Isaka 45:2-3 hapa ndipo kuna ahadi ya kuingoja ahadi maana mungu wetu ni wa urejesho amina da beatrice ata kiu ya nafsi itaishi kama hizi nyimbo zilivyoishi
Wakati nasoma nilikuwa natiwa moyo Sana na hii album Kuna muda nilikuwa sipati usingiz bla kuisikiliza kutokana na changamoto nilizokuw nakutana nazo na Mungu aliniinua Sana kwa Iman ya album hii nilizijua nyimbo zote ya kwanza mpaka ya mwsho na mpak Leo zinaish moyoni mwangu.
Mungu amekupa kipaji kikubwaa csta Beatrice ila nyimbo ya bwana yesu Yuko wapi hujaupload ktk hii account yako Naiona kweny account za watu wengine csta
Mimi bado naisikiya in 2024
2023 bado twaisikiza huku tukimngoja bwana wa MAJESHI bado tunabarikiwa
Nani anaisikiliza 2020.Dada Mungu amekujalia kipaji tafadhali endelea kuimba mana tunabarikiwa kupitia nyimbo zako
asante mnoo ni muda sio Mwingi utanisikia tena
Isaka 45:2-3 hapa ndipo kuna ahadi ya kuingoja ahadi maana mungu wetu ni wa urejesho amina da beatrice ata kiu ya nafsi itaishi kama hizi nyimbo zilivyoishi
2024 tunafarijika sana
Wale mlioko hapa 2024…❤❤❤
Be blessed
Nabarikiwa ...
'na mimi Nangojea ahadi yangu Ee Mungu tüpe uvumilivu.🙏
2023 still 🔥🔥
Wakati nasoma nilikuwa natiwa moyo Sana na hii album Kuna muda nilikuwa sipati usingiz bla kuisikiliza kutokana na changamoto nilizokuw nakutana nazo na Mungu aliniinua Sana kwa Iman ya album hii nilizijua nyimbo zote ya kwanza mpaka ya mwsho na mpak Leo zinaish moyoni mwangu.
2023 hii nyimbo imaimba masikioni mwangu usiku wote kwenye ndoto yangu najua kuna kitu Mungu anasema nami kitu
Amen na atafanya kwako kama alivyo Ahidi endelea kuingoja Ahadi yeye hakawi wala hawahi Ahadi zake ni kweli na hakika.
😍😍🙏
2024 still listening to this gospel through the blessed and beautiful voice of this woman of God.
Nani Anamsikiliza huyu dada na anabarikiwa I love you Beatrice endelea kutuimbia please
2021
Blessings
June 2024❤❤❤
Wapendwa huyu dada mbona sisikii Tena natafutaga nyimbo zake za sasa
Nimeitafuta mpaka nimeipata nyimbo hii safi sana Ubarikiwe sana dada Beatrice
Wimbo mpya,,,Kiu ya nafsi uko sasa platform zote, NEW SONG
And it still touches till today🙌🏼🙌🏼 so deep!
So powerful
Amina. Kuna utulivu wa moyo na amani tunapoweka matumaini yetu katika ahadi za Mungu, hata iwepo majaribu ni mengi.
Asante kwa nyimbo mzuri Mhone.
Amen endelea kubarikiwa ..
2025 naingoja ahad
2024💜
Dada umepotea sana
Tafuta wimbo mpya, Kiu ya nafsi
Bado sijachoka naingoja ahadi ya Mungu kwa imani, Asante madam Beatrice na Mungu azidi kukutumia ktk viwango vya juu zaidi. Amen.
Amen Amen Mtumishi wa Mungu.
2023 still waiting 🙏
Sooon….🙏🏽
Karibu saana wimbo mpya, Kiu ya nafsi
2024 ❤
5/9/2023 majira ya saa 18:00 jion nimeisikiliza hii nyimbo nimebarikiwa sana
Amen endelea kubarikiwa soon utanisikia kwa utukufu mwingine coming soon.
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 since 2007 this has been my anthem be blessed ❤❤❤
Amen be blessed too
Nampenda Sana beatrice
dada tunakupenda pia tunapenda kazi yako ila umekuwa kimya sana toka niko secondary nafatilia nyimbo zako
Mungu anazidi kukutumia Beatrice kwaajili ya utukufu wake!
2024❤
2023❤❤❤october
Ameni
Binafsi sjawahi kumchoka dada angu tangu 2007 huko
2024 naskiliza wimbo huu
Uko mpya jina KIU YA NAFSI, Uko platform zote ❤
barikiwa 🙏
Nyimbo zako zinaishi dada ..! I love you 😍
I love you too❤️
31th Dec 2020....Nangoja AHADI yangu🙏
Naingoja ahadi yake bwana naamini atatimiza🙏
Yesu atafanya usichoke kusubiri
Nangoja ahadi ya Mungu kwangu
Amen mtumishi
Dada barikiwa sana....uko kimya sana...
nipo na soon utanisikia tena
Where are you now sister beatrice, napenda sana huduma yako
my favorite song...
Karibu kusikiliza kiu ya nafsi iko platform zote
2021 To God be the glory
Miaka ya 2004 mama angu na huyu dada ulikuwa humwambii kitu
ahsante sana, nawapenda pia.
bwana.wa.majeshi.amusaidiee.dada Betrice alurudii.kumuimbiaa.bwana
Mungu amekupa kipaji kikubwaa csta Beatrice ila nyimbo ya bwana yesu Yuko wapi hujaupload ktk hii account yako Naiona kweny account za watu wengine csta
Wimbo huu una ni tuliza sana kabisa
William yilima
Where is you Beatrice??!
Soon utanisikia na nyimbo mpya stay tuned
Amen
Nakupenda Sana dada
Daa yupo wapi huyu dada
nipo soon utanisikia
Uko wapi Beatrice?
nipo soon utanisikia
Amen amen
Amen