MAZITO! VIGOGO MAARUFU ARUSHA WAFIKISHANA MAHAKAMANI, Watupiana MANENO - "KAVAMIA ARDHI YANGU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 3 роки тому +2

    ARUSHA MATAPELI NI WENGI SANA KUNAJULIKANA

  • @mimitijara4806
    @mimitijara4806 3 роки тому +1

    Dawa za kulezie ndio sasa tanzania ndio kiwete ana chafua tanzania mungu mungu muadhibu kiwete na wanawe kiwete laaniwa sasa watanzanie mtalie mutetezi kesha uliwa na kiwete

  • @dorisgao7403
    @dorisgao7403 9 місяців тому

    Kwa hiyo pande zote mbili mnavamiana😂😂.Arusha shkamooo

  • @henrytomohty6593
    @henrytomohty6593 3 роки тому +5

    Huyu wa taitaz ndo mwizi mzee filemon yuko sahihi watoto wa taitaz walipoishiwa walikua wanauza nadhani jimi ndo aliuza

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 роки тому +2

    Arusha ni kituo cha mafisadi, wakwepa kodi, na wafanya biashara wadanganyifu.

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 2 роки тому

      Kabisa Ogopa sana hawa watu nakwambia hata ulinunua ardhi jichunge sana

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 8 місяців тому

    Makonda kazi unayo

  • @danielx8
    @danielx8 3 роки тому +2

    Sabaya yupo wapi..

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 3 роки тому

      Sabaya kaondolewa. Mafisadi wanarudi kwa kasi.

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 роки тому +5

    HUYU MZEE WAPILI MAONGEZI YAKE ANAONEKANA NI MKOSAJI

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 2 роки тому

    Ila ndugu mwandishi wa habari maswali yako bado machanga kuhoji

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 3 роки тому

    Hata hayo macho yako yanaonyesha unawalakini. Acha DHULUMA

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 3 роки тому +2

    potelea mbali fanyeni mnachoweza

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 3 роки тому

    Nawasalimia kwa jina la muungano Kazi iendelee yajayo yatachukiza

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 8 місяців тому

    Kijana tafuta mali zako shida za vijana hamufanyi kazi

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +3

    Km alivamua alikuwa wapi miaka yoote hiyo kwenda kushtaki mpaka mtu anajenga sheli wanamuangalia tu, wanataka kumfilisi tu mzee wa wawatu hakuna Cha maana hapo, hao watu waliuza Sasa wamekula zimeisha njaa zinawauma wameanza utapeli

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 3 роки тому +1

      Uwe unasikiliza maelezo vizuri siyo unaropoka tu kama umevimbiwa maharage

  • @ainesndubula8361
    @ainesndubula8361 3 роки тому +3

    Watu wa Arusha matapeli

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza5434 3 роки тому

    Mzee unazeeka vibaya .mpangaji unsjimilikisha acha umaskini mzee

  • @saidkhan6174
    @saidkhan6174 3 роки тому +2

    kwani kiwanja kinasemaje

  • @moonaamli6835
    @moonaamli6835 3 роки тому

    Khaaaaa we mzee maneno yako 2 yanaonesha ni muongo

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 роки тому +1

    Eeeh

  • @amanam2735
    @amanam2735 3 роки тому +1

    Mwizi. Acha mali za yatima

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 роки тому

    Ulitoa wapi mipesa yote hiyo jamanii

  • @onesmojohnny2172
    @onesmojohnny2172 3 роки тому +1

    Monabani seiteru acha hizo mzee hapo siyo kwako

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 9 місяців тому

    Huyu jamaa naye ni wizi tu.

  • @simkotec3091
    @simkotec3091 3 роки тому +1

    Kilakitu ametengeneza👌🤔🧐😒😂😂

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 роки тому

    Hivi ninyi mnapambana na mambo ya dhuluma,hamuendi kanisani?

  • @philbertmgaza5434
    @philbertmgaza5434 3 роки тому +1

    Acha kutumia pesa kama fimbo mzee

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 3 роки тому +1

    MMMMMMH NA MSHUA BEI HIYO ULIYO NUNUA KWA MIAKA HIYO DUUU HAINIINGII AKILINI

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 роки тому +1

    sasa huyo kaka alieanza kuongea na kuwafundisha mahakama waseme eneo siyo la huyu mzee ni mvamizi yeye ni nani mbona cjamuelewa point zake?

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 3 роки тому +1

      Huyo aliyeanza kuongea abasema eneo ni la baba yake ambaye sasa ni marehemu nafikili. Na huo mzer pale aliingia kama mnavyowsita wawekezaji awe analipa rent. Tangu aliingia aliwahi kulipa Tshs 500,000.00 halafu inaonekana alicheza mchezo wa kubsdili hati..umeelewa sasa. Mimi kiswahili sikijui vizuri lakini nafikili nimrmuelewa huyo bwana mdogo.

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 3 роки тому

      @@dorahy1579 oo ok sawa kwahiyo huyu mzee katengeneza mazingira ya zuruma ya mali ya marehemu sasa kakata rufaa ili azidi kuangiza family ya marehemu?
      nyie matajiri Walla mungu anawaona.ila nazani mwisho wa siku mahakama itatenda haki stahiki kwa mhusika moja wapo

    • @nurumushi2226
      @nurumushi2226 3 роки тому

      Eneo sio la huyu mzee ndio maana kashindwa kesi

    • @nurumushi2226
      @nurumushi2226 3 роки тому

      @@hadijalukas5959 tayari ishatenda haki

    • @ahmedh9882
      @ahmedh9882 3 роки тому

      @@hadijalukas5959 l

  • @shumasteelworks8170
    @shumasteelworks8170 3 роки тому

    Monaban amenirusha 3million

  • @onesmojohnny2172
    @onesmojohnny2172 3 роки тому +1

    Seiteru

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 роки тому

    Mbona hulipi rent ya mahali ulikodisha eeh, mwongo nani sasa?

  • @khadijarashidi9777
    @khadijarashidi9777 3 роки тому

    L

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +1

    Maisha ya wenye nacho huwaga hayana amabi wala raha. Bora ni huu ugali ninao pata wa mchicha lakini wa amani.

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 роки тому +1

    Ni wahuni? Au wewe ni ndo muhuni mzee?.