KUPAMBA KEKI / CHOCOLATE DRIP CAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @AngelMutalemwa
    @AngelMutalemwa 7 місяців тому

    Hongera sana

  • @hadijarashidi2507
    @hadijarashidi2507 Рік тому

    Napenda Sana ipo siku ntajua

  • @chikumohamed5303
    @chikumohamed5303 2 роки тому

    Ahsante my dear ubarikiwe

  • @dorcusmlinga862
    @dorcusmlinga862 Рік тому

    Asantee sana Dada kwa darasa lako lilivyo bora na hutufichi kitu 😘😘

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 3 роки тому +2

    Ahsante kwa Somo pia kutupa moyo yaan kwenye kupamba nahenyeka

  • @evelynebiduga9626
    @evelynebiduga9626 3 роки тому

    Asante sana dear na ubarikiwe sana!
    Tafadhali naomba recipe ya glaze mirror🙏🙏

  • @hajimohamedi3423
    @hajimohamedi3423 3 роки тому

    Napendaa saana kazi zako

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Wallah huyu mziwanda bakers ananifanya ninune oven kubwaa haswaa shukran ccy uzid kubarikiwa oven IPO karibu

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 роки тому

    Mashallah shukran dda mungu akulipe kwa kujitowa kufunza wezio amiin

  • @hidayaabdurahman7539
    @hidayaabdurahman7539 3 роки тому

    Ahsante Sana kwa somo hili😍

  • @graceg.3628
    @graceg.3628 3 роки тому +1

    That is awesome❤Next time make a video on how to bake a blackforest cake

  • @salmajuma1592
    @salmajuma1592 3 роки тому

    Habar madam ,samahan nimenza kukufatilia katika mapishi ya keki,naomba kukuuliza icing sugar gram 500,natumia blue band kias Gan,?sòrry

  • @queentz8314
    @queentz8314 3 роки тому

    Yr very good teacher me bichwa langu gumu but hapa naelewa saaaana shukurani mamii

  • @hossanajosiah5716
    @hossanajosiah5716 2 роки тому

    Cake kama hiyo ni bei gani

  • @miriamemanuel9522
    @miriamemanuel9522 2 роки тому

    Naomba kuliza minikipika keki yangu mbona aichambuki

  • @darmanbecks5592
    @darmanbecks5592 Рік тому

    Ahahahaha....umenikumbusha mm nilipamba keki masaa 4, jasho lilinitokaa mpk nilitaka kukata tamaa...ila bado napambana....nina amini nitakuwa fit tu😃

  • @agripinasaganya6001
    @agripinasaganya6001 3 роки тому

    Asante dada naomba kuuliza nikipika keki inakuwa laini Sana kiasi kwamba inakatika nakosea wapi au shda n nn

  • @hawagomba598
    @hawagomba598 Рік тому

    Da mziwanda nachanga nini na nini kupta cream yenye rangi tofauti ambayo itafanana na hiyo ya chocolate ispokuwa rangi

  • @hadijamsuya6450
    @hadijamsuya6450 2 роки тому

    Napendaga sana unavyofundisha dada.hii coat ya pili yenye brown umeweka cocoa au choclate

  • @annasosthenes9042
    @annasosthenes9042 2 роки тому

    dara still lipo dr na nishingap pia unatakiwa uwe na vifaaa gani muhimu

  • @daisyrosey8447
    @daisyrosey8447 3 роки тому

    Shukran sana

  • @annaramadhan9740
    @annaramadhan9740 3 роки тому +1

    Asante sana.naomba kuuliza nini kinasababisha ukitrim lakini ukianza kupaka awamu ya kwanza buttercream inatoka na chengachenga za keki?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому +2

      Keki ni chenga chenga hivyo lazima zipukutike ndo sababu yakupakaa coat mbili mpaka tatu

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 3 роки тому

    Tuonyeshe hiyo chocolate my dia

  • @samirathuwein1763
    @samirathuwein1763 3 роки тому

    Ahsante dada naomba kujua hiyo tin ji ya inch ngapi

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Madam samahani kwa kukuuliza ulichanganya nini kwenye buttercream ulipokuwa unapaka coat ya pili kwenye keki? Nisaidie

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому

      Chocolate paste ,pia waweza tumia coffee colour

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 роки тому

      @@mziwandabakers8297 asantee madam kwa ushauri nasaha

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому

    Ma sha Allah.... looks yummy dear🤤🤤🤤Ila Mimi nikitaka kupamba keki kuikata Kati ndio mitihani inakuwa juu chini haiwi level kama yako..nakosea wapi my?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому

      Pendelea kuweka alama kabla ya kuikata itakuwa poa

    • @beatricetv5611
      @beatricetv5611 2 роки тому

      Pia kana siku alisema unaweza kutumia skewers halafu kisu chako kikawa juu yake utanyoosha.mm nafanya hvyo pia and it works perfect kila mara

  • @lilianstefano7028
    @lilianstefano7028 3 роки тому

    Kupamba keki kama hyo unatumia icing sugar kias gan??

  • @beatricetv5611
    @beatricetv5611 2 роки тому

    Sijui nikushukuruje da mziwanda ..huu ni ushuhuda nimepamba keki ya kwanza kwa hii recipe yako na imetoka km zile za ulaya za instagram😂 Mungu akubariki sanaa.

  • @irenemalekela674
    @irenemalekela674 3 роки тому

    😍😍😍😍😍

  • @herself7545
    @herself7545 3 роки тому

    Dada nifanyaje ili cake yangu isiyayuke butter cream kwenye kusafirisha came

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Mpaka saiv napika keki nzuriii hatari kutoka mziwanda bakers ndo ujuz nimeupata huko ila Bado buttercream uwiiii

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому

      Kwani unashindwa wapi kwenye Butter,darasa lake umeliona?

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 роки тому

      @@mziwandabakers8297 aisee ccy sina
      Usemi kila Mara nafatilia jins ulivyofundisha namna ya kuandaa buttercream lakini daaah

  • @khadijaidrisa4648
    @khadijaidrisa4648 3 роки тому

    Shukran Sana'a habibty,!bt nlikua nauliza hivi hapo kwenye kuandika,ni mpaka hiyo chocolate igande ndo uandike?

  • @hossanajosiah5716
    @hossanajosiah5716 2 роки тому

    Na kila cake umetengeneza kwa vipimo vya robo au nusu

  • @pinkvelvetcakes8168
    @pinkvelvetcakes8168 2 роки тому

    😹😹 mm nilikesha napamba keki 😹😹 na ilitoka kitu cha ajabu hatari

  • @arhamichastam4013
    @arhamichastam4013 3 роки тому

    Dada na hy cake ya uzito wa gram hz unauzaje??

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 3 роки тому

    Tupe SoMo na Bei za keki plz

  • @mwanaidhassan4079
    @mwanaidhassan4079 3 роки тому

    Na nilikuwa nauliza hiyo cake umetumia unga gm ngapi?

  • @emmynilesh8742
    @emmynilesh8742 3 роки тому

    Me mbn jana nimepamba cake na buttercream lkn imechuruzika nimekosea wp jmn?

  • @amnemasoud942
    @amnemasoud942 2 роки тому

    Habar eti cake ya icing inachukuwa siku ngapi kuharibika

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Icing inaweza kukaa ata wiki mbili mpaka mwezi kinachoharibika ni keki sio icing

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Ccy hiyo afazal nimeona hii hiyo chocolate ukiimwagia inakauka ama? Na inanunuliwa ikiwa hivyohivyo ama

  • @mwanaidhassan4079
    @mwanaidhassan4079 3 роки тому

    Jee ni lazima kutia mafuta na yanasaidia nini katika chocolate

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 роки тому

      Ni muhimu ila sio lazima inasaidia kung'arisha na kuyeyusha kwa uzuri zaidi

    • @mwanaidhassan4079
      @mwanaidhassan4079 3 роки тому

      @@mziwandabakers8297 oooh shukran sana maa

  • @lilianstefano7028
    @lilianstefano7028 3 роки тому

    Hapo kwenye kukauka ukiweka kweny friji kunashda??

  • @sofiaali78
    @sofiaali78 2 роки тому

    Nauliza kwanini mtu akitaka kupamba keki paka Atie maji

  • @arhamichastam4013
    @arhamichastam4013 3 роки тому

    Ni cake za gram ngap??

  • @evelynebiduga9626
    @evelynebiduga9626 3 роки тому

    Asante sana dear na ubarikiwe sana!
    Tafadhali naomba recipe ya glaze mirror🙏🙏