Nyisake Chaula -Mwanamke Mwenye Nguvu Ya Kubadilisha Mambo sehemu ya kwanza (part 1)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @MerryMussa-y2v
    @MerryMussa-y2v 13 днів тому +1

    Mungu nipe moyo wa nyisake mtumishi wako

  • @WinifridaMidende-lp6eq
    @WinifridaMidende-lp6eq Рік тому +1

    Nimebarikiwa saaanaaa endelea tu mtumishi

  • @rerisamba
    @rerisamba 7 місяців тому +1

    Glory to Jesus Mungu akuweke l

  • @gracelutumo6911
    @gracelutumo6911 7 місяців тому +1

    Asante Mungu nimejifunza jambo.

  • @violethngailo5088
    @violethngailo5088 11 місяців тому +1

    Huwa nakupenda mama angu,Mungu akubariki sana

  • @lyn254
    @lyn254 Рік тому +2

    Happy birthday to Elvis mbarikiwa wa Bwana . Asante kwa mafundisho Mtumishi

  • @marymalfarsi-vx9dr
    @marymalfarsi-vx9dr Рік тому +2

    Amina kabisa mm najiamini naweza na roho ya uchungu naikataa kwa jina la yesu mm ni mkubwa wa kubadilixha mambo

  • @AzizaJustin
    @AzizaJustin 8 місяців тому +1

    Mama natamani siku moja tuonane live

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 Рік тому +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri nimebarikiwa

  • @eunicekithome1205
    @eunicekithome1205 Рік тому +1

    Amen.najiamini mm kama mwanamke ninaejuana na YESU.nabarikiwa nikiwa kenya

  • @WinifridaMidende-lp6eq
    @WinifridaMidende-lp6eq Рік тому

    Amina sana mtu wa mungu

  • @dorcaspatrick7039
    @dorcaspatrick7039 Рік тому +1

    Amen nimebarikiwa sana, nimejengwa sana na mafundisho yako hakika Mungu akubariki sana mama,

  • @4kstudios536
    @4kstudios536 Рік тому +1

    Amina

  • @ernesterkasumba974
    @ernesterkasumba974 9 місяців тому +1

    Natiwa nguvu

  • @HerisoniMdendemi
    @HerisoniMdendemi Рік тому

    Amina mtumiahi wa mungu na mungu azidi kukufungua makuu zaidi na zaidi mtumishi kwakweli wanawake wengi wanaujasili sana na mungu azidi kukuzidishia uzima maana nakufatilia sana mtumishi ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 Рік тому +1

    Amen

  • @lyn254
    @lyn254 Рік тому +1

    Mchungaji unanisaidia binafsi

  • @suzanjohn5834
    @suzanjohn5834 Рік тому +1

    Ujumbe mzuri saana Mungu akubariki mchungaji

    • @zawadivumilia1752
      @zawadivumilia1752 Рік тому

      Jambo dada mutumishi wa MUNGU nisawa unafanya kazi nzuri lakini unajambo moja umesahu mwanamuke asihutubu wala kutowa unabii bila kufunika kichwa ulitii neno hilo ili kazi isonge mbele zaidi Asante

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  Рік тому

      @@zawadivumilia1752 MUNGU WANGU HAOGOPI NYWELE ZANGU NA NYWELE ZANGU NI UTUKUFU SIO NAJISI, HIVI KWA MAFUNDISHO YENU HAYO UNADHANI JICHO LA MUNGU LINAZUILIWA NA HIVYO VITAMBAA LISIONE NYWELE KITAMBAA NI VAZI TU HALIHUSIANI NA MTU KWENDA MBINGUNI,SIO LAZIMA USIKILIZE MAFUNDISHO YETU UNAWEZA KUFUATILIA YA WANAOAMINI VITAMBAA VITAWAPELEJA MBIBGUNI

    • @sarahshayo70
      @sarahshayo70 Рік тому

      Ubarikiwe mama

    • @jumakanuda-mg4lc
      @jumakanuda-mg4lc Рік тому

      @@nyisakechaula9433 thanks mama for good message

  • @sebastianjames6192
    @sebastianjames6192 Рік тому +1

    Uku mama ni njombe

  • @FrolenceRevelian
    @FrolenceRevelian 4 місяці тому

    Amina