Aunty Ezekiel wewe ni bora kuliko wote hufichi lolote mambo yako ni wazi wengine huficha wakati anaulizwa hataki kujibu maswali anakwepa u r the best👌👌👌
Ante Ezekiel .nimekupenda .upo mkweli .umefanana narafiki yangu .hivyo hivyo yupo open .nirahisi hata kama umetenda dhambi yoyote .waweza pata msamaha .(mana huwezi kutupu kama ni mrongo .. asante sana umefunguka moyo.
Umebifurahisha unt kwa majibu Yako,ila badilika acha kuwategemea wanadamu kwamba Wanakusaidia wewe ni mkristo mtumaini yesu yeye ni mweza Wa yote ,biblia inasema ole wake amfanyaye mwanadamu kuwa kinga take Na moyoni amemwacha mungu hakika mungu hatakuwa Na radhi naye.
Ooh my,"ushwawahi kwenda kwa waganga kwa ajili ya movie",? Ndio, this is crazy need to repent that Aunty,,,please read the book BREAKING THE EVIL COVENANT OF OUR ANCENSTORS, please,,,
Aunty Ezekiel wewe ni bora kuliko wote hufichi lolote mambo yako ni wazi wengine huficha wakati anaulizwa hataki kujibu maswali anakwepa u r the best👌👌👌
Nmekupendraaaa bure unaongea ukwel Wal hauna maringoooo at a kidg love u aunt
Nakupenda aunt, love u Mrs. Iyobo
auntyezekiel hongera na penda Sana ukiwa unahojiwa hua unajibu vizuri 😘😘😘😘😘
penda Sana anty ila mwanza unakuja lini?
Aunty majibu yako mazuri san unajiamin Nakupenda kinoma noma hongera kwakukua Maaaaan
nakupendaga tuu gwantwa jina zuri sana hilo mungu akubariki saa
huyu Dada yupo smart kwenye kuonge mpaka urembo. Good girl
Uzuri wa wa mwanamke tabia sio sura
Aunty l love the way your proud of your self ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
nakupenda Aunty bout nimechukia sana nilivyosikia unaenda kwa muganga we ni mutoto wa mukristo sio vizuli. luv u from kigali
I like Auntie Ezechiel,
may God bless you
Mmmh aunt wewe ni mkwel unaonaje ukaenda tubu kanisan umrudie mungu
nakupenda sana aunty Ezekiel,huna maringo unapoongea,unapenda watu.nakupenda sana
LIKMANI Yusuf
Salmakizigounapendakinywajigani
I love u for ur honesty aunty
safiiiiii Sana nimekupenda bureeee best intrvw Uko mkweli lv u
I just love her she's so open keep it up girl
ktk siku nilizokupenda aunt leo nimekupenda
Mungu akusaidiye dada upende kwenda kanisani
😍😍😍😍
nakupenda Aunt na umetulia sana,I like da way you are
nimekupenda sana aunty unajibu vzr sana
nakupenda bure aunty...you talk nice..you seem honest.
uko poa auny nakupenda sana omba mungu akujalie pia usije jiunga na freemason yakina nasibu
Kwa wasanii Wote Wa Kike, aunty ezekiel ndiye ambaye siku zote kwenye interview hujibu maswali vilivywo..siku zote narudia video zake.
Wow nimependa xana maongezi yako Aunty
I love auntie I wish she was still with iyobo
Nakupenda sana aunt pia natakakujua unatumia mafuta gan mpak ngoz yako inabak kama ya asili
nampenda sana Aunt anaongeaga fact ananifurahishaga hapo tu
Nampenda sana uyudada anajibu vizuri sanaaaaa.
hata Mimi nimempenda alivo muwazi, Safi sana, ndivo alivo,si mnafiki !
nampenda anti haongei kingereza , mana wangekuwa kina furani hapo duuuh ungesikia yes yes of course nyingi
Happy Beneth 😁😁😁😁😁😁😁
Hahaha hahaha hahaha wee nawe vp usichekeshee
😁😁😁😁 yes yes of course
Nimemsikia kasema the way sasa sijajua hii ni kiswahili au
@@jumayusuph8471 na we can go 🤣🤣
Aunty uko poa sana....lov u
penda sana Aunty anajibu vzr maswali mungu awape Baraka mfunge ndoa na mose
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا t
My dada I love u too much
Nimekupenda
Anty unajibu maswali vizuri sanaaa
nimekupenda buree Aunt. ...mkweli adi raha...
I luv u aunt 😘
Nampenda sana Aunty,Mungu amuweke milele yeye na family yake.
safi aunt nimefurahi ulivyojibu
nampenda aunt coz ni mkweli, kikubwa nakuombea sana uende kanisani, Mungu atakuinua
Ambalut
Nakupenda sana Aunty.
Huhuuuu gwantwa maana yake ni wa MUNGU barikiwa gwantwa
anty napenda xwaga zako tu mamy huna nyodo hujui kutusi,,mungu akulinde na pia akupe iman uende kanisani
George Bawily J
jitahidi uwende kanisan my dear maana Mungu ndo kila kitu Luna faraja kuwa sana ukimjua Mungu
kumjua Mungu
to some extent u have said the truth some people lie about going to church
Mungu akusaidia uwende kanisani aunt ....nakupenda Sana
джас эмака ,да конечна! Anasema ukweli,siyo kudanganya!
Good speech.
Ante Ezekiel .nimekupenda .upo mkweli .umefanana narafiki yangu .hivyo hivyo yupo open .nirahisi hata kama umetenda dhambi yoyote .waweza pata msamaha .(mana huwezi kutupu kama ni mrongo .. asante sana umefunguka moyo.
huyu Dada napenda sana,haringi hapo c haba
Hongera kwazaa mtt mana wengine wanatowa mpk leo wanatafuta watt awapati
Nakupenda sana Aunty
Nakupenda sana ww mama kuki unafunguka hd raha
I love this girl.
dah aunt nakupenda bure hongera sana
L
i like you gal caz ur honesty
wooow mose kwa sifa izo nmekuelewa mkuu
Nakupenda sn aunt ww ni mkweli
nakupenda unajibu vizuri sana sana na unachoulizwa ujivungi yani jibu tt zuri sana
anty huringi..lv u
Nakupenda aunty
nakupenda sana aunt ezekieli unaongea ukweli
Nakupenda sana anty huna maringo
Aunty namupenda anavyo cheza I like him so much
wowoo Aunt lovee, msizchane na moze jaman
yani je t'aime tu es simple 💕💓💞💋💟💕💕💖😘😘😘
Aunty mkweli jamani..nakupenda bure tu...
Nakupenda sanaa huna nyodo kama wema
Aliah Nsabiyumva kwan wafamilia moja
We jasiri na una busara Aunty...napenda unavyojibu maswali kwa umakinifu ila kutoa mimba na kwenda kwa waganga c vzuri...we mtoto wa kikristo
From 254 nakupenda Sana dada
nakupenda kabisa coz unasema ukweli. pia nilianza kukupenda pale nilipokuona kwa movie ya fake smile uko ndani
good,anti nakupenda unajibu vizur
Umebifurahisha unt kwa majibu Yako,ila badilika acha kuwategemea wanadamu kwamba Wanakusaidia wewe ni mkristo mtumaini yesu yeye ni mweza Wa yote ,biblia inasema ole wake amfanyaye mwanadamu kuwa kinga take Na moyoni amemwacha mungu hakika mungu hatakuwa Na radhi naye.
Lucy as math ...
nakupenda bure aunt tokea naanza kukufahamu
Nimekupenda bure unajb vzur sana
Jitahidi uende kanisani binti usikiri ulegevu kiasi hicho
duuu jaman aunt nakupenda xana unakofidens had raha
mimi nakupenda sana aunty
Dada nimekupenda walhy
Mushachokorana sana ww na nasibu
Nampenda sana aunt
Cute cute.... 😍😍😍😍😍😍
yani nakupenda sana Mumy na unajibu vizur hatariii
love u mose hongera mzee
Nakupenda sana anty naomba mrudiane na mose
Daah Nakupenda sana Aunty
Ooh my,"ushwawahi kwenda kwa waganga kwa ajili ya movie",? Ndio, this is crazy need to repent that Aunty,,,please read the book BREAKING THE EVIL COVENANT OF OUR ANCENSTORS, please,,,
Umependeza
love u aunty
lv u much unty
Nimependa Sana majibu yako Anty
love u aunty napenda unavyo act napenda couple yenu
Uko vzr
Anachoniuzi anakaaa uchi sana
love love xaana anty
ant nampendaga sana jamaaani
nakupenda aunty
nampenda sana ant
napenda anavyofuunguka
ant anajibu vizuri
I like aunt Ezekiel
Aunt Ezechiel wewe mukweli sanaa jamani
Aunty love your family
Ante nakupenda unahekima dadaang
luv u aunt
nakupenda jamn duh
Aunt huwa ni mkweli sana. nakupenda
Umenichekesha saana shetani ana nguvu
Ahahahaaaa anti jmn kweny mimba hapo hujui
Ali Kiba nimsanii bora give credit hats kama Diamond is your friend, thst is called maturity
Love you anty
aunt nakupenda