Whoever reading this, Mungu huwa achukuwi kutoka juu kwenda chini ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Anahijali kesho yako njema . Analinda hatima yako Just trust in him. Amen
Having Joel lwaga & Paul clement in the same song is like to having lionel messi na christiano ronaldo in the same league 🙌🙌 Am blessed 🤝 What a song 🙌🙌
Who brought these men together 🙆🙆🙆God bless you men of God.aki tu niangushieni likes hapa hata kama ni 500k before song ifike 1M ju wueeeh the message that this song carries hit me in very personal way.niko tu chini kwa magoti naliaaa😭😭😭😭😭😭😭😭
I hope walioimba huu wimbo waione hii. I’ve been hurting over my life not succeeding both career wise and my love life but after listening to this song 🙌🏾 nimepata hope and I’m not worried again. Natamani niuskilize kila siku 🥹 Waimbaji wa injili kama nyinyi ni madaktari wa kiroho and you have no idea how many lives you are touching and how many souls you are healing even in a day 🙌🏾 I believe Joel and Paul were brought together by God to be brothers who heal people spiritually. I pray you guys muwe friends forever because when you two come together 🙌🏾 it’s like two stars in one song. Thank you for this major hit!
Every Promise of God is Yes and Amen in Christ Jesus! If He said it, it shall come to pass!!! Glory to God! Thank you Anointed servants of God for this powerful Psalm!
Eeeh mungu zaidi ya ile shauku nilikuwa nayo baada ya kuona hawa wawili wameshirikiana basi baraka zako zikawe mara dufu eeeh mungu nibariki unajua nini hitaji la moyo wangu hata kama sijaomba 🙏🏿 😊
This will be an album of a life time....aaaaah!❤❤❤❤.Glory&honour to u Lord using these your servants whom you've blessed vocally &msgelly.Pure inspiration&ministry.Love from🇰🇪🔥🔥
Destiny wooow, be blessed man of God, Minister Joel Lwaga Your blessings in our generation Thank you for the song with our brother in Christ, Minister Paul Clement.
N kwel kabsa 😢unatumaini lakini unakuta cku znasonga t .. Mungu atusaidie na kutujulisha haya Ili tuwe na nguvu maana ata kuomba unaweza isi unapiga tu kelele
Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe! Ila Mara kwa Mara naona unapoimba unasema Mungu Mungu... Wimbo unaweza anza na kuisha bila kutaja ndani jina la YESU-KRISTO. "Mungu" ni neno huweza changanya kufuatana n'a Imani ya kila mtu. Lakini kwetu Sisi wa Kristo Mungu aliye hai hujifahamisha katika mwanawe YESU-KRISTO. Ndiye anaitajika kutajwa hata Mara moja ilitutambue kama anayeimba ni muamini mwenzetu. Si wewe tu. Nimeona hii hali kwa waimbaji wakikristo wa sasa tanzania. Naomba msamaa pia naomba uendeleye vema.
Ndio @@babaloisethan7010 Ile ni kweli, Mungu wa kweli kama unamuamini anajitambulisha mu jina la Yesu Kristo mwanawake. (Waebrania 1.1-3). Wakristo hauamini mu jina la Mungu, tunaamini jina la Yesu Kristo. Hatukupewa jina nyingine. Kama tunaamini jina la Yesu tulitaje ata katika nyimbo. Tusiwe na haya wala tusipende kupendeza wasioamini. Nazani siongei vibaya. Asante.
Whoever reading this, Mungu huwa achukuwi kutoka juu kwenda chini ,God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Anahijali kesho yako njema . Analinda hatima yako
Just trust in him. Amen
Having Joel lwaga & Paul clement in the same song is like to having lionel messi na christiano ronaldo in the same league 🙌🙌 Am blessed 🤝 What a song 🙌🙌
Who brought these men together 🙆🙆🙆God bless you men of God.aki tu niangushieni likes hapa hata kama ni 500k before song ifike 1M ju wueeeh the message that this song carries hit me in very personal way.niko tu chini kwa magoti naliaaa😭😭😭😭😭😭😭😭
Amen mtumishi
Amina
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
I hope walioimba huu wimbo waione hii. I’ve been hurting over my life not succeeding both career wise and my love life but after listening to this song 🙌🏾 nimepata hope and I’m not worried again. Natamani niuskilize kila siku 🥹 Waimbaji wa injili kama nyinyi ni madaktari wa kiroho and you have no idea how many lives you are touching and how many souls you are healing even in a day 🙌🏾 I believe Joel and Paul were brought together by God to be brothers who heal people spiritually. I pray you guys muwe friends forever because when you two come together 🙌🏾 it’s like two stars in one song. Thank you for this major hit!
Go through @pastor tony kapola teaching as well. Be blessed
Brother nakuelew Sanaa natamani niwe kama wew haya ni maombii yangu🙏🙏
MMEBARIKIWE WATUMISHI WA MUNGU.NAPENDA MKIIMBA PAMOJA,,,MMEUBARIKI MOYO WANGU
Hakika Hatima ya Future iko mikononi mwaile💪🏿💪🏿💪🏿 Viking Brothers 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kwakweli Mungu nimwema sana nyimbo zako zinanijenga moyo unapo toa Mungu azidi kukuinuaa.
3AM SONGS.
Paul na joel ni wa ajab sana wote wanajua lakin hawana matabaka
My two favourite artists. God bless you 🇰🇪 ❤
Barikiwa Joel na Clement Kwa Kazi nzuri.
Huduma ni njema sana bro ubarikiwe sana na Mungu amekupa sauti safi...sifa na utukufu ni kwake Mungu wetu kupitia jina la YESU KRISTO
Every Promise of God is Yes and Amen in Christ Jesus! If He said it, it shall come to pass!!! Glory to God! Thank you Anointed servants of God for this powerful Psalm!
I wish I could give a like each time I listen to this song🥰
Hailindi leo analinda hatima (Google translated it that"GOD is not guarding today,he guards the destiny😊) is it so? 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬
Yes
Thanks bro
When the time is right God shall make it happen......😊 I think this shall be my testimonial song...
Have been listening for more than two hours na imenijenga sana na kunirudisha kwenye reli ❤
This song is on my heart I swear this man is so talented and having grace to sing a gospel music may God blessed him
Mungu Awabariki Sanaa Watumishi nimebarikiwaa Sanaa🤝
Baraka kubwa
Mungu ababariki sanaaa ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙏🙏🙏
Usiniambii kwamba tembo wawili wamekutana 🎉
Bro one day you will sing in my event in Jesus name I always listen to your songs because you are my favorite gospel singer.#iposiku
You represent so many people prayer on there behalf...God bless u lwanga
God is wonderful mambo yake yanashangaza san ss tunaijal leo but ye anaiwaza hatma nzim wow mbarkiwe watumish kwa ujumbe u mzto
Thank you thank you from 🎉🇰🇪
2 anointed men of God. God preserve you gentlemen. We celebrate you
Eeeh mungu zaidi ya ile shauku nilikuwa nayo baada ya kuona hawa wawili wameshirikiana basi baraka zako zikawe mara dufu eeeh mungu nibariki unajua nini hitaji la moyo wangu hata kama sijaomba 🙏🏿 😊
This will be an album of a life time....aaaaah!❤❤❤❤.Glory&honour to u Lord using these your servants whom you've blessed vocally &msgelly.Pure inspiration&ministry.Love from🇰🇪🔥🔥
Destiny wooow, be blessed man of God, Minister Joel Lwaga Your blessings in our generation Thank you for the song with our brother in Christ, Minister Paul Clement.
Mungu halindi Leo analinda hatima
N kwel kabsa 😢unatumaini lakini unakuta cku znasonga t .. Mungu atusaidie na kutujulisha haya Ili tuwe na nguvu maana ata kuomba unaweza isi unapiga tu kelele
Huu mkono🙌🙌🙌🔥🔥🙌, this man of God has got that pen y'all
UANDISHI 🔥 🔥 🔥 🔥
Who likes this song as me
I real like you brothers in your collaboration I hope one day I shall be like you by David Mekso
Huu wimbo ni mzito kwa kweelii,,una maneno yenye nguvu
Wow 💪💪💪💪
Wimbo wa Baraka sana! Na wa unabii mkuu sana pia wa faraja mno!🔥🔥😍😍🙌🙌
Always i appriciate you guys of course you doing things that pleasure your fans #paulclement #joellwaga
The arrangement is very good plus the bgvz 💯💯💯💯💯👌🏾👌🏾👌🏾🔥🔥🙌🏾
Ukimtafakari Mungu jaman uwiiii atasijui niseme nini
One of my favorites😭❤️
All glory back to God,my new favourite 😊
What an Awesome Gospel collaboration, one of the Best songs for 2023, lots of love from 🇰🇪🇰🇪
Go forward brother God is with you brother
Much love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Awesome 💪🎉
Ubarikiwe sana kaka Joel nakubali kazi yako
that is the situation most of us are passing through but with this song i have been encouraged to focus on what God has said to me
Hatukui kutoka juu kwenda chini, tunakua kutoka chini kuenda juu
This is the best song of this album
Vraiment mon grand toute mes félicitations
Amen❤❤❤❤❤❤❤
Kuna hii nyimbo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢😢😢
Hii nyimbo inanibariki sanaaaaaa God bless you Joel and paul
Daah mwimb n mzur na nabarikiw sn na joel na paul
God bless you for a good, beautiful and strong message in this song
It is encouraging for sure.
This song has ministered to me in a great way. God bless you Joel Lwaga and Paul Clement .
Hakika wimbo umenibariki sana ❤
🔥🔥🔥
So Deep the Lyrics 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe! Ila Mara kwa Mara naona unapoimba unasema Mungu Mungu... Wimbo unaweza anza na kuisha bila kutaja ndani jina la YESU-KRISTO. "Mungu" ni neno huweza changanya kufuatana n'a Imani ya kila mtu. Lakini kwetu Sisi wa Kristo Mungu aliye hai hujifahamisha katika mwanawe YESU-KRISTO. Ndiye anaitajika kutajwa hata Mara moja ilitutambue kama anayeimba ni muamini mwenzetu. Si wewe tu. Nimeona hii hali kwa waimbaji wakikristo wa sasa tanzania.
Naomba msamaa pia naomba uendeleye vema.
Yesu ni Neno,Naye neno alikuwako kwa Mungu,Naye neno ni Mungu❤
Ndio @@babaloisethan7010 Ile ni kweli, Mungu wa kweli kama unamuamini anajitambulisha mu jina la Yesu Kristo mwanawake. (Waebrania 1.1-3). Wakristo hauamini mu jina la Mungu, tunaamini jina la Yesu Kristo. Hatukupewa jina nyingine.
Kama tunaamini jina la Yesu tulitaje ata katika nyimbo. Tusiwe na haya wala tusipende kupendeza wasioamini. Nazani siongei vibaya. Asante.
Asante kwa wimbo mzuri,God bless you.
this song 🙌
Amazing music from anointed men of God🔥🔥🔥💯
This my song in the album
God bless you my favourite artists❤❤❤
You never disappoint always nailed it 👏 🔥
Mungu uyu🔥 inspiring song
Mashairi yenye kutia nguvu💪
Beautifully Done.
I am proud of God's doing in your ministry Mr Joel,be praised his Holy Name 🇰🇪🇹🇿
🔥Amen!
❤you guys never disappoint
MUhimu sana tuombe MUNGU Ailinde hatima
Awesome 🎉🎉🎉🎉🎉
Hallelujah 🙌🏾😭❤️🔥
This is a Masterpiece thanks for this❤
Good song
Analinda hatima great job brother 🎉
LIVING IN REAL LIFE U SUCH A BLESSING TO US JL🙌🔥🔥🔥
Great work. Imenibariki sana
Hapa wafalme wamekutana!
Ameeeen💯🎉
Broo unajuaaaa
man of god
Soo Deep
wow nimeupenda uhuu wimbo
Umeharibu mtumishi napenda venye unaimba ufunuo
I mean umebarikiwa
mna punch line kali sana
Good xana bro
This is a great song
This song is just a blessing in my life ❤️
maisha n pole pole tru
It is a song for me it gives me hope .My destiny is great i proclaim!
Amen 🙏
Since day one nakuelewa
Amazing songs it give me hope😊
Nice song....