Tunaomba mtoe ushauri kwa Rajai, visomo vyake vyote aviweke kwenye Apple music, Boom play na platform zingine, ili watu badala ya kusikiliza miziki wawe wanasikiliza Quran tukufu na atalipwa pesa nyingi tu na swawabu atapata.
juma ramadhani manshalla yani nampenda sn huyo kaka amenifanya niwe namsikiliza asomavyo nasijuwi kwanini ameuteka moyo wangu kwausomaji wake kwakweli huyo alomuhifadhi kuran mungu amjaaliye sn na salut brother rajai ayoub mungu akuweke miyaka 100 iliuzidi kuisamba dn tz na inje ya inch
Mashaallah wallahi ashukuriwe allah kuumba viumbe vyake vyenye kuisoma qur'an yake allah kwa umakini nakuombea rajai umri mrefu na akujaalie allah husnal hatma
Naipenda style yako kama unaikataa MIC hivi unageuka pembeni ili sauti itokee kwa mbaaaaali 😂 Kisha unairejea, kila usomapo Qur’an unai-apply style hii, Hii ndio style yako ya kipekee kama ilivyo style ya Romadinho katika kutoa pasi anaangalia huku anatoa kule
Naaa vipenzi wangu mmekutana namuona nasheikh wangu othman pembeni mashaallah nyie nawapenda jamani kwa ajili ya Allah
Masha Allah kondoa irangi hiyo Allah akupe Manisha marefu rajai
Maashaa Allah tabaraka Allah Allah akuhifadhi mwanangu jazaka Allah khaira
Amani ya AllhaH iwe juu juu yako na rehma zake Rabana ziwe maishani mwako Dunia na kesho akhira
Tunaomba mtoe ushauri kwa Rajai, visomo vyake vyote aviweke kwenye Apple music, Boom play na platform zingine, ili watu badala ya kusikiliza miziki wawe wanasikiliza Quran tukufu na atalipwa pesa nyingi tu na swawabu atapata.
mashaallah allah akuzidishie leo duniani na kesho akhera.
Subhan Allah, Amazing Qira'at by great Qari Ayub Rajai. طول عمرک
MashaAllah,aliyemhifadhisha quran Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
juma ramadhani manshalla yani nampenda sn huyo kaka amenifanya niwe namsikiliza asomavyo nasijuwi kwanini ameuteka moyo wangu kwausomaji wake kwakweli huyo alomuhifadhi kuran mungu amjaaliye sn na salut brother rajai ayoub mungu akuweke miyaka 100 iliuzidi kuisamba dn tz na inje ya inch
Ee mwenyez mungu mjalie mwisho mwema ndg yangu huyu
Allah Akbar mwenyezi mungu akuzidishie.
ماشاء الله تبارك الله وجزاك الله خيرا
Mashaallah, mungu akuzisishie na akukinge na husda.
mashallah tabarakallah,nice tajwedd,Allah ukizidishie kipawa na mapenzi katika kitabu chake QURAN.
Basi Qur'an ishabakia ya kusomea na kusomeshea na kuswalia inna lillaahi wainna ilaihi raajiuun
alahuu wakibaru mwenyeezimungu azidikuku wekaishaala
Mashaaaallah
maa shaa Allah ! Allah akuzidishie na yule aliyekuhifadhisha Qur'an na ajaalie ummat Muhammad amani ziwe naye tuienzi Qur'an. Umetoa changa moti.
MaashAllah, Alhamdulilah InshAllah heri, Allah akupe maisha marefu , MaashAllah Una pumzi , shukran sana my brother
ماشاءاللہ
Mashaallah. Allah Akuhifadhi .napenda sana kukuskiliza unavyosoma.
Rahma Masha-Allah
Rahma M mashallh
Rah
ma M
Mashaalah tabaraqallah
Ewe mwemyezi mungu mjalie maisha marefu na yenye baraka msomi huyu wa kuruan tukufu
Ishaaala
Inshallah Allah akujaalie
yarabi yarabi akuhifadhi ustadhi rajai Ayubu na wazazi wako ameen
Aziza Uledi ivi niulize nimkenya?
Maasha Allah m/mungu akufanyie wepesi inshaallah
Mashaallah Mungu akulinde na akupe moyo wamazingatio
mashaallah sheikh allah amekujalia sauti nzuri nahic hata malaika wanashuka bila kucta jinsi unavyo isoma Qran mashallah.
Allah akuhifazi
Asante ostadhi
Mashallah uyu Ostadhi mi nampendaga sana usomajiwake
Hats mm pia napendaga sana kumckilizaga kwenye yutubu
mungu akupe maisha marefu
Mashaallah wallahi ashukuriwe allah kuumba viumbe vyake vyenye kuisoma qur'an yake allah kwa umakini nakuombea rajai umri mrefu na akujaalie allah husnal hatma
Allah akbar ni furaha sana kwangu kutuwakilishia kondoa yetu pamoja na tanzania kwa ujumla
Very nice
manshaallaa
Shukuran Mansha Allah from Uganda
ماشاءاللہ ماشاءاللہ
Mashaallah mashaallah
Mashaallah mashaallah jazaaka llaahu kheir yaa ustadh
mwenyezimungu akujaalie umri mrefu
Mashallah allah bariq mungu akuhifadhi
alhamdllah
mashaallh mashaallh kaka ghangu twabaraka rahamani
mashalaa mungu amuweke maisha marefu
Rajai usiondoke dunia mpaka hakikisha umewacha warithi nyuma yako. Wisho wako uwe ni kheri ya Rabbi amiin
Mashallah ghalaka
Masha~allah
Mashallah beautiful voice!
Mashallah ya shaykh allahuakbar
Masha Allah
Allah amzidishie uongofu!!!
Masha allah rajai
Maashaallah rajai ayubu from kondoa allah akuhifadhi
Mashaalah rajai
Mashaa Allah tabarak'Allah
mashaallah rajai Allah akupe umri mrefu
salma swaleh Allah akupe umri mrefu wenye her ishaallah
Jazaaka llaahu khayra.
mussa seif
Mashalah
MaashaAllah tabarakallah
my blood damu yangu broo tupo pamoja
Mashaalllah
Mashaallah
Mashaa allah
radio mafo traitement football
umbouni
ameen
28+25=42
Allah Akbar
mashallah mashallah Allah akbar
Mashaallah ya ustad
Noorbaine Udtog naaaaam sheikhe
ما شاء الله تعالى
مرحبا بكم
ممشاءالله
allaha akupe kila LA heri
Mashallah Tabaraq Rahmani
MWAJUMA MKACHA
barakallwahu lakailayaumi ssaa
good
mashallahu umeitendea haki sauti yako nzurii aliyokukirimu Allahu
MashaAllah mwenyezi mungu amfanyie wepesi,kaitendea haki kisomo cha Quran
mashaalla rijai umesoma vizuri mungu azidi kuhifadhi sana alihamundulilah
Mashaalah
Mashallah
@@allyaisha7356 mashallah mashallah taqbiru
jazzak llah khayran
mashaallah jazakallahu haira
Sauti ya dhahabu insha allah mungu akupe umli mlefuuu
Subuana allah masha allah
Ali Mohammed Masha Allah
mashallah
MashaAllah
allh akuongezee mli mlefu
Maashaallah
بارك الله فيك يااستاذ
Mashallah
ma shaa Allah
Ma shaa Allah wa mito
A salaam alaykum
Samahani, kaka naomba no ya shekh ayub napenda anavosama mashaallah, ndiri wa menyu wee
ماشاءالله
Nce
Macha allahhh
MaşaAllah
mashaallah
Mashallah allahu bariki
tanzania
Allah akbrik
Wallahi Tanzania tunavyombo
Santy Hassan mashaallah ALLAH akuzidishie yote aliyomema.shekh Rajai kama una clip ya ustz Manna Mkonga mw/mungu amrehem iweke nae apate swadaka yake.
Santy Hassan tena vyombo vya Allah
mashaAllaaah mumgu akupe kilalakher ishaAllaah
موانه Jida lDDl ماشاءا لله جميل جد= قاري نويداحمد
موانه Jida lDDl باكستان
Masallaah UST AYUBU.... Selamun Aleykum...
mashallah
ntampatajee
Oman Oman weew upo wapi
Naipenda style yako kama unaikataa MIC hivi unageuka pembeni ili sauti itokee kwa mbaaaaali 😂 Kisha unairejea, kila usomapo Qur’an unai-apply style hii, Hii ndio style yako ya kipekee kama ilivyo style ya Romadinho katika kutoa pasi anaangalia huku anatoa kule
غير جائز ان تضع موسيقى في بداية الفيديو
rado mafoubni
Mashaa Allah
Mashaalah tabaraqallah
Allah Akbar
Mashaallah
Masha Allah
Ma Sha Allah
mashaallah