Nyisake Chaula_Upepo unaotumwa kwa mtu kutoka kwenye ulimwengu wa roho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @PatrickPatrickPatrick-lo6gw
    @PatrickPatrickPatrick-lo6gw 6 місяців тому

    Sawa ni sawa belt baraka nakupenda sana tena zaidi sana mungu nahitaji tuonge na wewe namba zangu

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c Місяць тому

    AMEEEEEN UTUKUFU KWA YESU UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @mazatv8807
    @mazatv8807 2 роки тому +1

    Amen Amen mama Mungu akubariki zaidi na kukuinua kwa viwango vingine💕❤

  • @giselemwenge6225
    @giselemwenge6225 2 роки тому +1

    Asante mama mahubiri yako yananijenga kiroho Mungu akutiye nguvu.

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 2 роки тому

    Am blessed mum for ur preaching.🙏🙏🙏🙏

  • @emmyakishy3767
    @emmyakishy3767 2 роки тому

    Amen

  • @suzanjohn5834
    @suzanjohn5834 2 роки тому

    Mungu akubariki Sana mtumishi

  • @jamilajosephat917
    @jamilajosephat917 2 роки тому

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU umeniimalisha ki roho na MUNGU azidi kukutimia kama chombo chake

  • @violethsanga2498
    @violethsanga2498 2 роки тому

    Amen mama Ubarikiwe

  • @fabricemunguiko5192
    @fabricemunguiko5192 Рік тому

    BWANA YESU ASIFIWE SANA .MAMAN YANGU NASHUKURU SANA KWA KAZI HII ZA UINJILISTI LAKINI FUNIKA KICHWA CHAKO MAZABAHUNI .NA KUSII KWA UPENDO WA MUNGU...

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  Рік тому +1

      Nilivyo ni utukufu wa Mungu .Mungu ninaye mjua mimi jicho lake halizuiliwi na kitambaa .wewe uliye na imani kwamba kichwa chako ni najisi endelea kufunika

  • @carolynemuseni625
    @carolynemuseni625 2 роки тому

    Nakupenda mama,,,unanibariki sana

  • @japhethmbusyamwanaufufuona4646
    @japhethmbusyamwanaufufuona4646 2 роки тому +1

    Mama nakumbuka ukiwa Kenya kwa kanisa la Seven seals mahali panaitwa pipeline..ukielezea ushuhuda wako

  • @japhertjoseph4380
    @japhertjoseph4380 2 роки тому

    Jamani jamani tutumieni ya pili mweeeh

  • @domnicopondo526
    @domnicopondo526 2 роки тому

    nime penda mafuzo Yako Ina ni Jenga ki roroho

  • @carolynemuseni625
    @carolynemuseni625 2 роки тому

    Mbona kukatisha ujumbe lakini