Paul Clement - Bado naishi ( Official Video )
Вставка
- Опубліковано 29 вер 2024
- #paulclement #badonaishi
Song writer: Paul Clement
Audio Production: Gripa Music
Video director: Mufasa
............................................................................
STREAM NOW ON DIGITAL PLATFORMS
Boomplay: www.boomplay.c...
Audiomack:audiomack.com/...
Spotify:open.spotify.c...
Zaburi : 118 : 17 - Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Ameen🎉
Yes we have a king 👑 a master Jesus Christ who fights our battles.Thank you Paul for allowing God to use you.I love the song
Aminaa🙌🙌
Amina🙏
Amen 🙏, na Iwe Hivyo 🙏
Tar 17_12_2023, jumapili nikiwa nimejiandaa kwenda ibadani nilipigwa na mwanga mkali mno kwenye jicho na baada ya hapo nilipoteza fahamu muda huohuo,majirani walinichukua na wakanipeleka hospitali, nilijitambua siku ya pili, wengi walifikiri nimekufa, Cha ajabu katika kuzimia kwa kushambuliwa na nguvu za adui bado Mungu aliuhifadhi uhai wangu, hata Sasa nimepona bado naishi, namtukuza Mungu aliyenipigania
Amina MUNGU azidi kukupa kusonga mbele daima
AMEN,AMEN
Tunalitukuza jina la Yesu Kristo liinuliwe milele na hata milele ni Kwa neema tu
Mungu ni Mwema
M. N
Paul Clement nakuomba usiache kuimba imba milele wewe ni baraka kwangu sana kila mara napo sikiliza wimbo wako napata nguvu ya kuendelea katika Imani
Amen🙏
Forever blessed by your ministry.💚💚 We shall not die but live to declare what the Lord has done. ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤Kazi njema Paul, Mungu akutunze
🛐Bado naishi na Nitaishi.. no matter whats happening into my life,NITAISHI🙌🏽📖
Ur blessed bro, zidi kufanikiwa katika yote
Hakika Mungu akubarki Sana kaka angu Poul clement tunaish ni kwa neema Yale tu!! 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hallelujah,, hatutakufa tutaishi ,, thanks man of God for the encouragement and giving us hope where we see things are not working
Wimbo mzuri sana Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya na azidi kukuinua kwaajili ya utukufu wake
Bado Naishi ❤❤Asante Mungu
Asante sana Mungu kwa ulinzi na baraka zako kwa maisha yetu🙌🙌
nice song am blessed
Katika ile ajali iliyoua wengine mimi bado naishii nakushukuru mungu
Be blessed brother
God is good all the time 🙏
This song gave me strength today so blessed song (bado naishi)❤🙏 stay blessed #PAULCLEMENT
Just discovering your songs... honestly God bless you that's all I can say for now
Bado Naishi❤❤
Mungu ni Mwema🎉
GOD OF THE LIVING
Duuuh unipe tu kolabo Mungu atakulipa
Bado naishi 🙏
Too good to see.. The song and the video on point
Bado naishi, kuyashuhudia matendo makuu ya Mungu na kuyasimulia kwa wengine ili wapate kumwamini Mungu. This song is truly a blessing
God's word will always be final.Let there be light
Mungu bado ni mwema kwangu,bado naishi.🙏🙏🙏
Mm mtupu yan🙏
What a touching Song, may you be blessed Brouh.!🙏
Hii song inawatia guvu watu wenye shida sinayo fanana na yako kweli mungu atusaidie
Bado naishi mungu aendeleee kukutumia mtumishi wa MUNGU tunabarikiwa sana from🇧🇮
Stay blessed minister of God @paul clemcent, this is a heartfelt song full of testimony. It is soothing to the heart and a blessing to listen to it time after time.
Bado naishi .Hayajaniua bado naishi.Be blessed my Brother Paul for your nice song.
Kaka @paulclement, Bado naishi Mimi, MUNGU amefanya asee
Muimbajii chaguo languu i will be like u one timee
Can someone translate the lyrics to English please..lovely song 👏🏽
Your song tells me , am living because of him creater😮😊❤
💯💯
What an encouraging song. Yea we are faced with insurmountable trials but by God's grace we still prevail.🔥
Thanks for this wonderful song.May God continue to use you for this generation
🖤❤️🖤💯💯💯❤️❤️❤️
Wimbo mpendwa❤️
Bado naishi
Still 🔥🔥🔥
bado naishi walijua sijawafwata waganga ntakufa BADO NAISHI
Hongera man
Barikiwa mno tuna❤❤
❤❤❤❤🙏🙏🙏
Amazing song bro ❤
I really love this song 🙌🙌🙌❤️
Amen
❤ verry nice
Powerful❤
Nzuri..
🙏🙏
❤❤❤❤
Bado Naishi
❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
Asante 🙏🙌*
Mungu Mwaminifu bado naishi God bless you Mtumishi wa Mungu Paul Clement
God is good
🙏🙏
2022 & 2023 I went through hell,my friends laughed at me, mocked me.2022 immediately after elections my marriage crushed my ex husband and his family mocked me .Walking out with nothing but a loan of1.5m,and 2 kids to cater for. Sleeping on the floor in a single room. I cried every single night, they thought I couldn't survive but who is God. I really wanted to revenge but God told not to, He instructed me to forgive them and let go for vengeance is His and that He wont leave me empty handed. It was hard but I obeyed. In 2023 He purposely healed me completely of the bitterness. I started my 2024 with soo much peace and am confident that this is my year of restoration. I shall live to proclaim the goodness of the Lord, they shall marvel and wonder how blessed I am.Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.AMINA
Ukisikiliza Baadhi ya Shuhuda Unaweza SEMA Mungu Mimi Huwa Ananipendelea Sana Japo Magumu Yapo Lakini Tunaendelea kusonga,..... Pole Sana. Mungu Ni Mwema Kikubwa Uzima Upo (Bado Unaishi)... Shukuru Vyote Vilivyopita Havikuweza Kuuzidi Uwezo Wa Mungu Wa Mbinguni.... 🙏
Thank you for sharing your testimony, I am praying that God bless you beyond measure remain blessed
We have the same story😩
na bado tunaishi because we serve a living God🥰..
Thank you for sharing your testimony
Ameen
Nipeni likes zangu leo watu wa mungu
Uzipeleke wapi mtu wa mungu 😊
It was emotional song,when i was remember my past😢 bado naishi.... majaribu hayajaniua bado naishi....
This is my song😢😭😭have been sick for the past four years battling with unknown sickness, bado naishi magonjwa hayajaniua😢
Receive healing and revelation in the mighty name of Jesus!! It is finished
This song matches well and almost 💯% of the song am writing now.. but because of the same message the song has ministered on me 100% ... Bado naishi ni ushuhuda kwangu... Kugojeka 2023 yote kama sitoki kwenye kitandaa, kupitia kulazwa hospitali na maumivu mwilini, maneno maovu ya watu kua sitatoboa Mungu akanifanyia njia, nko Mzima... Shukrani zangu kwako broo... The song has made me shed tears.... 😢😢😢😢
My story is really painful but I thank God it was for the past year. Kweli Mungu Hunena.
Hutakufa bali utaishi, ili uyasimulie matendo makuu ya Bwana
This song is heaven-sent. Its message is all I would say if I were to speak right now. Thank you @paul clement 💪💯
Me too
I've been listening to this from last week. It reminds me of a lot I've passed through, personally and also in my family. But the Lord has kept us alive ❤. Tutazidi kutangaza mazuri aliyotutendea😊.
Please give us the lyrics and the interpretation. Sending greetings from the London. Repping my 2 beloved countries Nigeria 🇳🇬 and the United Kingdom 🇬🇧
BADO NAISHI- Im still alive or Im still living
For chorus
Im still alive despite sickeness, trial and tribulations, words(bad words), problem
Psalms 119:71
"It was good for me to suffer so I would learn your demands".
Paul wimbo wangu huuu kabisa daaah!😭😭😭😭😭 nimesikiliza mara ya 15 sasa
🇨🇩🇨🇩na penda sana song za Clément kutokea Congo drc
When God is in your side( pale ambapo wewe umo ndani yake na yeye yumo ndani yako) anaweka Nuru ndani yako ambayo inaleta uzima unaofanya kwendelea kuishi,,, asante sana bro it is a nice song for really
Bado naishi🙏 nipate like ata 1🥰💯💯
Only an anointed soul can compose this🙌🏾
Beautifuly written,well sung❤️
Oyaaa video kalii🎉 nyimbo Ina ujumbe wa restoration 🙇🏽♂️🙌🏽
2022 was a very tuff year for me majaribu maneno makali kutoka kwa watu wakinisikizia uwongo woii but God healed me restored my peace ananipenda ananipenda 🙌🙌🙌🙌
God has never failed us and He never will❤ God bless you MOG @ Paul Clement
Amen
@@paulclement25
Sir Kenya Appreciates you!
We love you.
Thanks for giving us hope 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🙌
Badoo naishi ni wimbo unaoo nibariki sanaa tangu audio yake2 si naisubiriaa sanaa video inibariki piaaa Ameeen , my favourite song
The song is so spiritual, God bless you brother. You always touches hearts of people
Amen jina la BWANA libarikiwe
“MUNGU akiwa upande wetu hakuna awezae kuwa juu yetu “ ubarikiwe Paul Clement
Asante Mungu kwa changamoto zote,,,, nilizopitia bado naishii😢😢😢
Amen mtumishi ni kwa neema za Mungu tunaishi.
Be blessed man of God, nabarikiwa sana kwa nyimbo zako
Bado naishi maneno hayataniua bado naishi hii nzur GOD bless u
You always teach me new things in life through your songs😔🥺❤️
Hii ni yangu thanks Brother Paul.
May God fill your cup with more blessings.
Umebarikiwa mnoo mziki mzuri na kuonyesha ukuu wa Mungu.
Bado naishii❤️❤️❤️
Bado naishi mwanau ❤ mwenye anaishi basi tupa like apa 🎉🎉
Be blessed mtumishi nyimbo zako zinaishi, zinanihudumia sana kwenye maisha yangu....barikiwa sana
Mungu azidi kuku Linda kaka angu yaaani uduma yako kila siku ina nipeyaga faraja #mymentor God bless you “BADO NAISHI” 😢❤❤
Bado naishi tar 7 2024 nlitokewa na jipu kwenye koo siwezi kula kuhema siwezi lkni mungu ni mkubwa bado naishi kaniponya nmtukuzaa kuptia huu wimbo mungu akubariki
napata himizo sana kutoka kwa tenzi zako kaka. Barikiwa sana. Salute from Nairobi Kenya
Am passing through the serious trouble lakini bado naishi 🙌🏻
🎉🎉your ministries bless my life from Amefanya,zawadi and bado naishi.May God keep you clement you are a blessing to many
Ameen Ameen 🙏🙏
BadoNaishi🙌🙌
Ngoma Kali Sana mtumishi ❤🇹🇿
Beautiful.God keeps speaking to me through your music