na mimi ila sijamuumba yeye aliyeumba ambaye ndio asili ya kila kitu anaitwa mwanzo na mwisho right? Alijua kila kitu kabla hajakifanya right? Why aumbe hivyo kwetu? Kwa story tunazosikia za malaika unajua kwanini wao hawatendi dhambi? They don't have such option of sinning ye anajua yote yaliyopita na yajayo means hakujua kama binadamu ataanguka dhambini? Mungu hawezi kuwa dhaifu kiasi hicho
@@mckobatz5861 the simplest thing ni kuwa binadamu mwenyez mungu katuumba na choises, malaika wao hawana choices..ni sis na Majin tu tunaoption..kwa hiyo haya maisha ni mtihan wa kutupima katika uhai wetu aidha tutafaulu kwa maana ya kufanya na kufuata maelekezo ya Mwenyez mungu..au tutakataa na kufuata matamanio ya nafsi zetu...mfano ni kama Mwalimu shule anakupa mtihan hali ya kuwa majibu anayo..na wengine wanafaulu na wengine wanafeli...the same class..Hopes that's helps. 💖