Rajai Ayoub nakupenda sana bro wetu unaetuwakilisha wanakondoa na watanzania kwa ujumla allah akupe umri mref akupe hitaji la moyo wako azidi kukupa kheri love you حبيب💓💓💓💓💓
Waalaykum salamu shekhe Rajai mungu akujaalie kher za Dunia naakhera pia mungu amrahamu baba yeti Shekhe Ayubu kupitia mema aliokuchia minimda yangu tuliachana mirerani mwanzo wakuondoka na shekhe sharifu mashaallha
wewe mtangazaji mbona unakuwa mpuuzi sana.Ukimhoji mtu kama huyu anza kumuuliza historia ya maisha yake. Amezaliwa wapi ;amesoma wapi na na anashughulika na nini kwa sasa. wewe rajai ayubu mbona unampigia debe huyu salim mardhiya. Muogopeni Allah na acheni kujipachika usheikh bila kuwa na elimu
MashaAllah barakallahu lak wa minhum inshallah❤❤❤
Tumbo warangi kondoa Qruan hamtuabi kondoa ❤
MashaAllah ❤️
Mashaallah mashaallah Allah akupe umri mrefu kaka yetu
Shekh sungu Allah akurehemu,,,
Mashallah
Mungu.akuzidishie kila la kher
Mashaall nakupeda San mungu akujaalie zaid
Barak Allah feeq
Rajai Ayoub nakupenda sana bro wetu unaetuwakilisha wanakondoa na watanzania kwa ujumla allah akupe umri mref akupe hitaji la moyo wako azidi kukupa kheri love you حبيب💓💓💓💓💓
Saf sana dah mungu muweza sana
Mash Allah Tanzania 🤲 ❤
Waalaykum salam warhmatullah wabarakat
Kondoa ni kuna mafundi sana ,mungu awabariki nyote
Mashaallah allah akupe kher kwakipaj cha kusoma vizr quran
Mash Allah,kaka Rajay Allah akulipe kher
Maxhaa allh shekh rajai ayubu kwa kazi nzur unayo ifanya nina ndoto zakua mwanafunzi wa rajai ayubu ixhaa allh mungu anisimamie kwahil nipate kutimiza ndoto yangu
Mashallah
Mashalahu shekhe ayubu
Kaka Rajay nakupenda kwa ajili ya Allah, Allah akupe afya njema
Ina lilah wainailah rajiuni jamani Kaka nakupenda Sana kwajili ya Allah allah akueke peponi aminii
huyo yup hai jamani kk yk ndio katanguli
Allah akulipe dunian na akhera
MashaAllah! Jazakallah kheri M'MUNGU akuzidishie kheri nyingi na pia akulinde na Maadui inshaAllah.
Tunamuomba allh
Mashaallah mungu Akuhifadhi fili dunia wali Akhera
mashalllah mwenyez mung akujaze neema na atutunziee broo wetu amin
Manshallah Allah akupe nurruh ktk dunia mpaka khaerah inshallah
Yaa rabi mjaalie mema shekhe rajai
Mashallah
Mashaalah kaka rajai upo vizuri
Mashaallah wisilam 🤝 mungu Rajai mungu akulipe kheri 🙏 na baraka
Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu
Maasha Allah ma sheikh wetu Mwenyezi Mgu awape umri @salummaridhiyah,@swaleh, @rajaiayoub na wengine wote
ALLAH AKBAR MASHAALLAH SHEIKH QAR RAJAI
Allah akuongoze wewe na familia yako dunian na akhera
Nakufatilia sanna ustadh rajjay ayubu
Masha allah tabarakallah mrangi mwenzetu allah akuhifadhi
Ukabila sio mzuri kwan asiejua kua ni mrangi nani
Story nzuri mashallah
fahari yetu kondoa 😍🥰🥰
Mwenyezi mungu akuripe pepo yajuu sana
Masha Allah saut jamila Allah akuhifadhi amiiin
Mashaallah rajai Allah akuzidishie umri mrefu na mwisho kiongoz wet ❤️
Maa shaa Allah
Allah akupe mwisho mwema
Wewe n mtu wa thamani Sana Allah akuhifadhi
MashaAllah qari ayubu
Allah akujalie
MASHAA ALLAH ALLAH AKUZIDIDHIE SWIHA NA AFYAA NJEMA SHEIKH RAJAI
Tunakupenda sana tunamuomba allha akulinde
Mashaallh mwanawito Allah akulinde
Ww mwamba kwaajili ya allha
Qari wetu mungu akupe khatma NJEMA
Masha Allah
Naomba mungu cku moja nikutane nawe qari Rajai Ayubu
Yn sina chakukupa ila mungu aniwezeshe nipate japo kidogo nikupe mashaallah
Masha Allah Sheikh Rajay, your voice is unique and soothing BarakAllah feek...Watamaman and your crew members awesome job
mashaAllah
alhamdullaah mashaallàh ila mtangazaji umetubania bhanaa
Maashaallah
Masha'Allah Allah akulipeni kila la kheri
Masha'Allah
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Hiyo Dua nina ihitaji sana nimefhulumiwa. Umenipa moyo. Nitaisoma inch'allah.
Aya 16, sural il Ibrahim.
Ameen yarraby Ameen
Inshaalah
Maashallah Allah akuzidishie na cc atujalie tuwe km ww
Mpeni mtakacho jaaliwa, lakini kiukweni hakuna anaye weza kulipa malipo stahiki ya Qur'aan.
ALLAAH akulipe kheri
MASHALLAH
Walekum musalam wa rahmatullahi wa barakatuh,
Masha allah
MashaAllah
Ma Sha Allah
Waalaykum salamu shekhe Rajai mungu akujaalie kher za Dunia naakhera pia mungu amrahamu baba yeti Shekhe Ayubu kupitia mema aliokuchia minimda yangu tuliachana mirerani mwanzo wakuondoka na shekhe sharifu mashaallha
Mashaalha
Mashaallah
ManshaAllah
إني أحب يا شيخ
My anko mulungu akuheri umri mulehe
mtangazaji punguza maneno unatunyima raha na muda ni mdogo sana.Kuna umuhimu wa kupewa semina ya utangazaji
Hongera mtangazaji watamaman
Waalekum msalam warah matuAllah wabaraqat, mashaallah
Rajjay ayyoub ni fundi huyu maashallah
Masha Allaah
Masange Islamic Centre. (Alibadawi)
Nafaham kwa namna kilivyozalisha vijana wengi Nchi nzima.
Sana masange kondoa irangi
Mashallah sheikh Rajay Ayoub
Manshaala warangi wako vizuri
Huyo ndiye Rajai Ayubu wa kwetu Kikilo tulipozaliwa ukoo wa Madodo
punguza maneno mtangazaji na anza mahojiano mara moja
mtangazaji blaa blaa nyingi na muda mchache sana
Huyu mtangazaji ni kiherehere sana
wewe mtangazaji mbona unakuwa mpuuzi sana.Ukimhoji mtu kama huyu anza kumuuliza historia ya maisha yake.
Amezaliwa wapi ;amesoma wapi na na anashughulika na nini kwa sasa.
wewe rajai ayubu mbona unampigia debe huyu salim mardhiya.
Muogopeni Allah na acheni kujipachika usheikh bila kuwa na elimu
Sheikh ndio alitakiwa awe sheikh wamkoa
Cheikh Ayoub, ebu tueleze, utakuja lini DRC kututembeleya sisi ndugu zako madhubuti kuendeleya na harakati hizi....!
mbona hujatutajia umri wako
Huyu shehe kwani niyule amekufa juzi
Aliefariki ni Badawi ayoub huyu ni rajai ayoub mtu na kaka ake
Kaka ake ndo alifarik
Inalilah huyu sh katutoka
Yupi ndio katutoka?
Sioo huyuu n Kaka akee
Kondoa moja
Nimedhulumiwa. Mume nipa moyo.
Toiyip
MashaAllah ❤️
Ma sha ALLAH
MashaAllah
Mashaa Allah