AZAMIA Meli na kwenda ULAYA akiwa DARASA la tano, ATOSWA kati kati ya BAHARI, Gwiji la MABAHARIA Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 370

  • @vincentayua9435
    @vincentayua9435 2 роки тому +10

    Safi Sana hapo jamaa kapitia mitihani kibao duniani, kipaji kikubwa alikuwa nacho he just needed one to inspire and promote his great talent to be on a positive side of history, a real linguistic man

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 роки тому +6

    Ndiyoooo mwambaaaaa ndugu yangu Kaliope mwenteweee daaa tumekumisi sana Ugiriki ndugu yangu

  • @JustinSteven-be4cs
    @JustinSteven-be4cs Рік тому +6

    Cjui kwanini Tanzania Makampuni makubwa Ya movie yanashindwa kuja kuwekeza.. Hz story za mabahalia n mzr mno.. Nataman Kuona hata movie moja yenye story hz.. Wenzetu ghana washatoa film kama hzo

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 роки тому +12

    Tunafurai sana brother ani esco ani ayo ndio tuanitaji vipidi kama ivyo brother ani merci beaucoup Esco from France 🇨🇱🇾🇹🇾🇹🇾🇹🇾🇹

    • @kingalyeko7576
      @kingalyeko7576 2 роки тому

      Frm France wewe tunakuja huko

    • @nahishakiyeassuman5541
      @nahishakiyeassuman5541 2 роки тому +1

      @@kingalyeko7576 okay Sawa vizuri sema saivi nipo apa Mayotte nimekuja kumuona wife na yeye niende naye France

    • @majidhussen5576
      @majidhussen5576 2 роки тому

      msalimie Jasco keko hapo mayote

    • @hugholinemmasi1671
      @hugholinemmasi1671 2 роки тому

      @@kingalyeko7576 KUTEMBEA NI KUJIFUNZA ZAIDI YAKUSOMA.VIZURI SAANA.

    • @daynahringo3389
      @daynahringo3389 2 роки тому +1

      Embu toka apaa kama hakunogei unaangalia ya nini kwendraaaaaaaaaaaaa

  • @anuaryhussenihussen8074
    @anuaryhussenihussen8074 9 місяців тому +1

    Mr kaliope huyo baharia kitambo tulikutana Moldova na Russia Mara ya mwisho nakutanae Italy

  • @youngsizarama7161
    @youngsizarama7161 2 роки тому +10

    Salute mkuu sisi tupo sana uku aturudi tena....

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 роки тому +3

      Nasisi pia kutokea Spain!

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣

    • @leoncjohn4515
      @leoncjohn4515 2 роки тому +2

      Uko nchi gan kaka

    • @luifdls6217
      @luifdls6217 2 роки тому +1

      kwanini ?😂😂

    • @youngsizarama7161
      @youngsizarama7161 2 роки тому +3

      @@luifdls6217 bongo nimeteseka sana Nikita historia yangu naweza kulia ilifikia kipindi nilikuwa nikatwe mguu hospital ya temeke kisa nimeteuka mguu lakini nikakimbia nasasa nipo ulaya nipo vizuri tu na ndio maana sitorudi tena

  • @rashidialiuwali939
    @rashidialiuwali939 2 роки тому +2

    nimefulahi sana hii story salute Kaka yetu baharia

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 роки тому +8

    Haaa ikajipendekeza meli moja hivi, salute esco Nice exclusive interview

  • @ramadhaningazi9105
    @ramadhaningazi9105 2 роки тому +1

    Baharia mwenzangu OG kitambo saana

  • @mariandesario6468
    @mariandesario6468 2 роки тому +5

    Duh! Umezunguka dunia asee! Kama mimi Kigoma kibondo, kilimanjaro, Arusha, shinyanga, mara, Singida na Dar 🤣🤣🤣🤣🤣yaani eti ndio nimetembeea

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 роки тому +37

    Baharia mwenzangu huyo muhamedi kaliope nimeachanae mumbei mwaka 92 tukakutana tena Athens ugiriki baharia Og huyo 🇹🇿🇬🇷

    • @harunione19
      @harunione19 2 роки тому

      nifanyie mpago nami

    • @stickyrhymes
      @stickyrhymes 2 роки тому +1

      Wapi baharia kinyale wa kinondoni moscow

    • @charlesgeorge9549
      @charlesgeorge9549 2 роки тому +2

      Ivi kwanini mabaharia wengi wakirudi Tanzania wanakua hawana pesa tena?

    • @blacknesaya744
      @blacknesaya744 Рік тому

      ​@@charlesgeorge9549kwasababu Wana kuwa huku na kule hawatulii sehem moja kufanya maendekeo

    • @blacknesaya744
      @blacknesaya744 Рік тому

      Mawasiliano na wewe broo

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому +5

    Napenda sana story za mabahalia

  • @mahamud-tech-channel
    @mahamud-tech-channel 2 роки тому +12

    😂😂😂 yaani huyu mzee akiona meli tuu anachanganyikiwa akili

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE 2 роки тому +2

    mabaharia ni noma

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 роки тому +11

    Huyu mwamba ampate zembwella ,babuuuuuu zebwela njooo umuhoji baaria tufurahi shooo esco bwana mabaharia wanastory hao anatakiwa muhun mwenzie zembwela

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому +3

      Ampate Zuwena,hebu njoo unihoji na mimi zuwena.huyu siyo mzee ni maisha tu yamempiga apunguze majukumu abaki na mawazo

    • @abrahamfelix95
      @abrahamfelix95 10 місяців тому

      zembwela akuhoji ww unatosha,,,, kwani uyu alogundua fulsa kuhoji mabaharia ajitambua wabongo tupunguze ujuaji

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql Рік тому +1

    Huyu ndio baharia sasa kwamb kashaacha chapa ugiriki na anarudi😂😂😂sio mabaharia wakisharud bongo ndio basi tena…2023 bado tunamcheki Rais wetu wa baharia Mzee Kaliope😊

  • @MROPEAhmed
    @MROPEAhmed Рік тому

    My favorite job

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 роки тому +3

    Naomba uondoke namimi Mombasa..dada wa kazi za nyumbani. Na usindoke na kina Abdul wanatafuta na mama zao zanzibar

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +6

    Uyu mze kwell msafir 🏆💯

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 2 роки тому +2

    Asante kwa kurudi hapa gulf tulikuwa tumeboeka sana

  • @johnngowi8334
    @johnngowi8334 2 роки тому +5

    mzee katembea sehem nying sanaaa

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 роки тому +4

    Story Nzuli Jamaa Kuoji Ajui

  • @kipsangpeter8126
    @kipsangpeter8126 Рік тому

    Natamani nikuone kaliope .....story nzuri Sana 😊

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 2 роки тому +2

    Aiseee ni noma

  • @kheriramadhan4603
    @kheriramadhan4603 2 роки тому +5

    Story Yake Nzur Sanaa

  • @Smithdaob1
    @Smithdaob1 2 роки тому +8

    Barnaba moto kweli🤩

  • @bonita329
    @bonita329 2 роки тому +13

    Ila ndugu ni wabaya sana.. watu wanaoishi ulaya mostly of them wametendwa wote🤦🏽‍♀️
    plus mimi hapa🤨
    kazi yao kudhumuru jasho la mtu..
    dah kaka nimekuelewa kabisa pole sana i hope soon utatoka huko upate kuishi na familia yako iliyobakia hapa urope.

  • @sinaloa5698
    @sinaloa5698 2 роки тому +2

    Mchawi ndugu by tundaman
    Ndugu lawamaa wengi wa mtoni wamefelishwaa na ndugu zao

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 Рік тому

    Bhot achaye

  • @majdmbonde6716
    @majdmbonde6716 2 роки тому +1

    Father WA mtaaa big up sana gogo street

  • @jumalakers7832
    @jumalakers7832 2 роки тому +5

    Uko sahihi baharia wafilipino ndiy roho chafu sanaa

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 2 роки тому +1

    Rastanura Saudi Arabia

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 Рік тому

    Baharia kaliope 🔥

  • @jeromejosiah7292
    @jeromejosiah7292 2 роки тому +1

    Ngoja nitafute namna ya kuzamia huko mm nitajifanya msomalia

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 2 роки тому +20

    Huyu mzee katembea sanaa 🙌

  • @reginakirway3626
    @reginakirway3626 2 роки тому +7

    Siku nyingine maswali yawe sehemu kubwa kuliko story ndeeeefu yani mda ni mali pia 🫂

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 2 роки тому +8

    Story nzuri sana inavutiaaaaa.... ilaaa,Kuna vitu tumemiss kwenye hii story, reaction ilikuaje wakati anarudi kwa mara ya kwanza nyumbani baada ya kupotea ghafla....maisha yake kwa ujumla ukiachana na kusafiri na kufanya kazi uko ughaibuni yalikuaje?? A lot of important infos tunazi Miss

    • @mwafrikaelcapitano6669
      @mwafrikaelcapitano6669 2 роки тому +1

      Anahitaji kuimprove sana katika kupata taarifa pindi anapomuhoji mtu, kwa bahati mbaya ni msiba wa watangazaji wengi vijana; hawajifunzi.

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 2 роки тому

      Uandishi siyo profession, na hana kipaji tumsamehe tu.

    • @ChristianKiponda-d7e
      @ChristianKiponda-d7e 11 місяців тому

      Karimela Kariope tikanisi es manga puisele, egho Ngariba esi kache mazi Man

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 2 роки тому +7

    Kaliope kweli kazeeka amesahau bandari ya kiamari ipo Karachi Pakistani na ndio alikoachwa. Hadith ya kweli kaliope nimeishi nae uko ushenzini.

  • @ngido255
    @ngido255 2 роки тому +1

    Napenda sana story za safar km hv mala dizonga,turkey,Greece co poa

  • @dullahgsm1002
    @dullahgsm1002 2 роки тому +2

    Wallah kaka yuhu mzee asa ana stor nzuri san kuliko wooote

  • @JosephKimaro-u7d
    @JosephKimaro-u7d 5 днів тому

    Hongeraa sana mzee big up 2025 again

  • @benhamza5649
    @benhamza5649 2 роки тому +6

    THE PIRATE OF BONGO

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +8

    Hawa ndio mabaharia kweli, sio unajiita baharia hata Bahari huijui... discharge book huna...!...unasafiri Nchi kavu unajiita baharia..!

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +4

    mimi najisikia poa
    kinoma nomaaa nnavyo
    sikia story kama izo
    maana kama naangalia movie

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. Рік тому +2

    Naona kama mtangazaji umechemka hivi mwishoni. Maswali yako yamekijikta kwenye kumuuliza maswali ya kutaka azungumze lugha za tofauti wakati baharia mahojiano yanatakiwa kujikita kwenye adventures alizopitia na si kuongea kwa lugha tofauti

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 2 роки тому +2

    Anapatikana wap huyu mzee mm pia natamani niende nae stolwey

  • @MrErick100000
    @MrErick100000 2 роки тому +1

    Sijui stori hii kama mtanzania au kipidi ndani ya tv ya kitanzania inasaidia nn, tuanza kujifunza kuwa wazalendo kwanza. Am proud tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +1

      mpumbavu wewe unauzarendo gan viongozi wenyewe hawana uzare ndo wewe unazungumzia uzalendo gan? kama huwezi kusikiliza pita kule

    • @8pistons194
      @8pistons194 Рік тому

      Umeshakata tamaa ya maisha ww

    • @MrErick100000
      @MrErick100000 Рік тому

      @@sifatiiman ukikuwa utapata akili

    • @MrErick100000
      @MrErick100000 Рік тому

      @@8pistons194 zamia na wewe

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Рік тому

      @@MrErick100000 kwendaaaaaaa mbwa wewe

  • @salimjahdhami7184
    @salimjahdhami7184 2 роки тому +2

    Salaam

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому

    Kaliope Hilo...DADEKI

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +6

    48:34 🤣🤣😂😂🤣🤣🤣 baaariaaa kalewaaa dah kwell watoto jau

    • @Project1986p
      @Project1986p 2 роки тому +2

      😂 hata mi nimecheka ila jamaa ana akiri nyingi.

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому +1

      @@Project1986p Sanaaa alaf story yke ndef saana ilaa mdaa autosh 👏👏

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 роки тому +8

    Baada ya miezi miwili tutaomba urudi kinondoni ukamuangalie kama ameondoka au bado yupo na gamba lake mkononi.😂😂😂😂😂

    • @aminumengo2123
      @aminumengo2123 2 роки тому +1

      Ss hivi c km zamani kazi zenyewe hakuna , na port kuingia shida wengi wanakimbilia South na wakipata. bahati ukichukuwa trip ugiriki , aitaly , Canada.

  • @AllexanderBieber
    @AllexanderBieber 9 місяців тому

    Safi sana

  • @Laizer3
    @Laizer3 7 місяців тому

    Duniya unaijuaaa brooo

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 2 роки тому +3

    Esco unafanya kazi nzuri sana Mungu akubariki sana tunakumiss kwenye Recap nakupenda kukufatilia sana nikiwa Belgium

  • @dionsangoa1428
    @dionsangoa1428 2 роки тому +5

    Aliyesikia sa hiv naruka ila wakinichelewesha nakamata meli🤣

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Daaa mzeee umetembea sana aise unajua LUGHA 7 UWIIII MIE HIKI KISWAHILI CHANGU KWELI NITATOBOA KWELI LIFE UWIIIIII

  • @peterahure3851
    @peterahure3851 2 роки тому

    Sns mnaajili watu wasio na elimu ya kuhoji na kujua v2 vya msing kiufupi baharia ana meng san lakn mtangazaj anashindwa kuhoji anakazania lugha2 mamae zake

  • @yuscostainless5770
    @yuscostainless5770 2 роки тому +6

    Absolutely sea power

  • @hashimkunambi7460
    @hashimkunambi7460 11 місяців тому

    Fadher Kaliope heshima yko mzee mwanao ninashida sana na namba yko ya cm ninashida privet fadher msaada wako.

  • @wapesahdavydoh2415
    @wapesahdavydoh2415 2 роки тому +2

    Nimependa sana ya Leo....

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 роки тому +2

    Waindi noma awatoi watoto

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 роки тому +5

    STORRY NZUR ILA MTANGAZI KAHARIBU SANA KIPINDI BAADA YA KUULIZA MASWAILI YA KUJENGA WATU TUJIFUNZE YEYE KIPINDI KIZIMA ANATAKA KUSKIA LUGHA TUU TUMEKOSA MAMBO MENG SAANA KWA HUYU MZEE , Poor , POOR POOR MTANGAZI UMENIKERA SANA WEWE MTANGAZAJI HUFAI KABISA NI BORA SKY ANGEMHOJI HUY MZEE

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +3

    Nic

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 роки тому +2

    Mwandishi pls jaribu kila swali ulize na mwaka ndio inakoleza storry

  • @lucianoluciano6795
    @lucianoluciano6795 2 роки тому +2

    ...lkn pia sky huyu mwamba anajua sana usiegemee sana kwa Chris

  • @ibrahimurembo7397
    @ibrahimurembo7397 10 місяців тому

    Jamaa Atari sana😮

  • @MROPEAhmed
    @MROPEAhmed Рік тому

    Sea never dry

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 роки тому +1

    Jitahid kuuliza maswali ya msingi bro..but good work

  • @josekamana6322
    @josekamana6322 2 роки тому +1

    Wewe kweli ni kamanda

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 2 роки тому +4

    Msamatika...

  • @nacmentodanca6498
    @nacmentodanca6498 2 роки тому +3

    Mtangazaji kapagawa na luga 😂😂

  • @HashimShereem
    @HashimShereem 5 місяців тому

    Ndio kaliope Mimi Baharia mwenzio Hashim mabenz nakupa hay

    • @HashimShereem
      @HashimShereem 5 місяців тому

      Brother mohd kaliope Tum bara achaa admii abi tumkedere ? hee Dar es salaam me ?

  • @barakaekuro
    @barakaekuro 2 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @brunofernandez6608
    @brunofernandez6608 2 роки тому +3

    Big up leta mastory mengine

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 роки тому +1

    Mashallah mzee pia kiarabu anakijua

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 роки тому +2

    Baba mwenye sanaaa

  • @dullahgsm1002
    @dullahgsm1002 2 роки тому +1

    Kaka hili video umetisha

  • @amidonassoro7982
    @amidonassoro7982 2 роки тому +3

    Kireno hajui

  • @babasanwar8112
    @babasanwar8112 Рік тому +1

    Daaah story nzuri pia ina fundisho kwa wana harakati za uzamiaji yaani storway.. halafu na nyie ndugu zetu mtu anatoa maisha yake halafu wewe ambae hata pantoni hujapanda unafanya mpango wa kudhurumu mali yani kuuza mali za watu waliotoa sadaka maisha yao... Hivi hamuoni kama mnakosea.!? Inauma sana na ndiomana wengine wanaangukia kwenye madawa ya kulevya sababu ndugu feki wachawi

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 роки тому +14

    Uzuri ukifananisha Mara nyingi na wengi huyu mzee alikua akiwashawishi tu wenye meli anapiwapiga lugha, sio kujificha kwenye meli na kuibuka

  • @HashimShereem
    @HashimShereem 5 місяців тому

    So Smart original sailor brother kaliope

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 2 роки тому +6

    Mzee anaongea kama anatumia dawa za kulevyaa 🤔 nawaza tuuu...

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 2 роки тому +4

      Waza upya, huyo angekua anatumia madawa kwa umri alionao asingekua na afya hiyo.
      mzee kaishi maisha yakisela sana, na mazingira aliyoishi uhuni mwingi ndo maana anaongea kihuni sana 😅😅😅
      Na uhuni sio kutumia madawa, kuna wahuni, ukauzu wote lakini wanaishia kwenye sigara.

    • @ibraton4071
      @ibraton4071 2 роки тому +1

      @@khadijajuma7142 kwani hujamsikia alikua anavuta madawa skiza paka mwisho

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 2 роки тому

      @@ibraton4071 Sawa ntairudia sijasikia

    • @davidpaschal778
      @davidpaschal778 2 роки тому

      Ujaskia kwamba kz zake ni mambo yetu yle na anataftwa miak7

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 2 роки тому +1

      @@davidpaschal778 Tatizo nilikua nasikiliza huku niko na story nyingine 😁😁😁nilisikia tu anatafutwa ndo maana karudi kwanza home then atarudi baada ya miezi 2.
      Ntairudia.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 роки тому +4

    Mtangazaji mpaka ukawa unaboa... sasa akijibu kwa lugha nyingine una unachokijua?

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 2 роки тому +6

    Jamaa ana mengi sana ila ndugu mwandishi ajajua Jinsi ya kumuoji kuna seaman language mwandishi inabidi haijue asiwe anaoji kama anaongea na zito kabwe

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 Рік тому +1

    Nani kakuambia ukitaka kusafiri nchi zingine lazima uwe na pasipoti?? Mcheki kaliope amesafiri kote duaniani bira pasipoti😂

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 роки тому +3

    Haya ndio mambo yetu haya

  • @Re-Post1
    @Re-Post1 2 роки тому +22

    Story nzuri, ila ni vyema kama utatumia mic mbili kwa clarity nzuri ya sauti

  • @drmalley483
    @drmalley483 2 роки тому +2

    Presenter huijui bunge primary kweli we mjini mgeni hata maswali nayo huijui kuhoji

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 2 роки тому +2

    Baharia umecheza,vijana tunasema tafuta pesa jumapili siyo siku ya kufua nguo,halafu chengine Baharia ulikua na majukumu ndiyo tatizo bora uwe na mawazo mimi rafiki mwenye majukumu simtaki anaweza kuniua nataka mwenye mawazo.mimi nina mawazo sina majukumu.

    • @jimmykitura5803
      @jimmykitura5803 2 роки тому

      Oyaa mwamba Ngoma ngumu hiyo kitambo lakini poa ndio hivyo yaani tunnel life

    • @hafidhimuadham9976
      @hafidhimuadham9976 2 роки тому

      Yasure capitanyo mudykaliope mwambie mtangazaji km mgiriki 'ndio mfalme wabahari mesakalave denekiproblema ola manga polio kaloo karisto polio (kaliope)

    • @hafidhimuadham9976
      @hafidhimuadham9976 2 роки тому

      Kweli mchizi boti kaliope mwambie cyo kihindi mwambie kigiriki ndio usiseme Aftoine polio melai alelenikaa

  • @progressrise
    @progressrise 2 роки тому +4

    Mtangazaji hapa hujachimba inavyotakiwa ilitakiwa akupe experience ya kutosha lugha za nn sasa

    • @dangotee5051
      @dangotee5051 2 роки тому

      Wwe ulikua wapi uje umsaidie

    • @EstherMedda
      @EstherMedda 2 роки тому

      @@dangotee5051 jifunze kukubali makosa na kufanyia kazi ushauri

  • @koburungomubahasha2207
    @koburungomubahasha2207 2 роки тому +4

    Midiocle king 👑 kiba

  • @hugholinemmasi1671
    @hugholinemmasi1671 2 роки тому +1

    KALIOPE SAAFI NITAFURAHI KUPATA SIMU YAKE.NINA MENGI NITAFURAHI KUJIFUNZA KWAKE.ASANTE.

  • @quintonvanstaden3147
    @quintonvanstaden3147 2 роки тому

    Nakubali mkubwa

  • @benjaminmike9778
    @benjaminmike9778 2 роки тому +7

    Et kamekufa katoto kenyew, mzee kavu sana😅

  • @Starbrunodg
    @Starbrunodg Рік тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 роки тому +9

    Utakuta ana maisha ya kawaida tu kuhangaika kute huko cjui pesa zao wanazichimbia Wp

    • @babnaafaizaani3368
      @babnaafaizaani3368 2 роки тому +1

      Husikii hiyo sauti ipotokea

    • @christercheru8328
      @christercheru8328 2 роки тому +1

      Baharini

    • @faithzamani1965
      @faithzamani1965 2 роки тому

      Kakuambia wamejenga na mkewe huko ugiriki mghorofa

    • @zayanazayana5353
      @zayanazayana5353 2 роки тому

      @@faithzamani1965 km kajenga sawa lkn Mabaharia wengi nnaowajua hapa kwetu wana vidani tu lkn maisha yao km walimu wa school tu

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 2 роки тому

      @@zayanazayana5353 😂😂😂😂😂😂 ila wewe yani wana vidani vya vishingo tu

  • @johnsonedwin3105
    @johnsonedwin3105 Рік тому

    N htr san huy mzee

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 2 роки тому +5

    Mzee kavu huyu anapenda kuzara vifo vya wenzake eti kimekufa kale katoto.🤣🤣😂😂😂😂

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 2 роки тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂 katoto kakigamboni kamekufa kale katoto ,huyu chuma kanimaliza apo

  • @royalmbwana
    @royalmbwana Рік тому

    The Godfather Of Bongostoweaway 👑

  • @abdallakhatib3898
    @abdallakhatib3898 2 роки тому +2

    Darasa la tano miaka kumi na nane 😔😔😔😔 mbona kma nimepigwa chega peupe

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 роки тому +1

      Kumbuka ilikua mwaka 1983 sisi tuloanza shule 1991 tulikuta drs la saba km baba zako Mandevu kibao na ni wakubwa mno so absolutely ni kweli

    • @gayanimwansasu
      @gayanimwansasu 2 роки тому

      Zamani watu awalikuwa wanachelewa kuanza shule

    • @merichomgonafivi1733
      @merichomgonafivi1733 2 роки тому

      Yupo sahihi,miaka ya zaman,walisoma,wakubwa

    • @marlonjr294
      @marlonjr294 2 роки тому

      fake huyu jamaa, story za mtaani

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 2 роки тому

      @@marlonjr294 bro hiyo ni zamani watu wanasoma wakubwa sana sio sasa katoto kanamaliza la saba kama kako la pili