Asante kwa neno barikiwa sana mtumishi wa mungu,na nikweli mungu akikujaza neema hakika utashinda kwa kila jaribu ,nina ushuhuda mungu alinipa neema akadipigania kwa madui hakika sirudi nyuma nitamtegema mungu maisha yangu🙏
Kuna mchungaj alitoka mbeya akaja kuseminisha Dodoma akasema huyu mtumish ni mwanga jaman siku hiyo niliumia kuliko kawaida semina yote ikanitoka kichwan, MUNGU atuponye
Ubarikiwe. Nyisaki. Chakula. Biblia. Inasema. Lisha. Kondoo. Wangu. Usikate. Tamaa. Fanya. Kazi. Ya. Mungu. Tuzidi. Kuombeana. Amina
Nakuelewa sana mtumishi mengi najifunza endeleeni tunawaombea bwana azidishe mafunuo kwenu
Asante sana Kwa mafundsho
Asante yesu kuuleta ujumbe huu kupitia mtumishi wako huyu nimeinuka tena
Mungu akubariki mtumishii ujumbe mzito
Asante sana kwa hayo mafudisho hayo yamenifudisha kusamehe alie nikwaza asante munjungaji
🙏🤝❗ Ameni Ameni makwazo hayana budi kuja,
Luka 17:1-7
Asante maman Nashukuru kwamafudisho niko Burundi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@@RahmaKhamissi-dh5ie Amen
Mungu akubariki mtumishi nakubuka vizuri ulivyo tembea Nairobi Kenya 2016 nilikua kwa mkutano huo
Amen Amen Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi mamaa
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu
Amen nabarikiwa sana nikiwa Nairobi. MUNGU akutie nguvu uenderee hivyoo hivyoo
Mungu akuinue zaidi uzidi kuinena injili ya kweli, napenda kilicho ndani yako
Nyisak dar unakuja lin
Asante kwa neno barikiwa sana mtumishi wa mungu,na nikweli mungu akikujaza neema hakika utashinda kwa kila jaribu ,nina ushuhuda mungu alinipa neema akadipigania kwa madui hakika sirudi nyuma nitamtegema mungu maisha yangu🙏
Ameeen,ubarikiwe mutumishi wa Mungu,nifundishwa mno
Amina 🙏🇴🇲 ubalikiwe sana mtumishi nakupenda
Sifa kwa Bwana
Mama naomba number yako ❤@@nyisakechaula9433
Mungu akubaliki sana mtumishi wa mungu nakupenda uniombee na mimi mungu anisaidie niweze kufika jerusalemu
Umeniponya mama Neno limekuja mda muafaka nimeachilia asante kristo
Barikiwa na ushuhuda mzuri umenponya . Naomba niombee na Mimi Najiona huduma yangu haikui naomba maombi .
Nabarikiwa saana na ninajifunza Mengi na mafundisho yako Mungu akubariki
Amina mama MUNGU akubariki nipone kwa jina la yesu
Mungu akubaruki sana na atujalie neema kubwa sana
Amina saba Mtumishi wa Mungu
Thankyou God's servant for this powerful message. I surely needed to hear this!
Mungu akubariki
Power full message
and be blessed
Amina nimebarikiwa mno na neno hili
Ameeen mtumishi ili somo linatuvusha..MUNGU akubariki sana
Ubarikiwe mchungaji Mungu anaendelea kutufungua macho
Amen amen
Amen mtumishi wa mungu sitaruhusu uchungu moyoni mwangu🙏
Hii roho ya uchungu imetafuna wengi,barikiwa mtumishi.
Nimebarikiwa
Amen amen mtumishi wa Mungu!! Asante Mungu kwa neema yako juu ya mtumish huyu!! Nimemuona Mungu akinihudumia ktk mafundisho haya
Amina mungu akubarik kwa ujumbe
Mama YESU AKUTUNZE SANA SANA SANA mno❤
@@neemanyagawa9479 Amen
So encouraged .... God bless you
Ubarikiwe Mumy
Mungu akubariki sana sana
Amen Amen Amen 🙏 ❤
Amen sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Amen
Pole sana
Sema mama
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
Nabarikiwa sana na huyu mama vipi yupo bado?
Ameen ameen
Amina
Be blessed Man of God
Amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤
Amen
Mungu akubariki mama mtumishi.karibu Kenya pia
Much blessed sure
Nimepata msingi wa kuondoa uchungu ambao nimekuwa nao miaka mingi bila kujitambua neema ya Mungu iniongoze naomba namba yako mtumishi
Dah haya yang yot na sababu no wazazi
BWANA AKUPE KUSHINDA
Amina mama ubarikiwe sana kwasomo naomba number yako yawhatssap nikupigie
@@farijilukambo 0755157120
Karibu
Yani mama ukijua ulivyo niponya na neno hili acha tu
Huyu mama ni mchungaji yuko vizuri jamani tuache jamani anakipimo chake kikubwa
Alitebezwa mbinguni na kuzimu napeda ushuhuda wake
Kuna mchungaj alitoka mbeya akaja kuseminisha Dodoma akasema huyu mtumish ni mwanga jaman siku hiyo niliumia kuliko kawaida semina yote ikanitoka kichwan, MUNGU atuponye
Kuna namba tunayoweza kukufikia? Au email? Ahsante sana!!!
0755157120
Karibu
Nimeponaaaa,, Mungu akubariki mtumishi
Ameni
Mungu akubariki
Amen