STAMINA AMJIBU KHALIGRAPH | KAMA KUNA MSANII IMEMUUMA AJIBU | SIFANYI DISS-TRACK BILA PESA | LUNYA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 271

  • @technicalanalysis8124
    @technicalanalysis8124 Рік тому +61

    As a kenyan i do respect stamina alot,,bro heshma yako🤝

    • @barakakatana
      @barakakatana Рік тому

      From Kenyan, but I respect Stamina anajielewa

  • @elphassimiyu880
    @elphassimiyu880 Рік тому +15

    I'm a Kenyan and I really Respect the Rostam family always love your Hip hop songs

  • @wallsound_defefender
    @wallsound_defefender Рік тому +56

    I love this presenter,he knows how to craft and articulate his questions to fit the conversation well...kudos for good job🎉

    • @sebastianalexander9682
      @sebastianalexander9682 Рік тому +2

      I was almost typing the same thing. He came from a distance close to get to his point he welcomed home in and once he got interested na relaxed he got to his point and I think it help Stamina not lose his head and he answered well not heated and pumped. 🎉

    • @dena9187
      @dena9187 Рік тому

      Sio wale wambea . this guy is good in his work.

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Рік тому +18

    Stamina Akili mingi xana ww mzee🔥🔥🔥🔥💪🏾✌️🤗✌️💚🤗💪🏾💪🏾💪🏾

  • @Gabbykayl
    @Gabbykayl Рік тому +14

    My favorite rapper in east n central Africa......stamina❤❤❤❤❤wisdom uko nayo bro❤❤

  • @venderkenya
    @venderkenya Рік тому +60

    254 we need another collabo with Stamina, he's wise and mature..

  • @morefarah2710
    @morefarah2710 Рік тому +6

    Mature rapper. Stamina more love... from Kenya 🇰🇪

  • @tonylaizer3386
    @tonylaizer3386 Рік тому +7

    Zingatia..maokoto... brother❤

  • @lilbobi2347
    @lilbobi2347 Рік тому +35

    I love Rostam team but the OG is the real rap king nakwahio he must be respected ✊🏿✊🏿love from Uganda

    • @jaguerra
      @jaguerra Рік тому

      What if they refused to respect him. Utado?

    • @KeivGatemi
      @KeivGatemi Рік тому +1

      ​@jaguerra respect the OG 😂

  • @Mitangoni
    @Mitangoni Рік тому +4

    I salute you stamina 🫡🫡🫡 Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 one Love ❤️

  • @chillypips-yq6vh
    @chillypips-yq6vh Рік тому +2

    🇹🇿🇳🇬🇿🇦Tz artists are very mature very very matured kenya hawajui biashara kelele nyingi sana

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +30

    Stamina yuko saw kabisa huwez kupoteza muda wako bure kwa vitu visivyokuwa na faida siku izi watu tunazingatia maokoto 👍

  • @Wilsonquotex
    @Wilsonquotex Рік тому +10

    Og must be respect broh

  • @fredrickshangala5750
    @fredrickshangala5750 Рік тому +4

    Am Kenyan but salute to Roma, Stamina, Young Lunya, Young Killer na Trueboy Naywa Mitego

  • @BoazCharlesTz
    @BoazCharlesTz Рік тому +11

    Stamina akili kubwa Sana good answer

  • @frankthedon
    @frankthedon Рік тому +10

    Kwenye hii industry ya music iko ivo kudiss kudissiwa ni kawaida, stamina you r a wise man I like you content 254 na 255 si wote mandugu, Khaligraph keep the fire burning my G🔥🔥

  • @ruthwanjiku795
    @ruthwanjiku795 Рік тому +8

    Stamina is a man!!Good job bro not everything needs your reaction

  • @bunguumgomba1940
    @bunguumgomba1940 Рік тому +20

    Stamina umejibu kielimu sana

  • @michaelgitau9681
    @michaelgitau9681 Рік тому +9

    Stamina have the same view as Octopizzo

  • @wilsonpeter-ri9ep
    @wilsonpeter-ri9ep Рік тому +5

    The maturity of Stimana is at another level Big up Man we have big respect to you man from 254

  • @aloyceshirima7539
    @aloyceshirima7539 Рік тому +14

    Huyu sio mvulana Kama khaligraph

  • @ndedepaul3484
    @ndedepaul3484 Рік тому +23

    Respect to Stamina, you've talked as a grownup hip-hop artist. I'm Kenyan but I love you. You ain't like that Bonzo who wanted a fist fight

  • @moreen_kaari5855
    @moreen_kaari5855 Рік тому +11

    Put RESPECT on OG's name he's trying to wake y'all up na hamradi😏 OG is a beast😅 Ask kibe 🇰🇪❤

  • @Markhomestz
    @Markhomestz Рік тому +5

    Well said

  • @skankaempiremusicgroup2027
    @skankaempiremusicgroup2027 Рік тому +3

    Stamina much love from Kenya 🇰🇪

  • @deejaydackman
    @deejaydackman Рік тому +16

    Hivi wanangu wa Tz mna mezea kitu inakuja ama.....respect the OG...sunami inamuok

    • @modekaibasso1273
      @modekaibasso1273 Рік тому

      Brathe mi siwafichi Kenya bado sana japo kweli mnaongea kiingereza lkn kwetu kiingereza ni lugha ya walevi

  • @kelvindrt2477
    @kelvindrt2477 Рік тому +36

    kama umemuelewaa stamina anakubali OG ni mnyamaa Tanzania tukubali OG ni rapper mkali

    • @naumi2302
      @naumi2302 Рік тому

      Ukweli unauma😂😂😂ila ata mm nimtanzania but khaligraph yuko juu xana

    • @psnawana3794
      @psnawana3794 Рік тому

      style ya OG ni nzuri sawa...lakini hakaribii hata kidgo kwa maraper wa bongo...especially akisema turap kiswahili...bars for bars...haezani na Tz

    • @TheGamer-mp9lt
      @TheGamer-mp9lt Рік тому

      ​@@psnawana3794Mkali wenu ashatii, nani nyinyi?
      Mnawezana na sheng na ngoso na vile tuna-update syllabus daily?

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 Рік тому +21

    Kweli bongo hip hop imeshuka sio kama zamani

    • @modekaibasso1273
      @modekaibasso1273 Рік тому

      Wewe acha zako dingi weka pesa mezani uone kama bongo hip-hop imekwisha

    • @naumi2302
      @naumi2302 Рік тому

      ​@@modekaibasso1273ukweri unauma 😂😂😂

  • @ismaeliddy7017
    @ismaeliddy7017 Рік тому +2

    This goat has everything about music big respect to stamina

  • @AfricanBan2
    @AfricanBan2 Рік тому +2

    Utanidiss kwa single, nitakudiss kwa album. This dude is mature and very articulate. Amesema ukweli na kwa busara .

  • @ishmaelulleta1221
    @ishmaelulleta1221 Рік тому +1

    Stamina🙌 jibu lako limenoga❤ Much love from 254. Ukweli, rapper wasiojiamini waingie studio😅😅😅

  • @michaelmaingi1662
    @michaelmaingi1662 Рік тому +10

    Much respect to Stamina

  • @brooke3207
    @brooke3207 Рік тому +19

    1st time being here n getting to know STAMINA for real He's one of the BOSS OF ALL BOSSES ..Mind .Knowledge .Power. FULLY INSTILLED 🙌

  • @Zaidiyanusumedia
    @Zaidiyanusumedia Рік тому +6

    Huyu sasa ndio kaelewa khaligraph alichoongea wengine muna kurupuka tu... hip-hop ndio iko hivyo

  • @Kingboyjuniorderrick
    @Kingboyjuniorderrick Рік тому +2

    Hapo sana respect Kenya rappers Rosalie kwa tariifa yako ata haunichani mm nakuchana pitia nyimbo zangu zote do ujue

  • @lifelenswithken
    @lifelenswithken Рік тому +2

    I am from Kenya. Stamina anaelewa sana hip hop.

  • @vokesautiyaninga254
    @vokesautiyaninga254 Рік тому +3

    #RESPECT_OG🇰🇪 ...... STAMINA UMETISHA BABA

  • @paulgee9030
    @paulgee9030 Рік тому +11

    Mad love ...this is a true star ... respect...

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 Рік тому +10

    Best wanaweza ku go bar 2 bar na khali....tz Unju,uno,mex stereo na wakazii.....

  • @raphaelchuche6281
    @raphaelchuche6281 Рік тому +4

    respect OG

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 Рік тому +22

    Stamina kaongea ukwl kaabisa. Hip hop ipo huru mno.

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 Рік тому +3

    Stamina your a genius and
    wise

  • @sinarikakka
    @sinarikakka Рік тому +2

    Big bro! You are a great presenter... I like your approach of questions💯

  • @josphatatura8373
    @josphatatura8373 Рік тому +2

    Wisdom nyingi sana anayo Stamina

  • @josphatatura8373
    @josphatatura8373 Рік тому +3

    Love from Kenya

  • @stevie-lee_256
    @stevie-lee_256 6 місяців тому

    Asante sana bwana Stamina, umejibu hiyo Interview na experience ya mkubwa yenywe!. You are indeed one of the finest East African Hiphop artists and am sure ata Watu Wengine pia wataconfirm!. Real recognises real!. Napenda wimbo zingine wa Kaligraph lakini sio ile ya diss!anapaswa kuwaheshimu wengine.

  • @michaelgitau9681
    @michaelgitau9681 Рік тому +60

    Stamina nilimskia once kwa ngoma ya Khaligraph... since then sijawai msikia reapect OG for bringing these legends back

    • @hassankaaz5948
      @hassankaaz5948 Рік тому +5

      We hujui

    • @GeorgeKituyi-r4y
      @GeorgeKituyi-r4y Рік тому +6

      Sasa Kama Wewe sio Fan Wake Utamwonea Wapi...Stamina Ni Mnyama🤙🤙..Sikia vile anaongea Mature Mind

    • @michaelgitau9681
      @michaelgitau9681 Рік тому +2

      @@GeorgeKituyi-r4y ni mnyama tu Kivyake hakuna anae bishana ndio maana nikasema yeye ni legend kwa vile alispit kwa ngoma ya Khaligraph

    • @Jaxxg47
      @Jaxxg47 Рік тому +1

      You know nothing about music

    • @nicholasshaka5798
      @nicholasshaka5798 Рік тому +1

      Sema huskizi nyimbo zake....same way i just knew kaligraph through the clout

  • @Aliclassic98
    @Aliclassic98 Рік тому +1

    Stamina you my favorite rapper in TZ.. Salute!

  • @dreday4957
    @dreday4957 Рік тому +2

    Stamina should be respected 👊🏼👊🏼 he’s very mature 🔥

  • @FreddieMatiba
    @FreddieMatiba Рік тому +6

    Respect to Stamina,,,, OG is very strategic, he dissed Nigerian Rappers he was allover the West Africa blogs and media, now he is well known their, he performed in Sierra Leone and everybody was singing/rapping his lyrics.
    2. It's true that Tanzanian Rappers now a days are doing Amapiano, it's a wake up call. Nigerian rappers were doing African (Nigerian) Pop, he had to remind them with best rapper in Nigeria banger (i think he needs to remind them again, they're back in Afro pop world).
    The truth is that, Khaligraph is a beast he awards back to back as the best African and East African best Rapper/Hip Hop artist. He has performed in U.S, Australia, U.K etc. He just need to do collabos with artists from those Countries.

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 Рік тому

      but in a good day, i don't see the OG to dismantle MI that Nigerian dude

    • @FreddieMatiba
      @FreddieMatiba Рік тому

      @@pepchallanga3626 Unfortunately that will not happen, he has said he respects him and they're Friends.

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 Рік тому +2

      @@FreddieMatiba
      replying doesn't mean animosity...rather it push and take African Hip hop to the top.
      kwani Khali aliposema hip hop tz ina kufa na kutoa 24hrs wampe majibu,alikuwa anamanisha kuanzisha uadui?
      let our hip hop rappers prove him wrong of what he said than starting shifting the goalposts.
      when you touch the horizon of hip hop, Ngosha is an icon, true definition of real hip hop,
      he should not go mum on this..mbona Amapiano alichangamka hadi akawa anavaa yale makoti ambayo rangi zake sio rafiki 😂😂

    • @FreddieMatiba
      @FreddieMatiba Рік тому

      @@pepchallanga3626 alimaanisha marapa warudi kwa miondoko ya Hip Hop, nothing personal. Got you Bro!

  • @unjubang
    @unjubang Рік тому

    Aise! Appreciate sana Bro #Stamina wisdom and respectful speeches 🙌🙌

  • @millsonemmanuel9844
    @millsonemmanuel9844 Рік тому +7

    Khaligraph anamjua Dizasta vina

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 Рік тому +19

    Khaligraph ni genius amewavuta maji marefu wanaanza kujitafuta sasa

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn Рік тому +2

      What meaning of Genius!!

    • @l.marley_2542
      @l.marley_2542 Рік тому +3

      @@RichardRutembesa-ns1kn what is the meaning of genius, sio what meaning of genius Rudi shule

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn Рік тому

      @@l.marley_2542 basi wewe uliyeenda shule!!! Mbona hautambii Maana yake!!!! !??

  • @Alex-zq6in
    @Alex-zq6in Рік тому +2

    Akunaapa kitu😂😂

  • @DJCALZKenya254
    @DJCALZKenya254 Рік тому +5

    Stamina he's wise and mature.The OG is creating jobs for the Rap game

  • @MalGirl-dy1in
    @MalGirl-dy1in Рік тому

    evenn from +254 ...respekt this ngga for his art

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 Рік тому +5

    Hao ROSTAM ndio kiboko ya the OG

  • @MambaAfrica
    @MambaAfrica Рік тому +28

    The OG is creating jobs for the Rap game we need to see the big picture.

    • @georgeanthony1547
      @georgeanthony1547 Рік тому +2

      Shida Wabongo hawapendi Kuambiwa Ukweli

    • @stanfordjoseph1585
      @stanfordjoseph1585 Рік тому

      Which jobs 😂😂😂?

    • @MambaAfrica
      @MambaAfrica Рік тому

      @@stanfordjoseph1585 your Data!, they get paid ,all the UA-cams and all the content creators will have more material to talk about every one is a winner 👍🏿.

    • @dicksonmutua1034
      @dicksonmutua1034 Рік тому

      ​@@stanfordjoseph1585Go and search Khali Kartel you'll have your answer(s)

  • @njerilewis024
    @njerilewis024 Рік тому +1

    Hekima bana 💯

  • @kantenusylijaji6361
    @kantenusylijaji6361 Рік тому

    👏👏👏. Nakukubali sana kaka. Mtu 1 asitake inch zima imdis yeye 🤔🤔. Kwahy waache watoto washindana na kama anatafuta ku trend bc msimfanye ajione ameshida

  • @DaudiiMlukumai-fm4oe
    @DaudiiMlukumai-fm4oe Рік тому

    Nakubali kaka

  • @omarmassemo6226
    @omarmassemo6226 Рік тому

    Kwa maongezi yake Starmina,nampa saluti and thats y i always listen to Rostam hippo .Anaongea kama gentleman kamili.keep it up brother.

  • @mceeshowTv
    @mceeshowTv Рік тому +4

    Stamina very wise man

  • @ramadhansadik001
    @ramadhansadik001 Рік тому +2

    Broo stamina ww ni mkubwa kaka u r a wise man,kaka ulichoongea umeongea kitu kizito sana

  • @franzoonlinetv3641
    @franzoonlinetv3641 Рік тому +7

    Stamina kazungumza fact

  • @mosestaracha6017
    @mosestaracha6017 Рік тому +12

    Stamina is mature Kuna ule mwengine I don't if he is a boxer or a hipop artist,he should define his hustle,with a fake Seattle accent damn

  • @JmkLwango-u6i
    @JmkLwango-u6i Рік тому

    Na mkubali stamina sana❤❤❤ visit bukavu

  • @bbaccabb9445
    @bbaccabb9445 Рік тому +2

    Big up umeongea kiume sholwe bwenzi

  • @kevahshineboy
    @kevahshineboy Рік тому +4

    OG wote wame sepa😂😂😂

  • @sargecrystalskenya3878
    @sargecrystalskenya3878 Рік тому +1

    Kama uwezi uwezi king PAPA J is the baddest ass. Kenya to the fullest 🇰🇪🇰🇪

  • @djkamse
    @djkamse Рік тому

    shorobwez always matured mbaya sanaaaaaaa.....hyu ndio real hip hop culturist

  • @rizagaman_fabulous_BSB
    @rizagaman_fabulous_BSB Рік тому +1

    Ngoma uyo broo

  • @kisaujibabou9436
    @kisaujibabou9436 Рік тому +1

    Kama Tanzania wanamkubali stamina nayeye amewagafanulia uwezo wa bro OG nyinyi mnasemaje

  • @KenyanDailyGossip
    @KenyanDailyGossip Рік тому +18

    Stamina anaelewa hiphop hao watanzania wanaonyesha kukasirika hawaelewi mambo ya hiphop

  • @obynaenyabz7358
    @obynaenyabz7358 Рік тому +3

    Napenda alivyowaelewesha kuhusu hip hop jamaa mwenye hekma

  • @habilkikaya1796
    @habilkikaya1796 Рік тому

    Stamina ❤heshima yako wewe nimsaniwa chuma mm natoka 🇰🇪☔naponda 3 prof stamina ney sio sababu ya ujirani Wala ukaribu kaka ao watutu kilamti una matunda yake🎉

  • @smithomondi5084
    @smithomondi5084 Рік тому

    Stamina! ana nego kama watu thao. big up

  • @dreamersofcurrencies3555
    @dreamersofcurrencies3555 Рік тому +18

    Stamina umetumia hekma lakini ungejaribu Diss back Career itakufa kama 50 na Ja Rule msisahau hilo.

    • @waylaxrks
      @waylaxrks Рік тому

      50 mwenyewe anadis tracks...usiongee usichokijua dogo

  • @jamesmwangima-q1u
    @jamesmwangima-q1u Рік тому

    Much luv stamina unaelewa mziki wa HipPop na umesema ukweli yule anaona 👑 Khali amemprovok amdiss😅

  • @labbymtulivu-254
    @labbymtulivu-254 Рік тому +2

    Heshima kwa stamina,
    Khaligraph ni Rapper mkali

  • @geraldNG74
    @geraldNG74 Рік тому

    Wakenya woza

  • @jimmykim007
    @jimmykim007 Рік тому +1

    OG ni OG but pia so much respect for stamina. He's inferno

  • @fabianmachele89
    @fabianmachele89 Рік тому

    Wise man always never frightens ❤

  • @DiegoTemba
    @DiegoTemba Рік тому

    Stamina una akili kubwa kama yangu . God bless you my broo from another mother.

  • @brotherhans2320
    @brotherhans2320 Рік тому +1

    Umeacha swali la msingi, kaka tuchat hyo idea kapewa na nani??

  • @democratstv4344
    @democratstv4344 Рік тому +5

    Mwanaume ni sauti 😂 yule bonge ana sauti ya girlfriend unaeza dhani zuchu

  • @djwilley254
    @djwilley254 Рік тому

    Mature response. Wise man Stamina,

  • @Vunjabei254
    @Vunjabei254 Рік тому

    Stamina thumbs up,unazungumza kama watazania kumi nakukumbali sana ma men

  • @peterndimba9479
    @peterndimba9479 Рік тому

    Big up yourself bro #Stamina...wewe ni mtu mzima na nusu

  • @yutafilms6916
    @yutafilms6916 Рік тому +1

    Stamina ❤❤❤❤❤❤Nakubali sana

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 Рік тому +10

    Khali ni level ya kina unju na kina uno....sio stamina na roma 4rl....

    • @amirbarry2079
      @amirbarry2079 Рік тому

      Khaligraph hakai meza moja na Uno kabisa,hatoshi.Mex ndo kabisaaaa atam sodomize hadharani.he's an ok rapper,labda mkali sana huko kwao ila Hip Hop ya bongo ina mizizi mirefu mnooo.asitafute attention

  • @JAIRUSMWAMUYE
    @JAIRUSMWAMUYE Рік тому +3

    OG kasema but sikiki yale yalikuwa maoni yake😂

  • @MulandaMathias-i9l
    @MulandaMathias-i9l Рік тому

    Stamina a very grown up person, big up bro,,,

  • @modekaibasso1273
    @modekaibasso1273 Рік тому

    Stamina much respect sana kwako mzee baba kama vp kaligraf aweke mzigo mezani af aone kama kweli bongo hiphop imekufa

  • @jemsimakondo6261
    @jemsimakondo6261 Рік тому

    Upo vizuri stamina

  • @Babandefu.254
    @Babandefu.254 Рік тому +1

    Stamina ni rap anae elewa hip hop big up mwisho wa siku ni kazi

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 Рік тому +8

    Stamina una ongeya kweli kuhusu kongo kabisa est ya kongo tuna elewa muziki wenu kabisa

  • @shufaaabdallah-vb4dn
    @shufaaabdallah-vb4dn Рік тому

    Muoga uyo angepak mtz mwezak angemjib stamin nan akun kt

  • @Grace_Ministry_International
    @Grace_Ministry_International Рік тому +11

    Nimependa sana jibu lako kaka maana unaheshimu kazi n viwango vya mtu hongera wewe ndio unajua music

    • @danielmollel5538
      @danielmollel5538 Рік тому

      Stamina nikichwa ajamponda mshikaji wake na pia ajaonge vibaya kuhusu mtu yoyote mziki kauelezea unavyo kua na ulivyo kama ujamuelewa shauri yako

  • @djkang2020
    @djkang2020 Рік тому

    #stamina salute