This is now what we call the manager...hakupi sifa hivi hivi..he talks facts.."prove your self"..wachana na Hawa manager wa kupaka watu mafuta..I like this guy ..he knows who exactly is a musician... rapper or singer..shida hatutaki kuambiwa ukweli
Khaligraph Jones ni level nyengine tofauti sna yan atakae jaribu kumjibu uyu OG apo ni uwe hujakula kunde maana utabakia ukijiharia2 huyu mchizi apewe maua yake kma alivyo
I think these TZ rappers trying to throw insults and vulgar with no basis should listen to manager Konde 🔥🔥🔥 He understands what the OG is trying to tell them but their thinking capacity shows them otherwise..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
To us as 'The Cool Rulers Clan' ,Kenyan artists, want to say this ,education plus music is of help .Kaligraph must address this matter to such Kenyan and Tanzanian guys . Msemo wa kaligraph ulikua ni wa kuamsha hip hop kwenye game , Wewe hapo unaimba bongo na still unaongea kuhusu hip hop . All musicians let's think as professionals and understand how our industry is operated ❤. Music is competition. There is a statement Alimalizia akasema ,hii kitu haitaki hasira .
kenyan and in agreement with the guy... music is frequencies that are powerful enough to change your DNA and general mood, Kenya hatuna apo and its why we flood your country with views
We see why he is a manager he knows how to speak thats why harmonies is doinh great,,amesema ukweli big rappers and wenye akili timamu hawawezi kurudisha ju wanajua ni ukweli wale wanarudishia OG ni machizi wavutaji bangi na machokora moja ni mlevi muvuta bangi rosario anathania serious rapp ni kama kupikia bwana yake kwa nyumba😂😂😂sometimes nivizuri kuchosha ubongo kabila upeane jibu nice answer mr manager now they know..
😂😂😂 huyu jamaa anaelewa rap game. Hawa wana blogger wa TZ wanakurupuka na kuchanganya Hip hop na RnB. They is a big difference between Between singing and rapping
When you suspect yourself of being disrespected by others.. you probably are simply a jerk.. who actually disrespects others! Apart from the artists who did collaborate with him in their work, Nobody really knew kaligrafic in Tz until recently! May be that was he desperation .. and he had to diss others to be known! Anyways.. huyu kama ni OG.. hiyo ni kwa mamake na nyie wakujikweza wenzie.. ! Kujikweza ni kwingi hadi a thieving comedian anasifiwa kwa kumibia Harmonize..!!?? Wizi ni wizi tuu! Hata wizi uitwe ACON JOB bado ni wizi tu! We in Tz tuna jambo letu .. and we dont really care! Tunawajua.. kujikweza ni zenu! Mnajikweza na kujiona mmefanikiwa na bado mnabakia kuwa wezi?? LMAO! Wenye pesa wanakuwaje cheap con men? NI juzi tu mlituita eti Watz ni COVID BEARERS.. wakati huo huo mkiwakaribishwa Wachina zaidi ya 400 kutoka Wuhan province ilikotoka hiyo covid .. huku mama zenu wakichemsha mawe ili watoto wakalale kwa lockdown.. kwa hiyo tumewazoea..!
Ako tu sawa new rappers hamna maybe Rosa ree atleast .but wakitambo kina prof J.FA,Ngwea #rip ,chidi Benz in tht order 🔥🔥 Anyway Kalighraph amejaribu tu kuamsha ma rapper wa East/central Africa wamekimya sana tu nothing personal
Ukitaka nyanya yako aregeleane na x boyfriend yke mwambie askize uyu OG ....anavyoflow yn kurap kwake htkma unaharisha ila ukitega skio lako uskize anavyorap aki kuharisha kwakuacha mara hyo hyo😅😅😅
Baba huyu amezungumza kingwana sana. Salute 🫡 kwake
salute
I salute you manager, umeongea ka mtu Mia Much love from Malindi Kenya 🇰🇪
Sure all the way from Malindi City +254 wa Malindi tijuana apa
The OG must be respected 👑👑
I salute you manager you never dissapoint, let truth remain, tuache ubinafsi ukweli usemwe respect OG 💪🇰🇪
This is now what we call the manager...hakupi sifa hivi hivi..he talks facts.."prove your self"..wachana na Hawa manager wa kupaka watu mafuta..I like this guy ..he knows who exactly is a musician... rapper or singer..shida hatutaki kuambiwa ukweli
manager amesema ukweli...// much love from kenya
Khaligraph Jones ni level nyengine tofauti sna yan atakae jaribu kumjibu uyu OG apo ni uwe hujakula kunde maana utabakia ukijiharia2 huyu mchizi apewe maua yake kma alivyo
Big up khalgraph tuko nyuma yako hapa Kenya
Awo wa Tanzania hawa muwezi wa Tanzania ni watoto achana Mzee khaligraphi awafunze rapper
OG mwamba 🔥🔥🔥
I think these TZ rappers trying to throw insults and vulgar with no basis should listen to manager Konde 🔥🔥🔥
He understands what the OG is trying to tell them but their thinking capacity shows them otherwise..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ndovu Bado ni kuu,OG to the world🙌🙌🥶🥶🥶
What world?😂😂😂
@@aloyceiluminata3650 if you know you know,😏
@@aloyceiluminata3650 BET is world, bruh. Afrimma, et al
This is what we call constructive criticism, manager Konde is spitting pure facts!! East Africa let's wake up!!
Manager wa hermo uko sahihi kbsa Og is another product
Much respect from trukana ,wewe ni Manager waukweli ,kwa ajili ya soko la nje lazima tuweke kingereza, kichina na kijerumani kama tourist driver
Uyu ni more than a music manager...he understands what is music,akina rosaree, young killer,c jui lunya aaaagh! Khaligraph the OG
Kunya ama lunya
The OG Shall Be Respected
Huyu manager nimkweli.nakubali kauli yake ❤
Respect thee OG...🇰🇪🚀
The OG must be respected, period.
Big up manager wa konde i salute you for speaking the truth ...ua thinking capacity is at a higher level👊👊👊
Kiukweli khaligraph jones ni mwamba tuache kusifia kitu ambacho hatu kama unabisha check Hiroshima na DAX
Umeongea ukweli
Mpe chaki 👑
Uyo tunampa mtoto wa HP HP kado
🎉😂😂😂
O G shall be respected
To us as 'The Cool Rulers Clan' ,Kenyan artists, want to say this ,education plus music is of help .Kaligraph must address this matter to such Kenyan and Tanzanian guys .
Msemo wa kaligraph ulikua ni wa kuamsha hip hop kwenye game ,
Wewe hapo unaimba bongo na still unaongea kuhusu hip hop .
All musicians let's think as professionals and understand how our industry is operated ❤.
Music is competition.
There is a statement Alimalizia akasema ,hii kitu haitaki hasira .
Respect to OG❤❤❤always the trueth must be followed!!.bigop khaligraph jones dah papa Og.
Thanks OG 4 keeping we Kenya rapperz top keep hope 4 thats the real hip hop good job
OG nambar one tena Asante Brother unaamsha waliolala wanaamka kwamatusi wenehekima wamtafute jhon awafunze aidia
This guy is very mature 🎉 🎉 spitting the truth as it is waamke hakuna chuki O.G ti be respected
This guy...is sober and true to self the OG is on a different level. OG must be respected period!
Much love brooh😂😂👊👊🇰🇪siku zote
On point,,rappers wa tz wamelala💯
Ndo maana Kenya na Konde Gang ni kitu kimoja asante sana meneja kwa kuongea ukweli🔥👊🇰🇪
This guy is speaking facts for real🔥🔥 this is constructive criticism!
Jitu jeusi la ckizwa mpka na JAZ😂😂😂😂😂
🤣🤣
sio jaz ni jay z
Sierra Leone nenda 😅bonge la show
This guy speaks sense,,,, Truth is truth man.
Fact Og amesema rapper
@@SharonAkinyi-b6q Kabisa bro!
kenyan and in agreement with the guy... music is frequencies that are powerful enough to change your DNA and general mood, Kenya hatuna apo and its why we flood your country with views
OG must be respected 💯 💯 💯
Safi sana OG ni mwamba
This is a clever and honest manager
Only Mex Cortez can stand his ground against the OG. How his name is not coming up dumbfounds me!
His catalogue is still small and his marketing team is letting him down, But mex is a force
I support you,, Mex Cortez is the only big thing in TZ for now
BIGGY we unaongea ukweli I respect you unaona🥰❤️🇰🇪🇰🇪💥💫❣️
Huyu jamaa ako realistic na ameelewa OG.
OG alisema maRapper si vocalists.
OG alisema active rappers, si retired kama Prof. Jay.
OG must be Respected🔥🔥
From tz255 namkubali sana papa jones.jamaa anajua.... wa tz tuache unafiki.
Dingano big up we Kenyans feel what you're saying it's plain fact
Respect the OG❤
Asante manager tz like jitu
Dogo ana mistari kweli....OG
Hakuna Kama OG APA Africa 🔥🔥🔥🔥
We see why he is a manager he knows how to speak thats why harmonies is doinh great,,amesema ukweli big rappers and wenye akili timamu hawawezi kurudisha ju wanajua ni ukweli wale wanarudishia OG ni machizi wavutaji bangi na machokora moja ni mlevi muvuta bangi rosario anathania serious rapp ni kama kupikia bwana yake kwa nyumba😂😂😂sometimes nivizuri kuchosha ubongo kabila upeane jibu nice answer mr manager now they know..
Salute to the OG my guys
Respect the OG all Time.. kaka huyu ana busara kweli
😂😂😂 huyu jamaa anaelewa rap game. Hawa wana blogger wa TZ wanakurupuka na kuchanganya Hip hop na RnB. They is a big difference between Between singing and rapping
Kabisa bro ukweli keshasemwa pia wakenya waskiza mziki wote kutoka Tanzania Sasa hivi Zablon singers wamerudi fashion 🇰🇪 gospel tanzania
Huyu jamaa alielewa chenye OG alimaanisha, (Rapper). OG must be respected.
Kweli mzeee
The OG is creating jobs for the Rap game
When you suspect yourself of being disrespected by others.. you probably are simply a jerk.. who actually disrespects others! Apart from the artists who did collaborate with him in their work, Nobody really knew kaligrafic in Tz until recently! May be that was he desperation .. and he had to diss others to be known! Anyways.. huyu kama ni OG.. hiyo ni kwa mamake na nyie wakujikweza wenzie.. ! Kujikweza ni kwingi hadi a thieving comedian anasifiwa kwa kumibia Harmonize..!!?? Wizi ni wizi tuu! Hata wizi uitwe ACON JOB bado ni wizi tu! We in Tz tuna jambo letu .. and we dont really care! Tunawajua.. kujikweza ni zenu! Mnajikweza na kujiona mmefanikiwa na bado mnabakia kuwa wezi?? LMAO! Wenye pesa wanakuwaje cheap con men? NI juzi tu mlituita eti Watz ni COVID BEARERS.. wakati huo huo mkiwakaribishwa Wachina zaidi ya 400 kutoka Wuhan province ilikotoka hiyo covid .. huku mama zenu wakichemsha mawe ili watoto wakalale kwa lockdown.. kwa hiyo tumewazoea..!
Don't forget the Mombasa KENYA rapper....KAA LA MOTO
Kwisha I LOVE this GAME
Kondeee... Tuko nyuma yakoo.. wewe ni wa kweli sio wa kiki👍👍👍👍
Salute bro wambie wasikie
Sasa huyu dio manager wa konde 😂😂😂😂
OG ametuheshimisha sana you should be respected 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Manager Ding'anoo big up
Ebwana uyu jamaa ni mara ya kwanza kumsikia ila nimemkubali anafunguka ukwel 💯
Tuko tayari kubomoa rappers wa Tz kabisa.
Yes bro.. OG must be respected and that homoniz awache rapers wajitokeze for a. Battle sio kupiga midomo ni kuvuta bangi
Hizoo bizaa bado hazija improve 😂😂😂😂
Hapo umegonga ndipo Manager Ding'ano 🙏🙏🙏🙏RESPECT THE OG
Papa jones❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Great manager ❤
Tukisema Ukweli OG ni hatari, lakini WaTz mukubali OG ni mamba😂😂😂😂❤❤❤❤
Mwamba si Mamba😂😂😂
UKWELI MTUPU AMESHAA SEMA BASI.....BIG UP BRO.
+254 🇰🇪on top respect the OGS
Daaah hii Sasa dharau,R.I.P NGWAIRE
R.i.p ngweya🎉🎉
OG must be respected
Young killer aez mfikia OG 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
OG all the way
the OG NDIO MWAMBA
Papa jone🎉🎉
Big manager rappers wa bongo wametuli khaligraph anaweza
True but I like Mex Cortez
Respected 🙏🙏🙏
We keep moving regardless
Khaligraphe ❤❤you reel
Papa Jones 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The OG, let's go
Hit em up Papa
OG Mwamba💪🇰🇪
Lile dudu jeusi mwanangu😂😅
Respect to the OG
Marehemu Ngwair angeweza. Rip
OG amemtaja nakumpa heshma marehemu ngwea kwenye Ngoma yake ya diss
Good interview 🎉
Facts zisemwe🔥🔥
Umesema kweli, respect O.G
Ako tu sawa new rappers hamna maybe Rosa ree atleast .but wakitambo kina prof J.FA,Ngwea #rip ,chidi Benz in tht order 🔥🔥
Anyway Kalighraph amejaribu tu kuamsha ma rapper wa East/central Africa wamekimya sana tu nothing personal
U're right bro!!!
Da OG 💯💯💯 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
*Bro umeongea ukweli kabisa, lete number nikutumie Mpesa*
Ukitaka nyanya yako aregeleane na x boyfriend yke mwambie askize uyu OG ....anavyoflow yn kurap kwake htkma unaharisha ila ukitega skio lako uskize anavyorap aki kuharisha kwakuacha mara hyo hyo😅😅😅