🅻🅸🆅🅴 : CCM WANA JAMBO LAO MUDA HUU/LITAKUSHANGAZA KUTOKEA DIAMOND JUBILEE....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 14

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 3 місяці тому +1

    Mama kashazeeka mwengine mtu mwingine kijana mwenye nguvu hata kama ni mwanamke vijana wamakuwa wengi sana.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 місяці тому +1

    Ee Mungu tunasue kwenye mtego huu! Yani sehemu kubwa 75% wananchi hatuna hamu na hiki chama ila basi tu. Lakini haijalishi,kila madhabahu-kundi lina mipango yake katika ulimwengu wa roho upande wa giza bila kujali ubaya wake! Lakini lipo pia kundi-madhabahu za Mungu aliye hai zenye mrengo mzuri katika ulimwengu wa roho upande wa Nuru! Funguo zote za Mambo ya nyakati anazo Mungu mwenye nguvu na uwezo asiyetishwa na nguvu za damu na nyama,akisema amesema, lazima utawala wa dhuluma ufike mwisho si zaidi ya miaka 70 au kabla hata ujipange na majeshi yake,Mungu hajawahi kushindwa!

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 3 місяці тому

      Umefanya utafiti?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 місяці тому

      Achatu ndugu yangu nikiangalia haya majamaa ya kijani nahisi kutapika

  • @gm003
    @gm003 3 місяці тому +1

    Majizi takataka ninyi!! Hamna lolote! Ila hii nchi mtaiangamiza hii nchi, ccm mmeishiwa sauti, uhalali na mvuto , kaeni pembeni kwa heshima!

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 3 місяці тому

    Dp world oyee

  • @YangaNews
    @YangaNews 3 місяці тому

    Wezi wakubwa hawa sikipendi hiki chama mm jamani uwiiii😭

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 3 місяці тому

    Gen z are watching

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 3 місяці тому

    Chama kubwa la majambazi ya Taifa mtatumaliza maluhani ya ziwani

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 місяці тому

    Njaa tu imempeleka ccm

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 місяці тому

    Msimu wa usajili huu kwa walaji, kufuata uteuzi.😂

  • @YangaNews
    @YangaNews 3 місяці тому

    Aki ya mungu ikija pita chadema tafuteni mashimo mjifukie na mwakani lazima ipite wezi nyie

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 3 місяці тому

    Acha uongo

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda 3 місяці тому

    Unaongea upuuzi tu majizi nyie