Paul Clement _ Nashangilia (Official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 327

  • @eddovanny2553
    @eddovanny2553 2 роки тому +18

    Ila huyu braza Nyimbo zake huwa znani bariki Sana nataman Siku nipate hata Picha nae by the way ndo aliyenifanya nianze kuimba Kwaya 🙌 Mwenyezi Mungu akubariki Braza

  • @Official_shiks
    @Official_shiks Рік тому +15

    Someone please like my reply ,I want to come back and listen to this song! All praise to God!!!❤

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 2 роки тому +8

    Hongereni Paul na Anna naamini mmetuletea mjukuu God is good

  • @mwauraacoustic1206
    @mwauraacoustic1206 2 роки тому +184

    From a failed marriage to trying to kill my self to God restoring me again with a very beautiful wife and a baby and turning my life around,😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nyambuthomas8193
    @nyambuthomas8193 2 роки тому +16

    😢akili yangu ifikapo mwisho, wewe ndio waanzia. Nashangilia haja ya moyo wangu, hata kama bado sijaona kwa macho😭😭😭
    that's what faith is, and surely God is faithful.

  • @deborasimon422
    @deborasimon422 Місяць тому +1

    Akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo unaanzia

  • @Miss.Chao.
    @Miss.Chao. 3 місяці тому +11

    Nishapata song for my wedding. Sasa waiting for my husband 🥰

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 2 роки тому +1

    Sijaona bado ila naamini Mungu amenijibu yote hivyo nashangalia🙏🙏

  • @Sheryldavid894
    @Sheryldavid894 2 роки тому +6

    Have pushed for a long time
    And the lord told me to look at The thing's that have been weighing me down ...for I'll never see them again ... God restores... He's my confidence...

  • @happyjoseph5572
    @happyjoseph5572 2 місяці тому +1

    I Manifesting favour in my life . Happiness...as well as richness in My life❤.....through this song I believe Mungu atatenda
    Kwa imani yangu amenijibu maswali magumu ya Moyo wangu.❤

  • @FarajaSamwel-o9c
    @FarajaSamwel-o9c 13 днів тому

    Baba Asante kwa Kutubariki na wajukuu kati ya watoto wangu WURA and MODADEOLA MALIKI MIMI MAMA YAO UMEJIBU SANA UKAWAPE NDOA TAKATIFU SANA TUSHUHUDIE PENDO TULILOLISUBIRI MIAKA MINGI TUSOHESABU WINGI WAKE.

  • @agnessvicent6591
    @agnessvicent6591 2 роки тому +2

    Nashangilia sababu mungu amejibu haja ya moyo wang

  • @doreenmndeme4140
    @doreenmndeme4140 2 роки тому +4

    Heiyee Amejibu kwa wakati🙏🙏🤍kwako Kuna kila jibu la kila Swali la moyoni,akili yangu ifikapo mwisho ndipo wewe unaanzia Bwana ☺️🙏

  • @upendowerema2247
    @upendowerema2247 Рік тому +1

    Nashangilia 🎉sababu Mungu amejibu haja ya moyoo wangu ❤❤❤

  • @naftalimwenga
    @naftalimwenga 2 роки тому +3

    Nilipoanza safari nikafika mwisho nikakutana na mwanzo wa Mungu. Kumbe akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo unaanzia 🙏

  • @Star-vw5rv
    @Star-vw5rv 6 днів тому

    Nashangiliaaa❤❤hajawahi niacha huyu Mungu

  • @lovenesskasuga6046
    @lovenesskasuga6046 2 роки тому +1

    Nikisikiliza huu wimbo nalia sana nahisi nipo karibu na yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @gracemumo7091
    @gracemumo7091 2 роки тому +1

    Kwa Mungu Kuna Kila jibu na Kila swali.... Nashangilia maana Mungu amenijibu maombi 🙏🙏🙏

  • @nellyndegwa2511
    @nellyndegwa2511 8 місяців тому +1

    Love this song ,"bwana kwako kuna kila jibu la kila swali la moyoni,akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo unaanzia ".

  • @veronicalameck6982
    @veronicalameck6982 2 роки тому +2

    Hallelujah 🙏, nice song nimebarikiwa sana, MUNGU azidi kukuinua zaidi 🙋

  • @Oasisoflovecentre.
    @Oasisoflovecentre. 22 дні тому

    Nashangalia sababu mungu amejibu haja ya moyo wangu.❤

  • @JuumaJamal
    @JuumaJamal Рік тому +1

    Nikisikiliza hii nyimbo ninakua naamani ya ajabu mungu azidi kuku bariki

  • @mkamboimaganga5690
    @mkamboimaganga5690 2 роки тому +1

    Bwana kwako kuna kila jibu la swali la Moyoni...
    I love you oh Lord my Strength!

  • @monicahjared2412
    @monicahjared2412 2 роки тому +2

    Nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu,Asante yesu🙏🙏🙏

  • @bibleforlife1
    @bibleforlife1 2 роки тому +1

    Pa 1 Kaka , Mungu Akubariki Zaid

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 2 роки тому +2

    Leo tuliimba ule wimbo Shangilia kwa furaha... Nadhani wiki nzima tunashangilia. Bwana Yesu ni mwema sana. Wimbo mzuri sana

  • @EstherMado-mn4ip
    @EstherMado-mn4ip Рік тому +1

    😭😭😭😭thank you so much bro may God bless you

  • @gladyskananu3651
    @gladyskananu3651 2 роки тому +1

    Going devastating situation but I do believe nitashangilia ii mwaka

  • @focus_production
    @focus_production Місяць тому

    kwa imani yangu amenijibu maswali makubwa ya moyoni japo sijaona kwa macho

  • @muniramsigwa8537
    @muniramsigwa8537 2 роки тому +1

    Akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo huanzia naamini Mungu mwema utanijibu pia haja ya moyo wangu . Ubarikiwe kaka kwa wimbo mzuri

  • @haikajulius162
    @haikajulius162 2 роки тому +4

    "Nilipoanza safari,nikafika mwisho nikakutana na mwanzo wa Mungu" 🙋‍♀️barikiwa sana kaka nyimbo zako hazijawahi kua za kawaida kwangu....

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 Рік тому +1

    Kweli Mungu anamajibu ya kila maswali ndani ya moyo

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 2 роки тому +1

    Kuna yale maneno ulizungungumza kuhusu wana wa israel wakiamini Bwana amewapa na walikuwa hawajauingia, yananipa nguvu hadi leo

  • @manasemwakipesile2996
    @manasemwakipesile2996 2 роки тому +2

    wimbo wa nyakati zote,,it fits in any situation

  • @Kidamui
    @Kidamui 2 роки тому +2

    umejua kunibariki kupitia wimbo huu hallelujah🙏🙏

  • @maureensande9324
    @maureensande9324 2 роки тому +9

    "Who is man that you are mindful him? and the son of man that you should visit him" This song brings me to tears all the time .. am blessed😊

  • @kefagabuschangarawe6438
    @kefagabuschangarawe6438 2 роки тому +1

    Mwimbaji wangu bora wa muda wote wa nyimbo za injili .. God bless you minister

  • @moblack8740
    @moblack8740 2 роки тому +2

    Amefaya njia mbele yangu 🙏 Nashangilia

  • @ministerHappyAllan
    @ministerHappyAllan 2 роки тому +3

    Amen am blessed Nashangilia maana Mungu amejibu haja za moyo wangu kwa yale nimeona kwa macho hata memgine yaliyopo kwa roho yanadhihirishwa..Asante Yesu wimbo umekuja majira sahihi.be blessed Paul

  • @AnodiLupenzi
    @AnodiLupenzi 6 місяців тому +2

    Najua utanijb piaa mungu wang

  • @anwylwalter7909
    @anwylwalter7909 Місяць тому

    Here again in 2024, kumtumikia Mungu kuna faida..🎉

  • @studiokashew
    @studiokashew 11 місяців тому +1

    This is my favourite from the core of my heart🔥🔥🔥

  • @boazylazaro6724
    @boazylazaro6724 2 роки тому +2

    Kwa kweli moja ya wimbo unanibariki saana huu ni zaidi,,, nikiusikilza najikuta unanigusa katika moyo pamoja na maisha piah,,,, mungu akubariki saana kaka Paul mungu azidi kukufunulia mawazo zaidi na zaidi

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya 2 роки тому +3

    Sifa kwa Bwana kwakua jibu kwetu

  • @mayruthcleopa
    @mayruthcleopa 2 роки тому +5

    Hongeraaaa kakaaa the baby is beautiful😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @manpierre571
    @manpierre571 2 роки тому +4

    2:52 nilipoanza Safari Nikafika mwisho Nikakutana na Mwanzo 😀 wa Mungu 🙏

  • @Mr.Tanzanite
    @Mr.Tanzanite 2 роки тому +2

    MUNGU WANGU yupo kazini kunijibu haja ya moyo wangu, sababu hiyo NAMTUKUZA, mwisho wa kufikiri kwa akili zangu NDIO MWANZO WA MUNGU KUNITENGENEZEA NJIA YAKE ISIYO NA MAJUTO

  • @I.am_odanka
    @I.am_odanka 2 роки тому +6

    He is Jehovah Jireh. Asante Mungu unajibu maombi. Very powerful praise thanksgiving song🙏🔥🔥🔥🔥💪

  • @winnieatieno7385
    @winnieatieno7385 2 роки тому +3

    That line.. Bwana kwako kuna kila jibu la kila swali la moyoni.. #BlessedbeHisnameforever.

  • @gospotv
    @gospotv 2 роки тому

    Barikiwa

  • @bucchithedeejay2306
    @bucchithedeejay2306 2 роки тому +3

    Nashangilia sababu amejibu haja ya moyo wangu💯

  • @DoreenHugh-i6y
    @DoreenHugh-i6y Рік тому +1

    Nabarikiwa na wimbo, Mungu akuzidishie 💝

  • @walterntambi-d9z
    @walterntambi-d9z 2 місяці тому

    This is not just a gospel hit song but a worldie hit song,i love the producers emotions singing along with joel,thank you for this blessing of a song

  • @siamacha3749
    @siamacha3749 2 роки тому +1

    God bless you!!Minister🙌🙌🙌🙌

  • @miriamraymondOfficial
    @miriamraymondOfficial Місяць тому

    ushuhuda umebadilishwa💪💪

  • @depiousladyieee6455
    @depiousladyieee6455 2 роки тому +2

    Ooh wow nice job bro our God iz a very bountiful and our promise keeper Be blessed ...Ooh wow Mungu wetu ni mwema hadi nashangaaa ...moving forward forever ever.

  • @Neemahgracey
    @Neemahgracey 2 роки тому +53

    Celebrating what has not happened yet is the greatest form of faith... I'm a worship leader and I thing I sing this song almost every Sunday

    • @WhitneyKihara
      @WhitneyKihara 2 роки тому +1

      It's called the sacrifice of Thanksgiving, it goes straight to God's ears for our faith in Him.

    • @aliciosolive5810
      @aliciosolive5810 2 роки тому +1

      I trust him he has answered every heart desires.i thank you for salvation coz is the full package of every good blessings

  • @muberwamutashobya374
    @muberwamutashobya374 2 роки тому +4

    Akili yangu ifikapo mwisho, ndipo Bwana anapoanzia... 🙌🙌 You are blessed Minister Paul!!

  • @CeciliaWashe
    @CeciliaWashe Рік тому +1

    Marvelous am blessed aisee🙏🙏🙏

  • @derickmarton
    @derickmarton 2 роки тому +61

    WOOW🙌🏾🔥🔥i remember the feelings i got from the very first day we sing this song ITS STILL THE SAME UP TO DATE huu wimbo haujawahi kuchuja kwangu 😔😔🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 AMEJIBU HAJA YA MOYO WANGU AM BLESSED

  • @vivianfredy9391
    @vivianfredy9391 2 роки тому +2

    Nashangilia Mungu amejibu haja ya moyo wangu kwa kunipa mtoto na mume mzuri🙏🏽

  • @tumainiwilfred4021
    @tumainiwilfred4021 3 місяці тому

    Mungu aendelee kukukumbatia dear Emmy love u

  • @subirakulyamo5921
    @subirakulyamo5921 2 роки тому +3

    Amen Mungu atujalie nguvu ya kuamini kile tunachowish kupata kwa wakati tumshangilie kila mara na kila wakati

  • @ayonck9222
    @ayonck9222 2 роки тому

    Nashangilia sababu hata katika hili atajibu👏

  • @leonilabrethrenwoshipers9791
    @leonilabrethrenwoshipers9791 2 місяці тому +1

    Amen

  • @priscapaulo5921
    @priscapaulo5921 2 роки тому +1

    Nashangilia nashangilia MUNGU amenijib
    _____

  • @AgreyMwansasu
    @AgreyMwansasu 9 місяців тому +1

    Wewe nomq siku zote mungu aendelee kukuinua siku zote

  • @borarachel6968
    @borarachel6968 2 роки тому +1

    Je valide ça chers frère clément.

  • @JaneNyoni-yy2ek
    @JaneNyoni-yy2ek Рік тому +1

    ❤❤❤❤i feel blessed

  • @beatricelukumay3170
    @beatricelukumay3170 2 роки тому +2

    Such an amazing songg🙌🏿🙌🏿🙏🏿

  • @faithmwende9421
    @faithmwende9421 2 роки тому +5

    Have been watching the growth of this platform and it's growing slowly yet the minister has been doing great great work ...kindly lets support him 🙏

  • @mercymasila2144
    @mercymasila2144 Рік тому +4

    This song came into my heart at a time when I'm so emotional and having lots of questions and feel like giving up on waiting for a marriage partner. I feel I have already prayed all sorts of prayers i could to God. But there's still that still small voice that's telling me not to give up. I only have one simple prayer "God give me a good husband that we can serve God together"

    • @jesusisgood..3068
      @jesusisgood..3068 Рік тому

      I feel its so hard but GOD knows it all. Sometimes there was i compared myself with others but we both have different Grace . I feel you because I'm in the same boat😭😭😭😭😭😭 I just love you so much Daddy😭 that I cant betray You Ooooh LORD .😭😭😭😭

  • @sashagal5683
    @sashagal5683 2 роки тому

    utamu wa kumpata kipenzi cha ujana wako mkiwa wote vijana ,............mmmh so sweet twashangilia na wewe kaka ,twakupenda sana ..KE

  • @Estymmbone
    @Estymmbone 2 роки тому +2

    God bless you My brother this song, being blessed from kenya

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 2 роки тому +3

    Waiting hellow chilambo much love from kenya 🇰🇪💖💖💖💖

  • @Clickbyellirios
    @Clickbyellirios 2 роки тому +3

    This song 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
    ila kababy alielewa somo, ajatuangalia ata

  • @gaspynolucas8606
    @gaspynolucas8606 2 роки тому

    Kwa siku naskiza zaidi ya mara 10..na bado sichoki

  • @imeldanjiru9603
    @imeldanjiru9603 2 роки тому +25

    My neighbours will absolutely love this song😅😅 it's been on replay since I discovered it. The peace and hope that emanates from this song is unfathomable 😊

  • @dismasmwingereza1238
    @dismasmwingereza1238 2 роки тому

    MUNGU alikuchagua umtumikie aisee 🙏 nabarikiwa sana

  • @Bengramica
    @Bengramica 2 роки тому +1

    ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 amejibu kwa wakati .

  • @Mitchy_Michelle
    @Mitchy_Michelle 2 роки тому +5

    God has already answered our prayers Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽

  • @annkangara9565
    @annkangara9565 2 роки тому +24

    A song in the right season of my life and marriage..Thank you fulfilling my heart desires LORD, Glory to God

  • @simonmaina9601
    @simonmaina9601 Рік тому

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪we appreciate you Clement.
    God is using you to minister to this generation that needs healing and help from the evil ones schemes
    Thank you. Thank you

  • @jenniferbernard8087
    @jenniferbernard8087 2 роки тому

    Bado nasubiri najua Mungu wangu na Mimi utanijibu kwa wakati wako bado sijachoka kusubiri😪🙏

  • @lucyemanuel9647
    @lucyemanuel9647 2 роки тому

    nashangiliaa mungu akubariki sanaaaa poul

  • @marrychizinga1536
    @marrychizinga1536 2 роки тому

    Nice song nice voice barikiwa kaka

  • @juheywanjiru4619
    @juheywanjiru4619 2 роки тому +21

    This song gives me hope that everything will be ok,8 months pregnant,my baby is breech,no money for delivery Incase it's CS delivery. I believe and trust he has changed my life 🙏🙏

    • @kamaulaura6523
      @kamaulaura6523 2 роки тому +2

      Keep praying and trusting..He is with you

    • @bilahivictor4710
      @bilahivictor4710 2 роки тому +1

      Sending our prayers to you and your baby ...that verse that says he knew us while we we're still in ours mum's womb ...he already knows the baby ..it is well

    • @dashconceptz
      @dashconceptz 2 роки тому +1

      Mungu ashajibu maombi yako dada

    • @mkamboimaganga5690
      @mkamboimaganga5690 2 роки тому +1

      God will come through..

    • @winfreywanjiru9898
      @winfreywanjiru9898 2 роки тому +1

      may God break through to you dear in Jesus name

  • @flohrimui8639
    @flohrimui8639 Рік тому +3

    I will not wait while weeping, for i kniw my prayers are answered. I am celebrating victory❤

  • @geomaster0666
    @geomaster0666 2 роки тому +2

    Always am listening this song blessed 🙏 🙏

  • @raymsanii
    @raymsanii 2 роки тому +4

    I Love the Chord progression and the mood this melody oozes out
    🔥🔥🔥🔥Beautiful melody bro! A 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪'n Love ♥️

  • @gracefrank4197
    @gracefrank4197 2 роки тому

    Napenda hii nyimbo jmn

  • @davissalum
    @davissalum 2 роки тому +6

    Big up bro Paul your songs always bless me, God bless you 😊

  • @lovenessfrank2398
    @lovenessfrank2398 2 роки тому

    Mungu akubariki sanaa
    Ooooh my God i feel blessed 🥰🙌🙌

  • @emilembebingileki381
    @emilembebingileki381 2 роки тому

    Nashangilia na nina kila sababu ya kushangilia maana Mungu amekuwa mwema sana kwenye maisha yangu pale nilipokuwa nimeshakata tamaa na kufika mwisho MUNGU yeye ndipo alipoanzia na bila taarifa amejibu haja ya moyo wangu asante MUngu wangu mana umenipa zawadi ya Baby BLESSING asante MUNGU.

  • @ahavankundwe1206
    @ahavankundwe1206 2 роки тому

    Wow wow wow wow wow
    Kwelii Bwana Amejibu Haja Ya Moyo Wangu. Be blessed sana brother

  • @sylviafabian5347
    @sylviafabian5347 2 роки тому

    inshallah Mwakan ntaingia na huu wimbo kwenye Harus yangu

  • @parenthoodandparenting1017
    @parenthoodandparenting1017 2 роки тому +7

    When I discovered this song , imekuwa kwa replay mode on my working laptop, This is thanks giving on another level

  • @emmanuellerichard1664
    @emmanuellerichard1664 2 роки тому

    Pamoja bro katika kristo

  • @BlessedSongsGlobal
    @BlessedSongsGlobal 2 роки тому +3

    I don’t understand the language but as a Gospel musician I felt it blessing me ❤❤

  • @kennzain4487
    @kennzain4487 Рік тому +2

    This song was unknown to me
    Until one day they play it during the church service,then pap my twins girls started singing then it attract my antetion.but now
    Have decided to join them by singing together what the lord has done again in our lives.