My dad used to play this song in the house when we were still young. I was 12 years by then. I'm now 29. We didn't search for old songs, we searched for old memories.
Huu wimbo unaponikumbusha 😢 dah, Mungu huwa anajua yupi ni askari wake. Moto niliopita ni Mungu pekee aliniamini kuwa mimi ni askari. Sasa nausikiliza kama ushuhuda, “HABARI NJEMA DUNIA YOTE, YESU NDIYE MOKOZI WANGU”. Habari ndiyo hiyo YESU nakupendaa.
Kila asubuhi siku za wikiend sikuwa naenda shule nikiwa nafanya usafi nyumbani lazima mama na dada zangu waipige hii nyimbo Leo Nina miaka 29 hakika naona furaha kuendelea kumuona tena Beatrice muone hakika Mungu ni Mwema 🙏
Mwaka 2006 Aprili ulikuwa wimbo uliobeba faraja kubwa moyoni wakati wa msiba wa Baba yangu mzazi. Mwaka 2023 Agosti nausikia tena kwenye msiba wa Mama yangu mzazi. Wapumzike kwa Amani wapendwa wazazi wangu.🙏
Hii albam ya Beatrice Muhone ilinifariji sana kwenye magumu niliyokuwa napitia kipindi hicho nilikuwa Tarime nimeolewa napigwa km mbwa yani jamaa akitoka nasikiliza hizi nyimbo huku nalia.Nilikuwa nafarijika sana na tv letu la chogo sisahau nikisikiliza napata amani nasamehe maisha yanaendelea.Yani jamaa anarudi anakuta nasikiliza hizi nyimbo anatoa anaendelea na mambo yake.lkn nashukuru kwa yote nyimbo zillinifariji sana.
Nimetoa machozi, miaka mingi nilikuwa nimekosa tumaini. niliupenda huu wimbo. leo hii YESU angali mwokozi wetu. Mambo yalibadilika sana. asante dadaa kwa huu wimbo.
My confession - Niliiba pesa home nikanunua hii CD INGOJE AHADI pia AMEJIBU AHADI. Ilikuwa kila nikipita kwenye cd store jirani na shule kwetu kila nikisikia navurugika nikasema i must have this
Started listening her in 2010, "Ni Siku" and I was overwhelmed by her beauty!! The songs also flow rhythmically. Na zimetulia kabisa. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
my late grandmother introduced me to this album and this particular song was her personal favorite on the album. listening to this brings back so many beautiful memories,much love and appreciation Minister Beatrice🙏🏾
Old gold - nikiwa around Darasa la 4 au 5 this Lady was my inspiration when it comes to music ❤️ i loved the way alikuwa anaimba its a long tym a bit but Man She wa Blessed with magical Voice 🤭 Can't wait to Hear You Sing Again @BM
Beatrice huu wimbo nimeusikiliza tangu primary miaka ya 2004, ni kila siku nilikua sichoki kusikiliza album hii, mpaka leo hii album yako na huu wimbo una Utukufu. Nakupenda sn dada😘
Kusema kweli dada huu ni unyanyasaji wa dhahiri, yaani muda wote huu uko kimya kweli, Toa nyimbo nyingine basi tubarikiwe dada plz plz tunakusubiri kwa hamu
Kiss my comment if you get to see it 2024
Ni miaka mingi imepita toka nikiwa na miaka sita , niusikilize huu wimbo , Sasa ni kijana mkubwa , nabarikiwa Sana na huu wimbo 2024
It’s 2024 still Yesu ndiyo mokozi wangu ❤❤.
Thanks new majembe ya yesu tunakupenda sana
My dad used to play this song in the house when we were still young. I was 12 years by then. I'm now 29. We didn't search for old songs, we searched for old memories.
VHS
Mmh!😂
😅😅😅😅😅😅p😅p⁰⁰0😅😅8ijn 0:54 😅n😅😊😊😊8,000 @@frankgeorgemadiwa
Amen to that 🙏🏽😊
❤
Ila nyie gospel za zamn ni nzuriiiiiiii🙌🙌🙌yes I'm here in 2024 barikiwa❤
Endelea kunifuatilia mpya ❤
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu B Muhone huu wimbo asee nakumbuka mbali sana
Huu wimbo unaponikumbusha 😢 dah, Mungu huwa anajua yupi ni askari wake. Moto niliopita ni Mungu pekee aliniamini kuwa mimi ni askari. Sasa nausikiliza kama ushuhuda, “HABARI NJEMA DUNIA YOTE, YESU NDIYE MOKOZI WANGU”. Habari ndiyo hiyo YESU nakupendaa.
Utukufu wa Yesu
Kila asubuhi siku za wikiend sikuwa naenda shule nikiwa nafanya usafi nyumbani lazima mama na dada zangu waipige hii nyimbo Leo Nina miaka 29 hakika naona furaha kuendelea kumuona tena Beatrice muone hakika Mungu ni Mwema 🙏
Endelea kumtumkia mungu dada yangu nyimbo zako zinatoa mpaka stress
Nikikusikiliza nahisi kama maisha so magumu sanaaa duuu ❤❤ngoja niendelee kujipa moyoo thank you my sister sent my greetings to our brother in law
Mpe Yesu
A message to new generation don't let this song die such a masterpiece ❤
Glory
i first listened to it in 2006/7 but since early this year I listen to it everyday ❤❤
@@hellenmumba5616 an that what we call master piece
Mwaka 2006 Aprili ulikuwa wimbo uliobeba faraja kubwa moyoni wakati wa msiba wa Baba yangu mzazi. Mwaka 2023 Agosti nausikia tena kwenye msiba wa Mama yangu mzazi. Wapumzike kwa Amani wapendwa wazazi wangu.🙏
Pole sana na Yesu akawatie nguvu maana yeye ndio baba yetu Mkuu..Damu ya Yesu ikawe juu ya familia yenu mpendwa barikiwa
@@beatricemhone Nashukuru sana kwa maneno ya kubariki na faraja. Hakika Mungu ni mwema kila wakati. Ubarikiwe pia, Yesu awe nawe.
Nimerudi tena nipate faraja ya Yesu, Disemba 3 2024 Mungu amemchukua Mtoto wa kiume amewafuata Babu na Mimi. Rest in paradise son 🙏
2022. I’m here feeling blessed through this song🙏🏽
Yesu njoo haraka, moyo wangu umekupenda kabisa
The white dresses are so pretty
Dada rudi kwenye game, nyimbo zako zinagusa Sana
Umeongea kwa niaba ya watu wengi sana,🔥🔥🔥
Barikiwa sanaaaa🎉🎉🎉
STAY TUNE 22/10/23@@UA-camHALLOFFAM3
umezifungia nyimbo zako tusidownload
Hii albam ya Beatrice Muhone ilinifariji sana kwenye magumu niliyokuwa napitia kipindi hicho nilikuwa Tarime nimeolewa napigwa km mbwa yani jamaa akitoka nasikiliza hizi nyimbo huku nalia.Nilikuwa nafarijika sana na tv letu la chogo sisahau nikisikiliza napata amani nasamehe maisha yanaendelea.Yani jamaa anarudi anakuta nasikiliza hizi nyimbo anatoa anaendelea na mambo yake.lkn nashukuru kwa yote nyimbo zillinifariji sana.
Oh I can Upendo Kilahiro's in the chorus and 1st and 3rd verses.
Oh how I remember the old days and how I longed to come to visit Arusha.
Hii nyimbo imenikumbusha mbali, ambapo Wazazi wangu waliupenda sana na kutusikilizisha mm na wadogo zangu, leo hii hawapo tena nimewamiss sana 😭
Sorry😢
Sichoki kusikiliza huu wimbo ... 02/12/2024
Am a camerounian but this was my best gospel song when a was in TZ .
Aaaw thank you so much be blessed 🙏🏻
Nimetoa machozi, miaka mingi nilikuwa nimekosa tumaini. niliupenda huu wimbo. leo hii YESU angali mwokozi wetu. Mambo yalibadilika sana. asante dadaa kwa huu wimbo.
It's 2023 and I am here getting Habari njema
Waoooow Glory to Jesus
One of my fav songs of all time ♥️♥️♥️. This reminds me to early morning when dad would be preparing us for school.
🥰
Old is always good
Waow I am glady to hear that Glory to Jesus
My confession - Niliiba pesa home nikanunua hii CD INGOJE AHADI pia AMEJIBU AHADI. Ilikuwa kila nikipita kwenye cd store jirani na shule kwetu kila nikisikia navurugika nikasema i must have this
Hakika kabisaa pendo la Yesu halina kikomo 😇❤ ubarikiwe mnoo Mtumishi
Amina,hakika hakuna Majuto ndani ya pendo la Mungu wetu😇😇ubarikiwe sana dear Beatrice ❤
Mbona sioni walio au wanaosikiga Kwa Radio Habari Njema ya Mbulu
This song takes me way back Thank you Beatrice
Love from Kenya 🇰🇪
Uliimba na uliimba tena , my favorite song for years
M2j hapa Sasa nyimbo nzuri Alf ndo naijua Leo dada fanya promo aiseeeeeeee wa nyimbo zak
Iam watching from Tanzania 🇹🇿 dar es salaam
Today Thursday 15/08/2024
I love you so much JESUS CHRIST 💞
Mim tarehe 16🎉
who is watching 2024
Hallo nyimbo zako dada zinaishi za zamani utadhani ngoma umeachia muda huu
Umeingia kuona, Kiu ya nafsi
Huu umekuwa wimbo wangu bora wa kila wakati nikiwa kwenye changamoto ngumu nikisikiliza hua nafarijika na kuona njia mpya yenye wepesi...
Hallelujah ❤
Beautiful i have been looking for this song for a very long time...from Zambia...❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
STAY TUNE 22/10/23 PLEASE SUBSCRIBE MY UA-cam CHANNEL
2023 i can still feel the blessings come from this song may our God bless his servant🙏 Beatrice
THANK YOU SAVE THE DATE 22/10/23
Long time back!!!And guess what???I still remember this.Dont ask me the year,you just nailed it!!!
Merry Christmas 🎄🎄🎄🎄🎄🎄 2024
Hii nyimbo imebeba kumbukumbu nyingi sana za zaman😢❤
Sanaaa
Yesu atukuzwe
Mimi nilikuwa nampenda Sana,I hope nilimwona Arusha kwenye mkutano wa mtumishi mgogo.
Kipaji kilichotuachia ukiwa.
sooon utanisikia kwa utukufu wa Mungu
UBARIKIWE SANA
Started listening her in 2010, "Ni Siku" and I was overwhelmed by her beauty!! The songs also flow rhythmically. Na zimetulia kabisa. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Thank you so be blessed
Habari maalum production, Habari njema🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Waooo how it start , Ndiye DHAMANA YESU wangu...... It so nice. Thanks Jesus for 2024
❤❤❤
Yaani hizi nyimbo uliimba mdada,nilizipenda mno ulikuwa uweponi sana
Still listening to this MasterPiece..bring back old memories. God continue to bless you sister Beatrice🙏
🙏🙏🙏
Mungu amesaini kibali chako dada we are we goo🙏🙏🙏✅
YESU ndie mwokozi wangu
Waawoo! Barikiwa Sana Sana Mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinanibariki Sana Sana kila itwaapo Leo🔥🔥
Da Beatrice ndagukunda.mva mu Burundi.indirimbo eawe ziraruhura
ASANTE SANA ❤❤❤
Mungu azidi kukutumikisha yalio mema dada...
Very happy to found this song it’s my favorite song since childhood 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Waooow be blessed
@@beatricemhone amen 🙏🏿
my late grandmother introduced me to this album and this particular song was her personal favorite on the album. listening to this brings back so many beautiful memories,much love and appreciation Minister Beatrice🙏🏾
Wow❤❤❤
Old gold - nikiwa around Darasa la 4 au 5 this Lady was my inspiration when it comes to music ❤️ i loved the way alikuwa anaimba its a long tym a bit but Man She wa Blessed with magical Voice 🤭 Can't wait to Hear You Sing Again @BM
I will be back soon
@@beatricemhone please do 😚🔥🔥🔥
SAVE THE DATE 22/10/23@@breeznation253
@@beatricemhone OMG it's Happening *Can't wait*
@@breeznation253 Finaly its done Glory to Jesus
Big up Beatrice. Nakupenda sana
Asnte sana
Who is watching 2025?
Tulikukumbukaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Naamini ni roho alikuwa nawe maana this master piece is so good
Amen, Roho yuko na mimi kila siku
Mungu akubariki nimekumbuka mbali sana mtumishi
Huu wimbo mpaka nimeeka kwenye flashi naupenda sana
Watch, Kiu ya nafsi
Iv uyu dada yupo wapi jamani dah mbona kapotea sana kwenye game na mimi nampenda sana dah
NIPO MBONA SAVE THE DATE 22/10/23
Nzuriii
Dada nyimbo zako Zina Nguvu ya MUNGU,nakusihi Rudi kwenye game dada.
I am back unaweza angalia moja kati ya nyimbo zitakazo kuwa kwenye Album yangu. #kiuyanafsi
Yesu apewe utukufu wote
Habari njema #2024 #may ❤
NAkumbuk enzi hizo binamu yangu kila jumapili alikuw anaweka kaseti y beatrice muhone
Old is gold
Ooh my favorite song
Habari njema is a Heal Song 2023.
Thank you so much be blessed
❤❤old is Gold
Glory to Glory
2023 blessings over blessings
Amen
@@beatricemhone ubarikiwe sana
Beatrice huu wimbo nimeusikiliza tangu primary miaka ya 2004, ni kila siku nilikua sichoki kusikiliza album hii,
mpaka leo hii album yako na huu wimbo una Utukufu. Nakupenda sn dada😘
Good song
I'm so blessed
My cicter why , come in game again now we filling sad after miss like this song
Kindly check my new video kiu ya nafsi
Woow Beautiful song our mum from Tz
Beautiful song Jesus you're my joy and salvation
Mmmmmh it's 🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰❤️❤️❤️🤛🤛🤛🙏🙏🙏🙏
dada barikiwa sana
Kusema kweli dada huu ni unyanyasaji wa dhahiri, yaani muda wote huu uko kimya kweli, Toa nyimbo nyingine basi tubarikiwe dada plz plz tunakusubiri kwa hamu
Usijali soon utasikia tuendelee kuombeana
Haya mtumishi binafsi ntafurahi sana siku hiyo
SAVE THE DATE 22/10/23@@nicholauspaul2589
Asante sana kwa upendo mkubwa! Nimerudi now my new Album ipo sasa endelea kuingia my UA-cam channel 🙏 ❤
@@beatricemhone Asante sana mtumishi kwa taarifa hii, ngoja nibarikiwe tena na nyimbo zako mpya, Mungu akubariki sana
Dada nakupenda sana
🙏🙏🙏
These reminds of 2003-2009
❤ nice 🙂
Wapi ile version uliimba Nairobi mwaka wa 2008
You are a blessing to my life Beatrice.. much love for you and more Grace all the from lusaka
Thank you so much be blessed more and more soon you will here new hit song
SAVE THE DATE 22/10/23
Good 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Good song ,,, respect for sure
You are the best sis nime miss ur voice
Thank you 😊and be blessed
anavaa vzuri. kama mtu alieokoka. i see angela chibalonza in u.
Amen Glory to Jesus.
Dada Beatrice, where are you. We miss you. Do a sign please
Nipo and soon utanisikia kwa utukufu mwingine barikiwa sana mpendwa
Nafurahi kbsa kusikia sauti hiyi tena since 2004
Barikiwa Mpendwa ❤️
Dadaa jamn miss you jaman rudiiiiii🎉🎉🎉🎉
Nakupenda sana dada Rudi kwenye game
Nimerudi soon utasikia nyimbo mpya
Barikiwa sana
Ahsante sana mpendwa
My fav one when was growing up...
Hii nyimbo ifanyie remix tena itoe tena naamin ukiitoa saiv na hiz technologia dah nimekumbuka miaka hiyo 2004
Asante kwa ushauri nitafanya hivyo be blessed
2025 🎉🎉
2023 mko wapi jamani
Nipo utanisikia soon
2023 tuje tugeuze kanda ❤
AMEN na imefanyika share like
I was only 6 years old 🥰
👏🏾👏🏾👏🏾😍
Groly be to god
Alellouiah