SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 5 годин тому +1

    Uko vizuri, maneno yako ya kuelekea mwishoni ni somo kwa viongozi wasiojua nafasi wanazokalia. Kauli zao zina madhara sana

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow Годину тому +1

    Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Годину тому

    Mchambuzi upo vizuri sana. Pengine unawashaurije wazee wa simba baada ya kufungwa?

  • @KILINDONI_MEDIA
    @KILINDONI_MEDIA 21 хвилина тому

    Safi kaka

  • @peterkanja4765
    @peterkanja4765 4 години тому +1

    Haya makosa ya kibinadamu yanasaidia yanga kuwa bingwa .Katika ngao ya jamii yalifanyika pia. Tukubali unazi wa usimba na uyanga ni kubwa kwa marefa.bora katika derby na katika ligi pia waajiriwe marefa wenye ueledi wasaidie huku tukijenga ueledi wa refa wetu.

  • @AbdallahMkumbila
    @AbdallahMkumbila 2 години тому +1

    Uyo ndio mchango'mbe wa cluds

  • @FrankJohn-q3x
    @FrankJohn-q3x 4 години тому +1

    Farawewe simba wanjitafuta

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 2 години тому +1

    Acheni uchambuzi wa kishabiki

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 6 годин тому +1

    Well said Shaffih...

  • @SecqiSekwao
    @SecqiSekwao 5 годин тому +2

    Shafii bonge moja la mchambuz nchini

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 20 хвилин тому

    Hizo penalty mbili kama zingetolewa zilikuwa na red card kwa sababu waliomchezea kibu Faulo wote walikuwa na njano hivyo hiyo ya hamza ingekuja wakati simba kashapata matokeo... Kwa kifupi marefa hatuna kwa sababu makosa ni mengii ya kuegemea upande mmoja kuonyesha ni kufuata maelekezo

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 5 годин тому +1

    Kwenye eneo la penati ndio ubinadamu unapokuwepo Ila nje ya penati Ubinadamu haupo

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 3 години тому +1

    Wewe siku hizi umekuwa chawa tu

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 3 години тому +1

    Kayoko hamna kitu pale.

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 3 години тому

    Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda?
    Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.

  • @abbassmshaury7572
    @abbassmshaury7572 3 години тому

    na pale inapowekwa adhabu kwa ajili ya waamuzi ubinaadamu unakuwa haupo? au huwa wanakuwa wanaonewa ?

  • @OsmanSiame
    @OsmanSiame 23 хвилини тому

    Kolo sajiri wachezaji wazuri mmepigwa kiharali

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 3 години тому

    Makosa yapi ya kibnadamu?angalien rekod ya huyu kayoko mech za smba,mwaka Jana krumba na Azam alitunyima penat ya Waz hata kipofu angetoa hyo penat,msimtete kabsa huyu mbwa anastahil adhabu Kali sana

  • @nuruabdallahmed9495
    @nuruabdallahmed9495 2 години тому

    Shafii wewe shida yako huwa ni mnafiki. Siku zote ukweli kwako ni jambo la ziada. Hivi hujui kwamba mpira wa Tanzania una makando kando?

  • @AllyNalinga
    @AllyNalinga 3 години тому

    Digala

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 5 годин тому

    Itachukuwa miaka miwili kwenda tena mkapa

    • @geraldgogadi7054
      @geraldgogadi7054 5 годин тому

      Tangu sare ya 3-3 sijawahi kanyaga tena taifa kuangalia daby

  • @remmysanga8820
    @remmysanga8820 5 годин тому +1

    Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow Годину тому

    Shafi wewe nimjinga tuu unaleta uyanga kayoko na arajiga ni marefa wa yanga huo ndio ukweli

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 2 години тому

    Makolo mshukuru hisani ya mwamuzi kutompa red card hamza mnge ng'oa viti

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 2 години тому

    Uyu Kabla Sijamsikiliza Bila Shaka Lazima Aongee Utumbo Nimkongwe Ambae Hajui ingawa Jina lake Nikubwa

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 3 години тому

    Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda?
    Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.

  • @remmysanga8820
    @remmysanga8820 5 годин тому +1

    Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 5 годин тому +1

      Kwa hyo na ww una amini mna timu imekamilika?? Mnajazwa na nyie mnajaa timu yenu bado sana Sema tu ina spirit ya kupambana