Nimeifurahia makala yako na jinsi ulivyonielimisha kwa kutengeneza mabanda bora kwa mbuzi na kondoo. Asante kwa elimu hii. Je, urefu wa kutoka ardhini hadi ulikoanzia banda, ninaona kama mita moja ni urefu mfupi. Sehemu zenye fisi, wanaweza kubomoa na kuvuta wanyama hao, mbuzi na kondoo kirahisi sana. Urefu uzidi mita na nusu au mbili kabisa, hawajafikia kutoka chini. Kwa ujumla, asante kwa elimu njema na muhimu kwa wafugaji.
Nimeifurahia makala yako na jinsi ulivyonielimisha kwa kutengeneza mabanda bora kwa mbuzi na kondoo. Asante kwa elimu hii.
Je, urefu wa kutoka ardhini hadi ulikoanzia banda, ninaona kama mita moja ni urefu mfupi. Sehemu zenye fisi, wanaweza kubomoa na kuvuta wanyama hao, mbuzi na kondoo kirahisi sana. Urefu uzidi mita na nusu au mbili kabisa, hawajafikia kutoka chini.
Kwa ujumla, asante kwa elimu njema na muhimu kwa wafugaji.
Safi sana nimefurahi umenipa elimu nzuri na kiukweli unajua kiuwasilisha mada. Nashukuru
Asante kwa elimu
Kusema ukweli mko vizuri nami kuna ki2 nmejifunza nitawatafuta kwa ushauri zaidi
Ubarikiwe sana
Karibu Sana ndugu
Nimejifunza mengi. Hongereni sana. Nahitaji mbegu Bora ya mbuzi improved breed. Mnanisaidiaje? Nipo Kigoma
Ndugu uko kigoma sehemu gani
Kondoo wa sufi nawapatikana wap mwalim
Yesu awabariki sana
Aksante Sana.Karibu
Safi sana
Jmbo zure
good sana
Asante
uko sawa ndungu hongera
Aksante Sana kaka
Mnatuwekea naomba za siku lakini hampo teyari kupokea simu
Nimefurahia SoMo hili
Good
Karibu sana
@@voijoseph9147 Dodoma
Kondoo mnauzaje mko wap
Kondoo wadogo ni sh ngapi na mko mkoa gani
iko poa sana
safi sana
mnajitaidi
Safi kaka
Karibu
nitawapataje hawa mbuz wa kisasa Niko tanga..
@@shambadarasamkusi4449 Dodoma mnapatikana wapi Mimi Nipo mkonze naitaji hii elimu
Naweza mbuzi Aina ya boar
good
MBUZ aina ya Boer wanapatikana wapi kwa hapa Tanzania? Mawasiliano yangu 0713327782
Piga hiyo namba ya Voda kwenye video
Utapata maelekezo
Asante kwa elimu